KAKA YANGU DUMU KUBARIKIWA SANA,MIMI KUNA KIOINDI NILIJIONA NACHELEWA KUOLEWA ,TENA ILIFIKA HATUA NILIKATA TAMAA,KIUKWELI NILIPO AMUA KUMTANGULIZA MUNGU KWA SASA NINA PIGA HATUA NAAMINI KILAKITU KINA SABABU🙏
@EliasifiweSarakikya8 ай бұрын
Thank you sir....kiukweli nmeelewa vyema sana lakn vp kuhusu yale maono niliyokuwa nayo makubwa ..ndoto kubwa but till now sion namna ya kufikia nini nifanye niendelee kuona kuna wakati nitayafikia?...naamn jibu lako litakuwa msaada sana stay blessed
@MarcoPeter-y5nАй бұрын
Elimu nzuri Asante
@shukranjulius95268 ай бұрын
Kiukweli namshukuru Mungu kwa mengi kunawengine wagonjwa sana wapo mahututi ,mimi nimzima sina shida yoyote, kuna mwingine ana pesa ila anaishi kwa dawa ,Mungu Asante
@goldiegranted55018 ай бұрын
Waiting 😊🔥🔥🔥🔥🔥
@JoelNembellah-vx7mj5 ай бұрын
Asant kwa kunitia moyo
@daudkanyelele48628 ай бұрын
Mwl nipo nafurahi sana kupata nafsi ya kukufaham wewe umenifanya kuanza kufikiria naninaona utofauti wa kufikiri
@Tinahkisaka8 ай бұрын
Better something than nothing!!! Bro you make our life better always...unatufundisha mengi Sana hasa kutumia kidogo tulicho nacho kuliko kutokukitumia kabisa..... Mungu akupe nguvu daima.. Ur the best bro Joel 🥰
@favor_is_my_name8 ай бұрын
Winning from behind.... Hii ni kwa ajili yangu namshukuru MUNGU kwa ajili yako nimeongeza kitu kikubwa
@bernadetachari76488 ай бұрын
Nashukuru munghu kwamaisha ninayo pitiya japo sijakata tamaa.kwamata yatatu naanza maisha nikilala chini lakini sitakata tamaa najuwa nitainuka tena.asantemwalimu kwa mafunzo yako
@ShukransangaShukran8 ай бұрын
Siyu at the top ndafika kimafanikio tu
@mwajabuhoza99198 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa kila kitu kwenye maisha yangu. Namuamini Mungu kwa vyote navyotamani kufanya au kuvifikia pia. Asante kaka🙏
@Drsemsango3 ай бұрын
Asante sana
@hamisilumona71638 ай бұрын
Hi bro. Mimi nachukuru Mungu sana kwa kunibariki kwa mambo ninayo,pia nachukuru hata sijapokea kuhusu maitaji yangu na ya familia yangu ila nini imani Mungu atanibariki navyo vyote bila shaka yoyote. Aksanti sana kwa mafundisho zako. Mungu akujalie kwa mema na nazingi zaidi tena.
Asante sana, kiukweli kuchelewa kupo Mimi mwenyewe Kuna maeneo naona nimechelewa lkn daima Huwa nasema wakati wa Mungu Huwa ni sahihi🙏🙏🙏🙏
@adkajisi45368 ай бұрын
Amen
@goldiegranted55018 ай бұрын
119 minutes to go🎉💪🥳🥳🥳
@janetfrancis71808 ай бұрын
Utukufu kwa MUNGU,
@REMMYGASPAR8 ай бұрын
blessings sana blaza,,nimepata kitu early in the morning,I appreciate
@emanuelchanya51828 ай бұрын
ALMIGHTY GOD BLESS THIS MAN
@moseskenedy70428 ай бұрын
Naumia kumfanyia mtu kazi nitajitahidi kuvumilia
@seemsinvestment35888 ай бұрын
Still blessed brother
@Coachsamwel8 ай бұрын
Afadhali uchoke mwili kuliko kuruhusu akili ichoke na kukubali ku-settle for less .. Hiyo ndio inaitwa kufa kabisa kimaono na kusubir kuzikwa baada kufa kimwili... Never give up Asante sana Joel