No video

JINSI YA KUCHUNGA MUDA KWA MAFANIKIO

  Рет қаралды 22,508

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Muda ni mali, muda ni pesa, jifunze mbinu hizi mbalimbali za kuchunga muda wako ili uweze kufanikiwa.
.
Usiache ku-COMMENT, ku-LIKE na ku-SUBSCRIBE pia ku-SHARE na wengine waweza kujifunza katika somo hili la thamani mwaka huu.
ASANTE!!!!
#Chunga #Muda #Ufanikiwe

Пікірлер: 77
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Jambo gani zuri ambalo ni mkakati wako namba moja kwa mwaka huu katika kuokoa muda zaidi ili namimi nijifunze kwako? tafadhali each one teach one.... I'm ready to learn!
@khamisiabdallah1024
@khamisiabdallah1024 5 жыл бұрын
Ezden Jumanne kwanza kukaa namtu zaidi ya nususaa ambae anaitajisalamu ya dakika tatu autano.
@viberztzkoko_dafujointbran9844
@viberztzkoko_dafujointbran9844 5 жыл бұрын
dooh somo mujarabu sanaaa ahsante kaka Ezden jumanne
@jamalidris885
@jamalidris885 5 жыл бұрын
Having plan is the best thing but planig time without a having watch is loss of time to,so have watch with you on your hands or your mobile phone is better and hiving remind is another thing coz many of us we forget easliy.....anyway thank you so much brother since i started listening to av changed alot in my life and schedule i love your way of teaching,keep up the good spirits 👊
@semanasitv8303
@semanasitv8303 5 жыл бұрын
kwangu mtandao unanicheleeeshea vingi
@revocatusmuzuma2263
@revocatusmuzuma2263 5 жыл бұрын
kugawa kazi kwa wengine nimeilewa sana na imenifikisha mbali
@allyfarajikimbilimbi6773
@allyfarajikimbilimbi6773 5 жыл бұрын
Daghhhhh hapa Umenigusa sana tena sana maana mimi ni Muhanga wa Muda...Thanks a lot brother@EzdenJumanne.
@ukhtyhalimasubscribedismai6497
@ukhtyhalimasubscribedismai6497 5 жыл бұрын
Asante Sana brother kwa Nasaha zako na masomo yako kwani yamenifanya nimebadilika sana kwa mwaka 2019 najihisi ni MTU mwingine kabisa, sauti yako, maneno yako humfanya MTU asikate tamaa kiukweli unatuelimisha sana vijana wengi hata aliyekata tamaa ya maisha umemuinua na kumfanya ajione MTU katika watu Allah bless you🙏🙏
@eliakimuzakaria6705
@eliakimuzakaria6705 5 жыл бұрын
exactly brooo are good.
@ramseyalait7172
@ramseyalait7172 4 жыл бұрын
Thanks much broh Yan kila nikisikiliza hili somo nakuwa na mipango unayonifanyia kutumia muda wangu vizuri sana
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 5 жыл бұрын
Muda nimali sana na muda ukipita umepita huwezi rudisha ndiomana hata kwenye mpira kuna dk za nyongeze 3 ukishindwa kufunga gori au kulinda inakula kwako timu inaondoka na hudhuni... pamoja Sana Bro Azden💪
@joshuakwelimoto6494
@joshuakwelimoto6494 5 жыл бұрын
thanks my brother for good teaching
@zeynabmohammed445
@zeynabmohammed445 5 жыл бұрын
Thanks bro for your motivation it helpful may Allah bless you:🙏🙏🙏
@ifah5100
@ifah5100 5 жыл бұрын
Thank you so much!! Nataka niongeze kitu haswaa ujumbe uwafikie wadada na wamama, nafahamu kuwa tuna majukumu mengi sana ya nyumbani sasabasi jambo la kuzingatia lingine ni Kuamka mapema at least saa 11:30 asubuh.Utakuwa na mda wa kutosha wakufanya usafi wa jumla, kuandaa breakfast na kuandaa ratiba yako ya siku nzima. unaamka saa 2 mwanamke vyombo vinakuangalia, kupiga deki bado, kufagia uwanja,chai hujaandaa, hapohapo hujaingia facebook kidogo wale wa uswazi kama mimi kilasiku asubuh walevi wanapigana hujatoka nje kuchungulia. kwa style hiyo kilasiku utalalamika muda hautoshi muda unakimbia. nina mengi tuishie hapa kwa leo
@hamisadodo453
@hamisadodo453 5 жыл бұрын
Shukrani sana bro kiukweli toka nimeanza kukufuatilia hakika nimeanza kabadilika hasa kwenye mitandao yakijamii nilikuwa napoteza muda sasa naona mabadiliko makubwa sana shukrani kwa elimu hii Allah akulipe
@halimasaid4977
@halimasaid4977 5 жыл бұрын
Kweli kabisa ezden jumanne Ahsante sana kwa ushaur mzur allah akulipe kila la kher in shaallah shukrani sana
@chilubachiluba1699
@chilubachiluba1699 5 жыл бұрын
Ezdeeeeeen
@kelvinkisigiro1556
@kelvinkisigiro1556 5 жыл бұрын
Nimekuelewa sana kaka Ezden na umeandaa somo zuri la kujali muda Mungu akusaidie kuandaa vitu vizuri zaidi na bora vya kufundisha watanzania wako ili kujenga Taifa letu katika USTAWI mzuri wa maendeleo yetu na Taifa kiujumla.
