JAMAA ALIYEJIREKODI AKICHOMA PICHA YA RAIS SAMIA NA KUMTUKANA, RC AAGIZA "NATOA MASAA 24 ASAKWE"

  Рет қаралды 30,116

Wasafi Media

Wasafi Media

9 күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 154
@mudrickkisinda1515
@mudrickkisinda1515 7 күн бұрын
Mimi najua watanzania wengi tunatamani kufanya hivi sema uoga tu😂
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 8 күн бұрын
Mwenyezi Mungu anatukanwa mchana kweupe hatujawahi kuona kiongozi yyte wa serikal akitoa kauli km hii au Samia na Mungu Samia ni Bora kuliko Muumba
@RamadhaniMadanga-ne7jk
@RamadhaniMadanga-ne7jk 8 күн бұрын
Bongo Kuna uhuru wakusifu tuuu kupinga nakukashifu hakuna
@MwanahamisHassan
@MwanahamisHassan 8 күн бұрын
​@@RamadhaniMadanga-ne7jkmbona mungu alitukanwa
@user-sr6tr7ko7w
@user-sr6tr7ko7w 8 күн бұрын
Hawatusaidii Sisi ndo tunawasaidia, tunawalipa mshahara, mnakula bule, mnajisaidia bule hizo zote ni nguvu zetu, mnakula jasho letu na bado mnaiba jasho letu, inauma Sana.
@MPOYOLAFILMS
@MPOYOLAFILMS 8 күн бұрын
Hahahaha kudadeki wew huogopi...
@thomasgabriel588
@thomasgabriel588 8 күн бұрын
Acha kujipendekeza kila raia ana uhuru WA kutoa maoni yake Muulize ruto Sioni kosa lake natamani ungemwita muulize kwnn ulichoma picha naje unahisi serikali ifanye nnn sio kumkamata
@user-pq8xh2oo6x
@user-pq8xh2oo6x 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MwanahamisHassan
@MwanahamisHassan 8 күн бұрын
Alitukanwa mungu na aliyetukana ni afande sele mbona serikali hamkufanya kitu Kwa sababu ni mungu ndio maana hamsemi lkn samia ndio mwajiona Kimbelembele kusema huyo MTU ashikiliwe hii sio Hakii kabisa na huu ni ukatili wa kiimani kabisa serikali mnavyofanya sio haki mwacheni MTU aseme anachokitaka. ( Every citizen has a right to do what he or she wants at any time or any place)
@user-pf9rk6jp4f
@user-pf9rk6jp4f 7 күн бұрын
Kumamae zenu na serikali yenu ya mama samia ya kikuma
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 8 күн бұрын
Acha ujinga samai mama kwa wanae sio Mimi Wala ww ndio hata ww ukipata tatizo huwezi kumuona au kuja kukuona kwakua ww sio mama ako
@commandorsrlo175
@commandorsrlo175 8 күн бұрын
Asakwe kivp haliyakua ana ongea ukweli
@johnonyango6069
@johnonyango6069 8 күн бұрын
Freedom of speech and expression my friend. Wewee ndio ukona umbeya
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 8 күн бұрын
Kutunwa jambo ra kawaida Kuna kazi nyingi za kutusaidia wananchi anatukanwa mungu hamuongei kwakua mungu hatoi ajira na pesa
@CharlesMasila-nn3kg
@CharlesMasila-nn3kg 8 күн бұрын
Nyinyi mko nyuma sana,,😂😂😂 yaani mtu hawezi akatofautiana na rahisi wenu
@ElishaZachariaEmmanuel
@ElishaZachariaEmmanuel 6 күн бұрын
Mama mzazi nchi hii😂😢😢
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 8 күн бұрын
Mim binafsi samia sio mama yangu wala sio shangazi yangu.....huyo mchoma picha ameonesha jinsi gani raia wamemchoka huyo mama yenu
@fadhilinyongole18
@fadhilinyongole18 8 күн бұрын
Kabisa
@user-cv4yx4uf8u
@user-cv4yx4uf8u 7 күн бұрын
