Madhara 6 Ya Kuajiri Ndugu Kwenye Ofisi/Kazi Yako

  Рет қаралды 20,440

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 91
@binmahmoud2821
@binmahmoud2821 3 жыл бұрын
Hii imenikuta na imeharibu sana biashara yangu,ndugu akikosea kazini ukichukua maamuzi familia inakukalia vikao,hakuna mtu ana tambua hasara unazo zipata kupitia ndugu,mpaka sasa najaribu kutafakari ni namna gani hawa walio baki nitaepukana nao ili nianze upya.
@muhidinussi6353
@muhidinussi6353 10 ай бұрын
Ahsante sana mwalimu Hi changamoto imenitokea mimi niliona msaada umekuja kumbe somo jipya Mungu kaniletea ili nisome
@mahambagislain9618
@mahambagislain9618 Ай бұрын
Asante Kaka, nime Pata ishida nime lipa Pesa za mtu kwa sa babu ya ku tumi ki sha ndungu nimba ya Mono 🎉✍️🇨🇩
@malackbayaga
@malackbayaga 3 жыл бұрын
Asante kwa effect teaching katika kizazi Chetu hiki_Ninakula na kushiba wala hata sipati njaa ya maarifa kutoka kwako, kila nikimaliza somo hilo ninajaza tank mpaka kujaa_kwa maneno yako ambayo ni chakula cha kutosha kabisa. Ubarikiwe
@jumakilindi6732
@jumakilindi6732 3 жыл бұрын
Ahsante kaka Joel pia tunaomba madhara anayo pata mtu ambae kaajiriwa kwenye familia
@ismaelayoub5196
@ismaelayoub5196 3 жыл бұрын
Sawa sawa kabisa Nikujuze kitu ndugu yangu Kuna baadhi ya Ndugu wanakupa kazi Lakin haujui Mshahara wako niupi? Hilo nalo nitatizo unatakiwa ulijue hilo
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ndio maana ni muhimu kuwa na makubaliano yanayojulikana.
@akleysteven4020
@akleysteven4020 3 жыл бұрын
Ahsante kaka, alaf ile kanuni yamatumizi inanisaidia sana ((50% /30%/20%. Na Mungu azidi kukubariki.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
ameen, hongera saaanaa
@lillymfoke8953
@lillymfoke8953 3 жыл бұрын
Na mimi nataka kujua
@jamesibrahim8849
@jamesibrahim8849 3 жыл бұрын
Binafsi nikiwa nafanya Kazi katika kampuni fulani hapa Tanzania, niliwahi kukutana na changamoto kama hizo. Hivyo ninashukuru sana kwa somo hili
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ahsante James
@davidmsubi2639
@davidmsubi2639 3 жыл бұрын
Kweli kabsaa.. Mwalimu .hii kitu imenikuta katika shughuli zangu. Sio tu mimi ata kwa watu wengine
@janenkhwazi2457
@janenkhwazi2457 3 жыл бұрын
I agreed with you
@vincentmuli4283
@vincentmuli4283 3 жыл бұрын
Somo n zuri sana,Ila no lazima uwe na plan B usije amino Sana mtu Baki weka ndugu hata wawili wawe Kama wakusanya taarifa zako za ndani pia muweke mwingine bak pia ili upate mwenendo wa shuguli za ndan usiache kabisa.
@is-hakamaharouk7395
@is-hakamaharouk7395 Жыл бұрын
Fact
@aishahaisha4941
@aishahaisha4941 3 жыл бұрын
Wow great massage 👏 barikiwa bro Aki nimependa Sana nimesaidika juu nilikuwa Na plan ya kufungua biashara Na nimuajiri ndugu daaah🤔🙄 umenifungua Akili
@betshebarichard3055
@betshebarichard3055 3 жыл бұрын
Usithubutu dear, ajili mtu unayeweza kumfukuza akihribu.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Hongera kwa kuelewa
@rosaliamwambingu6094
@rosaliamwambingu6094 3 жыл бұрын
Naam. Nimeshawahi andika binamu yangu. Angeacha kufanya kazi yangu akisema ni mgonjwa ilhali anafanya vibarua kwingine na pia kuuza vifaa vya kazi.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Pole sana kwa hii changamoto naamini umejifunza.
