Pumzika kwa amani baba Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani.....amen×3
@leodegarfoyanshaw71112 жыл бұрын
Speech yako Mh. Mkapa yanathibitisha wewe ni genius. R.I.P baba.
@maverickcreativesolutions82854 жыл бұрын
This guy was a real G. we have lost a champ.. You will always be remembered
@mawananasoro44054 жыл бұрын
Buriani baba nimeumia sana mzee wetu sina la kuongea nakuombea kwa mungu akupokee watanzania tutakukumbuka daima
@eliasakhamisi96194 жыл бұрын
He was a legend a good president we should continue his legacy forever R.I.P our president
@malugukushaha67644 жыл бұрын
R.i.p Benjamin Willium Mkapa.we will remember you our former president.
@elardmadeez33824 жыл бұрын
R.I.P BENJAMIN WILLIUM MKAPA WE WILL MISS YOU OUR SRTONG FORMER PRESIDENT
@devothamwamwezi20364 жыл бұрын
Shujaa ameenda jamani Rest in Peace milele tutakukumbuka
@hnry33henry494 жыл бұрын
Mungu akuweke mahali pema
@neemamturi32734 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mzee wetu ulitupenda nasi tunakupenda lakini Mungu amekupenda zaidi.
@mwambamkombozi46724 жыл бұрын
Muuaji mkubwa dhalim number one we will never forget. Allah ndie hakimu.
@mariamramadhani61854 жыл бұрын
Duh
@jackmichael19534 жыл бұрын
@@mariamramadhani6185 nashangaa kama nini sijui binadamu tupoje jamani mtu akijalalia huku unatoa maneno mazito ambayo hata hakusikii, simngesema wakati alipo kuwa hai ili ajue amekosea na awaombe msamaha? Huyo allah unaemsema huenda mwenzio alishatubu na pepo anaiona wewe huku unabaki kuidhurumu nafsi kwa maneno mazito.
@alinadee82074 жыл бұрын
Tena km muuwaji asisemwe
@mwambamkombozi46724 жыл бұрын
@@jackmichael1953 hujui ukisemacho alijidai kuwa atawalipa fidia alipwaua na wengine kuwatia vilema na kuwasababishia watu kuwa vizuka na wengine kuwaacha kuwa mayatima
@joycemwambe34944 жыл бұрын
RIP baba ,babu,mjomba tutakukumbuka daima
@davidsekile86334 жыл бұрын
Ukamilifu wa kiumbe chochote kilicho hai One Giant has Fallen Rest in Peace Former President
@emilymideva87834 жыл бұрын
Rip poleni sana familiar #254🇰🇪🇰🇪
@cruzzyborn14354 жыл бұрын
Naitwa William kwa7bu yako RIP wajina Mungu kakupenda zaidi upumzike mahala pema peponi Amen
@kishimbamusic51164 жыл бұрын
Mzee mkapa katika uongozi wake hakupendelea. Watumishi na wasiowatumishi wote walipata stahiki zao
@ebenezerysimon45874 жыл бұрын
Inauma sana Mungu mpokee kwako mbinguni😭😭😭😭😭
@petromkoyi61024 жыл бұрын
Rest in peace our former president
@lengoonelaandare96604 жыл бұрын
Hakika utakumbukwa kwa mengi uliyo yatenda R.I.P
@ferouzmasoud47414 жыл бұрын
R.I.P Mkapa
@estermeshack6104 жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pema pepon Rais wetu awam3,tulikupenda sana ila Mungu kakpenda zaid
@hinedmaganga63514 жыл бұрын
May God pay u for the good things and changes that u made during your life time
@davidosotsi70464 жыл бұрын
Rambi rambi kwa kupoteza Rais Mkapa Poleni Mungu awarehemu
@shammusfredy41584 жыл бұрын
Hayo maneno ataenda kuyamalizia mbele ya Allah , na akajibu mashtaka ya mauwaji ya wazanzibari
@jackmichael19534 жыл бұрын
Mkapa aliwaua au ilikuwaje?
@josephignas34364 жыл бұрын
Una uhakika? Wewe ndo uangalie usije ukaenda motoni kwa kusema maneno usiyo na uhakika nayo
@shijabrayan47644 жыл бұрын
@@josephignas3436 aa kumbe iv aliwauaje ebu2pe uo ubuyu lafiki e2
@rashidalihamad72284 жыл бұрын
Upumzike salama BWM na Mungu atakulipa kwa uliyoyatangaliza, zaidi kwa ulichotufanyia Zanzibar
@aishamuhammad77854 жыл бұрын
Yeah, malipo yapo na mlipaji hasahau ala hafi
@kwizeraelly92614 жыл бұрын
Umepigana kwa ajili ya nchi yangu Tanzania na mwendo umeumaliza baba kwa kheri tutakutana mbinguni.
