LIFE WISDOM : AINA 7 ZA UTUMWA WA KISASA - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 17,646

Joel Nanauka

Joel Nanauka

4 ай бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 57
@user-sx9lq3ie1j
@user-sx9lq3ie1j
Nalisubilia hili SoMo kwa udi na uvumba ,, hakika umekuwa ufungu0 katika maisha yangu,,, ipo siku nitakuja kutoa ushuuda mbele yako kwani nmeehapiga hatua Sana kupitia ebook ya MONEY FORMULA,,, ishi miaka mingi Sana boss joel
@afrasionpallangyo9573
@afrasionpallangyo9573
Katika familia yetu upande wa baba na mama kulikuwa na utumwa wa ujinga i mean ule wa kutokusoma na kama mtu amisoma sana basi anaishia la saba, ilipofika kwetu Kuna mtu alikuja kutamka maneno kuwa hatutakiwi kwenda secondary lakini mama yangu alimpinga na akatamka maneno ya ushindi, wapo waliofika Hadi chuo kikuu, hivyo kushinda utumwa inawezekana kabisa
@gloriakawago6223
@gloriakawago6223
Spiritual Slave hiyo inanirudisha nyuma saana, nimejitahid kutafuta, kufanya biashara lkn nikianza kurud nyuma utanionea huruma, had sielewi
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648
Asante sana mwalimu.utumwa mutu huupata pale anapokuwa hana chochote chakufanya sasa inabidi ujikaze 2 njapo umechoka ama hupendi
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526
Barikiwa zaidi kaka Joel, naanza sasa kjitoa kwenye baazi ya utumwa ,Mungu anisaidie
@RitherLivigha-blessed
@RitherLivigha-blessed
Nimejifunza kituuuuu,,asant broo,
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 14 күн бұрын
Asante kaka Joel mungu azidi kukubariki nimejifunza...Nita share kwa ndugu n marafiki 🙏
@lucasmganga2811
@lucasmganga2811
Da! Bro umenigusa Sana hiyo aina Ya tano utumwa wa kitabia hakika naamini umenifungua akili yangu upya MUNGU AKUJALIE MAISHA MAREFU ZAIDI Lakini pia Mimi nitaendelea kuwa barozi wako katika mafunzo yako kwa wengine 🙏🙏🙏✍️✍️✍️
@engelbertkiondo4014
@engelbertkiondo4014
Mwl. Nanauka mungu akubariki. Watu ni watumwa kwa kiwango kikubwa hasa kidini...na kitaaluma
@user-ko1zl4ul2j
@user-ko1zl4ul2j
God bless you so much servant of God
@lilianjoseph1144
@lilianjoseph1144
I see me at the TOP! Kuna viwango ninakwenda kwa kujifunza kutoka kwako kaka Nanauka!
@glorysilayo6894
@glorysilayo6894
Ubarikiwe sana kaka Joel ni mda sasa wa kujitoa kweny utumwa flan....
@lennydeelly3359
@lennydeelly3359
Mungu akulinde bro….60% umenigusa now its a time to change my mind
@noelkivamba5526
@noelkivamba5526
Kuanzia leo naondoka kwenye utumwa wa kisasa .....se me at the top
@user-cv2js2oc6g
@user-cv2js2oc6g
Mh asilamia 70 Umenigusa Mungu anipe Neema ya kutoka katika utumwa
@issamanongi1902
@issamanongi1902
Habar yako mwalimu nilipotea online lakini sasa nimerudi naendelea kufatilia mafundisho yako mungu akubariki 👏
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18
Naomba unifundishe dalili za watu wanaotaka kukutawala ahsante sana
@annakareem3753
@annakareem3753
A very powerful message📌, thanks for sharing 🙏🏽
@user-nu6ge7rg7n
@user-nu6ge7rg7n
Kaka mm kila siku lazima nipate SoMo lako barikiwa sana
@claracalvin5055
@claracalvin5055
Utumwa wa kihisia 😢😢😢😢😢
LIFE WISDOM : AINA 6 ZA UTAJIRI - JOEL NANAUKA
18:01
Joel Nanauka
Рет қаралды 13 М.
Huwezi Kufanikiwa Kifedha Bila Kuyajua Haya - Edmund Munyagi
14:27
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 126 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 42 МЛН
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 8 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,6 МЛН
JOEL NANAUKA - PERSONALITY COLORS
14:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 12 М.
JINSI YA KUGUNDUA KUSUDI LA MAISHA YAKO   JOEL NANAUKA EPISODE 04
10:00
Family of Praying Women
Рет қаралды 6 М.
HATUA 5 ZA TATIZO LA AFYA YA AKILI | Deo Sukambi
36:33
Deo Sukambi
Рет қаралды 884
LIFE WISDOM : MADHARA YA KUWA NA KIBURI - JOEL NANAUKA
14:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 8 М.
Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki
31:04
Chris Mauki
Рет қаралды 451 М.
VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA BIASHARA
16:16
Jenifer Jovin
Рет қаралды 18 М.
DR IPYANA ft JOEL NANAUKA // DAMU YA YESU NA UTAJIRI
18:43
Dr Ipyana
Рет қаралды 46 М.
CHANGAMOTO YA ENEO LA FEDHA KWENYE NDOA/MAHUSIANO - JOEL NANAUKA
49:41
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 126 МЛН