Mnamuonea tu kumkamata picha kitu Gani nanyie serekali mnayoo tufanyia Yana uzur gan bwana ,mtu anaongea ukweli tu nyie vipi mnazingua tz Bora tuwe kama Kenya tu
@user-zj6hp6ju3w
@user-zj6hp6ju3w 8 күн бұрын
Mambo ayo yamepitwa na wakati,
@StanyOfficiol
@StanyOfficiol 8 күн бұрын
Kwani. Mama samia ni mungu mama sio mungu ni mtu tu na ukisema kakashf basi ameshindwa kuongea kilichokera kuhusu mama ndo maana kafanya action hiyo sasa mfanyakazi wangu hawezi kuogopwa akikera anaambiwa je ni wapi sauti za maskini zitamfikia au ni shobo we mkuu ambaye nawe unalipwa mshahara kwa kupitia kodi zetu
@KinggureyAlii
@KinggureyAlii 7 күн бұрын
This guys hutuambia eti kenya.. ooh.. kenya.. eehh 😂
@jeremiaholesingooi3940
@jeremiaholesingooi3940 8 күн бұрын
Kama hataki kutukanwa angekaa nyumbani na bwana yake juu ako kazi yetu na sisi ndo mabosi wake Tanzania wananchi mjue haki yenu kaa raia
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 8 күн бұрын
Muwasake hata wanao uuza lasilimali za inchi yetu na wanaovunja katiba
@khamisibro2106
@khamisibro2106 8 күн бұрын
Musitariju kufanya kitu kama icho tena...tanzania sio 🇰🇪
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 8 күн бұрын
Acha ushamba mama hajaanza kusemwa vibaya leo wala jana... Ni maraisi wote na jambo la kawaida tu.... Unaweza kuona ni jambo jema kumbe ndio kuanzisha tatizo
@fxmeddy9567
@fxmeddy9567 8 күн бұрын
Huyo samia ndo mungu wenu???
@user-tt9bp2id5p
@user-tt9bp2id5p 7 күн бұрын
Uyo samia ivi ni nan mbna simjui
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 8 күн бұрын
...kumukamata si busara itachochea mengi....
@abdulmagido5444
@abdulmagido5444 8 күн бұрын
Nyinyi viongozi mnakuwa na jazba sana akili fupi tu wewe ndio kama unataka kutengeneza hili jambo lisambae na kutengeneza mada hakuna utalatibu mwingine wa busara wa kuchukuwa hii hali ya ukhanisi inazidi kiasi watu wanaogopa kupeleka watoto wao kwenye boarding school ww mwanambeya umechukuwa hatua gani ww unataka kutia kuni kwenye moto
@user-it2tr7ny8d
@user-it2tr7ny8d 8 күн бұрын
Msengeee www
@user-sp2pp9yl8g
@user-sp2pp9yl8g 5 күн бұрын
KIJANA HUYO INAONYESHWA NIMFUASI WA CHADEMA UCHOCHEZI WA MBOE NA LISU UMEMUINGIA NAHUKU MIKOANI WAPO WAMESIMIA KATIKA ITKADI YA UDINI NA UTANGANYIKA
@SaidKipe-zm8wt
@SaidKipe-zm8wt 8 күн бұрын
Toka zako ww ukweli. Usisemwe
@jumagora3462
@jumagora3462 5 күн бұрын
Mm kama mwana jamii mwenye haki za nchi niraiya wa nchi narejea hata kama agekuwa sio rais apewe haki yake ya kuzalilisha tu kisheria kisheria
@agustinoezekiel
@agustinoezekiel 8 күн бұрын
Aiseeee
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 7 күн бұрын
Kumtia hatiani ni ngumu sana sana maana hajavunja sheria...! Hiyo picha ya samia, ni picha ya kawaida tu na siyo nembo ya taifa. Lakini, anapokuwanayo,, anakuwa anaimiliki kama personal property yake, so anaweza kuichana tu au kuichoma... lakini, kamkosoa Mama... tu, hajamtukana matusi ya nguoni.... HUYO JAMAA, LABDA SHERIA ISITENDE HAKI...IKITENDA HAKI, HAWEZI FUNGWA KABISA.
