Yaaani kupitia wewe nimefungua duka la nguo kwa mtaji kidogo nlokuwa nao na umenipa moyo wa udhubutu,,,,, na nikishawekeza vizur dukani,,,,nataka kufungua taasisi yangu bro thank you my mentor yaaan nkiamka asubuh kila cku lazma nikuskilize thank you
@hussenilupepo39395 жыл бұрын
duh kaka iyo namba 1 inanitafuna saana mimi iyo ya take the steps duh hiyo inanisumbua ile mbaya
@ezekielbukha7865 жыл бұрын
Ahsante bro mi Leo nimeamua kufanya biashar, zaman nilikuw naogop kupata hasar
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hongera sana Ezekiel,naamini utaendelea kutuhabarisha matokeo unayoendelea kuyapata
@ckosmah215 жыл бұрын
Umenifanya niwe mtu mwingine kabisa through ur knowledge much respect
@joelnanauka5 жыл бұрын
Wow what a comment.Nafurhai sana kusikia hivyo,tuendelee kushare na nwajifunze pia
@ckosmah215 жыл бұрын
@@joelnanauka sawasawa kka🙏
@lauchungulau92555 жыл бұрын
Teacher Joel aki maneno yako ananipa guvu na matumaini Mkubwa mungu akubariki Sana teacher
@glorykoka64374 жыл бұрын
Mimi namshukuru Mungu hakika naamini sitabaki kama nilivyo kua kupitia masomo yako naenda kuwa viwango vingine .....Mungu wambinguni akubariki sana kaka
@medsonstarlon08054 жыл бұрын
Ahsante kaka Joel nanauka,,,
@alexmichael87355 жыл бұрын
nataman sana vijana wa nchi hii wote wangependa kusikiliza na kusoma vitabu vya hamasa wangenufaika sana
@makoyensolo47305 жыл бұрын
*sitosubiri vitu viwe vingi especially mimi ni students" AM MOTIVATED. asante sana #Joel_Nanauka
@joelnanauka5 жыл бұрын
Kabisa.Hongera kwa kufanya hayo maamuzi
@footballdetailsonly46743 жыл бұрын
Nakubali mzee baba, point kubwa
@marianacharles21945 жыл бұрын
Kila cku huwa unanipa moyo wa kusonga mbele Mungu akubaliki sana
@emanuelmushi68785 жыл бұрын
Kweli kabisa nimesoma historia ya alexnda ;nikajifunza kitu; asante kwa somo zuri:
@Usawa_phonetech5 жыл бұрын
Utabaki juu
@uwimananadia60664 жыл бұрын
🙏🇧🇮misi yose mbanza gushima ntarunva reka nunve!
@Aggie8feb4 жыл бұрын
Ahsante sana Kuanza bila woga wa kutopata, bila kujali najuana na nani, kuendeleza nilichokifanya jana
@thegirl14055 жыл бұрын
Shukraan brother barikiwa sana 👏👏
@alihassanhaiba69375 жыл бұрын
Ahsante sana , mm nipo kwenye point ya tatu live to win, nategemea kwenda India kusoma mwezi wa Tisa mwaka huu ada karibia million 10 per year ,lakin najua nikimaliza kusoma pesa itarudi na nitakua the great like Alexander
@emmanuelgeorge69385 жыл бұрын
Asante Bro Joeli.daah.umenitoa mahali kaka ni kweli mm ni muasilika wa kuogpa kupoteza.na kutojiamini.asante sn
kuondok hofu Na ntaonekanaje,n akukubali sana bro nikiwa Na bando cha kwanza ni wewe kisha mambo mengine hufuata
@fastonngatulile66283 жыл бұрын
Asante ndugu joeri MUNGU akuzidishie
@lucyjuma84782 жыл бұрын
Nakuerewa Sanaaaa Kakaangu 🙏🙏Na Mwenyezi Mungu Akuinue Zaidi Umenifanya Niwe Mtu Wakujiamini Sanaaaa 🙏❤️🤲
@adrianondondeye30015 жыл бұрын
Kipawa chako ni NURU katika mafanikio ya walio wengi wanao kusikiliza. Asante sana nakuombea maisha kama yooote kaka Joel
@joelnanauka5 жыл бұрын
Ahsante sana Adriano nashukuru kusikia hivyo
@husnahassan33445 жыл бұрын
Asante bro somo zuri sn
@patrickemmanuelemmanuel93545 жыл бұрын
uishi daima uzidi kupanda mbegu bora ktk mioyo yetu iliyokata tamaa ya maisha nitaanza na kidogo nilicho nacho
