Aina 6 Za Boss Wakorofi Na Jinsi Ya Kuwakabili

  Рет қаралды 21,919

Joel Nanauka

Joel Nanauka

6 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 118
@Coachdenis-tz
@Coachdenis-tz 2 жыл бұрын
Thank you so much. Nimekutana na Abusive Jerk na Leaving is the best idea kabisa
@kokudo8389
@kokudo8389 5 жыл бұрын
Kuna watu humu kwenye comments ni maboss na wanasifa hizo zote hapo juu Niwashauri tu poneni kwa jina la Yesu
@guadenciamapunda6593
@guadenciamapunda6593 2 жыл бұрын
Iam so touched, thank you!!
@luccabosslugendo9722
@luccabosslugendo9722 6 жыл бұрын
nimejifunza mengi ktk somo hill...asante Joe!
@amanimoshi6670
@amanimoshi6670 2 жыл бұрын
Ahsante sana Joel. Nimejifunza mengi kwenye SoMo hili. Siyo kwa kuwatambua maboss wetu tuu, pia namna Bora ya kuwa maboss kwa walio chini yetu. Nadhani hatà kwa level ya familia inaweza Ika apply
@awalimunishi
@awalimunishi 6 жыл бұрын
hahahahahahah hiii ya big got niliwahi kukutana na teacher wa style hii nikiwa secondary yaani alikuwa tu anipendi yule madam nilinotice sasa alikuwa anafundisha kingereza,kuna siku alitupa test ktk composition akatupa maswali ya kuchagua kuandika essay moja wapo lilitaka kuandika teacher unayempenda nilimmwagia sifa hizoo macho kama gololi,shingo ya upanga mbona alinipendaaa,hadi nikawa nakula ndizi kwake hahahahahahahahah.
@charlesmngongo1432
@charlesmngongo1432 6 жыл бұрын
Thanks for your good lesson
@ahmedkombo6939
@ahmedkombo6939 11 ай бұрын
Kaka Joel hongera sana, kwa hakika una maadini sana. Mungu akubariki sana. Big up
@alexjeremiah5589
@alexjeremiah5589 10 ай бұрын
First and Last Form of BOSS we are working Together in fact there are full of challenges...Thanks Bro J Nanauka
@esthermichael3989
@esthermichael3989 Жыл бұрын
Asante sana kwa somo hili maana limenifungua ufahamu. Uzidi kubarikiwa.
@abdallahshee38
@abdallahshee38 4 жыл бұрын
Thank you bro, I have had BOSS with all the 6 characters.
@damiankimaro8919
@damiankimaro8919 2 жыл бұрын
Daaaaah pole brow
@jacksonmthomas6519
@jacksonmthomas6519 3 жыл бұрын
Nshakutananao, mostly ni aina zote za mabos ulizotaja kwa muhind hukos ase
@Kinana-tj9vh
@Kinana-tj9vh Ай бұрын
Kweli kaka j n mimi Bos wangu yupo yaani anahofu mda wowote haniayamini Mungu akuongoze,ili,utufundishe zaidi
@bazompolaphilbert
@bazompolaphilbert 2 ай бұрын
Asante sana . Wapo wengi, Umenena ukwer be blessed mr
@mwitachegere2716
@mwitachegere2716 6 жыл бұрын
Haha, kila niliyokuwa nasikiliza, sifa zote zinaenda kwa supervisor wangu. Inasikitisha kwa kweli. Asante kaka Joel kwa video hii, imenifunza mengi mno, sio kwa boss wangu tu kwa sasa, lakini hata mimi nilipo boss sasa hivi na baadae kama kiongozi.
@ayshaayush8539
@ayshaayush8539 6 жыл бұрын
Asante sana kwa mafunzo mazuri unayotupa
@aminielyusufu4351
@aminielyusufu4351 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana boss 4&5nimekuwa nao
@Maulidfundi
@Maulidfundi 6 жыл бұрын
Na mm nimejiajil nakutana watu tofauti kila cku,,,,ASA VP ntapata mda wa kumzoea Mteja wangu,,,ambaye amekuja kama bosi wang!!!,
@wittyberry3897
@wittyberry3897 5 жыл бұрын
Elimu nzuri sana, Asante kwa kutuelimishe
@janethmunisi7199
@janethmunisi7199 2 жыл бұрын
Ur my life monitor...may God keep you bro
@wilsonmushi8131
@wilsonmushi8131 2 жыл бұрын
Somo zuri sanaaa....