@ipepeetube449
@ipepeetube449 8 күн бұрын
HakiaMungu ngoja ninyamaze tu
@DanielMwasi-cq2rg
@DanielMwasi-cq2rg 6 күн бұрын
Hakuna aliyeongea ukweli akabaki salama
@noahchepe8036
@noahchepe8036 4 күн бұрын
Sio kumkashif😂 watu wanatoa ya moyoni yanayowatesa
@user-fc3og1eo3x
@user-fc3og1eo3x 7 күн бұрын
Kivp Sasa
@GodsonAyo
@GodsonAyo 7 күн бұрын
Hii nguvu polisi wanayoitumia wangetumia kutafuta jambazi Lilo muua dreva bajaji ar
@MohamediKalanje
@MohamediKalanje 8 күн бұрын
No comments
@Bendouble
@Bendouble 7 күн бұрын
Huyu mkuu wa mkoa ye yuko china amepoa ,mama anadhalilishwa huku
@xfamefatetv
@xfamefatetv 8 күн бұрын
Itakuwa Amekua divorced na empowered women😭 MSAMEHEE #Mama #Raisi #Samia #ccm
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw 3 күн бұрын
Kazigan wanafanya kupandisha bei tuu
@user-tt9bp2id5p
@user-tt9bp2id5p 7 күн бұрын
Achen miyeyusho mbona jamaa amefanya good baada apewe pongez mnamkamata
@user-sr8tc8ke6q
@user-sr8tc8ke6q 8 күн бұрын
Akiripoti kutoka China huyu ni Juma Homera
@romanambelle6356
@romanambelle6356 8 күн бұрын
Jamani😂
@harithrashid5314
@harithrashid5314 7 күн бұрын
Akamatwe kwani kavunja sheria gani?
@isamony58
@isamony58 8 күн бұрын
Bado siku chache mtakuja vijijini kutuomba kura tutakutana ukoo tumewachoka sana itakuwa kama Kenya sasa
@hassanmuhidin871
@hassanmuhidin871 6 күн бұрын
Kura yako haisaidii kitu raisi anakua tayari amechaguliwa😂😂😂😂
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 Күн бұрын
​@@hassanmuhidin871utashangaa atavyochekechwa na kura! Kuiba hatowezekana
@user-yt9zf6xd8n
@user-yt9zf6xd8n 8 күн бұрын
Huyo kijana maisha yanemshida mtaani alitaka kila vya bure
@user-ky9ft1bd1m
@user-ky9ft1bd1m 8 күн бұрын
Na ww ni msenge
@MrLee-xl4kf
@MrLee-xl4kf 8 күн бұрын
😂
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 8 күн бұрын
Nimecheka😅😅
@KikwaleRashid
@KikwaleRashid 8 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@sethstiven3393
@sethstiven3393 4 күн бұрын
Uongozi wenu mubovu tunalilia moyoni IPO siku tutakiwasha msituchagulie watu wa ovyo
@yanawezekana9429
@yanawezekana9429 6 күн бұрын
KIJIJI ULICHOKISEMA MKUU WA MKOA SIO ALICHOKITAMKA KUWA YUPO. MIHEMUKO HIYO
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 8 күн бұрын
Huyo nae anavuta bangi
@vibes6446
@vibes6446 6 күн бұрын
Mkuu wa mkoa unaongea ukiwa wapi
@JeremiahNyunza-ov9ll
@JeremiahNyunza-ov9ll 7 күн бұрын
Kwanza hapo ulipo ni Mbeya naona upo mwanjelwa hapo..
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 8 күн бұрын
R.i.p JPM Mwamba kweli kweli
@Sahlomon-jp4jr
@Sahlomon-jp4jr 8 күн бұрын
Mama'e, na Bado mtahaha sana.
