ALICHOSEMA ALIYECHOMA PICHA YA RAIS SAMIA AFUNGUKA MAHAKAMANI

  Рет қаралды 46,006

Wasafi Media

Wasafi Media

24 күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 164
@IssaIssa-wc6nm
@IssaIssa-wc6nm 23 күн бұрын
Muda mungine viherehere mpunguze kwani muhusika mwenyewe aliechomewa picha anasemaje ama ndoshobo zenu tu ...
@nugwiziwe7577
@nugwiziwe7577 23 күн бұрын
😂😂😂😂
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 21 күн бұрын
Yaani hakika ndugu mwenyewe kakaa katulia zakeee
@abdulyabdunuru1476
@abdulyabdunuru1476 20 күн бұрын
😂😂wabongo wanafiki sana yaani yaani ukiwa na pesa au nguvu unaweza hata lambwa **
@vitusjackson1354
@vitusjackson1354 22 күн бұрын
Acheni uoga yeye anajua anachofanya ,moyo ukichoka unafanya chochote
@lilangasayi1689
@lilangasayi1689 23 күн бұрын
Hakunaga mtangazaji msenge msenge km hilo zembwela mshaambiwa na warioba acheni uchawa mbwa nyie
@efronaaron6772
@efronaaron6772 20 күн бұрын
😂😂
@officialaziry3305
@officialaziry3305 18 күн бұрын
😂😢😂😂
@mujwasteven
@mujwasteven 10 күн бұрын
@@officialaziry3305 😂
@Alfred-b9i
@Alfred-b9i 18 күн бұрын
Asanteni mliomchangia hakika nimeiyona nguvu ya umma
@bushbabytz
@bushbabytz 20 күн бұрын
NA TUMEMTOA KWA KUMCHANGIA HAMUWEZI SHINDA NGUVU ZA UMMA,
@Mapyatv
@Mapyatv 22 күн бұрын
boya kwer watangazaj wote😅
@OscarLucars
@OscarLucars 21 күн бұрын
Dah!! Na ndo maana MUNGU atabaki kua MUNGU mpaka Dunia ya mwisho binadam Wana choma mpaka vitabu vyake vitakatifu na Bado MUNGU anawapa neema lkn Leo kijana anachoma picha ya mtu kama watu wengine lakin analionja joto la jiwe aah!!
@Fred-Ma
@Fred-Ma 21 күн бұрын
Mmmmh ashalipiwa na wadau
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 19 күн бұрын
Huku ulaya kiongozi anafanywa kila aina ya cartoon kwenye magazeti na mabango choma hata mia watu wapo busy na maisha yao sijaliona kosa kwani huyo mama Samia kaungua wapi huo si ushindani wa vyama tu
@Iddi-xw7vw
@Iddi-xw7vw 15 күн бұрын
wazushi. uyo ndio kidume kaonesha hisia zake.
@LeonardEdward-fb2bn
@LeonardEdward-fb2bn 23 күн бұрын
Huyu sio ndugu yake na mboneke huyu??😂
@user-uy8cw3zc4b
@user-uy8cw3zc4b 21 күн бұрын
Acheni uchawa kuna watu wamelipa hiyo pesa sasa tangazeni huo uchawa wenu
@jumabonge8577
@jumabonge8577 18 күн бұрын
wanyonge ndio wamejengewa magereza matajiri waache wale bata
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj 20 күн бұрын
Engekua raisi magufuli au huseni mwinyi engemsamehe
@shedrackshaibu1986
@shedrackshaibu1986 19 күн бұрын
Kwahiyo kama mwanaharakat tunafanyaje
@yetunewstz
@yetunewstz 22 күн бұрын
Ivi mnaona kinachoendelea kenya ? Watu wana sanamu la rais et Tz mtu kachoma picha anaenda jela... Hii nchi si ina sheria na katiba na uhuru wa mtu kumponga kiongozi yeyote ?? Watanzania ifike pahali tujielewe...
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 20 күн бұрын
Kweli mwenye maisha mazuri hawez jua ugumu wa asie na kazi. Kodi bei immepanda vyakula bei iko juu si bora uwende jela ukapunguze stress kulala bure kula bure mnajifanya hamuoni ugumu wa njaa😢
@amanimwisa1136
@amanimwisa1136 23 күн бұрын
Ntokela ni majeuli sana.
