Asante sn tumejifunza na tunaendelea kujifunza kwa uwezo wa mungu . Hongera kaka
@khadijakisingo79202 жыл бұрын
Joel nanauka niseme tu Asante Sana mm kwa mara ya kwanza kisafiri nje ya nchi nimefeli mara mbili 2016 nilisafiri sikumaliza mkataba wa miaka 2 ila nilikaa miezi 6 tu nikarudi tz nikasafiri tena 2017 nikakaa miezi miwili badala ya miaka 2 ila sasa nashukuru mungu ni mwema sikukata tamaa nikarudia tena kusafiri sasa nikamaliza mkataba miaka 2 nikaja tz likizo nikarudi tena kazini na sasa namaliza mkataba miaka 2 jumla miaka 4 na kazi Bado inaendelea coz mungu kanifungulia njia mwanga nauwona 🙏💯
@ibraimoissiaca60583 жыл бұрын
Kubwa sana hii
@clementgabriel17082 жыл бұрын
Nmelielewa somo brow binafsi kinachonifelisha ni kuchelewa kuanza nilikuwa nahtaji sana kuanza na kikubwa ahsante sana kwa somo hili
@teacherpeter24753 жыл бұрын
Nilikuwa nasubiri hiyo ya tano... 💪💪💪
@kassimbakar27803 жыл бұрын
Yaani mkuu mm naona umepiga kwenye mshono zote mm nahusika
@judithsalvatory28923 жыл бұрын
Mungu alikuumba kwa kusudi
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Kazi nzuri sana I always love this Story
@Dulla_kite4 ай бұрын
Shukran sana professeur Joel 🙏🏼
@manenolugendo63963 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana
@leinalukosi28522 жыл бұрын
Barikiwa Sana kakangu kwa mafunzo yako mazuri
@mussamigeke98433 жыл бұрын
Na kingine ni kuwapa kipaumbele wengine nikiamini ni moja ya. Mafanikio
@judithsalvatory28923 жыл бұрын
Kuogopa kuanza!!!
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
Sauti ipo sawa kabisa
@mrjulius58403 жыл бұрын
We jamaa unatisha aiseee MWAKANI naanza KUJENGA NYUMBA YANGU😘
@abilityemmanuel30003 жыл бұрын
Kuchelewa kuanza brother
@ibrahimsamwel9663 жыл бұрын
Joel huwa napenda mashati yako uje unipeleke unaponunuaga
@dijohbanks43123 жыл бұрын
I see you at the top braza
@badybady48973 жыл бұрын
Bro ubarikiwee unatuokoa vijana wengi San
@jamesndabasho40333 жыл бұрын
Binafsi mimi Hofu imechangia kwa kiasi kikubwa sana kufeli
@mussadismass93063 жыл бұрын
Santee san kwasomo zur
@ngendakumanasalumdiki28473 жыл бұрын
Kwakweli hongera
@monalisalebasoto25383 жыл бұрын
Kuchelewa kuanzaaaaa
@Risefelix3 жыл бұрын
Nafikiri kutokulipa gharama na kuogopa kufail hii imenichelewesha sana
@neemajoseph79613 жыл бұрын
Kaka joel ujakosea nashukuru kwa video hii endelea kutuelimisha # your my HERO 💪
@japhetjohn56973 жыл бұрын
Kuanza Safari hiii ni janga moto kwangu.
@thobiasjsshechambo8683 жыл бұрын
Ahsante kwa Darasa. Kuchelewa kuanza na gharama ya Muda ni jambo linalonirudisha nyuma, lakini nimejua cha kufanya, ahsante sana na Mungu akubariki
@gilbertwanje3 жыл бұрын
Vyote vinanihusu mimi
@Haleem_073 жыл бұрын
NGULIIII 🔥🔥🔥🔥🔥 it's me ABDULHALIM FROM ZANZIBAR 🔥🔥🔥🔥
@sadockyekonia64863 жыл бұрын
God bless you Mr Joel Nanauka uende mbele zaidi
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Ahsante. Baba
@Haleem_073 жыл бұрын
Mkuu ahsante sana...
@luhumbyapaul30273 жыл бұрын
Ukweli muuno nakupenda kaka Joel.nimeshindwa na kuanza juu yaoga sijui nikwanini napesa yakuanzisha biashara ninayo.naomba mawaidha in box nijitowe kwa iyo giza ya uwoga
@olivanooraladin54363 жыл бұрын
Yaan kila siku naipata kitu kwako
@olivanooraladin54363 жыл бұрын
Hofu kwakweli ndio shida yangu natamani kuanza lkn hofu yangu ni kufeli na kuanza Asante sana
@shamimually14843 жыл бұрын
Thanks a lot brother Joel...kiukweli hofu ndio chanzo Cha kutokuendelea
@Directortomwillz3 жыл бұрын
Amenena kwl Joel kzbin.info/www/bejne/gGrchGduhdehnMk
@abdullyghadilzungu32363 жыл бұрын
Nakukubali Sana kiongoz wang nabadilisha Sana mtazamo na maisha yangu kwa kile ninacho jifunza
@hurumalenanga2873 жыл бұрын
Kaka makina
@lucianambalamwezi18643 жыл бұрын
Asante kaka nakufuatilia mnooo na ninajifunza mnooo kupitia wewe brother, May God keep you alive for our generations amen.