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 7 күн бұрын
Mkuu fanya kazi yako kwani asiefunza na mamae hufunzwa na ulimwengu lakini huenda ni mwenda wazimu mumchunguze
@ashamkesa979
@ashamkesa979 8 күн бұрын
Nikweli asakwe na nahatua zichukuliwe dhidi yake asijifanye Genz
@YangaNews
@YangaNews 8 күн бұрын
Nyie endeleeni siku tukichoka na mateso yenu mtatukoma mtahama nyumba zenu mkakae porini
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 8 күн бұрын
Mnafiki ww ulisake kwanza domo la jeiz lililokua linatoa Siri za ikulu maana Hilo ndilo kubwa ubabe ni WA muda Mungu wa milele
@user-dz5jc6pp8e
@user-dz5jc6pp8e 8 күн бұрын
Wanashindwa kuwakata wanao iba mabillioni ya hela serikalini wana kazi wa kuwanyanyasa wanannchi kwanza hapo alipo sio tanzania' fanya maendeleo ya mbeya kazi uliyopewa sio kazi yako hiyo ni ya polisi
@jamesnyamila2165
@jamesnyamila2165 8 күн бұрын
Ukweli unaongelewa Tanzania, maelekezo ya kumtafuta muongea ukweli yanakoka China
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 8 күн бұрын
hakuna maoni ya kumtukana raisi,tusisababishe vurugu na ukosefu wa heshima kwa kisingizio cha kutoa maoni!! kwanza kuchoma picha ya raisi ni kosa kisheria!!
@BashirMatola
@BashirMatola 8 күн бұрын
Kumtukana kiongozi wa nchi ni kosa kubwa kuna njia nyingi za kufikisha malalamiko achukuliwe atua kali sana huyo ni muovu akamatwe
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 8 күн бұрын
Mkuu wa Mko mwenyewe anatoa maelekezo huku ayuko eneo lake la kazi, Anatoa maelekezo yuko China, Hii nchi bhana
@davideditz2049
@davideditz2049 8 күн бұрын
Fanyeni kazi za maana kutukanwa kupo
@LeonGregory-nz6ob
@LeonGregory-nz6ob 8 күн бұрын
Tanzania hao viongoz sisi tumepiga kura wengine wameingia bila sera tuliyemchagua alikuwa na sera tofaut kwan rais ni mfamle au malikia mbona viongoz wengi wamesemwa
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 8 күн бұрын
Wakimalizana na huyo sheria itayotumika kumshtaki naomba itiliwe mkazo sana manake matusi mtaani imekuwa jambo la kawaida aswa kwa makonda wa dala dala na vijana wengi muda mwingine utumia tusikama sehemu ya kusifia lakini si tabia njema..
@modestcomred9500
@modestcomred9500 8 күн бұрын
Hinyi sio kabisa oo akamatwemara moja yani mamboyamsingi mnashindwa kuyafuatilia mnafatilia upuuzi inatakiwa ujiulize kwa nini Kadanya hivi tafuta sababu ila kauliyake nikwamba yupo upande wa 👹👹👹
@stevenialbert5033
@stevenialbert5033 8 күн бұрын
Huyu raisi mpendwa rushwa atumtak kauza nchi ytu na ndugu zake wakin kikwete cmpendi huyu mama bc tu
@Sahlomon-jp4jr
@Sahlomon-jp4jr 8 күн бұрын
Mjinga km wewe usipompenda unampunguzia nini'?!!! Bado yupo sana minduku wakubwa nyie na udini wenu huo!
@obsonjulius312
@obsonjulius312 8 күн бұрын
Boss yuko China au naona vibaya? Sijapenda kitendo cha vijana kufikia hatua ya kuchukia hadi picha za viongozi.
@africanatvshow4521
@africanatvshow4521 8 күн бұрын
Mkuu wa Mkoa hana akili kabisa huyu .Kila mtu ako na Freedom of expression..Shida ya sisi watanzania tunajipendekeza sana na hawa politicians wengi ni slaves kwa watu wa nje ..