@maigajohn5828
@maigajohn5828 2 жыл бұрын
Hongera sana ndugu yangu nmepata elimu kubwa sana ndugu yangu
@yusternyson7484
@yusternyson7484 3 жыл бұрын
Kaka ninakubari kabisa kuna madhara makubwa kumwajiri Ndugu yako me binafsi sio mara moja tuu nilifungua biashara nikamweka mdogo wangu wa kuzaliwa mwisho alilimaliza duka tena kwa jeuri nilikuwa nikitoka kazini ule muda anafunga mpaka siku kodi imeisha ndio akamkabidhi funguo mwenye nyumba aniletee nije nimlipe,ninakukubari sana kaka masomo yako kila siku lazima nikusikirize maana kuna mengi ambayo nilikosea mwanzo ila kwa sasa najifunza kupitia wewe.barikiwa sana Mungu aendelee kuweka hekima ndani yako utusaidie watanzania na watu wote.🙏
@dausonevarister7909
@dausonevarister7909 3 жыл бұрын
Leo nimepata SoMo kubwaa....maana Kaka angu anamiliki campuni kubwa na anasimamia chama kikubwa Cha ushrika ambacho kila msimu kinatoa ajira siyo chini ya watu 300 ( skilled and unskilled) ila alikataa kata kabisa kumuajir ndugu yeyote au kumuungishia dili ili apate kazi kupitia jina lakeee....tumetokea ata kumchukia na kumlaumu.......kumbe leo nimegundua sababu ni nini.....aisee
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 3 жыл бұрын
Thanks Br Joel
@doreenkissia1087
@doreenkissia1087 3 жыл бұрын
Yaani nashindwa kujizuia machozi.Maana yamenikuta nikajikuta ndg,familia,wafanyakazi,marafiki zangu wamenitenga nikadharauliwa na kila aliyenizunguka.Hasara niliyopata na anguko.sio mahali pakuelezea hapa.lkn kuajili ndg nikujitengenezea bomu la nyuklia in your own house
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Pole Doreen, naamini kuna vitu vingi sana pia utakuwa umejifunza kupitia jambo hili.
@doreenkissia1087
@doreenkissia1087 3 жыл бұрын
@@joelnanauka 100%
@seifsaidi9911
@seifsaidi9911 3 жыл бұрын
Shukran
@ismaelayoub5196
@ismaelayoub5196 3 жыл бұрын
Madhara ya kuajiliwa na ndugu nikunyonywa tuu HAKUNA namna
@salehali4saleh19
@salehali4saleh19 3 жыл бұрын
Karibuni darasani kuchota elimu
@hafidhyhemedy2444
@hafidhyhemedy2444 3 жыл бұрын
i appreciate what you always deriver mr .........you are in my blood
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Pamoja saaanaa
@melvinnakhungu2504
@melvinnakhungu2504 2 жыл бұрын
@@joelnanauka ĺppppĺĺlĺ
@franknachimbinya7688
@franknachimbinya7688 3 жыл бұрын
Truth
@edwardvelidiana1864
@edwardvelidiana1864 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@onesmosanga8408
@onesmosanga8408 3 жыл бұрын
Dah! Asante sana mwalim joel me kwa upande wangu nataka kufungua kampuni na unapo fungua kampuni lazima muwe watu wawili mamm nataka kumshilikisha ndugu yangu ili zoezi likamilike.Ila mtaji pesa ni wangu na idea ni yangu je aitanisumbua apo badae na nitumie njia gani. SEE YOU AT THE TOP
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Muweke makubaliano kimaandishi
@TheLuasas
@TheLuasas 3 жыл бұрын
Niliupitia mtihani huu kabisa nikua nikimfanyia kazi mjomba na hali hii ikanikuta!!
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Pole sanaa
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 3 жыл бұрын
Yametukumba wengi sana hayo makosa , bora Mtu baki maana hata mkataba ndugu hujaga juu bila kujuwa madhara.