@christinen82915 жыл бұрын
Asante sana baba. Tunakupenda sana Denmark
@richardvalson98685 жыл бұрын
Thankfully brother NANAUKA nilisema ulipo nipo siku zote 🤝🤝🤝
@joelnanauka5 жыл бұрын
Pamoja sanaa
@تةامممن2 жыл бұрын
Naaamuuuu
@deezg53105 жыл бұрын
Daaah broo siku hiz nimekuwa tofauti Sana nafanya mambo mengi makubwa, nikiwaza kufanya Jambo nafanya bila kusita najikuja mtu mwingne na mwenye furaha Sana ... thanks San broo
@joelnanauka5 жыл бұрын
Dah,hii ni habari njema sana.Naamini utaenedlea kuwa mtu bora zaidi bila kurudi nyuma kabisa.
@meshackmwakajwanga83492 жыл бұрын
Head coach to my life ✨ my way to work
@fidiuskalekezi20495 жыл бұрын
I think Sir.Nanauka u was born to make me change and became successful person in my life.nimebadilika sn kwa muda mfupi nimekaa kwny ajira for 7 yrs bila kufanya mambo makubwa lkn nina almost 7months now following u nimebadilika sasa na kuanza kufanya mambo nakuishi kwa furaha zaidi ya miaka yote saba kazini
@shadrackmchele83125 жыл бұрын
Kuna kitu ndani yako mkuu safi sana hakika nakuelewa sana
@goldensir82235 жыл бұрын
Amen
@douglasradley66985 жыл бұрын
kaka Joel Nanauka kupitia video hii inanipa tena motivation ya kufanya mambo nimejiwekea napaswa kufanikiwa nataka talehe 10 AUGUST 2019 nikuwe na pesa one million kwa ajiri yakucheza michezo ya ulaya kwenye betting ndio ndoto yenye niko nayo na kwa saa nitakuwa nawekeza 2000 na nimepiga hesabu nitatumika 490 hours manake itakuwa 980 000 NAAMINI KAMA ITAWEZEKANA... na nitakushuhudia kama nimefanikiwa
@johansenjackson9604 жыл бұрын
Asante bro somo nzur ubalkiwe🙏🙏
@تةامممن2 жыл бұрын
Kabisa 💯💯💯💯💣🙏🤲🤝
@queenmwashilindi63884 жыл бұрын
Kazi nzur sana kaka
@naamohamed99644 жыл бұрын
Asante Mungu 👐
@361NEWS5 жыл бұрын
nilikua naogopa kufanya mambo but kwakua na hofu but mafundsho yako yamenifanya niwe tofaut na kujiamn hakika mpk mwaka ukiisha ntakua nimetekeleza lengo langu kubwa naamn na nnaweza
@hemedimuna14005 жыл бұрын
I'm Hemed nipo tandale kázi yangu nï dereva wa boda boda pia ni dereva wa magari makubwa badò nina changamoto nyingi ktk maisha yangu najituma sana lakini sijapata kile ninacho kiitaji sijui nakwama wapi naìtaji msaada wako
@tungaraza77945 жыл бұрын
Umenisaidia sana brother nothing to pay you but praying for you...nilikuwa mwoga sana hasa kwa kuona watu watanionaje,what if nikifail
@joelnanauka5 жыл бұрын
Daha,hili ni jambo kubwa sana na nafurahi sana kusikia hivyo.Ahsante kwa prayers zako,nathamini mnooo
@judithnjunwa66685 жыл бұрын
MUNGU kaweka kitu ndani yako.( teaching) nakuelewa mno/
@astonelieza83755 жыл бұрын
I real appreciate you Nanauka
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
Nakushukuru sana
@irenembilinyi46285 жыл бұрын
Barikiwa Sana Joel, nimekueleea sanaaaaa
@zuhuraabdillah69415 жыл бұрын
taking a step this is challenge for me and many people because of fear. thank you for sharing i can take a steps now🙏🙏
@joelingoroka385 жыл бұрын
Napenda xan mafundishoyako kaka ..mungu akubark san
@leonardnkwera49085 жыл бұрын
Asante Joel. Nitahitaji kukupa experience yangu mwishoni mwa mwaka huu, ili ukawafikishie na wengine. Najua una means kubwa ya kuwafikia vijana wengi sana. See you at the Top.
