Ubarikiwe Mchungaji,hilo somo ufundishe kenya 🇰🇪,watu wetu tunawaambia Wigi ni mbaya hawataki kubali
@maryamayitsa61812 жыл бұрын
Yesu asifiwe sana, mchungaji nimeanza kukufata pale ulipo anzia, ukweli nimejua vitu vingi nilivo kua nikifanya, ni najisi, nimewacha kushuka kupaka kucha kuvaa longi,nime vua mikufu,nimebaki jinsi niliumbwa,na naskia Niko huru kabisa,asante kunitoa gizani, mm mfuasiwako toka kenya mungu akuinue sana🙏 Amina.
@marymwapiya12742 жыл бұрын
Hallelujah 🙌 utukufu kwa Mungu wetu aliye hai
@happnesskitumbo57132 жыл бұрын
Umefanya vizuri sana Mary, utamuona Mungu katika maisha yako Mimi niliacha kila kitu cha urembo tangu mwaka Jana nimeona badiliko kubwa LA kiroho changu ukilinganisha na mwanzo nilipokuwa nikienda kanisani au nikiomba Mungu huku nimevaa mapambo ya yezeberi yule kahaba mkuu. Umechagua fungu jema sana ubarikiwe.
@magrethmollel10782 жыл бұрын
@@happnesskitumbo5713 ni kweli ukiacha hivyo kuna mabadiliko unayapata makubwa sana hata mimi nimeacha na ninapendeza sana tu
@magdalenapeter61062 жыл бұрын
JMN NI KWELI HATA MIMI NI SHAHIDI PESA YANGU ILIKUWA HAIKAI TANGU NMEACHA VITU VYOTE VYA UREMBO NIPO HURU SINA HASIRA ZA HOVYO NAMTAMANI YESU KILA SAA NA PESA YANGU INAKAA NAFANYIA VITU VYA MAENDELEO KABISA YAANI YESU NAKUPENDA SANA KWA KUTUFUNULIA KUHUSU HAYA MBARIKI NA KUMTUNZA NA KUMLINDA MTUMISHI WAKO MCH ASTON ADAM NA MCH KATEKELA AMEN.
@edmundrobert27402 жыл бұрын
Ubalikiw Mtmsh kwa kutii
@catemacharia84992 жыл бұрын
Glory to God I love this testimony its teaching us alot 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love you people for good job you are doing
@neemamrisho750011 ай бұрын
ASANTEE MUNGU NIMEPATA FUNDSHO HAPA JMN
@kimsamespa84902 жыл бұрын
This man is very bright hope he wrights a book be blessed man of God tuna kupenda
@MamanAkim-p2v Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mutumishi wamungu ulitoka mbali
@salimaechessa89332 жыл бұрын
Napenda mtandao huu,hakika nimejua mengi kupitia hapa,Mungu awe nanyi siku zote.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@modestarmuchiri53862 жыл бұрын
The day I started watching and listening to your testimonies and preaching this the day I knew I had less knowledge about the life.. God bless you so much for enlightening us.. Am more blessed.. Nashkuru Sana.. Mungu akutie nguvu akupiganie akukinde na azidi kukupa nguvu kwa kila hali na ushundi mku uwe juu yako.. Maisha marefu ndio dua langu kwako na promover TV crew be blessed
@dianendayisenga65922 жыл бұрын
Ubarikiwe na uwache mabaya yote ikiwemo kuvaa ma Mini_skirt
@sophiamakani61332 жыл бұрын
Amen nimebarikiwa sana mutumishi wa mungu
@rusimackems98202 жыл бұрын
Ombi kwa sisi wafuatiliaji, tusikose kushare kwa ndugu wengine ili kwambo wasikie ushuhuda huu na kujua kinachoendelea🙏
@lydiamichael55092 жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi hakika Bwana ni mwema kila wakati ndio maana anatufunulia haya hatungejua nazidi kusema asanti promover tv
@kacerawamami12092 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Asante kwa mafundisho. Sisi wanawake wa kiafrica ni lazima tujipende vile tulivyo umbwa. Mimi napenda nywele zangu na nashukuru mamangu na bibi kwani walituhimiza tupende nywele zetu tulizo umbwa na jinsi za kuzikua. Tufundishe watoto wetu kujikubali na kujipende vile walivyoumbwa. Nywele za kiafrika ni nzuri na zinakuwa ndefu sana ni mtu ajue maarifa tuache mawigi na rasta. Si sifa lakini zangu ni ndefu hadi kuinoni na sivai wigi wala rasta nikusuka mwenyewe na mimi ni mwafrika mama na baba.
