Kipindi naanza maishaa...nilikuwa nalipwa laki 4 nikaweza kujijenga....saivi Nina mara tatu yake....lkn naona sitoboi.. Nisaidei Prof
@protyirenei50834 жыл бұрын
Teacher D nitafute kwa msaada zaidi
@protyirenei50834 жыл бұрын
Teacher D nitafute kwa msaada zaidi
@ponsianamataka46072 жыл бұрын
Joel Asante sana. Nina uhakika umeubadili huu ulimwengu na unaendelea kuubadili na utaendelea kuubadili.
@hassanovajunior69724 жыл бұрын
Somo kubwa sana thank you My Brother Joel🙏🙏
@macmax3152 Жыл бұрын
Asante kaka joel
@yohanaadam63904 жыл бұрын
Kaka Joel 🙏🙏🙏 kwa ujumbe mzuri ambao ni halisia, pi 🙏🙏 kwa kujitoa kwako kutusaidia
@athumansalehe12313 жыл бұрын
Nimekuelewa vizuri sana tena sana
@michaelkyaruzi5175 Жыл бұрын
Yes! Yes!
@kondeboy60072 жыл бұрын
Kaka uko vizuri. Najifunza mengi kupitia kwako,mungu akubariki
@clementedward554811 ай бұрын
Be blessed a lot My brother Joel ❤@baroziwamtwara Unanijenga sanaaaa,nakuombea maisha marefu sanaa kaka
@_benytz15734 жыл бұрын
Umenifundsh kitu kimoj kizur sana yaaan thx baba
@abdukadiliissa80764 жыл бұрын
Kaka Joel uishi maisha marefu kaka tunufaike na ww 🙏
@mbirionline49164 жыл бұрын
mkuu ni kweli wakati mwingine ktk ya mwezi mambo yashakuwa mabaya alafu uhakika ni mwisho wa mwezi kukopa hapo kuna tatizo gani siunajua mafahali wawili hawa kahi zizi moja ,mishahara hai kutani mkuu
@shukurumangare80704 жыл бұрын
1.impromptu purchasing ( kutumia pesa bila mpangilio) 2.to spend the virtual money ( kutumia pesa ambayo hujaipata) 3.kutumia zaidi ya anachoingiza (overspending) 4.excessive borrowing ( kukopa zaidi
@JosephineMlei-jo5of Жыл бұрын
Karibu kenya
@jazillamohamed37812 жыл бұрын
Mimi kabisa sijui nini Mungu nisaidie naitaji somo zaidi
@charlesotieno55874 жыл бұрын
Napenda video zako zilivyo fupi na strictly to the point....Najifunza sana. na hazichoshi
@aishamaulidi46794 жыл бұрын
Shukrani sana kaka joel kwa muendelezo huu mzur sana
@giftmwamba6014 жыл бұрын
Daa kweli kabisa hili swala hata mimi linanisumbua sana ubarikiwe nimejifunza kitu
@yasinyasin-xi7yn4 жыл бұрын
Asante sana kaka joel nanauka
@safiaabubakar11203 жыл бұрын
Thanks brother
@mathsnewdiscoveries2 жыл бұрын
Thank you Sana.
@theresiachigali94822 жыл бұрын
Kabisa mtumishi
@fredgomes86394 жыл бұрын
Braza kweli wewe ni professional adviser.
@nasreennashugosso94544 жыл бұрын
Asante sana joel
@jazillamohamed37812 жыл бұрын
Kaka Joel mimi naomba unisaidie
@willyfurniturearusha91613 жыл бұрын
Kak be bless
@salmashoo81003 жыл бұрын
Km unajua vile brooo tumia zaidi ninanyopat mshahara uyu ni mmimi kabisa
@Roym972 жыл бұрын
Kweli hii kabisa
@maggiepeter89364 жыл бұрын
Me ndo mana sipend kutembea na ela ambayo sina mahesabu nayo ya matumiz ili kuepuka hayo yote.....Juu ya matumiz na akiba nashukuru kitabu chako cha Tabia 12 zinazoleta mafanikio kimenifundsha vema sna....Heshima kwako Mwalimu 👏🏻👏🏻👏🏻
@chambamalima97984 жыл бұрын
Una soft copy yake?
@martinbanda63823 жыл бұрын
Nipe nikutunzie fedha zako
@jeniphamasedo35453 жыл бұрын
Really Noel
@edsonmulokozi72884 жыл бұрын
Thxs bro Mungu akubariki
@samsonezekiel52393 жыл бұрын
Kweli kabisa mie ni muhanga wa hilo
@frankmwatosya1323 жыл бұрын
kweli kaka barikiwa sana
@judithmwambe47674 жыл бұрын
Ahsante kaka Joel....nipo na wewe always
@williammweta55394 жыл бұрын
Asante coacher
@castooscarsanga58664 жыл бұрын
Nashukulu Kaka nikucma
@liberatussylvanus99524 жыл бұрын
Waliowengi pesaikiisha ndioakili inarudi mkichwa seeme at the top!
@shijamorris82804 жыл бұрын
Kupitia speech zangu vingi niameacha ya kutumia hela hovyo nilikuwa nikiwa na pesa nawashwa lkn kwa sasa hata niwe na ml kama sikupanga kununua hicho kitu sinunu Asante kwa hilo
@Dm-yq9wn4 жыл бұрын
Elimu nzuri sana
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Nice
@anafisuleimani70834 жыл бұрын
Sahihi ninae rafiki yangu ambae akiwa na pesa hawi na amani mpaka amalize kuitumia
@mbeyaboy52254 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka
@mleoassenga15963 жыл бұрын
Kweli
@kelvinbondia43604 жыл бұрын
Duh kwel kbs
@mossesdaudi46173 жыл бұрын
Thank broo i get same thing
@tonymartin79844 жыл бұрын
Bro mungu akubaliki
@hellyfridy11 ай бұрын
Fact
@ussikhamisussi48824 жыл бұрын
Ahsante sana kwa mafunzo.