@lamecklutahiwa85034 жыл бұрын
R.i.p mzee MKAPA Mungu akulaze mahali pema peponi amin
@happykimaya27624 жыл бұрын
Hakika kila nafsi itaonja umauti. Pumzika kwa amani mzee wetu!
@danieljulius11634 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima kiongozi mwadilifu hakika Tz tunajivunia marais wote tulio wapata tangu enzi ya Baba wa taifa
@IDSM_ConsultancyTraining4 жыл бұрын
Rest in Eternal Peace
@safiaothman10984 жыл бұрын
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raji'uun.
@immanuelrobert5694 жыл бұрын
Inauma sana, , ,
@abuutasniym26754 жыл бұрын
Nyinyi mnao sema R.I.P. (Rest In Peace)/Pumzika kwa Amani. Hivi mnadhani kaburi ama akhera ninyumba yenu ata mumwambie mtu pumzika kwaamani? Wewe kama mwanaadamu nahususan kama wewe ni muislamu basi haikupasi kusema maneno hayo kwayeyote yule. Mamlaka yakusema maneno hayo niwewe kumkaribisha mtu nyumbani kwako ama kazini kwako au ofisini kwako tuu kwasababu hizo nisehemu unazo zimiliki wewe kwahio unayo haki yakumwambia mtu pumzika kwa amani nautulivu pia Ila maisha yakaburini ile sio nyumba yako huna mamlaka Bali wewe inakufalia kusema Allaah akurehemu/akusamehe/akupe kauli Tahiti. Apo utakua umemuombea dua kwa kumuacha Allaah afanye kinacho stahiki. Ama kusema pumzika kwa amani hilo neno halifai kwamuislamu kulitamka
@michaelhyungim81744 жыл бұрын
That's the problem with Islamic, too much religious. Ya nini kujifanya mtu wa dini dear ?? Huh , kwani unazani hawo waislamu wanao comment R.I.P hawajui maandiko ya Quran. Kumbuka hapa kuna watu wenye dini za kila aina na kila mtu ana commenting anacho taka . So shut up
@piusacademic32564 жыл бұрын
Jarjaani Gezina ww ni mjinga sana pia yafaa kukuripoti tcra. Kuna laana inakutafuna si bure. Comment zako zote ni za kipumbavu. Kama unajua kuwa hukumu ni ya Mungu pekee sasa mbona ww umeingilia kazi za Mungu kwa kuhukumu wenzio akiwemo Rais wetu mpendwa marehemu BwM? Jirekebishe.
@abuutasniym26754 жыл бұрын
Wewe katoe tuu ripoti hivi unadhania mm naogopa hebu nenda haraka naona wachelewa
@abuutasniym26754 жыл бұрын
@@piusacademic3256 Sikulaumu ndugu hio niimani yako wacha mm niwe mjinga tuu kisha kua wewe mwerevu haijalishi Ila pia sms zangu ziko wazi nilikua nimewakusudia zaidi Waislamu
@hazaaahmadhazaa27704 жыл бұрын
Nafikiri hamkumuelewa alichokisema, Anasema kusema " KAPUMZIKE KWA AMANI" ni kama tunatoa amri kwamba " AKAPUMZIKE " ndio maana mbele akasema inatakiwa mtu akifa tumuombee asemehewe makosa na apokelewe vizuri huko aendako, sioni kama kuna tatizo kwenye dhamira ya alichokisema. Sasa mtu ukipewa machaguo mawili umfanyie mpendwa wako aliyefariki kati ya 1.kusema "PUMZIKA KWA AMANI" AU 2.KUMUOMBEA MSAMAHA MUNGU AMPOKEE VIZURI sijui utachagua kipi kati ya hayo!??
@rhodatoroka26274 жыл бұрын
Umemaliza mwendo umevipiga vita vilivyo vizuri imani umeilinda pumzika kwa amani our former president Benjamin William Mkapa!
@paschalcharles79864 жыл бұрын
Rest in peace our president mkapa
@franklugalamila35774 жыл бұрын
duuuh mungu akupumuzishe kwa amani
@boniventurenyeura39674 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mzee wetu
@frankopindo7654 жыл бұрын
Nashukuru rais Benjamin Mkapa kwa kuinusuru Kenya kutokana vurugu ya uchaguzi wa mwaka 2007...Rest in peace....