@jumagora3462
@jumagora3462 23 күн бұрын
Kama mwanaharakati au mpelezi kama katuma atajua huko huko tena anaakili timam uyo
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz 23 күн бұрын
Mmmhhh. Mungu utuhurumie. Hakika utuhurumie.
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 22 күн бұрын
Uchawa tu.Hizo m.5 zinaenda wapi.
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 23 күн бұрын
Si anaenda kula na kulala bure. Fresh tu! Akitoka ndio atasema .
@mahengepascal
@mahengepascal 20 күн бұрын
Kuna sheria gani kwamba ukichoma picha ya kiongozi ufungwe?machawa bhana mna taabu sana
@umdtv2749
@umdtv2749 22 күн бұрын
Saiz tunabidi tu comment kwa akili. Unawza ukajikuta na wew mwaka mmoja jela 😊😊😊😊.
@rahplenyengerahplenyenge722
@rahplenyengerahplenyenge722 23 күн бұрын
Kweli munawanyanyasa wat
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 19 күн бұрын
Kawani mama samia nani. Nchi imemshinda kazi kulea wezi na mafisadi ndio anachojua
@KelvinMushi-rp6vv
@KelvinMushi-rp6vv 20 күн бұрын
babu apo umetudanganya watu jela hawalali saa tisa bali saa 9 wanafungiwa shughuli nyingine za jela zinaendelea
@frankcharles3980
@frankcharles3980 5 күн бұрын
MITANGAZAJI KAMA HII MICHAWA INAHALIBU NCHI
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 18 күн бұрын
Nyie wasengee wasafii achenii uchawa machoko nyiinyiii ongeeni vitu vyaamana mbona watu wana choma vitabu vyaa dinii awakamatwiii laiya ame choka amna chamana kinachoendelea achani uchawa ongea enii vitu vyenyee umuimu kwa taifaaa
@msafiriomary893
@msafiriomary893 19 күн бұрын
Kwamza aritaka mpaka mahari aripo hyo ndio mbeya mzeee
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 20 күн бұрын
Jitambue nyie watangazaji ayawausuu Aya Kila mtu ana jitambue kwani yule ni kichaa angekuwa kichaa basi akimu nae angekuwa mjinga kuukum kichaa kumbuka kijana Alie moiga mzee mwinyi vipi ilo tukio mgekuwe kipindi icho simgefunga na TV yenu uchawa ni maradhi
@user-sx3ys1gs9p
@user-sx3ys1gs9p 20 күн бұрын
Sasa ajitetee Nini hapo au angekua ni zembwera yeye agejitetea nini
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 20 күн бұрын
Zembwela rudi tu ukachekeshe kijana ni msanii na kila afanyavyo jambo lina maana yake.
@MussaLuhwago-qi7xv
@MussaLuhwago-qi7xv 23 күн бұрын
Jamani hilo fulana mmesoma lakini
@user-tt9bp2id5p
@user-tt9bp2id5p 22 күн бұрын
Limeandikwa gari la mungu
@yudachelango6824
@yudachelango6824 17 күн бұрын
ZEMBWELA alikuwa mtu enzi hizo saivi amekuwa mswahili. Hamna kitu
@RamboDotto
@RamboDotto 19 күн бұрын
Unapokua muoga niwewe kunawatu wanakeleka hvyo wanaongea ya moyoni ndo maana mwamba anacheka 2
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 22 күн бұрын
Kwaiyo mwamba amefungwa aisee hii nchi hiii alafu hili li wasafii media Kwanza ngoja ni li unsubscribe kumbe Kuna mitangazaji haina akili kazi uchawa tu
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj 20 күн бұрын
Hahahaahaha😅😂😅
@michaeljoshua6292
@michaeljoshua6292 18 күн бұрын
Wamemfunga kwakosa gani ama kifungo namba gapi kimeadikwa eti ukichoma picha ya raisi afungwe tunataka watuambie
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 19 күн бұрын
Kwani hyo picha ya samia inasaidia nn au umbea hapo studio
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 20 күн бұрын
Tunawatangazaji wapuuzi sana ,nchi hii
@MaxCharles-wj5dg
@MaxCharles-wj5dg 21 күн бұрын
tz ujinga Kenya rais anakosolewa na haongei llt
@user-vq3zu8ne9b
@user-vq3zu8ne9b 20 күн бұрын
Washamba tu hawa, watangaji wa hivi badala ya kujadili kwann alifikia huko wanajadili upuuuzi
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 20 күн бұрын
Wanau eleweni kuwa jela pia ni mafunzo, hivyo mwenzetu alitamani akajifunze na yy kulivyo wana tritiwa vipi, kujua kama kule wanajali utu au la, akitoka atakuwa kashajua lipya kuhusu maisha ya jela
@RabihuHussein
@RabihuHussein 18 күн бұрын
Manyani a.k.a machawa yakiwa studio yanasifu na kuabudu.