@ibrahimnassor
@ibrahimnassor 5 жыл бұрын
Ahsante kaka kwa muongoza sasa nta dili nao..kinaga ubaga...
@frankmsangi
@frankmsangi 8 ай бұрын
Asante Sana broo somo lako ni zuri sana Aisee nimejifunza vitu vingi sana Mungu akubariki sana sana kaka Asante san na iyo point ya abusive jeck imenigusa sana... 🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@godfreymuntagu9306
@godfreymuntagu9306 3 жыл бұрын
safi. sana Mr Joel, mm nimekutana nao na.mpaka.sasa tuko nao ,nimefurahi kwa jinsi ulivyo fafanua maboss aina hii ubarikiwe sana
@janethmunisi7199
@janethmunisi7199 2 жыл бұрын
Asante....Sasa inakuwa ngum sana km area of interest ya boss wangu ni timu ya yanga...loooh Bora niache kazi.
@user-dq6gs9vy1o
@user-dq6gs9vy1o Жыл бұрын
nafatiria sana mafundisho yako
@husseinmasuke7357
@husseinmasuke7357 6 жыл бұрын
Your my inspiration bro may God bless You!!!
@ayoubfredy5515
@ayoubfredy5515 6 жыл бұрын
Daaah Sure Joel bro like kama aina tatu zinanihusu hapo lakini hzi mbili Micromanagers, biggot, zinajionesha moja kwa moja umetisha sana bro Mungu akubariki ngetamani kujifunza zaidi
@JanethLazaro-dj3bs
@JanethLazaro-dj3bs Жыл бұрын
Asante sana somo nzili sana ya Mimi bosi wangu ni mtu walama sana kilakitu ana laumu sana hata sijui nimufanyeje
@hekimalugome7133
@hekimalugome7133 Жыл бұрын
Nakuelewa xana kaka
@4gtradingimpex201
@4gtradingimpex201 Жыл бұрын
Somo zuri sana napitia hii hali kwa sasa inatia uchungu sana ila Mwenyezi Mungu ni mwingi wa Rehema sababu unakuta kazi ingine kupata si rahisi so what to do unamuomba mungu kwa kila hali mimi ufikia hata nikiingia kwenye kikao napiga magoti kwa siri huku kikao kikiendelea kumuomba mungu uwepo wake katika kikao mpaka mwisho
@adrianaciku1812
@adrianaciku1812 6 жыл бұрын
My boss she is indifferent boss and micromanagers its hectic to deal with her ..and i always choice to be silence
@rumishamsaki5944
@rumishamsaki5944 3 жыл бұрын
Asanteh sana brother huyo namba tatu ndo boss we2 nimejifunza ki2
@elizamjema5703
@elizamjema5703 Ай бұрын
Ninae ananisumbua sanaa
@salimukimweri7845
@salimukimweri7845 5 жыл бұрын
kaka kabla ya yote nikupe credits kubwa sana kwe topic hii unazungumzia kwani its touch a really life which people face in the workplace naitaji kufahamu ofisi zenu zilipo please or communication zenu thanks
@hazjay4671
@hazjay4671 5 жыл бұрын
Hii Ya #ScarelyCat Ndio Nnayo iishi...!!
@neemarajabu9432
@neemarajabu9432 2 жыл бұрын
Ongela sana haaaaheeeheeee
@charlesoputi7101
@charlesoputi7101 11 ай бұрын
Be blessed brother @kenya
@assamwakasanga3570
@assamwakasanga3570 6 жыл бұрын
Asantee San kak Joel Arthur nanauka hii umelezea Kwa wafanyakaz.. je bosi yeye anatak hawaje hili kuwasaidia wafanyakaz wake ....
