Najifunza sana kupitia wewe, nimebadili mitazamo ya maisha yangu sababu ya ushauri na madarasa yako, pia nikagundua kua nina kipaji chakuweza kutoa elimu kama hii, nami nimeamua kufungua account ambayo itakua ya ukombozi kwa vijana. Nakuombea uwendelee na elimu hii watu tunahitaji sana.
@mwalimubassu4 жыл бұрын
EXCELLENT: FEDHA IMEJIFICHA WAPI?!!!!!!!! 1. KWENYE KIPAJI CHAKO 2. KWENYE MATATIZO 3. KWENYE BIDHAA 4. KWENYE TAARIFA 5. KWENYE UJUZI WAKO WELL SAID KIONGOZI. YOU ADDED SOMETHING TO MAY DAY. GOD BLESS YOU.
@selinajohn6861 Жыл бұрын
Offcourse very nice
@johnluhwa83424 жыл бұрын
Elimu nzuri kaka Joel,Mngu aendelee kukuongezea maarifa
@ussikhamisussi48824 жыл бұрын
Ahsante sana kwa mafunzo yako.
@anafisuleimani70834 жыл бұрын
Ahsante mwalimu mungu akulinde na akujaze elimu zaidi ili tunufaike nayo
@mohamedmchalasi48254 ай бұрын
Shukrani sana, my life coacher
@jacksonmathayo65104 жыл бұрын
Me nipo kwenye ujuzi ahsante sana mheshimiwa 🙏
@dandebosssakara37603 жыл бұрын
Amen ubarikiwe Sana
@richardkamaumungwe96334 жыл бұрын
Thanks bro for ua advice.hio point ya matatizo imenigusa sanaa..bro.we need to think smart sir.
@upendofrank49174 жыл бұрын
Amina Kaka
@asajilesanga_34814 жыл бұрын
GOD bless you bro
@getrudakinabo89554 жыл бұрын
Ubarikiwe kaka wewe ni Mwalimu Mzuri
@Mothre10204 жыл бұрын
Hongera sana mwalimu wangu
@mosalum36574 жыл бұрын
Your my inspiration
@oscarmi89804 жыл бұрын
Nimekuelewa sana tunashukuru kwa somo hilo
@hassanomary7353 Жыл бұрын
Tunashukuru kwa kupata faida kila mda,kila tukikusikiliza, ni😊rafiki yako hapa mturuki mpya,😅.
@marcopeter40912 жыл бұрын
Shukran Joel
@leilahmohamed22254 жыл бұрын
Mungu azidi kukufunulia ya sirini kama haya ....akutie nguvu ktk kila jambo lako
@selestinepius35624 жыл бұрын
My role model
@johannessfantinah20904 жыл бұрын
Kweli Brother
@vicentndiholeye10672 жыл бұрын
kweli kabisa kaka
@hashimuliloto8017 Жыл бұрын
I appreciating you
@fransiscashirima53733 жыл бұрын
Thank you Sir Joel
@elibarikishukya-lf3sk Жыл бұрын
Haloo najiona Tajiri mheshimiwa
@judithmwambe47674 жыл бұрын
Ahsante kaka Joel
@beastmc66634 жыл бұрын
Asnte Sana kwa elimu nzr
@johnerent5654 жыл бұрын
Nimekuunga mkono wengi wamejielekekeza kwenye kuomba pesa na si kutoa huduma
@eltonmnunga82284 жыл бұрын
Brother, I real appreciate your job, hope for those who are following u, they real learn most from. Its our duty to make sure that we see each other at the top. Barikiwa kaka.
@shubackmashinga35354 жыл бұрын
God bless you ma bro
@ashrafnadhir46984 жыл бұрын
Strong words
@kingssimbahh9324 жыл бұрын
Good
@danielayoub31174 жыл бұрын
Kuna tofauti gan kati ya kipaji na ujuzi
@msengisimon16094 жыл бұрын
Nimekuelewa mwalimu
@nurdinchilambo14864 жыл бұрын
Motivator
@fadhilibrahim34804 жыл бұрын
Pongezi zangu za dhati nizifikishe kwako lakini naomba ushauri kuhusu biashara ya mtandaoni nachukua hatua gani hili kufanya
@jebftech54674 жыл бұрын
Karibu smile we care
@catherinepilla81704 жыл бұрын
Whtsaap me 0763786717 nikupe ushauri wa jinsi ya kufanya biashara ya mtandao, na kukushauri kampuni nzuri unayotakiwa kufanya nayo kazi karibu sana.
@salwasalim50734 жыл бұрын
Kizuwizi changu sipendwi sababu sijui.nasikosei mtu nna jiheshimu sana nna imani nyingi
@piuspuka50714 жыл бұрын
Asant ndg, nimekuelewa Sana kwa hili somo la leo
@shedrackmhehe4 жыл бұрын
Noted
@entrepreneurtimes.41204 жыл бұрын
Hili sio swali, huu ni upuuzi... swali ni Pesa zimetoka wapi? Ukijua then and only then you will get your answer.
@shaffihsiraji31414 жыл бұрын
We tujibu swali lako sasa
@eliaabeid53124 жыл бұрын
I need your books how can i get???
@adventdedan2268 Жыл бұрын
Nawezaje kutumia internet kupata pesa?
@fideschristopher68194 жыл бұрын
Tantee!
@princeholly40294 жыл бұрын
Ujuzi wako kuna Fedha imejificha
@lutammasawa60754 жыл бұрын
Safari
@hmytechnologieslimited49084 жыл бұрын
Jibu sahihi hili hapa kzbin.info/www/bejne/faLXfKt-mZ6UfKc
@lutammasawa60754 жыл бұрын
As
@mbirionline49164 жыл бұрын
Mkuu kuna video nyingi you tube "making 3000 $ p day "zina ukweli wowote
@SunsetHunter45264 жыл бұрын
Bro tafuta tu shamba ulime hata matikiti utapata pesa ya uhakika