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 23 күн бұрын
Kuchoma picha ndoufungwe wenzenu kenya uko ruto. Wanatukana ovyoovyo. Uonevu tu
@rashidalihamad7228
@rashidalihamad7228 22 күн бұрын
Wao sio sisi
@salimutwahiri3693
@salimutwahiri3693 21 күн бұрын
Sasa wewe kutukana unaona sio koso? Acha ujinga sisi watanzania sio wapumbavu kama wakenya,wanajisifu wamesoma ukiuliza wamesoma nn? Watakujibu wanaongea kingereza, nchi ya Kenya mirungi halali unategemea nn? Ndio kumtukana kiongozi kwa sababu akili imeondoka kwa mirungi.
@coastermahenge8910
@coastermahenge8910 10 күн бұрын
Zingatieni hata hiyo Sweta imeandikwa nn
@jastinedaudi-qi9vr
@jastinedaudi-qi9vr 22 күн бұрын
Atoe namb tumchangie bhn anaendaj jela kizemb hvyo
@DensonKaboneka
@DensonKaboneka 9 күн бұрын
Angepelekwa rehabu
@saitotingurumwa5457
@saitotingurumwa5457 23 күн бұрын
Ndio nendeni sasa mkamwone ndani ya wiki sasa
@fxmeddy9567
@fxmeddy9567 22 күн бұрын
Na hayo magazeti yenye picha ya Rais vipi tuyatunze tusichome ???? Samia kachomewa picha Mme funga kijana. Miezi iliyo pita Harmonize alisema Mungu ni mwanamke Hakuna Hata police iiliyomchukulia hatua. Kwa hio Samia ndio amekuwA Mungu???. Kijana kuchoma picha Hio ni personal issues huwezi kupendwa na kila mtu.
@user-ib2ew9ec3d
@user-ib2ew9ec3d 21 күн бұрын
Wanaona uyo Samia nibora kuliko mungu Yani wanamuogopa Samia kuliko mungu
@RamadhanAlly-cf7du
@RamadhanAlly-cf7du 21 күн бұрын
Hawajielew
@ottiefx255
@ottiefx255 20 күн бұрын
For sure
@mohamedmtenjera1990
@mohamedmtenjera1990 19 күн бұрын
Lakin mnajuwa san kufany comed ongeren san
@MartineShija
@MartineShija 22 күн бұрын
Utafikili amechoma nyumba ya m2
@mustafakimalio9129
@mustafakimalio9129 22 күн бұрын
Akumulikae mchana.....
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 19 күн бұрын
​@@mustafakimalio9129kwani mama Samia nani anatukanwa mungu atakuwa mama Samia mlea wezi na mafisadi. Ampishe makonda jembe mama Samia wa Nini mlea mafisadi mkubwa huyo
@Sxllxvio_wrld
@Sxllxvio_wrld 20 күн бұрын
Fear of God ❌️,car of god ✅️
@RechoMzava-gt7so
@RechoMzava-gt7so 19 күн бұрын
Kosa gani amekosea acheni umbea wanaume wazimaa mnachosha
@jonakajigili6991
@jonakajigili6991 19 күн бұрын
Wanahabari uchwaraaa
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl 23 күн бұрын
Huyo. Alikuwa. Anatafuta. Kick. Au. Alitumwa. Au. Akapimwe. Akili. Huenda. Bongo. Zozo
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 23 күн бұрын
Wewe unaweza KUWA NA ujasiri KAMA wa HUYU KIJANA?😂😂😂
@essiesammy6505
@essiesammy6505 21 күн бұрын
Tulizaaa korodaniii hizoo😅
@suleimanali2017
@suleimanali2017 20 күн бұрын
Huyu ana matatizo ya AKILI, apimwe afya Mirembe
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 11 күн бұрын
Endeleni kucheka mtakuja kuliya sana
@KimanguShemwaliko-ht2jr
@KimanguShemwaliko-ht2jr 20 күн бұрын
Tumeshamtoa gari la mungu,
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f 20 күн бұрын
Nyinyi njaa itawauwa
@user-nv4li8of1s
@user-nv4li8of1s 20 күн бұрын
Watu wanachochwa ndomaana wanaona kwalolote sawa tu
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 21 күн бұрын
Wewe Zembwela kumbe ndivyo ulivyo? Pumbavu sana wewe. Labda nikitukane chombo chako cha habari kwa tusi hilo. Chombo pumbavu sana cha habari. UCHAWA TU.