@assamwakasanga3570
@assamwakasanga3570 6 жыл бұрын
Kak Joel Arthur nanauka naomba unisaidie kuna vitabu nahitaji mpaka leo sijapata Niko mbeya wakala wa mbeya wanasema vitabu avijafika..... Ni kweli avijafika. nilikuw naomba unisaidie kupata maan ni muhimu san kwangu. 1 kughailisha, 2 Tabia 12
@babalois7240
@babalois7240 6 жыл бұрын
Madini ya Asubuhi...thankx Sir
@jacksonsilvester2191
@jacksonsilvester2191 3 жыл бұрын
Joel Kaka umejuajee kuhusu hii boss anakuchukiaa kisa tuu unabadilisha mavazii kilasiku yaani hiyo kwangu imenikuta akaja direct kabisa akasema hutakiwi kubadilisha nguo kilasiku khaa
@muhsinsalum8009
@muhsinsalum8009 Жыл бұрын
Ninao mabosi wa kudogosha na wasiokubali mawazo ya mfanya kazi.
@abdornephotidas3848
@abdornephotidas3848 6 жыл бұрын
Somo zuri sana bro Joel
@itikagodfrey3581
@itikagodfrey3581 2 жыл бұрын
Aiseee!!!!
@paulpablo2281
@paulpablo2281 2 жыл бұрын
Mungu akubari sana kiongoz, ur words are real inspiring me in a great way , hili la maboss it's real thing na hizi point zote( 6 ) nimezishuhudia kazin kwangu ,
@josephbudelele284
@josephbudelele284 Жыл бұрын
Perfect said.Awesame.
@brhchannel6618
@brhchannel6618 6 жыл бұрын
Pouwah sana Kaka barikiwa
@ferdinandsulle8495
@ferdinandsulle8495 3 жыл бұрын
My boss fits in almost every category
@amrafaraji2977
@amrafaraji2977 4 жыл бұрын
Niko na bosi wangu yeye ni micro manager anapenda apate kila taarifa naomba nipate uelewa zaidi ndugu yangu
@saidialameckdaudi1139
@saidialameckdaudi1139 5 жыл бұрын
Umetisha
@hassanbashir3253
@hassanbashir3253 Жыл бұрын
thanks joel wish i saw this video like 3 years ago.
@anthonykimaro807
@anthonykimaro807 5 жыл бұрын
Asaantheeee dear brother hiyo namba 4,5 na 6 . Hadii kuna maamuzi niliyafanya nasubiria majibu
@elishafelix7432
@elishafelix7432 4 жыл бұрын
Nimejifunza a lot,asante braza...ila naomba msaada boss wangu ni kama anatabia izo zote,nafanyaje?
@rafaelmwanyila33
@rafaelmwanyila33 5 жыл бұрын
Kaka nakuelewaaa sanaaaa aiseee, halooo unatishaaa yaani unanigusa totally
@fatmabaamary7547
@fatmabaamary7547 2 жыл бұрын
Nimependa mafundisho yako
@bekamwaluku8898
@bekamwaluku8898 Жыл бұрын
Mm Bo's wangu hajawahi kunisifia Kama nafanya kaz vizur shida nin
@dorithykobelo4800
@dorithykobelo4800 3 жыл бұрын
Micro meneja ndo boss wangu.
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 5 жыл бұрын
Hello nnauka mie nina bosi wangu mkali sana kama kichaa kila wakati anamakaripio.na nafanyakazi uzuri sana . Anapenda kukaripia kwa kila wafanyakazi. Mie niko canada.
@ayoubmnemadau1001
@ayoubmnemadau1001 2 жыл бұрын
Ww bro umekua msada katuka kunipatia ushauli wa v2 vingi 💪💪 nimepata kazi sasa natajila kuingia kazini nitazidi kukufatilia unifundishe zaid
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
Mi boss wangu ni aina ya biggot napata shida sanaa
@abbasssaid8719
@abbasssaid8719 6 жыл бұрын
Mimi ilibidi niache kazi maana huyo boss mdogo alikua anasubiri litokee tu jambo hata la kumaliza yy anapeleka kwa boss mkubwa na alikua anataka yy aaminiwe kwa kukandamiza wafanyakazi@joel uliongea ni true
@abubakarmzee3985
@abubakarmzee3985 4 жыл бұрын
nimekupata vizur ndugu joel nanuka
@user-dq6gs9vy1o
@user-dq6gs9vy1o Жыл бұрын
ubarìkiwe sana sana kwakweri nimekuelewa sana naomba namba zako nashida sana na kijana wangu naomba msahada wako naona utanisaidia ananiumiza sana ni kijana wangu wa kwanza mungu akubariki sana
@sethstiven3393
@sethstiven3393 3 жыл бұрын
2021
@marambajkt7637
@marambajkt7637 6 жыл бұрын
Nice brother
@marambajkt7637
@marambajkt7637 6 жыл бұрын
Nataka ushirikiano brther
@princessyvetteevedollyisma2586
@princessyvetteevedollyisma2586 6 жыл бұрын
Mi wangu unifatiliya mpaka Facebook yani hatari kufanya kazi na mwarabu nikama unaingiya jeyanam
@kokudo8389
@kokudo8389 5 жыл бұрын
Na hapa atakufatilia akiiona hii comments hahahaaa lol
@nemesnyaki1501
@nemesnyaki1501 5 жыл бұрын
Hawo boss nishida ila umenifundisha kitu kumbe inatakiwa ukitaka kumwelekeza bos ufanye kama una muhuliza swahil ok nimekupata broo sn kuhusu bos mkorofi
@allyawadh8492
@allyawadh8492 3 жыл бұрын
Wewe unaonekana huna akili swala sio kufanya kazi na mwarabu au mchina hizi ni aina na tabia za mabosi ajarishi ninani muhimu ni kujua namna ya kufanya nao kazi hicho ndicho kinacho fundishwa,panuwa mawazo yako na usiwe na mawazo mgando.
@makaramayatibamrmichaelkih3683
@makaramayatibamrmichaelkih3683 6 жыл бұрын
Uko vizur
@oswardmsangi5213
@oswardmsangi5213 3 жыл бұрын
Hivi Inawezekana boss akawa na sifa zaidi ya moja, mfno ni despot pia ni abusive jerk?
@francoiskasangala7237
@francoiskasangala7237 2 жыл бұрын
mimi ni frank boss Wangu ana tabiya iyo iyo Kabisa asa kwa warabu wa chinois ni atari kweli
@jumahusein8690
@jumahusein8690 Жыл бұрын
Aina ya kwanza ndo aina ya boss wangu
@gibsonngahala9954
@gibsonngahala9954 6 жыл бұрын
boss wangu ni inspector
@tithobaptist7409
@tithobaptist7409 4 жыл бұрын
Kuna kitu naanza kuobserv thnkx ...Bro jn
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Mm apa😭😭😭😭😭chochote nifanyacho boss haoni kelele kila mara
@hadasuleimanhaji7823
@hadasuleimanhaji7823 Жыл бұрын
Ndio nimewahi kukutana aliwaambia wafanyakazi wenzangu hivi "eti ndio amesomea diploma uyo diploma iyo diploma gani unamuuliza kitu anakujibu sijui "kwa kweli limeniumiza moyoni ,na hayo yote aliyasema nikiwa sipo katika kile kikao nilikujasimuliwa tu
@barakafrances4535
@barakafrances4535 6 жыл бұрын
Well presented
@gilmananthony4124
@gilmananthony4124 2 жыл бұрын
Ninae boss wa hivo dah
@hassanbakari1509
@hassanbakari1509 6 жыл бұрын
Nina mfanyakazi mwenzangu anahizo tabia anajichukulia kama boss anahizo tabia zotee nashukuru mungu kwa msaada wako nitadili nae jino kwa jino
@aash4145
@aash4145 Жыл бұрын
Nimecheka hapo kwenye,,,, kuna bos anaweza kukuchukia kwa sababu umefanana namtu ambae huko nyuma aliwah kumkera
@alimatambwe8864
@alimatambwe8864 5 жыл бұрын
Duh nakupenda bure kwa kweli yani utafikiri unayanambia mimi .uyo boss niliwahi kukutana nae ila mimi aliwahi kunitongoza nikamkata basi alikuwa ananipush yani hata niko hukichuwa brack anakuja kushimama pembeni yangu ilimradi aone kama tachelewa dakika moja tu anifkuze eh jifikirie nilitumika pale myaka miwili natumikisha msk ju kuna aina mbili za mask 😷 tulikuwa tunatumikisha white na brown mimi nilikuwa natumikisha brown myaka miwili.ila siku moja alinitukanaga saprise nakufoka eti hey vuwa iyo mask 😷 kwa kufoka ila iyo siku niliamuwa kuwa makali kidogo na kumuonesha kama yeye ni boss ila Nami ninauwezo wa kuwa na hakhi nilimwambia sitowi hiyi mask ju nina myaka miwili sasa naitumikisha hukuwahi kunikataza wala siku nilianza kazi hukuwahi kunipa the riting kuhusu hiyi mask niliwapigia sim wa kubwa wa kumzidi yeye kwa hiyo kazi na kumshitaki serekalini kumuonesha kuwa nayeye anaweza kuwa chini na nilimwambia sitaacha hiyi kazi ju wewe unataka mimi niiache taacha nikitaka.nilimshitaki wakubwa wakaamuwa kumuhamisha yeye pengine kwenda kutumika ila hakutosheka alipiganisha kurudi penye niko ila nilimpeleka mpaka kwenye Housecoat nilimshinda sheria na kunilipa mimi kiasi gani alininyanyasa na wakamfukuza yeye na kumchukulia vitambulisho Vy ake Hana uwezo wakutafuta kazi popote pale ila ndiyo sheria ya huku Marekani ukimnyanyasa mwenziyo lazima wakuchukilie hatuwa siyo kama kwetu Africa wafanya kazi we zangu waliniambia eh Alima unaroho Ngumu kweli sisi tulikuwa tunamuokopa
@saumseif3815
@saumseif3815 3 жыл бұрын
Hapo 1 , 3, 4,5, nahis bora nitafute sehem nyengine nilikua hapo kazin kwa miaka 10 lkn huu mwaka mmoja tu alipobadilishwa bosi ni stress tupu
@user-fv5bb1iy3q
@user-fv5bb1iy3q 11 ай бұрын
Binafsi nmefurahishwa Santa na elimi yako changamoto yangu kwa sasa sipo vizur kifedha na napenda nipate huduma yako hasa ya vitabu ambavyo vinahusiana na mambo ya fedha na mipango
@imanimwashiuya223
@imanimwashiuya223 Жыл бұрын
mimi hapa uwanga ni kimwambia. natakani kafanyekazi zangu uwaga ukimwambia nataka nika fanyekazi zangu anakwambi subiri nifanye hirni nitakwambia naombakujua hapo kaka yangu
@aishajuma712
@aishajuma712 5 жыл бұрын
Mim bos wangu niki fanya vizur anisifu lakini nikikosea ataongea mchana wote adi kero
@joyceshile-nw1cu
@joyceshile-nw1cu 11 ай бұрын
Mimi boss wangu ananiogopa, kabla hajawa boss nilisha ishi name nyumba Moja, stori zake zote ninazo, nikitoa kidogo ofsini husi ulia mambo yake Kwa wasio mjua ,nikiingia ofisini hunyamaza ghafla, ila taarifa na pewana wengine kwamba boss anakuogopa kwanini?Naomba unishauri nihame kituo hicho au nifanye Nini.
@mshamba5174
@mshamba5174 Жыл бұрын
Kaka kabla ujaaanza kuongea nilishajua bos wangu anasifa hizo zote
@tarrickaziz9327
@tarrickaziz9327 3 жыл бұрын
Kaka mimi boss wangu ana tabia zote hizo ulizo zitaja na maelezo hayo yanafanan kabisa yan ...
@4gtradingimpex201
@4gtradingimpex201 Жыл бұрын
kaka mimi nilikuwa nareport kwa CEO na sasa nariport kwa COO huyu boss anazo hizi tabia zote huyu tunamuhitaje?maana hizi type zote anazofrom september 2022 till now niko katika these kind of boses
@josephkimario403
@josephkimario403 6 жыл бұрын
Duu nipo na boss namsimamia biashara yake vizur lkn hajali utu wa mtu, ukiumwa haangaiki kitu chochote hata kukuliza unaendeleaje
@priscilerehemasongolo7233
@priscilerehemasongolo7233 6 жыл бұрын
Asante sana mimi bosi wangu haniamini nimesikia na nitatimiza
@barakalugasi5731
@barakalugasi5731 6 жыл бұрын
Ipo mzuri sana!!
@ibrahimmtengule2277
@ibrahimmtengule2277 6 жыл бұрын
nimekusoma bro.
@abubakarabubakar3482
@abubakarabubakar3482 3 жыл бұрын
Umetisha brroo !hivi Kaka ikiwa boss wako anasifa zote 6 itakubidi ufanyeje?
@kiflyhassan8582
@kiflyhassan8582 3 жыл бұрын
Ninae Boss wa aina hiyo
@glorysimon2294
@glorysimon2294 3 жыл бұрын
DAH......... BOS WANNGU YUKO TYPE 6, NA TYPE 2
@mudrick7115
@mudrick7115 2 жыл бұрын
Boss wangu yupo katik hatua zote sita lakin huu ni mwaka wa 2 nipo nae
@zainilkanji9141
@zainilkanji9141 2 жыл бұрын
Safi
@gxonmkusu1770
@gxonmkusu1770 5 жыл бұрын
BROO KUNA MABOSS AU MAMENEJA WAMECHUKUA AINA KAMA TATU APO
@neysanga
@neysanga 5 жыл бұрын
Kila siku napiga hatua mpya
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 6 жыл бұрын
Me sijawai kukutana Na aina yoyote coz boss wa alikua babamdogo
@matokeomudende3414
@matokeomudende3414 4 жыл бұрын
Mimi ninao was hivo
@thomsammy5741
@thomsammy5741 4 жыл бұрын
Maboss hao nimeshakutana nao
@hassaniabdalah1516
@hassaniabdalah1516 6 жыл бұрын
Apo ninao wawili namba mbili yaani indifferent na abusive jerk
@hassaniabdalah1516
@hassaniabdalah1516 6 жыл бұрын
Hasa wa indifferent toka amekuja hajawahi nipongeza pale ninapo fanikiwa hassaniabdalah64@gmail.com
@khadjiaal7absi124
@khadjiaal7absi124 5 жыл бұрын
Mbona watu kama hawaniwengi
@barikipeter721
@barikipeter721 6 жыл бұрын
Wote nko nao hao ila asantee
Jinsi Ya Kuongeza KIPATO CHAKO SEHEMU YA KWANZA (PAR 01)
21:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 25 М.
LIFE WISDOM : IJUE NGUVU ILIYOPO NDANI YAKO - JOEL NANAUKA
15:34
Joel Nanauka
Рет қаралды 15 М.
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 12 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 170 #shorts
00:27
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 29 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 87 МЛН
NJIA 6 ZA KURUDISHA HESHIMA KWA WANAOKUDHARAU.
14:38
Lazaro Samwel
Рет қаралды 20 М.
Ishi Katika Uwezo Wako Wa Kipekee Sehemu Ya Kwanza
17:27
Joel Nanauka
Рет қаралды 104 М.
Jinsi ya kujiandaa kuwa mjasiriamali kabla ya kuacha kuajiriwa.
59:26
Personal Finance Hub
Рет қаралды 17 М.
Aina 9 Za Wanawake Watata
13:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 104 М.
Kanuni Tatu (3) Za Kufanya Kila Siku Ikupe  Mafanikio 100%
5:43
Joel Nanauka
Рет қаралды 46 М.
Dr. Chris Mauki : Dalili Sita Za penzi Linaloegemea Upande Mmoja
11:55
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 12 МЛН