@happydionice3554 жыл бұрын
Rest in piece my president
@erodeshayo86724 жыл бұрын
R I p Mungu akutangulie
@neziafranc34224 жыл бұрын
Umeumaliza mwendo imani umeirinda pumzika kwa amani
@amosmoses78004 жыл бұрын
Mimi ni MLUTHERI na wala sitetereki wala kuhofia kitu. Lakini tunavyoendeshwa na hii serikali chafu ya kiBaguzi ya ccm ni UONEVU mkubwa wa haki za raia. Serikali ya ccm ya KIKATOLIKI ndio iliochukua Utawala baada tu ya uhuru ( uhuru wa bendera ) hadi ivi sasa ccm ya KIKATOLIKI wanaendelea kutawala inchi. Hakukuwepo wala musitegemee kuwepo na Raisi kutoka dhehebu jengine inchini Tanzania. Ata hao waislamu ni mizuzu tu isiojitambua hadi Leo hii. Wengi ndio waliopigania uhuru. Wengi ndio waliouwawa kwenye mapambano. Lakini wengi wao ivi sasa wanatumika kwa ajili ya KURA. idadi yao ni kubwa kwenye visanduku. Kwavile wanajulikana ni Maboya tu. Akili hakuna na Elimu hakuna. Tunaelewa agenda ya serikali ya ccm tokea ianzishwe ni KUWAWEKA WAKATOLIKI INCHINI NAFASI ZA JUU KATIKA KILA MAENEO. JESHINI. POLISH. MAGEREZA. WIZARANI.IDARANI. VYUONI. MAENEO NYETI YA IKULU . MAENEO NYETI YA UCHUMI. MAENEO NYETI YA MIHELA . Uyo aliefariki tunamjua ni mtu aliekuwa akiendeleza na kusimamia AGENDA na MAAZIMIO ya Mzee kambarage. Hatushangazwi kuona mazishi yake yakigarimu maBilioni ya hela za inchi katika kipindi ichi kigumu cha UCHUMI . Embu tusubiri mazishi ya Mzee ruhsa watamfanyia nini ^^^ ccm ni chama cha WAKATOLIKI ..kimeasisiwa kwa malengo malumu. Wapumbavu na Wajinga wataendelea tu kukipigia kura ili wapate kofia na sh 20, 000 .huku wakiendelea kula dagaa wakavu na sembe. Nguo zao viraka vitupu. Elimu kwao inaishia darasa la saba. Ili awe tu mjinga Asione mbele. Hakuna MLUTHERI aliepo ccm ila atakuwa zezeta hilo. Bv
@patrickKitambo4 жыл бұрын
Rip Big Ben😭😭😭
@meddyzambetakis4 жыл бұрын
Alichosema Mkapa: RUSHWA IDUMU 🤣🤣🤣🇹🇿
@zeituniismail29464 жыл бұрын
Pumzika kwa amani hakika tutakukumbuka sana mzee wetu
@abuutasniym26754 жыл бұрын
Hana amani atakayo ipata muuwaji mkubwa uyo amesha anza kukiona kile alicho kipanda Mm siwezi kusahau mauwaji aliyo yafanya Januari 21 mwaka 2001 kule Zanzibar hususan Pemba Watu kunajisiwa nakulawitiwa mke kwamume nawengine hadi leo vilema. Sasa nashangaa kuona mtu mwenye majina yaliyo tajwa ndani ya Qur'an kusema maneno kama hayo Apo hakuna amani kabisa wote walio kufa nakudhulimiwa nakuteseka kwasababu yake wanamsubiri
@zeituniismail29464 жыл бұрын
Hiyo kazi ni ya Mwenyez Mungu yeye ndiye ayajuaye madhambi yetu huwez kuhukumu wewe
@is-hakayussuf99814 жыл бұрын
@@zeituniismail2946 tena una majina mazur Maa Sha Allah
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
@@zeituniismail2946, Hata km lkn pia sote tunajua kua hakua muisilam. Kwa hio mwenye hio kazi ya kuhukumu Allah ameeka wazi ktk Qur-an kwa kusema:- Qur-an 9:113. "Haipaswi Nabii na wale walioamini kuwatakia msamaha washirikina, ijapokua ni jamaa zao, baada ya kwisha bainika kua hao ni watu wa motoni".
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
@@zeituniismail2946, Sasa apumzike wapi pa amani na ikiwa Allah ameshakataza kwenye Qur-an? Zeitun ndugu yangu kinachoelezwa/kukatazwa kwenye Qur-an kina uzito na kizingatie zaidi mana ni maneno yanatoka straight kwa Allah na sio hadithi km tutasema alisikiwa na nani huenda ikawa sawa au sio.
@vanessastafford51204 жыл бұрын
Pole sana Mama Anna Mkapa. Rest In Peace Kamanda
@mpendwamillanzi71664 жыл бұрын
So pity you have gone too soon. Tuta imiss sana hii sauti yenye mamlaka ndani yake.
