Nimekufatilia sana Pastor MUNGU Akubark sana ila naungana na aliyesema uandke kitabu kitasaidia vizaz na vzazi
@dr.isayajn2 жыл бұрын
Amen! Umefanya iman yangu iongezeke saana, nashauri uandike kitabu juu ya shuhuda zako
@Esthermordecai9 ай бұрын
Uyu mchungaji Amiel amekuwa wa baraka kwa wakristo wote,Yesu Kristo akulinde baba.🙏❤️
@favourndila84742 жыл бұрын
Asante Bwana Yesu kwa kuzidi kutufunulia kupitia watumishi wako...mbarikiwe sana watumishi wa Mungu.
@catherineangaufoo25302 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa ushuhuda mzuri sana.. kwa kweli tunaokolewa kwa neema tu,.kwa mwanadamu wa tabia ya asili ataona ni mambo ya kushangaza na uongo.. haya yanatambulika kwa jinsi ya Rohoni.🙏
@mpesastatements2265 Жыл бұрын
ubarikiwe kwa elimu
@MONAKHO. Жыл бұрын
Pasta Amieli !!!.... Umemtukuza Yesu Kristo Kwa Kufunua, Siri Nzito Nyingi Ya Ufalme Wa Joka Nyekundu Kwa Undani Tena kwa Undani sana...Mungu Baba Yangu Alie Juu Mbinguni....Akulinde, Akuongezee Neema Nyingi, Akusaidie Na Pesa Nyingi, Aifadhi Familia Yako Na Akuongoze Kwa Kila Jambo Kwa Nguvu Za Roho Mtakatifu, Katika Jina La Yesu Kristo Mwana Wa Mungu Alie Hai, Amina, Amina Na Amina.
@UkweliMinistries2 жыл бұрын
Huyu ni Ukweli mtupu. Haya yote yanaoneka pia katika Roho. Mungu anaona mbali kwa kweli.
@YohanaMtambala-gq1sz Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@peterkasonso3169 Жыл бұрын
Jamani Mimi nahitaji kuwasiliana na mchungaji lakini napiga simu muda wote haipokelewi, naomba masaada wa mawasiliano
@mtumishiraymond2001 Жыл бұрын
Amen 🙏🏿
@JosephatMsafiri-ln1cy6 ай бұрын
@@YohanaMtambala-gq1sz😮😮😮😮p😮😮😮😮😮😮p😮p😢
@happinessmgonja8573 Жыл бұрын
Damu ya Yesu ikufunike,atakyejaribu kukuua wafe wao Kwa gafla
@elizabethmuthike96232 жыл бұрын
Amina asante sana kwa ajili ya huu ujumbe ubarikiwe sana PST katekela (ndio mchungaji usijaribu kueleza ayo mambo ya kichawi utayumbisha imani zetu tena ufute kile ulicho kiweka ndani yetu tena wengi wakizikiza watatekwa na kupotea usijaribu kbsa )mungu akubriki sana kazi yako ni njema sana
@teresamokeira40423 ай бұрын
Amen mtumishi saidia watu. Makanisa mengi siku hizi wanatumia hivyo vitambaa na mafuta. Watu wengi tumeweka imani kwa hivyo vitu badala ya Mungu. Mtumishi ingekuwa vyema utambue hayo makanisa moja kwa moja hasa hapa kwetu kenya. Wengi tutaingi kwa shimo.
@anneokaka82132 жыл бұрын
Mungu yu nawe asema bwana nitakulinda vinywani na mikononi mwa adui zako haijalishi vita vizito kivipi atakufunika kwa bwawa lake.
@THEODORATHEONEST7 ай бұрын
Asante sana mchungaji katekela maana umenifungua sana akili yangu
@petermageta94802 жыл бұрын
Hu ndo ushuhuda wa mwaka, Barikiwa sana ndugu jactani,Hayo yote anayo shuhudia Yako kwangu huku.
@asnatkwamboka6306 Жыл бұрын
Mimi in mchungaji mimeshambuliwa na hivi vitu sana, namshukuru mungu nimejua la kufanya
@timjones6344 Жыл бұрын
Wanafunuliwa polepole. Utukufu kwa Mungu Halelluya.
@aloycekiwelu80832 жыл бұрын
Amina mchungaji uje 'na kilimanjaro moshi hukukwawachaga tunaitajielimu zaidi
@ruthogungo Жыл бұрын
MImi nachukuwa notes, nimepitia haya yote kama mchungaji.. This is an eye opener
@Mariejo123-g2x2 жыл бұрын
Nimejifunza sio vizuri kuchelewa kanisani.