@hallin9561
@hallin9561 8 күн бұрын
Rais akifanya ushenz asifiwe, uyu mpuuz ajiuzuru tu hatumtaki
@johnshayo9635
@johnshayo9635 8 күн бұрын
Duh haya bhana ndo kazi ya polisi hiyo
@allybakari5791
@allybakari5791 8 күн бұрын
Sasa kama hawatusaidii Sisi tufanyeje
@nhztmemery4030
@nhztmemery4030 8 күн бұрын
Story ya kumtukana Rais watuachie wa Kenya 😅
@user-oo3ty2ll4k
@user-oo3ty2ll4k 8 күн бұрын
Ipo siku yenu TU. Tukichoka.
@arafahhh5574
@arafahhh5574 8 күн бұрын
Jipendekeza
@MbossoMbosso-rw4ox
@MbossoMbosso-rw4ox 8 күн бұрын
Na badooo Gen Zzzzzzzzzzzz
@KetonyMbedule
@KetonyMbedule 8 күн бұрын
Tanzania bhn ukisema ukwer tu ujue maisha yako yapo hatarini asa sijui uhuru wetu niwaviongoz tu au maana wananchi hawana uhuru wakuseme ukwer🤔🤔🤔
@user-cv4yx4uf8u
@user-cv4yx4uf8u 7 күн бұрын
Tatizo wabongo kumsifia mama ndio wanaona dili mama kizimkazi mm wananiboa kumsimfu mtu ambae Hana msaada wowote zaidi yakutuzingua tu na uongozi wake wa urith ,,mpaka mtu afe
@classicdenzmorlke
@classicdenzmorlke 8 күн бұрын
😂😅 Kenya hatuna. nidhamu kwel
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 8 күн бұрын
Eti mama ni mama yako yupo.acha tundu lisu hawanyooshe.jamaa kasha zinguliwa huyo.
@PriskusMhaka
@PriskusMhaka 8 күн бұрын
Akamatwe
@MrGoatAi
@MrGoatAi 8 күн бұрын
Nikiriport kutoka china nimimi mkuu 😅😅😅
@msafiriomary893
@msafiriomary893 5 күн бұрын
Kutusaidia kutuibia
@kingtiger4829
@kingtiger4829 8 күн бұрын
Uhu ndo udicteta Sasa
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 7 күн бұрын
Huyo rais wako kakupa ajira ndo maana unamtetea cc hatumtaki hata kumuona tukutane 2025
@tusanemheta8638
@tusanemheta8638 8 күн бұрын
Mungu tunusuru tutatekwa wengi kwa serikali hii ya nguvu nyingi kuliko_?
@user-cv4yx4uf8u
@user-cv4yx4uf8u 7 күн бұрын
Wacha watuteke ukweli uwafikie ,miyayusho tushachoka sasa
@kilelechaimani.8956
@kilelechaimani.8956 6 күн бұрын
Viongoz wanatusaidia,je kama hawatusaidia tuendelee kuwasifia?huyu nae mkuu wa mkoa zwazwa tu kaweka tambi lake mbele analinda ugali.
@richardtom38
@richardtom38 8 күн бұрын
Wewe upo china umeacha kazi mbeya unazan atujui
@hassanmuhidin871
@hassanmuhidin871 6 күн бұрын
Akamatwe haraka asituletee ujinga wa kikenya hapa tz
@MariamKhalid-ub9jj
@MariamKhalid-ub9jj 5 күн бұрын
Ujinga wa kikenya ni upi??? Wananchi kupigania haki zao?? Skia mjinga ni ww tena mjinga wa kutupwa... useless 😏😏
@wahshiy-dizzier-nm5rx
@wahshiy-dizzier-nm5rx 8 күн бұрын
Nilijua tuu atatafutwa
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m 8 күн бұрын
Uko china unakula kodi
@Lameckmichael-h2m
@Lameckmichael-h2m 8 күн бұрын
Ukiona hivo ujue kunamambo hayaendisawa kwaraia unakamata ili iweje kwani rais ni MUNGU?