@alexzakariannko6803
@alexzakariannko6803 18 күн бұрын
😢😢.
@amirjuma9395
@amirjuma9395 20 күн бұрын
Raisi wangu muachie uyo aliechana picha kwani hakuna binadamu anaependwa na watu wote hata ungewafanyia wema kiasi gani kwaiyo kumsamehe nibora kwani Dunia siyetu tunapita tu uwenda Hilo la kumsamehe litakusaidia baada ya maisha haya ya Dunia mtume alimsamehe mtume kaukojolea msikiti mwingine alikua anajisaidia mlangoni kwake bado alimsamehe
@juliusmalunde9636
@juliusmalunde9636 20 күн бұрын
Ila wezi wa mabilioni ya pesa yanadunda tu mtaani
@samiramawby1257
@samiramawby1257 22 күн бұрын
Acha wachome picha,,sisi tunavunjiwa nyumba yeye anaona rahaaaa,,hivi Zanzibar ipo siku mtatupenda watanzania
@allysudi4429
@allysudi4429 19 күн бұрын
Nyie wadananda tu endeleeni kuchakulia poa mamaeehh
@ottiefx255
@ottiefx255 20 күн бұрын
Nimeamin bongo tuna wagonjwa wengi wa akili
@user-ms2kf3mf3q
@user-ms2kf3mf3q 20 күн бұрын
Samia wew ni muislam utakubali vip mtu aende selo kw ajili ya kunyoma picha wahukumu na mawaziri wako wanaoiba halafu nyinyi mandela aliuliwa jela yule alikuw kopi
@saadmoohd4200
@saadmoohd4200 18 күн бұрын
Kajikuhumu mwenyewe
@MbarakSoud
@MbarakSoud 20 күн бұрын
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua na serikali yetu imara alhaamdulilaah HUYOOO ni haki yake kuhukumiwa maana ANAA adabu huyooo kama katumwa wamemdanganya sana huyooo acheki usoni ANAA furaha moyoni panamuumaa waliomtuma wamemuongopea wamemdanganya JAMANI heshima ni kituuu kikubwaaa sanaaa na amaaani ni kitu kikubwa sana alhaamdulilaah na si kwenye mitandaoni wamemchangia milioni tano na nusu hhhhhhh fimbo ataionaaa huyooo na fundisho Kwa wengine hapo
@amotvtz1302
@amotvtz1302 23 күн бұрын
Zimbwela hauji
@zulfahaji91
@zulfahaji91 20 күн бұрын
Yaa jela mbona siku kidogo
@mohdkhalifa8828
@mohdkhalifa8828 20 күн бұрын
Hahahhaa😂 kweli kabsa hajawah kukaa ata selo maaaaaan izo secter ni nyengne kbsa hana anachokijua atulize cc
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 19 күн бұрын
😂😂😂nyie nao n machawa tu
@WilliamSairimo
@WilliamSairimo 23 күн бұрын
Wliilam sairimo
@nurunewz103
@nurunewz103 14 күн бұрын
Sijuhi kwanini nawasikiliza nyie!!!!!
@PugaWest
@PugaWest 20 күн бұрын
Yani kachoma picha kaenda jera tz bado sna 2na ukoroni mamboleo
@SaluMaige-sc8bm
@SaluMaige-sc8bm 16 күн бұрын
Shujaa we2
@-kagerayetubw9jx
@-kagerayetubw9jx 22 күн бұрын
Inamana saivi mtu akichoma picha yangu nina haki ya kumshitaki????
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 19 күн бұрын
MWACHE ACHEKE CHEKE TU, SIO PAZURI HUKO KUNA MENDE!! WATAMTAFUNA, AKITOKA KILANGA CHOTE KOMO... MAMMAEE 😂😂😂
@RaifaMbarouk
@RaifaMbarouk 21 күн бұрын
Isijekuwa akili kichwan mwake simepunguwa
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 20 күн бұрын
Waliomtuma jamani wakamtoe Dogo 😂
@user-di8ng1df6c
@user-di8ng1df6c 20 күн бұрын
Au ana matatizo ya akili?