@joelnanauka5 жыл бұрын
Dah,naisubiri kwa hamu sanaaaaa
@yusufushillah41922 жыл бұрын
Naam nnaanza kuchukuwa hatuwa na hiki kidogo shukuran brother
@aineadavddy75305 жыл бұрын
Mungu akubark sana Mr Joel kwa mafundisho Yako Mara nying wa2 2mekua Ni wa2 Wakutaka faida2 nakuogopa rose Maisha yanataka ujasir ubarikwe sana
@godfreymatata18315 жыл бұрын
Much great brother,!!! .thanks much be you inspire me sooooooo much
@patmosatmove78735 жыл бұрын
Wauuh good teach!immediate act on a thought,that is a challenge for me
@biubwaahmadi405 жыл бұрын
Ahsante sana kaka Joel kwa leo. Nnachotakiwa kufanya ni kujenga siku katika mafanikio yangu ya jana. Ubarikiwe.
@l.fnaturalfoods72325 жыл бұрын
Well said brother
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
Safi sana
@wiseentertainment72105 жыл бұрын
point ambayo naanza kuifanyia kazi leo na ambayo imenisaidia sana "usisubiri kuwa na vingi" asante Joel
@joelnanauka5 жыл бұрын
Kabisa.Anza na ulichonacho mara moja
@winnyshayo88125 жыл бұрын
Barikiwa sana KAKA Joel.
@dianamalingumu45165 жыл бұрын
Mie siongopi kuanza Huwa nasubutu sijari kama hasara itatokea nasubutu kiukweli
@charlzzesonconsciousness66855 жыл бұрын
🙏 🙏 Thanks brother somo kubwa sana ili.....#The journey of thousands miles begins with a collection of single steps.
@komboomar82755 жыл бұрын
Shukran my brother
@joseefaidabutu64675 жыл бұрын
Asante sana kaka
@richardvalson98685 жыл бұрын
Especially number tatu imenigusa sana na nitaanza kuifanyia kazi thanks brother NANAUKA 🤝🤝ulipo nipo
@joelnanauka5 жыл бұрын
Safi sana.Usichelewe anza mapema kabisaa
@ommynails41165 жыл бұрын
asante kaka naendelea kuku fatilia na mm naendelea kusonga mbele
@ellicefferabsalom30685 жыл бұрын
asante sana kwa speech nzuri ,,,,,usisubiri kuwa na Vingi by elisipha
@manenolugendo63965 жыл бұрын
Ujumbe umeshiba sana Ahsante
@meshackngadango68555 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa nasaha nzuri Im proud of u
@msleny67675 жыл бұрын
Asante sana kwa video hii leo kaka Joel Kanuni ninachotekeleza ni kujenga hatua zangu za kwanza kila siku na kuamini katika yale ninacho, yatosha kujenga malengo yangu👌 Mungu na akubariki🙏
@abdirizakrashid7264 жыл бұрын
Safi sana.