@charackally8846
@charackally8846 8 күн бұрын
Vijana wa Tanzania asilimia kubwa ni wajinga sn, Na hawajuwi wanachokifanya, yaani kuna mtu anatetea ujinga wa huyu kijana, eti ni sw, hebu jaalia kwamba rais samia ni km mama yako mzazi alafu anafanyiwa ivyo, ungepokeaje Na ungejihisije?, Hakuna alokatazwa kutoa maoni yake ila kwa utaratibu Na uungwana Na sio kwa kuvunjiana heshima, huyu kijana sijuwi anatoka familia gani ila hichi anachokifanya ni matokeo ya malezi ya wazazi wake ambayo wamempatia, Na sijuwi dini gani, maana dini zote zinakataza kumvunjia mtu heshima yake.
@AbubakaryOmary-qw5dk
@AbubakaryOmary-qw5dk 8 күн бұрын
Watu wamechoka hakuna Cha heshima
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 7 күн бұрын
​@AbubakaryOmry-qw5dk umechoka wewe Fala usiyetaka kufanya kazi unasubiri serikali ikupe vya bure nyau wewe
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 6 күн бұрын
@@walidmgonja3644Najua wewe ni shoga unapata pesa kirahisi,sasa acha wanaume wa kazi walalamike maama wanafanya ngumu,we umeshaolewa tayari 👙
@user-ib2ew9ec3d
@user-ib2ew9ec3d 8 күн бұрын
Hii nji yaamani kwann mnaenda kumkamata msimuulize kwann umefanya ivyo mimi mwenyewe simpendi uyo samia kiujumla viongoc wetu hawajitambui
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 8 күн бұрын
Mimi naona nchi haina amani ila inatulivu
@user-ib2ew9ec3d
@user-ib2ew9ec3d 8 күн бұрын
Tumejaswa ujinga kila upande kwa wananji
@hendricaoduba6028
@hendricaoduba6028 8 күн бұрын
Waah, kwani wabongo hawana uhuru wa kuongea?
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 7 күн бұрын
Utaongelea wapi kwa sababu rais amekuwa mungu anasujudiwa mnooo
@mrsmussa
@mrsmussa 8 күн бұрын
Just a picture, get over it
@NikiMaliki
@NikiMaliki 8 күн бұрын
Ukiongea kutoka china 😂 au wap
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 күн бұрын
Tabia mbaya, Hana adabu kwa Wote tunaojiheshimu 😢
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 7 күн бұрын
Adab ya kwake yeye
@YassirMohd-i7b
@YassirMohd-i7b 8 күн бұрын
Nyie wabongo mnamchukia mama samia kwa kua mzanzibar t
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 7 күн бұрын
Wala. Hana lolote analofanya. Tunagombania public transport yeye anaishi kama mfalmw hii ni ujinga. Na wala siungi mkono
@SalimSalimu-z5c
@SalimSalimu-z5c 8 күн бұрын
Nani Kama mama😂
@knight6757
@knight6757 8 күн бұрын
😮
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 8 күн бұрын
Muacheni
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 7 күн бұрын
Mavi yako chawa ww
@DeusNkunga
@DeusNkunga 8 күн бұрын
You're too emotional, Sir. Calm down!
ALICHOSEMA ALIYECHOMA PICHA YA RAIS SAMIA AFUNGUKA MAHAKAMANI
3:48
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 39 МЛН
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 51 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 12 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 48 МЛН
KALONZO KUVITUUKANA NA RAILA NA KUMWENDA PRESIDENT RUTO ENUKE
4:44
Mutongoi TV / FM Official
Рет қаралды 1,1 М.
TAZAMA SHOW YA ELIUD MBEYA, (PART 2)
13:55
Eliud Samwel
Рет қаралды 83 М.
Такого они не видели😱😍
0:55
Следы времени
Рет қаралды 3,5 МЛН
Just a joke 😂
0:11
ARGEN
Рет қаралды 4,4 МЛН
رورو ضد رقيه🔫😲🚀 #shorts
0:13
رورو فاميلي | Roro Family
Рет қаралды 32 МЛН
100❤️
0:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 6 МЛН
ЭТО САМЫЕ ОПАСНЫЕ ШАРИКИ В МИРЕ!! #shorts
0:22
My cat mastered black magic #cat #cats
0:23
Princess Nika cat
Рет қаралды 38 МЛН