@mindenlightenment2 жыл бұрын
1timotheo 2:9
@kacerawamami12092 жыл бұрын
@@mindenlightenment kama nilivyoeleza tutumie maarifa. Mimi ni mwafrica na mwanamke na nywele zangu za kiafrica haziwezi kukaa bila kusukwa zitakuwa madreads. Sidhani wewe ushawai kuwa na nywele ndefu kutokana na nukuu yako hapo juu ( na sikejeli au dharau mwenzangu its just an intelligent obsevation)Jambo jengine tujifunze kusoma bibilia yote kabla tu kunukuu mstari..kama ungeelewa hapo maandiko yanamanisha nini hungening'inia kwa mstari mmoja. Tafadhali wakristu wenzangu tusijiwekee vikwazo au roadblocks tutafika kwa Mfalme wetu Yesu wengine tumechoka!. Tumuombe Mwenyezi Mungu atupe maarifa na tutamshinda shetani na mambo yake. Sikiza vile mtumishi anasema kwa nyumba yake yeye ndie hununua hizo nywele kwani anamaarifa yakutambua za kuzimu na zakawaida. Kama huna maarifa basi mtu afuge nywele zake na awache hizo rasta na wigi. Kwangu mimi kusuka nywele zangu hazinitii wasi wasi moyoni kama kuvaa wigi.Sifa zipewe Yesu Kristu
@agnesmuthara34812 жыл бұрын
Na sisi tueleze vitu vya kuku a nywele hizi za kiafirka maana ni kazi kuzitunza
@purity2342 жыл бұрын
Ebu tupe maarifa jinsi ya kutunza nywele iwe ndefu? Unatumia vitu vipi kutunza nywele,au mafuta yapi ya nywele?
@kacerawamami12092 жыл бұрын
@@agnesmuthara3481@ purity...nywele zetu za kiafrika hazitaki kusumbuliwa sana. Kwa mfano mimi huosha nywele zangu every week or 2 weeks depending on the weather. Huwa naziosha zikiwa nimesonga matuta kama 6 with shampoo na conditioner. Nafanya deep conditioner once per month. I am not attached to any product yeyote natumia ile nijisikia nameipenda. Nywele zikiwa Safi situmii blow drying, nakausha na old tshirt kidogo lakini nawacha unyevu or moisture kidogo. Natumia mafuta ya nazi, saa ingine olive oil or shea butter najitengenezea mwenyewe.napaka mafuta kuazia ngozi ya kichwa na kila tuta moja moja. Baada ya kupaka mafuta ndio Nina Chana nywele tuta baada ya tuta kuanzia mwisho wa nywele hadi mzizi wa nywele kichwani.baadae ndio nitasuka nywele vile ninavyo jisikia. Blow drying nafanya mara moja au mbili kwa mwaka. Asante
@sarahwawuda51642 жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi, kutoka nianze kuifwatilia jana namshukuru Mungu nimejifunza hapo kwa kunena na lugha nimekuelewa sana maana nilikuwa nishaogopa aki.