@abrahamjuma9761 Жыл бұрын
Nashukuru Mungu sana kwa haya maono mafiche yakufungua akili yetu tujue Mungu wetu wa ukweli,asante mtumishi,may God grant you more wisdom Amen
@JaclineGoglas7 ай бұрын
Ni kwel Kama unakarama na kipawa mawakala wanatafuta njia ya kuangusha nguvu hyo Asante mtumishi umetufunungua ufahamu
@pastorannewanjira2 жыл бұрын
YESU ANAUWEZO MKUU SANA MUNGU AKUJARIE MEMA YA INCHI MAN OF GOD
@annak67382 жыл бұрын
Mchungaji Katekela nakuombea sana Mungu Baba Wa Mbinguni Akulinde wewe na familia yako.Maana umefichua siri nyingi za shetani, umetusaidia sana kujua mbinu nyingi za shetani, Mungu Akutunze Mtumishi.
@glorymwalukuta Жыл бұрын
Mungu anisaidie peke angu siwez ila nmeamka nimepata hasira ya kumtafuta Mungu kwa bidiiiiiii Sana hata kwa shida na kwa Raha
@enockngaina9 ай бұрын
Amina ubarikiwe mchungaji
@fikirimwakibibi93832 жыл бұрын
kanisa la leo Mungu atutetee,Mungu akulinde mtumishi
@nazalenamalinga19222 жыл бұрын
Ahsante kwa kutufunulia haya mtumishi wa Mungu
@christinemwakio78702 жыл бұрын
Thank you God bless you so much , following and getting something wokovu na kukombolewa si mchezo lazima tujilinde na vipawa tulivyo pewa.. mungu awabariki watumishi wahusika wote wanao funua siri hizi.... following pro- movers from kenya
@gwantwajoseph55642 жыл бұрын
MUNGU akulinde mtumishi umetumwa kuliokoa kanisa
@heritier51192 жыл бұрын
Shetani kapata Sana hasara kumpoteza Mch katekela. Maana ameeleza deep Sana kuhusu ulimwengu wa giza
@annaombay9417 Жыл бұрын
Mchg unakuza kiwango cha imani yangu. Asante
@doricesanga97832 жыл бұрын
Maneno yako ni Amina na kweli, barikiwa mtumishi wa Mungu alie hai
@milkamalavaga10022 жыл бұрын
Amina baba imeniongezea kitu kikubwa sana Mungu akubalik sana
@romainebashizi76382 жыл бұрын
Mungu akutiye nguvu na akulinde mtumishi wa Bwana. Una neema kubwa sana. Zidi na kukesha.
@florencendatila91832 жыл бұрын
Amina tunaomba uandae vitabu mtumishi
@rithasimoni62122 жыл бұрын
Bwana yesu mnazalet atasaidie Mana bila yeye sizani Kama tutafika kwakweli mungu atuokoe Sana atulehemu sana
@juliennengema Жыл бұрын
Mungu akusaidie sana Uwe na mwicho mu zuri
@VerisMwani5 ай бұрын
Sawa mutumi ubalikiwi na mungu akumie viwango vya juu sana
@dnaofgodtv48732 жыл бұрын
HUWEZI KUMSHINDA ADUI USIYEMJUA. MFUNUE NA MAWAKALA WAKE TUMGONGE VZR, THANKS!
@AgnesKalinga-if3uf Жыл бұрын
.....Mungu akutunze Amiel!.......yaliyokuwa yamefichika leo yako wazi kabisaaaa
@kigomamaranathagospelchoir26426 ай бұрын
Amen ubarikiwe Pastor
@obadiajonas98892 жыл бұрын
Mungu mwema sana na bado watakuja kuokoka wengi.watafunguliwa wengi huko.
@modricktysontengo7679 Жыл бұрын
Ahsante kwa ushuhuda najifunza kitu
@thobiasleonard56582 жыл бұрын
Msiogope enyi kundi dogo.Mungu hata tuacha kabisa Wala kutupungukia kabisa.Amina.