@diananatalia-8601 Жыл бұрын
Miaka minne sasa tangu nianze kufatilia mafunzo yako thanks
@salumutali13913 жыл бұрын
Thanks
@suleimanimzalia99893 жыл бұрын
Nikweli brother!!
@asajilesanga_34814 жыл бұрын
duuuu! hii ambayo ni kama pesa ikiwa mfukoni inasema "nitumie" imenigusa saaana...
@mozasaid38694 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka umenigusa sana! Yaani ! Ahsante sana sana! Ila sina mikopo! Muoga wa kuchukua mikopo!
@simonnrwiza15423 жыл бұрын
Mmm kama unanisemea
@abdullah-eq3lt4 жыл бұрын
akili zinarudi pesa zikiisha😂😂
@babdopetzmnyama38514 жыл бұрын
Umenifany nilud nilikotoka
@aminahahlubayt73992 жыл бұрын
aise kuna pesa nilitaka kutuma yote lkn kwa hilo somo lzm niikate😢
@felecianpaul6377 Жыл бұрын
Wa kwanza ni mm
@7mc7944 жыл бұрын
Duuuh brother umeniguaaaa
@ipyanamwaisekwa82094 жыл бұрын
Thank you very much Sir!
@zabronmarco1430 Жыл бұрын
👍👍
@wakwetutv38244 жыл бұрын
Aminiii
@mbelwakattolwiiza22283 жыл бұрын
Nimekupata mkuu
@victorandrew51504 жыл бұрын
Nashukur sana na masomo mazur kaka nimefatilia masomo yako kwa mda kidogo na pia tokea nisikie somo zuri ulilolitoa clouds fm limenibadilisha sana lakin kaka kuna tatizo kidogo linanitatiza kidog nilitaman ningepata mawasiliano yako direct ili ww ndo unishaur kaka
@stevdwin80143 жыл бұрын
Mcheki WhatsApp upate vitabu vitakusaidia sana
@officialmartin44323 жыл бұрын
kweli
@janethmakasa87913 жыл бұрын
Mm nikipta tu hela naweka bank unaeza kuta ndani cna vyombo vya maana lkn hela ipo bank kudrop pia roho inaniuma kaka hii ni aina gani ya tabia jmn😥
@antonadam42314 жыл бұрын
Usitumie pesa ambayo hujaipata.
@Mkaambali4 жыл бұрын
Asante
@emanuelmanasekimaro4 жыл бұрын
Magonjwa nayo yamekuwa hatari sana katika kupiga hatua
@hassanisamata69864 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka
@piuspuka50714 жыл бұрын
Tunashukuru ndugu kwa kutufumbua macho
@stevenstevenhamisi87852 жыл бұрын
Real
@mr.senkofarm65383 жыл бұрын
Naomba unisaidie clip yako moja ulisema *"Usiahidi Usichoweza kutekeleza"*..
@kelvinbondia43604 жыл бұрын
Nkbl sana kaka mkubwa
@umojadaycare8441 Жыл бұрын
Madeni Mimi jamani Joel yananiuwa😭
@IsraelKisaila Жыл бұрын
Pole
@adamumterume68852 жыл бұрын
Nyingne ni kutokuwa na siri, umepata pesa halafu unatangaza kwa ndg jamaa na marafki
@shodristvtv61214 жыл бұрын
Brother yani manenoyako yanatugusa walio wengi yani ww ni doctor buingwa🙏
@yuugachannel61174 жыл бұрын
Asante sana kaka mimi sijui kiswahili na elewa to tafadhali tel me how I can learn swahili
@anithamichael57164 жыл бұрын
Nashukuru sana kaka Kwa mafunzo unayotoa
@shooupendo5914 жыл бұрын
Upo vizuri
@jamesibrahim88494 жыл бұрын
The use of virtual money
@samwelichotola33083 жыл бұрын
mr joel naitsji kufaham matamasha yako unafanyia wap
@saidepaulohenriqueshenriqu84784 жыл бұрын
é verdade
@josephatsafari45684 жыл бұрын
Walio dislike inaonekana imewagusa xana😀😀🙆♂️😂
@stellahsanga82144 жыл бұрын
Dah! haya tukutane kanisan wenye roho za madeni '' neno linasema (watu wangu wanaangimia kwa kukosa maarifa ) hiyo ya kutumia zaid ya uchoingiza ni hatari
@michaelemmanuel1173 жыл бұрын
Mimi ni moja ya watu wanaopata pesa nyingi ila najikuta inaisha bila mambo ya msingi na ninajikuta naingia kwene madeni nifanye nini?
@Roym972 жыл бұрын
Akili ndo inakuwa timamu pesa ikisha hehehehe
@faudhiasalum72793 жыл бұрын
😘😘😘
@officialmartin44323 жыл бұрын
tupo wengi
@rajabukulala66694 жыл бұрын
Asante kaka
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
MIMI NINALO TATIZO
@Roym972 жыл бұрын
Tabia zako ndo chuma ulete hahaha
@victorandrew51504 жыл бұрын
Kama itakuwa shida kuweka public chukua zang kaka 0745351091 nitafurah sana