@sarahjacobs88142 жыл бұрын
God bless you brother following you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@abdimohamed39532 жыл бұрын
Amieli MUNGU azidi kukuinua mtumishi nabarikiwa sana juu ya ushuhuda wako
@hiridasamwer7929 Жыл бұрын
Amen Amen ubalikiwe san mtumishi
@mindenlightenment2 жыл бұрын
Moving from glory to glory .. Thank you for this lovely testimony 🤍
@alexjotham50412 жыл бұрын
Mungu atusaidie
@nuruanaelisha87312 жыл бұрын
Nimeacha kusuka kabisa saivi,maana Kila nikisikiliza injili inakataza,na neno linasomwa kwenye bible ,so now nipo huru Nina amani moyoni,wakati wa ibada nafunga kilemba,kutokana na neno linavyosema,Mungu Asante kwa ajili ya promover tv na mchungaji huyu na wengine wengi
@mindenlightenment2 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa kufanya hayo ,MUNGU akuongezee ufahamu zaidi🤍🤍
@nuruanaelisha87312 жыл бұрын
@@mindenlightenment Amina Kubwa
@highzacknnko96852 жыл бұрын
" wanawake wangekuwa waelewa kama wewe sidhani kama wenge nasa kwa shetani!!! Endelea sana wewe inaonyesha nimuelewa sana kama umeolewa mtafanikiwa sana na mume wako na kama hujaolewa utafanikiwa sana maana utamtia moyo na kumwambia asonge mbele ~ wadada wengi wanajilipua wanajipodoa na kubadili maumbo - wadada hawaeleweki miguu meupe na sura nyeusi na mikono meupe - wadada wanadanga kinyama ,yaani kubadili wanaume kwa wadada ni kawaida ~ utasikia tuma hela ya kusuka tuma hela ya wigi
@nuruanaelisha87312 жыл бұрын
@@highzacknnko9685 thank you kwa maneno yako,nitafanikiwa ,Mungu aniongoze
@highzacknnko96852 жыл бұрын
@@nuruanaelisha8731 biblia inasema mithali 11-22 kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe ndivyo hvyo mwanamke mzuri asiye na akili,kwahyo upo vizuri mtumishi songa mbele katika jina la YESU KRISTO ~~ kuzimu wasikuweze ~ waganga wasikuweze ~ wachawi wasikuweze ~ mizimu isikuweze ~ majini na mapepo wasikuweze Nawakata ngebe nawasaga vipande vipande namtanguliza malaika akusaidie kuzingatia kanuni za wakovu ....amen
@JessicaJames-t8q11 ай бұрын
Nazid kukufatlia vzur pastor,, naunanipa ufaham zaid wakujua nakutambua mbinu zashetan anazotumia juu yetu,,, aiseee Mungu atusaidie sana tupone😢😢 haya mambo nihatar sana
@favourndila84742 жыл бұрын
Amen! Tunazidi kupata ufunuo zaidi, mubarikiwe sana watumishi wa Mungu
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
It's true niliachana na manywele bandia ju ya kuu wa na kichwa my inner spirit ilikataa I thank God umesema ukweli be blessed alot man of God keep it up neva give up God bless
@gib3888 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe, mtumishi wa mungu kwa kweli mungu n mwema mtoto wa bro yangu pia yy alikuwa huko bali tuna shukuru yupo mungu kwa kweli, may God bless you
@lucykarebe15672 жыл бұрын
Asante sana Amieli umeelezea vizuri sana Hili swala la nywele bandia sasa tumeelewa vyema, aliye na masikio amesikia, mwenye kuzitumia azitumie at her own risk. Karibuni kwetu Kenya 🇰🇪 🙏🙏🙏
@simonlaizer6261 Жыл бұрын
Nikweliii ili mtu asiseme me skujua au sikuambiwa🤔
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@JudithTwibonisyeАй бұрын
Mhuu kwa namna hiyo .Mungu atusaidie Maana kama kuna nywele za kuzimu saa za kuzimu Basi kuna nguo za kuzimu
@johnmkama80742 жыл бұрын
Mifano yako iko hai sana kwawatu walio kwisha shamburiwa na wakuu wa giza mtumishi ubarikiwe sana mambo yote unayosema ni kweli tupu endelea kuroboa tunakuombea
@daisymuthoni6752 жыл бұрын
Am here following n learning nabarikiwa sanaall the way from Kenya🇰🇪🇰🇪
@lilianluhasi50532 жыл бұрын
Mtumishi mwema wa Mungu, kwakuwa umesema neno linasema usiwe chukizo lolote lile, Nakuombea kwa Mungu katika jina la Yesu Kristo upate neema na rehema Siku Moja unyoe nywele zote sawa, Naamini Siku Moja itakuwa katika jina la Yesu Kristo
@HomeboyTZ196 ай бұрын
Anyoe nywele zote ili iweje? kwani Hilo ni wigi yaani unataka awe na Kipara?