@ustadhibrahimmohamed7621
@ustadhibrahimmohamed7621 5 жыл бұрын
FormUSTADH IBRAHIM MOHAMMED kwa kweli kaka Ezden nimekufuatilia Sana Allah akuongezee na akulipe kwa masomo Mazuri tukiyazingatia kwa kweli tutabadilika kutoka katika dimbwi la umaskini na kuibukia katika mafanikio
@GalaxyJ-rg4gr
@GalaxyJ-rg4gr 5 жыл бұрын
Nakukubar xn bro axant xn
@shammoha5297
@shammoha5297 5 жыл бұрын
Yangu ya kuzingatia ni ratiba. Mola aniwezesha kupanga ratiba vizuri. Shukran bro 🙌🏼👏🏼👍🏽
@rashidonami2660
@rashidonami2660 4 жыл бұрын
Kabisa twambie bro
@idriss_23
@idriss_23 5 жыл бұрын
Shukran kaka kwa somo la Leo nimejifunza vyema🙏🏾
@donking291
@donking291 5 жыл бұрын
jamaa anaeleweka sana
@youngrappertz1735
@youngrappertz1735 5 жыл бұрын
Nzuri sana
@mwanaidialiame318
@mwanaidialiame318 Жыл бұрын
Asante sana 🙏
@zhnnnsafisanamweshimiawata1312
@zhnnnsafisanamweshimiawata1312 5 жыл бұрын
shukrani
@kingoman7895
@kingoman7895 5 жыл бұрын
It's true thanx so much my bro@Ezeden Jumanne
@jacksonqj1705
@jacksonqj1705 5 жыл бұрын
nakuelewa sana kaka asante kwa kutuelimisha
@mudcoba5416
@mudcoba5416 5 жыл бұрын
Hapa kaka umeongea point ......
@babrakashindye1548
@babrakashindye1548 4 жыл бұрын
Thank you..
@asnaaissa8174
@asnaaissa8174 5 жыл бұрын
Asante kaka ezden
@kulthumsalim7070
@kulthumsalim7070 5 жыл бұрын
Kweli Kabisa...Shukran na ubarikiwe saana
@rukiyahussan4190
@rukiyahussan4190 5 жыл бұрын
Asante sana kwa masomo yako manzuri najua nitabadilika kwa kujifunza kwako
@qudraboymanda3420
@qudraboymanda3420 5 жыл бұрын
Unatoa somo zuri,tunajifunza.
@mussaali4702
@mussaali4702 5 жыл бұрын
Dah! Hongera San broo umeongea maneno mazur San na tunastahiki kuyazingatia vizur san
@shabanimdila5822
@shabanimdila5822 5 жыл бұрын
inshaallah.