@japhetmkumbwa48643 жыл бұрын
AHSANTE Sana Kaka kwa ushauri wako... Exactly in our life is not about competition but is about all completion, start early in order to avoid procrastination, kukimbia gharama za kupambana na kujikuza katika malengo Yetu🙏🙏 na mwisho kushinda hofu ya kufail. AHSANTE Sana Sana Sana Kaka. Umenipa Nguvu Leo kubwa. Be blessed and God protect you always and always you're my coutcher of my life
@isayalolitimolel17983 жыл бұрын
Brothar asnte kwa elimu unaendelea kutupa kila siku, ubarikiwe na Mungu sana. Kwa kweli kikubwa kinasho nifelisha nimasingira niliyokuwepo aifanani na malengo yangu ndo shida niko nae Asante
@victorjohn86713 жыл бұрын
Kuchelewa kuanza
@helenamusa4323 жыл бұрын
Mr Joel hofu ya kufel mi ninayo
@aderiderkihupi72403 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri.
@Directortomwillz3 жыл бұрын
Amenena brother angu Joel kzbin.info/www/bejne/gGrchGduhdehnMk
@stanleyandrea51533 жыл бұрын
Kuchelewa
@yohanageorgekika22403 жыл бұрын
Asante mwalimu kwa somo nzuri.
@faudhiasalum72793 жыл бұрын
Hapo kwenye kushindana sasa🤔🤔🤔🙏
@rwezauladonny3 жыл бұрын
Asante sana Kaka Joel ubarikiwe Sana najifunza mengi kupitia mafundisho yako
@mussamigeke98433 жыл бұрын
Kuogopa kufeli kaka ila nashukuru kwa elimu nzuri unavyoendelea kunielimisha Na kuwaelimisha wengine
@dismassiragoye73712 жыл бұрын
Thanks brother, if you can I would like to talk to you personally
@revianusrevocatus26383 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka
@farajhassan17753 жыл бұрын
Ahsante sana kaka 🙏
@waridyhomesteady98083 жыл бұрын
Great massage and inspiration🙏Hii kitu inayoitwa hofu inatukwamisha saaaana yan
@aidankazoba66993 жыл бұрын
Hiyo ya kulipa gharama kwa kweli imekuwa ikinitesa sana kwa muda sasa ila ninapojifunza nahamasika kuanza kuzilipa gharama.
@renaldmrosso5883 жыл бұрын
Kaka ntaanza Leo Ndoto yangu umenihamasisha hahaha sitaogopa tena
@ismailkatanga66113 жыл бұрын
Thanx bro🙏🙏
@januaryjanuary63883 жыл бұрын
Vema kabsa bro, endelea kutuelimisha
@abdultandala65763 жыл бұрын
Nimekuelewa sana bro👏👏👏👏
@Directortomwillz3 жыл бұрын
Thus really bora upambane na utayari ni muhim kzbin.info/www/bejne/gGrchGduhdehnMk
Suala la kulipa gharama Mr Joel Ninalengo lakuwa Mwalimu Bora Sana Wa Geography lakini Naogopa kucha Usingizi Kwa ajili yakusoma sana Nisije nikaumwa So nafanyaje Kukabiliana na hili.
@alexicvangervac82013 жыл бұрын
Big up bro ✊🏼
@aminasaid65553 ай бұрын
Sahihi
@mussamigeke98433 жыл бұрын
Asante sana kaka
@vedastokeya33443 жыл бұрын
Kuchelewa kuanza ndio tatizo kwangu
@kadadadaacharles6082 жыл бұрын
Kaka yang kitabu nakipataje Kaka yngu maana natamani kuvipata vitabu vyako Kaka yangu:
@bensonjohn54003 жыл бұрын
Shukrani
@victormartin116710 ай бұрын
Je ww umefanikiwaje?
@thomaskibada70563 жыл бұрын
Thanks bro
@jollityjorgan59203 жыл бұрын
Asante Sana🙏🙏🙏🙏
@ritawambura6093 жыл бұрын
Na changamoto kubwa cina plan yoyote yaan inaumiza
Kwakwel sitaki kushindana namtu wala Kufanana namtu,,,, nataka kua mbunifu wa kufanya mambo ya kitofaut kabisaaaa na kwaumakin,,
@yemk21053 жыл бұрын
Kuchelewa kuanza na hofu ndo kitu kilichokuwa kinaniweka nyuma
@HusseinJuma-hn5go3 жыл бұрын
Kaka mm naitwa suleimani juma Hussein Nina hitaji kitabu chako cha (Timiza malengo yako) nitakipataje na ghamaa zakee??
@Directortomwillz3 жыл бұрын
Kwl kuwa na malengo na kutimiza ni tofauti ila kujitoa kwa hali na mali bila kujali hasara yke utafika utakapo lkn Joel umeongea deep zaid nakukubali sana apoo umenena kzbin.info/www/bejne/gGrchGduhdehnMk
@deogratuskapunga64503 жыл бұрын
Tupo mafundisho ya tulio zama kwenye kamali kak tunapata tabu