@obadiajonas98892 жыл бұрын
Amina hata mke wangu asha wah vaa heleni zenye msalaba mweus usku huo kichwa kilimsumbua sana nikamwombea na kumvua helen na kuzitupa🎺📯✝🌏🌍
@ombenimaiko7882 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU.
@PauloMaona-in4qh Жыл бұрын
promover tv hakika mnafanya kazi nzuri sana mungu awabariki na neema za bwana yesu mkombozi wetu awe nanyi mzidi kuenda mbele zaidi..
@naomikalinga30422 жыл бұрын
Tutaelewa tu na haya manywele tutayaacha YESU turehemu baba
@rusimackems98202 жыл бұрын
Jamani afadhali tuache kusuka rasta jamani maani haujui ni ipi imetolewa na ipi ambayo haijatolewa, daaa washamezwa wingi kweli, Asante Promover kwa huduma hiii, daaaa🙉🙉🙏
@mindenlightenment2 жыл бұрын
Yaani MUNGU awafungue macho waone 1kor4:4
@joannanekesa77582 жыл бұрын
N kweli kabisa mungu awabariki sana kwa kutulisha kweli ambao hatukukua tunajua
@joannanekesa77582 жыл бұрын
Nimependa sana huu ushunda umenifanya ni jue mambo sijawai jua
@maryjoviny69912 жыл бұрын
Nashukuru kwa shuhuda nzuri, Ila usishirki kununua wigi lamkeo , nywere bandia nidhambi
@linetmusee65002 жыл бұрын
Asante sana mjungaji, nimejifunza mengi sana . ubarikiwe
@tatumluv60542 жыл бұрын
Mchungaji Amiel umekua wa baraka kwetu
@mindenlightenment2 жыл бұрын
Kwakweli
@charlesmbena91212 жыл бұрын
Natamani sana kusikia hivyo vyama vya uchawi nijue na nijifunze na namna Nzuri ya kuomba na tuendelee Ku wa blust wachawi lakn napenda sana shuhuda hizi mm zimenifanya hata u karibu wangu na Mungu kurudi tena nikipotea kidgo
@yalalaambobe95289 ай бұрын
Mungu akubariki Mtumishi kwa neno la ijili na maombi
@gulfvacancy79762 жыл бұрын
Nimeshukuru sana kwa mwendelezo huu, najifunza mengi sana yesu no bwana
@Neemakilimba Жыл бұрын
Mimi Napenda kukushauri Mtumishi Mke wako Aache kabisa Hizo nywele bandia ataukosa ufalme wa Mungu Ni her ukamkataza yeye Ni kioo Cha jamii
@siyamasipitei81822 ай бұрын
Mungu awarehemu na kuwaokoa wanawake
@nuruanaelisha87312 жыл бұрын
Jactan ,Mungu akuwezeshe zaidi ufike salama mbinguni
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@happykajeli54532 жыл бұрын
Mungu awabariki kutuletea Habari njema
@amishambar34182 жыл бұрын
Amen amen nimefunguka sana mch
@lilianluhasi50532 жыл бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu kwa fundisho la nywele, Pia namuombea mke wako kwa Mungu apate ufunuo aache kabisa maana yeye ni kioo cha jamii katika jina la Yesu Kristo
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Ameeeen ubarikiwe Dada Lilian!!! Wewe ni shujaa wa kristo
@faze_narq68902 жыл бұрын
Listening to this powerful man of God Evangelist Katekela, giving analysis after the other feels like how one sits down to eats a delicious meal without being satisfied! He always lives me in suspense like hungry for more enlightenment! But here is the good part; he always comes back as he promises with more new and firely 🔥 information!! He blesses me so much! Reminds me of the song that says; Tis so sweet to trust in Jesus, Just to take him at His word, just to rest upon His promise, just to know thus says the Lord!! Jeremiah 33:3 says that the Lord will show Jeremiah great and unsearchable things that he did not know! I thank God for this man of God because just when we thought we’ve heard it all something new is spilled out. Something that’s Great and unsearchable th we did know!! Gods so faithful! His promises are Ye and Amen 🙏.