@robertchris8819
@robertchris8819 Жыл бұрын
Perfect
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 3 жыл бұрын
Uchumbe ni mzuri sana
@muhammednassor690
@muhammednassor690 2 жыл бұрын
Kaka unafanya kazi kubwa sana lakin leo nakubali unatumia fursa watanzania wengi tumefubaa na mifumo yetu ya elimu haya hatuyapati tukiwa mashuleni good job brother
@luganomwakalukwa7517
@luganomwakalukwa7517 3 жыл бұрын
Somo la Leo liko powa nakukubal joel
@venturebown6983
@venturebown6983 3 жыл бұрын
Fact Bro
@juliethfrank6626
@juliethfrank6626 3 жыл бұрын
Mmmh yaani umeongea ukweli mtupu,asante sana
@seifzongo320
@seifzongo320 3 жыл бұрын
Hiyo number 6 n zaid ya ukweli maana imetokea office KWANGU,tokea boss amuajiri mtoto wake office imeharibika mpaka jamii inatushangaa ,kijana anafanya madudu ya kila aina boss hana cha kumfanya ...tabu tupu
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ndio hizo changamoto tunazozisema
@nasmafarmsltd9146
@nasmafarmsltd9146 3 жыл бұрын
Hyo damu nzito kuliko maji imeni henyesha tena mvua ya maumivu ndug haswa mzaz yuko yule nduguyo mwenzenu nime chokaa natembea na RB ya mtu nimechoka na damu nzito kuliko maji yao mtu nime msomesha leo anajiita doctor na nyuma anan rudisha
@mariamayoob8734
@mariamayoob8734 3 жыл бұрын
Asante
@neemasisango4524
@neemasisango4524 3 жыл бұрын
Kweli ndugu profesor, mimi sitaweza kuajiri ndugu kwa fursa ya kwanza. Na kama atapata kwangu atakuwa na poste so na sehemu ya chini sana(ex:gate men ao garden person)
@gracelamar4043
@gracelamar4043 3 жыл бұрын
Ndugu ni shida
@awardhakimu4777
@awardhakimu4777 2 жыл бұрын
Kiufupi aitakiwi kufanya kazi na ndugu
@ndembezi
@ndembezi 3 жыл бұрын
Mimi nimefunga college imeni cost mapesa mengi Sana nikawapa walimu 6 asilimia 7% kila mtu katika kampuni hawakutoa centi moja a mini au usiamini nime Ali na walimu wawili tu ambao wanafanyakazi wengine hawaonekani kabisa lakini kukiwa na masaala ya pesa hutokeza. Nililipa rent very expensive for 2 years mwisho ikabidi kustop hapo ndipo college ikaanza kulipa yenyewe. Malumbano mengi. This is just one case ndugu ndo balaa usishirikishe kabisa nimeliwa pesa na matundu kama pesa ya mkoloni. Ilifika kuchukuwa decisions very tough almost kuuwa tu ilobaki. Thanks Joel
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 3 жыл бұрын
Tunashukuru sana
@sungaaluminium3623
@sungaaluminium3623 3 жыл бұрын
Mimi nimemuajiri ndugu yangu kila siku ananitia hasara ya vitu kuharibika kwa uzembe wake nashindwa hata nifanyeje naomba ushauri wako Kaka yangu
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Duh ime nikuta 😭💦 nime rudi Nyuma sana ningejuwa iyo Pesa ninge wekeza kwenye msingi wa Nyumba 😭
@reonald-be7yt
@reonald-be7yt Жыл бұрын
Dah kakaangu unatapika madinitupu iseeee
@khalifankurunzinza3870
@khalifankurunzinza3870 3 жыл бұрын
Nilimuachia campni mdogo wangu.alinitia hasara mpaka sitaki ata kumuona
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Pole sana khalifa
@dosianasimon312
@dosianasimon312 Жыл бұрын
Uwi hili somo ni shida yaani niliyoyapitia ni shida
@jaynekinanja68
@jaynekinanja68 Жыл бұрын
Niliajiri kijana wa kaka yangu kama msimamizi WA buashara matokeo yake ameniibia na kununua gari kwa Sasa biashara imeyumba inakaribia kufa
@mohamedsuleiman7215
@mohamedsuleiman7215 3 жыл бұрын
mi nilifika wakat niligombana na familiya yangu. nilitowa pesa nyingi na nikawaamini kumbe ukujuwao ndo ukupijao. na mwisho nikapewa maapizo mingi na nikaonekana m'baya lakini wao hawakujiona wabaya.nimejifunza.
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 3 жыл бұрын
.ndugu ni shida ndio maana kampani nyingi zinakufa hawaweki watu sio sahihi
@sadasinundo2239
@sadasinundo2239 3 жыл бұрын
NI kweli hata Mimi mtoto wa baba yangu mdogo Alisha nirudisha nyuma sana
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Pole sanaa
@liberatussylvanus5477
@liberatussylvanus5477 3 жыл бұрын
Niukweliusiopingika
@papiaskasonso4786
@papiaskasonso4786 2 жыл бұрын
Nakupata sana kaka...
@joramjaphet3060
@joramjaphet3060 3 жыл бұрын
Kweli kabisaa bro, kumwajibisha ndg inaleta shida sanaa
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ni changamoto kubwa sana
@papiaskasonso4786
@papiaskasonso4786 2 жыл бұрын
Nimekupata sana kaka,,,,,,
@official_rayob.8351
@official_rayob.8351 Жыл бұрын
Kaka kila kitu ulichokiongea ni chakwel🎉
@rezegerezege691
@rezegerezege691 3 жыл бұрын
Tech naomba namba yako ya simu unishauri kitu.