@ShukranSolomonАй бұрын
God bless you if your truther
@MAIKOMODEST-gw3go2 ай бұрын
Ubalikiwe sana
@festomhongole98732 жыл бұрын
Asante mchungaji
@evelynekomba7216 Жыл бұрын
Chanzo cha wokovu wangu, na kumtii Mungu kwa kiwango cha tofauti
@sophiamakani61332 жыл бұрын
Asante YESU kwa ufahamu huu
@ellymwakapyanila70632 жыл бұрын
Ubarikiwe utakuwa salama kwa jina LA Yesu aliyehai
@leahenockmrina53812 жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu kwa ufunuo na somo hilo
@johnyohana24572 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa roho ya ujasiri
@francismussa5690Ай бұрын
Hakika Mungu ana makusudi na kanisa lake
@neemakamgisha29512 жыл бұрын
Mungu akulinde Rafiki wa Yesu
@KagalukiluthaLivinus Жыл бұрын
kweri mungu akubaliki shea namba nikupingie
@annak67382 жыл бұрын
Mchungaji Amiel Mungu Akubariki sana kwa Ushuhuda wako.Mimi Nakuomba Uandike Vitabu vya Ushuhuda wako ili utusaidie sisi na watoto wetu na wajukuu wetu.Mungu Awabariki sana pamoja na Jactan.
@gracendola7195 Жыл бұрын
Kaaaabisaaa
@lovenesswalter66502 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@happinessmgonja8573 Жыл бұрын
Mchungaji Amiel uje Muheza Tanga wachawi ni wengi mnooo,wameniloga sana na ndugu yanguu
@anithailomo87032 жыл бұрын
Mungu azidi kukupigania mtumishi wa Mungu ili tupone
@annehaysanday92142 жыл бұрын
Mungu akulinde mtumishi wa Mungu
@johnyohana24572 жыл бұрын
Ubarikiwe
@simonkaumba70302 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Sasa ningependa kujuwa nikanisagani ambalo lanawasumbuwa washieiki wakuzimu?
@HarkAgrochemicals8 ай бұрын
Barikiwa sana
@chrizostomangelo81402 жыл бұрын
Aiseee nimejifunza sana maana naona pasta wangu anapenda sana mambo ya mizaha sana.
@yesuanikumbukejanuary8363 Жыл бұрын
Nikweli mizaha yoyote haipendezi.
@samwelimweta77472 жыл бұрын
Asante Kwa ushuhuda nina swali je? Tunawezaje? Kuondoa wachawi vipofu na wengineo bila kuliharibu kanisa??
@lovenesswalter66502 жыл бұрын
Katekela ubarikiwe sana
@chantalnyankiye6159 Жыл бұрын
Barikiwa kaka bwana aendeelee kuku jaza nguvu😂
@lucaslabowa50542 жыл бұрын
Umenena vema KUHUSU GWAJIMA endelee na kazi
@lovenesswalter66502 жыл бұрын
Watumish Mbarikiwe sana
@lucilaaloyce60602 жыл бұрын
Mungu atusaidie
@AKIMANAAfsa-ki3vk Жыл бұрын
Naomba ni kuongereche Bwana yesu asifiwe nachukuru Utanipigiya simu ama uyingiye yutibe ama Watsape nikonachida ya wuchawi mungu umewumiya nimerogwa jini Mahaba
@daudsimon14882 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa ushuhuda mzur
@GeorgePetro-o6c Жыл бұрын
Mungu akubariki.
@annahalex84532 жыл бұрын
Jamani si umkutanishe na gwajima walau mkae ikiwezekana mfanye kazi pamoja
@annkim26902 жыл бұрын
Gwajima hashishiki ako busy kuruka yani hapatikani
@chrismassawe29392 жыл бұрын
Wote ni wale wale
@annkim26902 жыл бұрын
@@chrismassawe2939 meaning ya wale wale ndio???
@EvaSimon-g4v29 күн бұрын
@@annkim2690poleee
@JaclineGoglas7 ай бұрын
Mungu akulide na mabaya yote baba
@frankjohn87062 жыл бұрын
YESU Mwenyewe kasema milango ya kuzimu haitalishinda kanisa lake sasa hata kuwe na mbinu elfunyingi ni Bure tu
@rosedamiankabesa5092 Жыл бұрын
Ee Mungu wa mbinguni tusaidie kwa rehema zako,ili tukutafute wewe Mungu wa kweli kwa bidii zote,ndiyo namna pekee tunaweza kushinda.