@janetnzai98662 жыл бұрын
Hallelujah,I really learn something from Him
@irenek72802 жыл бұрын
Am also not getting enough of his testimony ...I HV followed alot of testimonies but this is kinda unique .. enlightening and sweet to hear ...he has alot to tell
@margretokuku82202 жыл бұрын
Barikiwa.kwa.advice.umeongea.ukweli.asante
@rakaieva54722 жыл бұрын
Shukurani sana kwa ufafanuzi wako Mchungaji Amiel
@nancyokemwa24702 жыл бұрын
Very helpful information. God bless you
@rhodalissu69538 ай бұрын
Ubarikiwe sana Jactan msafiri nimekuwa nikifatilia promover Tv na nabarikiwa mno kwa shuhuda,, nina shida nimepalalays nina miaka 4 kitandani hospital nahitaji maombi
@nuruanaelisha87312 жыл бұрын
Kumbe ndo maana tuna matatizo,Yesu tusaidie
@dieumercibakoboy79702 жыл бұрын
Asante sana 🙏🙏🙏🙏
@heritier51192 жыл бұрын
Amina mtumishi Barikiwa sana, anzisha channel yako Ili utupie mafundisho mengi tuzijue siri. Ni Neema ya Mungu kupitia hayo
@trophywilson72112 жыл бұрын
Bora tuache kutumia tu Nywele za Bandia
@maryandason18152 жыл бұрын
Mm nashangaa Sana tangu sijaokoka nilkuwa navaa mawig kichwa kinauma asikwambye mtu.yahn mpka wakat mwngne kma naenda church naenda toilet naivua.nakaa sawa.kuhus mawig yhn kichwa yang ilishakataa.toka Niko bint sijaokoka nikivaaa kichwa inauma sana,Tena Sana mishipa ya faham yahn unakuta navua lkin bdo kinauma sana.pastor Katekela naitaji maombi yako Sana Tena Sana nitakupigia unisaidie..piya ukianza ujenz wa church yako.naomb nitatoa sadaka yyote kwa ajil ya ujenz nmejikuta nataman kusapot tu .ujenz barikiwa Sana kaka jacktan
@ellyitete9382 жыл бұрын
Mtumish hongera sana maan pesa ni mtego sikuhiz
@rusimackems98202 жыл бұрын
Kweli
@rusimackems98202 жыл бұрын
Nasikia kutetemeka, jamani tuoooooombe TOOOOBAAAAAA KWA YESU ATUHURUMIEEEEE😭😭😭😭😭
@mindenlightenment2 жыл бұрын
Yes kabisa 🙌✨
@saramss72622 жыл бұрын
Rudi mackems simama wewe kama wewe jiombee tupo pabaya sana Sanaa
@rusimackems98202 жыл бұрын
Kweli
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Umeona na MUNGU ATUSAIDIE
@simonlaizer6261 Жыл бұрын
Nikweliii 😥😥😥😥😥😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@tumainimtingitingi48832 жыл бұрын
Umenitenga sana
@athumanmpagama62592 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@marifaadolphine35712 жыл бұрын
Tunashukuru kwa ujumbe huwo, ubarikiwe sanaaaaa
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Mmmmh haya mapambo bibilia imekataliwa Ila ubishi NDO INATUPELEKA jehanamu Asante Sana MUNGU
@AmosMuchimba-yp4nv Жыл бұрын
Mungu asidi kukuinua paster
@aidaraphael19562 жыл бұрын
Asante YESU kwa neema yako,Barikiwa mtumishi.
@tamarali83252 жыл бұрын
Love you for free man of God Amieli. Barikiwa Jacktan sana
@richardedward2274 Жыл бұрын
Penda sana mtumishi kwa ushuhuda wa kweli
@kimsamespa84902 жыл бұрын
Mungu Asante ulinitoa kwa mapambo Mimi nilibaki na nywele zangu fupi kumbuka wenzangu walio Baki huko
@emmanuelmanga34782 жыл бұрын
Ukisoma Neno la Mungu , Mungu amekataza mapambo mengi sana, unaweza ukasuka rasta haujatoka kuzimu ila siku ya mwisho unaikosa mbingu kwasababu hujatii Neno lake Mungu, bali umeona kuzimu hazipo, Yesu anasema Yeyote azishikae amri zangu na kuzitii mimi nitajihidhilisha kwake,
@edithajohn45632 жыл бұрын
Wapi Mungu anakataza mapambo?