@evaristkeya8
@evaristkeya8 2 жыл бұрын
je kuna madhara ngani au faid ngan pare unapoamua kumuajiri mke wako kwenye kazi
@danielayoub3117
@danielayoub3117 3 жыл бұрын
Mim nishawahi kukutana na hiyo changamoto ambayo mpaka sasa inanipanshda sana, nimefungua biashara nimemuweka ndugu lkn matarajio sio kama nilivyotegemea lkn inakua ngum pia kumuondoa
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Fuata huu ushauri utakusaidia kwenye hilo.
@danielayoub3117
@danielayoub3117 3 жыл бұрын
Ahsante sanna kaka
@fivetano7566
@fivetano7566 2 жыл бұрын
yote uliyo yazungumza amenitokea kaka joel nimefirisika paka sierewi nianzie wapi
@nurdinchilambo1486
@nurdinchilambo1486 3 жыл бұрын
swali langu ni' hayo madhara 6 ni sawa sawa na kumuajiri rafiki yako kwenye ofisi au kazi yako au kuna utofauti ?
@radiusrutta7804
@radiusrutta7804 3 жыл бұрын
Tupe faida au hasara inayohusu mke na mme kufanya kazi office moja (Na kwann selikari ahiruhusu mke na mme au wafanyakazi kuanzisha mahusiano kwenye kitengo kimoja au office moja)
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Haina tofauti na haya ambayo nimeeleza hapo juu
@awamkhalid5571
@awamkhalid5571 3 жыл бұрын
Chingne lazma uwe na two face coz atakama hujaajr ndugu some time mkikaa kwa mda mref kuna kaurafik flan kanaingilia kati
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisaa
@gooddeeds162
@gooddeeds162 3 жыл бұрын
🤝, Je ! Hii kunaweza kuwa na utofauti wowote na kumuajiri rafiki/ marafiki kwenye kazi yako ? Au matokeo yatafanana na kuajiri ndugu?
@seifzongo320
@seifzongo320 3 жыл бұрын
Sasa ndugu na rafiki si kitu kimoja mzee
@gooddeeds162
@gooddeeds162 3 жыл бұрын
@@seifzongo320 Nimelifikiria hili nimeona ni kweli kabisa , Upo sahihi kabisa ndugu
@catholicvibemusic3151
@catholicvibemusic3151 3 жыл бұрын
AFYA YA MTOTO KAMA NI MZAZI. habari ya muda nimeona wazazi wengi wanaangaika na changamoto mbalimbali za afya ya mtoto. Je?mtoto wako ana changamoto hizi. 1.mtoto hapendi kula/hana hamu ya kula 2.mtoto anachagua chakula 3.mtoto wako anaumwa homa Mara kwa Mara 4.mtoto amepoa hajachangamka 5.Mtoto anachelewa kukua 6.Mtoto hapati choo 7.mtoto ana upungufu wa madini na vitamin 8.mtoto mwenye upungufu wa akili au kusahau sahau kutofanya vizuri darasani Tucheki whtsp 0719174248 / call 0622945360 📞
@eleneosindano3796
@eleneosindano3796 3 жыл бұрын
Mm imesha nikuta hiyo nawala sinahamutena nandugu yan
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
Mambo ambayo hutakiwi kabisa kumwambia Boss wako
9:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 67 М.
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН
Harley Quinn's desire to win!!!#Harley Quinn #joker
00:24
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 16 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 28 МЛН
Siri 4 Za Kuvutia Watu Muhimu Kwenye Maisha Yako.
9:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 155 М.
Wanaume Wanaokimbiwa na Wanawake - Joel Nanauka
10:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 70 М.
AINA YA WATU WANAOTAFUTWA NA WAAJIRI
9:56
The HR Tanzania
Рет қаралды 3,1 М.
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
11:26
G Online
Рет қаралды 60 М.
JINSI YA KUJITAYARISJHA KWA KUZUNGUMZA - JOEL NANAUKA
14:13
Joel Nanauka
Рет қаралды 11 М.
TAMBUA MAJIRA MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA
10:18
Joel Nanauka
Рет қаралды 4,7 М.
Kanuni Nane (8) Za Kutumia Simu
7:46
Joel Nanauka
Рет қаралды 33 М.
EPUKA  HAYA KWENYE  ENEO LA KAZI - JOEL NANAUKA
10:44
Joel Nanauka
Рет қаралды 54 М.
MAMBO 10 YA KUZINGATIA UNAPOTAKA KUAJIRI MFANYAKAZI - Victor Mwambene.
16:49
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН