Kama kawaida yako ni kushusha madini tu. Chakula cha ubongo wetu. Asante sana @joel
@danielmlwafu43802 жыл бұрын
Connection! unapoona connection Ngumu mukabidhi Mungu atafanya njia
@EnockBornwinnАй бұрын
Namshukulu sana Kwa kutufungua fikra zetu ila ninaomba kujua naweza kutumia njia gani kupata watu watakao thamini kitu ninacho kithamini Mimi pia men's kwenye biashara au huduma 🙏🙏
@rachelelimeleck88202 жыл бұрын
Yeah knowledge based connection👍 I enjoy n gain extra knowledge
@dausonkagumbu93783 жыл бұрын
Barikiwa sana Mwamba Joel Nanauka, you always inspire me, you are my coach, ww ni mtu pekee sijawahi kukuona kwa macho lkn nikinaliza siku moja sijaangalia video yako KZbin nahisi kama nimepungukiwa na baadhi ya vitu kichwan, Mungu akubariki azidi kuwa nawe
@frankmsangi2 жыл бұрын
asante sana broo kwa somo lako social network connection ambayo ninayoiitaji ni kukufatilia wewe kila siku ili niweze kuboresha maisha yangu🙏God bless you Joel🙏
@Karagwetz3 жыл бұрын
Asante sana teacher wangu, napenda sana madini yako. kifupi namiss connection kama tatu hapo kabisa ila hasa Sponsor connection. Mungu akubariki sana
@ussiussi34133 жыл бұрын
Ahsante sana mwalimu kwa elimu hii.
@hellenismail43513 жыл бұрын
Ur the best among the best my super brother Nanauka...Uzidi kupaa na kuongezekaaa always🥳🥰
@Liveapp-h2e7 ай бұрын
Asante sana bro kwa elimu nzuri ,sasa nina connection na watu wanaofuga kuku ,pia watu wa masoko ,ila nimetafuta ila nimetafuta video ya namna ya kuweka bajeti siipati.naomba usaidizi bro.mungu akubariki sana
@richardmadede99743 жыл бұрын
Mungu akubaliki kwa kuendelea kufungua fahamu zetu
@anastasiamainaministries27003 жыл бұрын
My mentor you never disappoint..my connector you feed me with Knowledge and power GOD BLESS YOU..KENYAN WACTHING
@alnejom72793 жыл бұрын
Umenibariki sana Mwalimu Mwenyezi MUNGU azidi kukupa maarifa nasi tuweze kujifunza zaidi
@aidanmbilinyi81843 жыл бұрын
Yan the way unvofny mafunzo nkisom vitabu vyako nkuon km ww kweny kitbu kabisaaa aisee Asante san uncle Joel kwa vitabu nitavifnyia kazi soon nkiingia kazini
@maribasimon69933 жыл бұрын
Ahsante kwa somo zuri
@EnyHonesmo-hj2di Жыл бұрын
1 Interest based . 2) Achievement based connection.
@avitusjovin3 жыл бұрын
Asante kaka napenda Sana vipndi vyoko ase unaniaelimisha mno
@AliMohamed-wp1op3 жыл бұрын
Leo nimemaliza kusoma kitabu cha nne kwenye vitabu vyako ulivyonitumia, I do congratulate you for the Great Book NIFANYE BIASHARA GANI, kimenifungua macho vizuri👍
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Ipo powa
@shangwempeleka76093 жыл бұрын
Ahsante sana mtaalam na invisible mentor wangu 🙏🙏
@fedharmmark63983 жыл бұрын
Nimekuelewa vzr Kaka najifunza mengi sana kutoka kwako na masomo yako ,Ubarikiwe sana Kaka 🙏
@tausihasheem51692 жыл бұрын
God Blessed you 🙏🙏
@nemmymtango36823 жыл бұрын
Ahsante sana kiongozi kwa somo zuri barikiwa sana
@thearobart42483 жыл бұрын
Pamoja Joel tuko pamoja zaidi katika kufanyia vitendo
@christiangold14123 жыл бұрын
The greatest life time lesson
@benjaminmdenzi67283 жыл бұрын
Thanks a lot my mentor of the on going century
@ramadhanimaulidi47433 жыл бұрын
Interest based connection,inakuwa tatizo kuipata kawa upande wangu,nisaidie njia ya kuwapata
@liberatussylvanus54773 жыл бұрын
Hua namwelewasana joel nanauka
@josephpaul1933 жыл бұрын
CONNECTIONS 1.interest based connection 2. Achievement based connection 3 knowledge based connection 4.social network connection 5.promoter connection
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
Ni jambo Nzuri sana
@gwamakamalema26963 жыл бұрын
Nimependa sana hili somo na nimejifunza leo
@YonaSembeti-tc3jt Жыл бұрын
Ase nimeanza kukufatilia leo lakin Daaah nimejifunza pakubwa sana ni mengi nimejifunza Ase mwamba uishi miaka zote
@ombenmwalukasa70832 жыл бұрын
Kaka hongera kwakazinzuli
@isaacmwamba77803 жыл бұрын
Somo nzuri sana
@fasahaproductstv6383 жыл бұрын
Ahsante san nanauka kw kwel umezngumzia topic nzur san mn "U're Network is u're networth"
@francismtaki59793 жыл бұрын
Good hints can't explain
@bernadetachari76482 жыл бұрын
Ushauriwako kwelinimuhimu sana
@richardmadede99743 жыл бұрын
Daah nimemiss connection nne ya interest, social,promoter,na networking.
@Mhandisi20082 жыл бұрын
Social connection ndio mlango wa kufungua connection zingine zote hapo, ukijua kucheza na social connection unapata unachokihitaji...
@highlymotivated23843 жыл бұрын
Ni kweli... Imeeleweka hiyo
@grandsonmasoud97533 жыл бұрын
Shukran kaka
@neemangwelo11383 жыл бұрын
Nimependaa na kujifunzaaa
@isackchaisike61992 жыл бұрын
Nice Mr Nanauka
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Safi sana
@vitusantony38833 жыл бұрын
Asante 🙏
@ruthmwakyusa7053 жыл бұрын
Kwakweli nazidi kupata kitu,kila siku kupitia masomo yako mbalimbali,Mungu azidi kukutumia.
@charzysimion90553 жыл бұрын
🙏🙏nakuelewa bro
@tumainselestine3398 Жыл бұрын
Mfalme Sulemani alisema hivi:- " Tena si vizuri nafsi ya mtu ikoswe maarifa". Hivyo ni muhimu sana kila siku akili ilishwe kitu kipya hii itasaidia kuongeza chachu na ladha kwa huyo mtu.
@mwajumahaji82833 жыл бұрын
Asanteee kaka kwa somo zuri
@matildajustin70812 жыл бұрын
Achievement based
@wilsonsimangwa82383 жыл бұрын
Asante Joel
@josephkibate57973 жыл бұрын
I have a problem in social network connection area
@letionnews3103 жыл бұрын
Thanks again
@Mkaambali3 жыл бұрын
Asante , see you at the top.
@kevinkitigwa86893 жыл бұрын
Uko poa sana jembe , mimi kiukweli Nina uhitaji wa vitu vyote hivyo
@yustamkosyange-gb7jl Жыл бұрын
Naendelea kujifunza nahisi Hawa wote sina
@gabbymaro64033 жыл бұрын
Zote boss Wangu
@hemedhajikiumba Жыл бұрын
Kk mimi sina conection promotar nifanyaje mkuu niweze kuwapata
@marklekasango9300 Жыл бұрын
Nipo dodoma kitabu chako nitakipataje??
@allyalvin50223 жыл бұрын
Me natamani nipate watu wa kupromoter kaz yangu
@AliMohamed-wp1op3 жыл бұрын
Kweli, connection ni muhimu lakini connection za Biashara zina uhasidi na ni ngumu sana kupata atakaye kutakia mafanikio kwenye Biashara. WHERE THERE'S MONEY THERE'S HATE AND JEALOUSY
@ahz69073 жыл бұрын
Kuna ukweli fulani 😊
@AliMohamed-wp1op3 жыл бұрын
@@ahz6907 yes
@hashimumisanya78993 жыл бұрын
Kweli kabisa but we need to do it no matter what. Cha msingi ni umakini
@brendamunuo68442 жыл бұрын
Connection ambayo nilikuwa sina ni achievement based connection na interest based connection.Thanks
@theatlastz673 жыл бұрын
Kaka Mungu azidi kukulinda, Maarifa tunayo yavuna kwako ni shule ambayo iko siku tutajivunia kwa suscribes channel yako. Nimechagua kuwa Upande wako Maana mara zote unipa kile ambazo mimi sina
@issazambiko6489 Жыл бұрын
Kaka mi nataka baasi ya vitabu vyako nipo Kigamboni navipataje kwahuku?????
@shakazulu85322 жыл бұрын
Thankssss
@faudhiasalum72793 жыл бұрын
Yes
@georgekabadagu5293 жыл бұрын
Mimi Sina connection natafuta Ila sijapata!!
@Kissa.Mwakibinga3 жыл бұрын
Promoter connection.... 👆🏽
@khadijakisingo79203 жыл бұрын
Nakuelewa Sana joel
@winequeen80173 жыл бұрын
Helooo sir I really need a copy of ur book TIMIZA MALENGO yako I’m getting a hard time looking for it
@saummakwega31373 жыл бұрын
Promote connection
@jmedia96313 жыл бұрын
Karibu kijota hull high school ningependa utembelee shule nakosoma maana wapo wengi wanahitaji kufahamu mengi mi nakwenda mpaka likizo ijayo byee
@awamkhalid55713 жыл бұрын
Maeneo yote n muhim ila interest based connection n muhim sana na imenifany nifanikiwe
@zaynabkhaithum18003 жыл бұрын
🙏🙏
@hillarycharles97043 жыл бұрын
Broo niunge kwwnye group lako nweze kujifunza
@AdacharityColeman3 жыл бұрын
Well understood
@joycemoshi-zc7ie Жыл бұрын
Promotors connection
@anthonykimario66673 жыл бұрын
Siri kubwa hii
@fastonngatulile66283 жыл бұрын
Nimekupata mkuu
@Mlevimedia3 жыл бұрын
Mimi hapo nina shak na Promota
@Udindigwa2 жыл бұрын
Ya Tano
@mohammedmshiraz753 жыл бұрын
👍👍👍👍👍👍👍
@RONALDOTRUCKDRIVER3 жыл бұрын
Teacher
@sanggroupofcompanylimited.3 жыл бұрын
Kwangu mm social network connection ndio angalau ninao watu wachache. Kwangu mimi imenisaidia sana maana kuna watu wananipa mzigo bure niuze,kupewa pesa. Pia social network ninayo ya madocta,mwanasheria.
@hammyyombe52293 жыл бұрын
🙏
@shubackmashinga35353 жыл бұрын
💪💪
@alexbushishi83423 жыл бұрын
Promoter connection
@asnathabraham70943 жыл бұрын
Nina miss community connection na promoter.
@bibianaalfred84443 жыл бұрын
Connect ya pili ni shida sio rahisi mfanyabiashara leo kukueleza mambo yake
@coletashirima21933 жыл бұрын
Ukiwa rafiki ake anakuambia utajua kimoja kimoja tu
@highlymotivated23843 жыл бұрын
See me at the top Brother 🥳 🥳🥳
@Udindigwa2 жыл бұрын
%100
@martinbanda63823 жыл бұрын
Kwenye social connection inatakiwa mtu awe makini sana, maana Kuna mtu unaweza kumshirikisha jambo lako ghafla anaanza kukuonea wivu na chuki zinaanza