@mcchilo1311 ай бұрын
1 Timotheo 2:9-10 inasema, “Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani; bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu.”
@mcchilo1311 ай бұрын
1 Petro 3:2-4 “Kujipamba kwenu, kusiwe kujipamba kwa nje, yaani, kusuka nywele; na kujitia dhahabu, na kuvalia mavazi; bali kuwe utu wa moyoni usioonekana, katika mapambo yasiyoharibika; yaani, roho ya upole na utulivu, iliyo ya thamani kuu mbele za Mungu. Maana hivyo ndivyo walivyojipamba wanawake watakatifu wa zamani, waliomtumaini Mungu, na kuwatii waume zao.”
@roselineatamba9162 жыл бұрын
Hey Jactan, its so blessing, your channel is so good. Growing Spiritual and phisicaly, God bless you
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@hapnesagustino56272 жыл бұрын
Yaani sasa huelleweki unasimulia ubaya wa mawigi halafu wewe unamnunulia mkeo wigi ni wapi biblia imeweka uhalali wa wigi ila imesema so kwa kusuka hata pia dhambi iweje wigi liwe halali
@kwizeraaugustin2232 Жыл бұрын
Mungu akubaliki muchunguji
@yusuphuchubwa Жыл бұрын
Umenisaidia Sana pastor
@frankinspired64862 жыл бұрын
Jacktan na Amieli shukran kurudi kwenu, mafunzo haya imenibadilisha Imani na wokovu wangu sana. Ebu next mueleze code za mtu ni zipi, wanazipataji, twawezaji kuzilinda , wasizione au kuzipata.. Alafu Ukisema wao ukamata nyota ya nchi, nyota ya nchi ni Kama ipi? ... Je huwa iko angani ama ardhini na ninani anafaa kuwa mmiliki wake rasmi kabla ikamatwe...
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Unaposema ni gani maana yake nini? Mimi ni mtanzania lakini sijaelewa unaposema ni gani una maanisha nini
@frankinspired64862 жыл бұрын
@@highzacknnko9685 yaani in zipi
@highzacknnko96852 жыл бұрын
@@frankinspired6486 " sasa mbona unasema ni gani wakati unajua kiswahili kabisa kusema ni zipi hahhahahaha!!!!! Samahani lakini brooh
@frankinspired64862 жыл бұрын
@@highzacknnko9685 kiswahili ya kenya sisi hutumia zote Hizo.. Gani, ipi, zipi
@rakaieva54722 жыл бұрын
Asante sana Mr Jactan Musafiri
@georgiaruhinda1704 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe,nauliza dawa zinazowekwa kwenye nywele,km relaxar,curl na nyinginezo
@marygati4688 Жыл бұрын
Mungu atusaidie sana daaaaaah
@Sahammer2 жыл бұрын
I will be attending your forthcoming mission in Umoja, Nairobi Kenya. This is my neighborhoods. I would like to invite you to my church which is around that area. Much love from Kenya. Numbers one fan. The content is profoundly undisputed and naked Truth. Amen
@tracyirene89172 жыл бұрын
Just curious when is he coming to kenya This I would not like to Miss...👍Do u have an Idea??