@obedcosmas1649 Жыл бұрын
AMEN
@leahbhoke87182 жыл бұрын
Bwana Yesu tusaidie
@priscamwanza8197 Жыл бұрын
Asante Sana bro
@jacklinenasongo515 Жыл бұрын
Ukweli
@bonifasemmanuel47002 жыл бұрын
Mchungajii ubalikiwe,ukija Kigoma unijulishe,
@israelfavour40392 жыл бұрын
I could like to meet him .Is he in Tanzania the Men of God
@israelfavour40392 жыл бұрын
More grace Men of God
@pizzaboy36402 жыл бұрын
AMENI MUNGU AKUBARIKI SANA MT WA MUNGU NIMEKUSIKILIZA NA KUKUELELEWE KWA UMAKINI SANA
@marrymwinuka94942 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi Kwa ushuhuda Mungu aliye hai akutumie
@hedayarachelsamila48692 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi Amiel.Mungu aendelee kukutunza. Naomba namba ya simu ya mch.Amiel plz
@samwelimweta77472 жыл бұрын
Je? Nawezaje kushinda kwenye uchumi ambapo vitu vingi nafanya lakini havikamiliki
@israelfavour40392 жыл бұрын
Deep Revelation
@RoshaniLifeStyle2 жыл бұрын
Amen! Protect your SALVATION1! Stop sinning snd live a holy life. Putting on the full armor of GOD. AMEN N AMEN!! GOD bless you all Promover TV!
@janettendayisenga47862 жыл бұрын
YESU kristo atusaidiye tuwe watu wa maombi Pia roho mtatakatifu atuongoze
@obedcosmas1649 Жыл бұрын
Amen
@lilymwasi1221 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@marionoti5760 Жыл бұрын
Wewe mwenyewe unayoongea hayana ukweli ni hadithi za kufikirika, ni mwongo kuliko shetani. Nenda kaongope kwenu Kongo. Unavyosema umembinafshisha mungu, amekuwa mali yako. Kristu yu Hai ni wetu sote. Unayemhubiri wewe ni mungu mtafuta pesa, zaidi ya Yuda Eskarioti.
@agnesjohn3125 Жыл бұрын
Hii ni Mbinu namba 5 shetani anatumia kuharibu kanisa unatumika mtumish😄😄😄.si tunajua Kuna MUNGU si Mungu.
@EvaSimon-g4v29 күн бұрын
Pole sana sana Bwana na akukemeee
@israelfavour40392 жыл бұрын
Am watching from Nairobi Kenya
@user-oi5tw8zi2f Жыл бұрын
Nimeipenda majibu yako Kwa kujibu na kuongozwa na Roho mtakatifu
@luambanotv93572 жыл бұрын
Tunakuelewa Sana endelea
@stamilinchimbi65472 жыл бұрын
mbarikiwe Sanaa watumish
@amanisaa14262 жыл бұрын
Naomba link ya kujiunga kwa group ya much.katekela
@ayubu_tv2 жыл бұрын
Amina!!
@florencebalongo69572 жыл бұрын
Swali langu: Kama kanisa lilivamiwa likagawanyika, Mchungaji akatoka kwa hasira akafungua lingine, na wengine wakabaki, Mimi Kama mshirika nafaa kufanya nn, kumfuata Mchungaji au kubakia hapo hapo au kukaa nyumbani au kwenda kanisa lingine?
@prophetajmazengo2 жыл бұрын
Shalom Mtumishi wa Mungu ,kanisa likigawanyika huwa ni kazi ya shetani unachopaswa kufanya ni kuomba amani ya Mungu iamue ndani yako
@luambanotv93572 жыл бұрын
Kuna mtu anahuduma NZURI lakini anasumbuliwa na anavutwa Sana na Roho ya uzinzi uchafu kutazama picha CHAFU JE NI mbinu gani na afanyeje ili nimsaidie rafiki yangu
@zawadichalale40472 жыл бұрын
@@luambanotv9357 anachotakiwa ni kuamua moyoni kuacha huku akimshirikisha MUNGU amsaidie kuacha maana si peke yetu hatuwezi jambo lolote tunahitaji msaada wa MUNGU akatae kw nguvu zote na ikiwezekana kuomba msaada kwa MUNGU kwa kufunga na kuomba
@mauwashomari81602 жыл бұрын
Mungu akulinde ili upate kufunuwa siri nyingi zakuzimu
@shadraachshadinho61592 жыл бұрын
Be blessed man of God
@victoriamatoto24322 жыл бұрын
Jamani mbona Kama nikanisani kwangu,namba mbili nikanisani kwangu kabisa Mungu nitetee
@anyesileifu-bs1fy Жыл бұрын
Utukufu unaYESU aliyekuchomoa huko kwa ajili ya kutufundisha watu wake kua adui yetu anambinu gani ili tuweze kumushinda
@LeticiaMwalongo-qc8hb Жыл бұрын
Nawezaje kujitambua kama Mimi nina nguvu ya Mungu au nina nguvu ya shetani katika maono ninayoona nikilala usiku???