@paulgideon31884 жыл бұрын
Pumzika kwa aman mzee wetu mkapa
@andreamaiko35604 жыл бұрын
R.I.P rais wangu
@SML20194 жыл бұрын
Salute. Rest in peace
@imanibensoni82744 жыл бұрын
RIP BWM
@ramadhanathuman9404 жыл бұрын
Kapumzike mzee baba msalimie nkurunzinza"
@josephkimani49854 жыл бұрын
R.I.P rais
@hermanmasengo61884 жыл бұрын
Hakika atakumbukwa milele
@wilsonmwenda15094 жыл бұрын
R.i.p father
@zeituniismail29464 жыл бұрын
Pumzika kwa amani hakika tutakukumbuka sana mzee wetu
@kimwerionlinetv55744 жыл бұрын
Hiyo ilikuwa ni Saut iliyojaa mamlaka
@kwizeraelly92614 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima baba uliinua mishahara ya watumishi walidharauliwa hapo zamani na kila mtu ila ukumbukwe kwa kuibadilisha mishahara ya watumishi.Tukutane asubuhi njema.
@diamondgeyser79874 жыл бұрын
Wosia wa Busara na hekima kutoka kwa kiongozi wetu mpendwa( R.I.P BENJAMIN MKAPA)., "MAGUFULI ENEDELEA HIVYO HIVYO MBELE KWA MBELE"
Rais aliyetuanganisha na majirani zetu na wawekezaji.
@J4UPro4 жыл бұрын
Hahahaha hapa kuna kitu
@salehejongo27994 жыл бұрын
R.I.P.
@peterkipenye29834 жыл бұрын
R I P mheshimiwa rais wang
@mustafayasini15594 жыл бұрын
Mustapha yasin mungu ailaze roho take mahali pema
@mpendwamillanzi71664 жыл бұрын
Mimi pia ni rais wangu
@zozohmeed55464 жыл бұрын
R I P baba etu
@janatamoe34664 жыл бұрын
Rest in peace
@omarymussa35354 жыл бұрын
R.i.p
@mirrortvonline85304 жыл бұрын
Tazama kauli ya Magufuli kuhusu eneo atakalozikwa Mkapa :- kzbin.info/www/bejne/eGGtgWSwad54obs
@anwaritekajole43764 жыл бұрын
Rest in peace dady
@J4UPro4 жыл бұрын
Pumnzika kwa amani mzee
@deominja79084 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Mzee wetu
@rechrontv24534 жыл бұрын
HISTORIA YA MH. RAIS BENJAMIN MKAPA (gusa link👇👇👇Kutazama) kzbin.info/www/bejne/lZO5oGSQmMmsg7M
@solomonkikeke27954 жыл бұрын
R.I.P MZEE WETU MKAPA WATANZANIA TUJIFARIJI NA WIMBO HUU KIPINDI HIKI KIGUMU kzbin.info/www/bejne/nZbQepecarmmec0
@hallin95614 жыл бұрын
January 2001 Zanzibar
@aishamuhammad77854 жыл бұрын
Tunaikumbuka vyema
@andreamajjar82564 жыл бұрын
Kulikuwa na nn 2001,Zanzibar ongea tujue
@aishamuhammad77854 жыл бұрын
Andrea Majjar mkapa alipeleka jeshi Pemba wakauwa raia na kuwanajis
@piusacademic32564 жыл бұрын
Aisha Muhammad je midhambi yote unayoifanya ikiwemo ya kulala guest house tena na waume za watu unaikumbuka? Mbona husemi ya kwako unasema ya wenzio? Utakufa vbaya mrudie Mungu wa mbinguni akusamehe dhambi zako wewe. Ujinga umejaa rohoni mwako.
@jackmichael19534 жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 Tuwe na hofu ya Mungu jamani, hivi kweli Mkapa anaweza kuwapelekea wanajeshi kufanya mambo hayo, hivi hatujiulizi kuwa ndani ya vurugu kama hizi na watu wengine huwa wana-take advantage wakati wa mambo kama hayo? Mungu huyu sio wa mtu mmoja kiasi cha kutoa hukumu naye akakusikiliza huenda mwenzenu alishatubu na Mungu amemsamehe na amepokelewa huku nyie mnakumbuka na kuumia. Sisi wenyewe tuwadhambi hatujawa watakatifu/wakamilifu na hatupaswi kunyoosha kidole kwa mwingine.
@psalmjr41454 жыл бұрын
Pumzika kwa amani
@alikhalfan95514 жыл бұрын
Mauti jifunzeni viongozi musijisahau tendeni haki dhulma hazifai
@@jackmichael1953 kila kilicho umbwa kitakufa kila nafsi itaonja mauti lkn binadamu uloumbwa umepewa nafasi ya kutenda mema sio maovu sisi wazanzibari bado hatutosahau alichotufanyia 2001 nyie msifuni kwa mema lkn kila mtenda maovu mwisho wake mbaya binadamu hamuna kitu lkn tunajisahau Sana tunapopata dhamana za uongozi