@nizigamaviolette-ig9dl26 күн бұрын
Kwli nasikiya ushuhuda huyu namachozi yana dondoka kweli Mungu nimwema
@lungatsominzlet49412 жыл бұрын
Thank God through your testimonies my spiritual eyes are open amen
@rosemarymallya44582 жыл бұрын
Yaani nina ka wig ka bob japo nimekanunua ghali nimeshangaa sikavai TUU Sasa Ndo naelewa🙇♀️nikagawilie huko mbali🙌🙌🙌🙌
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Usikagawe kachome kabisa
@rosemarymallya44582 жыл бұрын
Gaining lots💃💃Glory to God for this💪💪🔥🔥🙏🙏
@lovenesswalter66502 жыл бұрын
Kuhusu nywele kwakweli bado sijaridhika.. Mchungaji Amiel nakuombea Mungu akazid kusema nawe juu ya nywele na Pete kwasababu huu utaratibu upo ktk makanisa meng ya kilokole Tz lkn Yesu anakataza.... Ubarikiwe kwa ushuhuda mimi kwakweli nitazid kumuuliza Mungu
@preciouslissahparis13522 жыл бұрын
Angalia uahuhuda wa vyumba 351 vya kuzimu,utaamini tunatakiwa kufuata biblia inasemaje nasio utaratibu wa kanisa my wangu
Mtumishi nilikuwa nauliza kuhusu dread maaana imekuja kwa kasi Sana kwa jinsia zote mbili....wanawake wanasuka kwa kasi Sana kuliko wanaume...tufafanulie mtumish
@lucykapinga3692 жыл бұрын
Iwee tuu nywele yako tuu
@stellahkathure-px9cf Жыл бұрын
Mtumishi kusema ikweli umenibariki sana mungu akubari ushidi kùkomboa ulimwèngu stellah kutoka kenya pande sa meru
@angelibrahim55392 жыл бұрын
Mngu awa bariki sana
@nicholasngeene17852 жыл бұрын
Unatuhelimisha sana mtu wa mungu.Mungu azidi kukubariki tuzidi kujua mengi
@LucyMaganga-b4o3 ай бұрын
Kwa kweli ushuda huu mpaka leo una uhai wa mungu maana una nguvi
@DorotheaShemhina10 ай бұрын
Amen
@JaneDoe-hf3zy2 жыл бұрын
Amiina mtumishi wa mungu uko na roho ya kimungu
@getrudeliyayi80502 жыл бұрын
Be blessed man of Jesus
@saimonathuman61262 жыл бұрын
Ndugu Jacktan hongera Sana Mbarikiwe team nzima ya promover ila nakuomba Sana kwa swali hili la sikukuu ya Christmas huko kuzimu wanasheherekea
@mwavithaniyburana9322 ай бұрын
Asante Kwamafundisho ila Pana wakati mtu huweza towa machozi hasila gafla nayo ni sababu gani magombano nawatoto na mm Mala kwa mala
@liesharehema51932 жыл бұрын
Mimi naomba mtumishi atutajie watumishi wauongo wa nafanya kazi na kuzimu nahuku duniani wanahubiri uongo
@Nenolamaarifa2 жыл бұрын
Nywele zote za bandia ni chukizo Kwa Mungu,iwe imetengenezwa kuzimu ama viwandani ..Warumi 1:26 Mungu haruhusu kubadili asili kama unamnunulia mkeo Rasta ambazo wewe unasema ni salama, unashiriki dhambi ya kubadili asili ya mkeo..
@carolinenakirutimana15592 жыл бұрын
Yihesabu kama mavi kweli. Mungu aendelee kukusaidia baba , uiombee dunia
@venancemwalukasa61972 жыл бұрын
Mtumishi ukweli Mungu akubariki mno hasa nywele bandia
@shuhudazakweli34062 жыл бұрын
Hapo kwenye wingi na vifaa vya uzuri hapo shetani yuko kazini chochote kinacho toa asili ya mtu Mungu kazuia
@mreshiwamama32592 жыл бұрын
I might not comment everyday but nafatilia mafundisho sana, and God continue blessing you, you are doing a great job
@THEODORATHEONEST6 ай бұрын
Nakumbuka nlipenda sana kushonea wiving na kuvaa wigi lakini siku tatu mfululizo nliota kwamba naenda kanisani lakini nkifika nakuta joka kubwa mlangoni na linanizuia kuingia ndani ya kabisa mara anatokea mtu ananiambia kwamba wewe ni WA huyu maana ulichovaa kichwani ni mali yake
@Soni-lt6oi5 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe vipondozi zote zatoka kuzimu pamoja na nywele bandia kweli mungu anataka tusijipambe make up tukuwe nature MUNGU nisamehee kweli nimekosea MUNGU kwa njia kubwa kweli
@deboratorokoko76182 жыл бұрын
Mungu atusaidie Sana wanawake, maana Kama nikuvurugwa tumesha vurugwa