@mariamnahodha2390
@mariamnahodha2390 5 жыл бұрын
Kumbukumbu ya sauti, na maneno yako uwa zinanikumbusha Asante
@leahjoshua6299
@leahjoshua6299 5 жыл бұрын
Asante mungu akuzidishie umenisaidia sana
@joseefaidabutu6467
@joseefaidabutu6467 5 жыл бұрын
Asante kwa solo nzuri
@michaelshayo187
@michaelshayo187 5 жыл бұрын
Aixeeh shukran kwa elimu hii kubwa sana
@maubarak9831
@maubarak9831 5 жыл бұрын
ujumbe uko vizurisana kwenye wakati nampangilio wakupaga mingalio yako yakazi zako kwakila.siku
@rahemahrahemah2719
@rahemahrahemah2719 5 жыл бұрын
Shukran Kaka Ezden nimejifunza vitu vingi Sana kupitia wewe , Allah akutie nguvu sikuzote uzidi kutufundisha
@fatumayahaya2049
@fatumayahaya2049 5 жыл бұрын
Asante umenipa mwanga
@gilbertsiwale1929
@gilbertsiwale1929 5 жыл бұрын
thanks brother
@johnclaude2494
@johnclaude2494 5 жыл бұрын
Thanks so much sir🙏🏿❤️
@salwasalim5073
@salwasalim5073 4 жыл бұрын
Jambo zuri nikupata kufungua biashara yng ya kuuza nguo.shida pesa yakufungulia biashara.bora biashara uingize pesa sio kutoka tu
@ibrahrich4807
@ibrahrich4807 5 жыл бұрын
Kak Asante 🤝🤝
@feithchilala6374
@feithchilala6374 5 жыл бұрын
Nice
@sarkodieobidima2898
@sarkodieobidima2898 5 жыл бұрын
Good
@lazaroshem7840
@lazaroshem7840 5 жыл бұрын
Asante
@issamkondoa7183
@issamkondoa7183 5 жыл бұрын
Mimi ni muhanga mkubwa wa masuala ya muda na pia nimeanguka sana kimaisha kiasi kwamba nimepoteza kila kitu nilipoteza kazi lakini nikawa nafanya biashara nazo zimeanguka kabisa. Hapa nilipo sina shughuli yoyote nashinda nimelala. Je kwenye suala la muda na ratiba naliweka vipi ile hali sina hata cha kufanya?
@OmanOman-gc1zu
@OmanOman-gc1zu 5 жыл бұрын
Hasant san
@hamadyusuph8394
@hamadyusuph8394 5 жыл бұрын
Sawa kaka nimeelewa sana naana leo
@elizabethben2342
@elizabethben2342 5 жыл бұрын
thanks Bro ezden
@fadhilijohn7655
@fadhilijohn7655 5 жыл бұрын
shukrani br
@johnvicenthmuna5151
@johnvicenthmuna5151 5 жыл бұрын
Poa sana Broo apo nimekuelewa sana
@tomasmafuwe7369
@tomasmafuwe7369 5 жыл бұрын
thanks u brow
@neemaoigen3594
@neemaoigen3594 5 жыл бұрын
Thnx brother
@njeyaboxtv106
@njeyaboxtv106 5 жыл бұрын
FOCUS IS THE ABILITY TO SAY NO
@emotionalvoice972
@emotionalvoice972 5 жыл бұрын
Thanks bro
@Khamis-ev4uv
@Khamis-ev4uv 5 жыл бұрын
Kweli kaka
@hhhshsjns405
@hhhshsjns405 5 жыл бұрын
Asante
@teddto6316
@teddto6316 5 жыл бұрын
Asnte kaka nmejifunz kity xhukran
@angelmkenda4122
@angelmkenda4122 5 жыл бұрын
Ahsante kaka nimekuelewa sanaaa ahsante kw somo lako
@sumayabakar4848
@sumayabakar4848 5 жыл бұрын
ahsante sana kaka kwakazi yako zur yakufahamisha jamii mungu akubariki amiin napenda kipind chako
@OmanOman-gc1zu
@OmanOman-gc1zu 5 жыл бұрын
Hasant san kak
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 4 жыл бұрын
Walio dislike mungu awaongoze
Jinsi Ya Kuacha Uvivu Na Kutimiza Malengo
14:54
Success Path Network
Рет қаралды 13 М.
JINSI YA KUTUMIA MUDA NA VIPAUMBELE VYAKO
16:05
Success Path Network
Рет қаралды 3,6 М.
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,2 МЛН
Njia Rahisi Zaidi Ya Kupanga Bajeti Yako
6:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 260 М.
Inawezekana Kufikia Malengo Yako Usikate Tamaa   Joel Arthur Nanauka
23:06
7 LESSONS People Learn Too Late In Life
21:22
Success Path Network
Рет қаралды 38 М.
MAJUTO MAKUBWA BAADA YA SHULE (NA SULUHISHO LAKE)
22:56
Success Path Network
Рет қаралды 22 М.
Mambo 7 Ya Kuacha Ili Ufanikiwe
22:00
Success Path Network
Рет қаралды 2,2 МЛН
JINSI YA KUANZA BIASHARA YAKO | Anthony Luvanda
9:00
TonyInspirationalTalk
Рет қаралды 134 М.
ZINGATIA HAYA UFANIKIWE - Part 2
13:41
Success Path Network
Рет қаралды 20 М.
JIONGEZEE THAMANI KWA KUFANYA HIVI
13:26
Success Path Network
Рет қаралды 18 М.