@camilomassao8971
@camilomassao8971 21 күн бұрын
Bora mmejua…. Hali ilivyo siyo yenyewe…..
@user-gr9dd3cg8f
@user-gr9dd3cg8f 22 күн бұрын
Mpimeni akili kwanza
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 20 күн бұрын
NCHI YA KIPUMBAVU DEMOKRASIA IKO WAPI? KWANI KUCHOMA PICHA YA RAISI INAHUSIANA VIPI NA KUMFUNGA MTU? NCHI IMEOZA SHERIA HAZIFUATWI..KUMA LA MAMA YAKO MAMA SAMIA SULUHU
@MaugadoMaugado
@MaugadoMaugado 21 күн бұрын
Sio viherehere je hyu mtu alishawai kupimwa akil pia?
@KimanguShemwaliko-ht2jr
@KimanguShemwaliko-ht2jr 20 күн бұрын
Kachoma moja nyingine tunafungia chawa na mende
@JohnMakongo-tg3ms
@JohnMakongo-tg3ms 22 күн бұрын
Nyie hamna uzarendo hasa huyu mwenye baragarashia vitisho vingi juu ya mwanarakati haki ni haki juu usiongee akati ndani unaelewa jaamaa huyu kathubutu
@juliussamwel6606
@juliussamwel6606 21 күн бұрын
Sio busara kuchoma picha ya kiongozi.ni dharau kubwa mno ikiwa siyo tu busara mtu kuchoma picha ya jirani yake kuna mambo mengine watanzania tuyakemee
@lifardKombolela
@lifardKombolela 22 күн бұрын
nyie waandishi nipasuwa kichwa unajuwa zembwela leo ndo nakutowa umaana atamkiwa upande ccm aina zamana mtayatimba mungu niwetu sote
@alfredbyangwamu9821
@alfredbyangwamu9821 22 күн бұрын
PAMOJA NA KWAMBA ANAONEKANA NI MGONJWA WA AKILI!!! LAKINI MWACHE AENDE JERA AKAJIFUNZE KWANZA! LABDA ANAWEZA AKATOKA NA AKILI! AU NA ADABU INAYOWEZA IKAMSAIDIA MAISHANI!!! NA WAOVU WA JERA WASIWAPE RAHA!!! NDIYO MAANA WENGINE WANATOKA GEREZANI NA WANATAMANI KURUDI TENA GEREZANI!!!
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 19 күн бұрын
Huyo ni tariha hajui afanyalo . Ashukuru ŵalio mchangia angekoma kukaa makandana
@yudachelango6824
@yudachelango6824 17 күн бұрын
We ndo TAHIRA usiyejijua
@davkoofficial4179
@davkoofficial4179 23 күн бұрын
Mungu awasamehe ote Sasa Kwan kosa kubwa kafanya nn kuchoma pcha to watu si watakuwa wanaogopa ata kusema ukweli
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 23 күн бұрын
Bangi mbaya
@JuliusKanza
@JuliusKanza 18 күн бұрын
Stupi kitengeee
@user-ul2qg8ds6f
@user-ul2qg8ds6f 18 күн бұрын
Wanafiki wakubwa nyie Kwan mtu kusema ukweli ni shida hii nchi ya ajabu majiz yapo yanakula ela za uma hata hawaguswi
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 20 күн бұрын
Zembwela hajui.kitu...anaharibu..elimu ndogo
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 18 күн бұрын
Hakuwa na kosa
@user-bw5wj8dw5q
@user-bw5wj8dw5q 11 сағат бұрын
Nyie mmeshiba
@user-vk4mv8vs7c
@user-vk4mv8vs7c 18 күн бұрын
Anaonekana kama mgonjwa wa akili
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 791 М.
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
GiGaMoN! 5 🗿 #gigachad #sigma
0:53
The Logan Chitwood
Рет қаралды 5 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
0:17
Secret Vlog
Рет қаралды 9 МЛН
Rabbit doesn't know who hit her#Short #Officer Rabbit #angel
0:46
兔子警官
Рет қаралды 20 МЛН
НИЧЕГО СЛОЖНОГО
0:21
KINO KAIF
Рет қаралды 3 МЛН