@chagucharles58555 жыл бұрын
Joel napenda speech zako
@rachelmwaki74545 жыл бұрын
Thanks be blessed
@zainabomar55125 жыл бұрын
Mung akubariki
@restitutamrosso69825 жыл бұрын
ilo la nne lilikua linanitesa sana ila mwisho now. thax much mentor
@wilsonmaduhu56105 жыл бұрын
Safi sana brother Joel
@halimabedui50402 жыл бұрын
Somo zuli sana kaka
@jamalshamte47645 жыл бұрын
Hongera sana, ni topic nzuri sana.
@jafarichuma72834 жыл бұрын
Namba 3
@josephcarlo75915 жыл бұрын
Nimekuelewa mkuu
@mairarajabu845 жыл бұрын
Asante
@helmanmamai37095 жыл бұрын
mungu akubarik kaka Joel
@ebenernnko33395 жыл бұрын
Asante umenitoa kwenye mln15 mpaka sasa nina mtaji wa mln187 nashukuru sana umenitoa mbali sana
@zainabomar55125 жыл бұрын
Ebener Nnko . Ishu gani hiyo kaka tujuzan
@jethomediaproductioncreati16814 жыл бұрын
big up sana bro Namba NNE ndo inanihusu bro
@sefaniangoya78625 жыл бұрын
Stay blessed bro
@sarapaul83822 жыл бұрын
Thank you joel I really needed this 🙏🏽..be blessed hope next year will be here to testify.
@mkamikimelo92684 жыл бұрын
Shida yangu kaka ni kuogopa kuanza,ila leo nmejifunza Kaka,nahaidi kubadilika
@mwajumamwishehe34235 жыл бұрын
Asante kaka mungu awe pamoja nawe
@Lelojr5 жыл бұрын
Asante sana Mr Joel kusema ukweli hatua ya kuwa na hofu na hatua ya mwisho ya consistent hiyo vinanisumbua sana kuvikabili
@ngaboraymond2605 жыл бұрын
Asante Kaka Mungu akubariki we Mtu wa akili sana
@rchrismbarikiwa5 жыл бұрын
May God keep u and give u wisdom that what I can say for today umeinua Imani yangu sana
@joelnanauka5 жыл бұрын
Ameen,so glad kusikia hivyo.
@Usawa_phonetech5 жыл бұрын
Utabaki Kua juu ila ya kwanza naishrki vyema na ya 3 more expect
@joelnanauka5 жыл бұрын
Safi sana Davidi lazima juu twende wote
@jeremiamussa79105 жыл бұрын
Barikiwa sana
@lucydaniel34565 жыл бұрын
Asante Joel mungu akutunze
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Ni mfano Bora
@sandaliadiwa77382 жыл бұрын
Yeah
@mussamkubwa97764 жыл бұрын
Vp naeza kupata vitabu vyenye luga y kiswahili kwny mtandao
@gabrielmushi28135 жыл бұрын
Thanks More My Brother Kwa Somo Lako ..
@joelnanauka5 жыл бұрын
Nashukuru sana tuko pamoja
@trmwanga28225 жыл бұрын
Namba 4 nitaifanyia kaz kwa bidi kwenye ufugaji wangu
@shubackmashinga35355 жыл бұрын
Ubalikiwe sana bro
@keflentito80525 жыл бұрын
Well noted my broo
@peterjeremiah82875 жыл бұрын
Good bro!,Niko pamoja na wewe saaana tu!
@felisteravija19014 жыл бұрын
Kakaae mm umenigusa pote kiukweli ninakilasababu yakuchukua hatua aiseee
@tabithaerastoshukrani.904 жыл бұрын
Nikujiamin, katka kila unachokifanya.
@thabitngangila85625 жыл бұрын
Sure
@nivadmatanila74585 жыл бұрын
thanks a lot.
@edwigammbando17905 жыл бұрын
Kuach kufanya vitu vipya kilasiku na kukipa kipaumbele kimoja