NJIA 5 ZA KUWA MWENYE AKILI ZAIDI

  Рет қаралды 17,969

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@chidimmaka
@chidimmaka 2 жыл бұрын
Nyie huyu jamaa ni genius 🙏
@lwidikoluwondo4109
@lwidikoluwondo4109 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Ezden natamani niwe hata na nusu akili ulionayo maana unifundisha mazuri sana
@johntaino6411
@johntaino6411 2 жыл бұрын
Hongera Sana. Vipi kuhusu nguvu ya akili hilo somo tutalipata ?
@PerfectBoy-bs8zl
@PerfectBoy-bs8zl Жыл бұрын
Vizuri sana
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 2 жыл бұрын
Asante my kaka kwaelimu nzuri sana 💙"""💙""""💙""""":: ::;:::""""::::::::"""::::::""
@ramadhanmazengo2536
@ramadhanmazengo2536 2 жыл бұрын
Hongera kaka tunapenda sana na tunafuatilia unachokifanya
@abdulhakhashim764
@abdulhakhashim764 2 жыл бұрын
Yes....brother....👍
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 2 жыл бұрын
Asante kwa elimu nzuri
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
karibu
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 2 жыл бұрын
Shukran bro Allah barik,❤️
@rafikigeorge3204
@rafikigeorge3204 2 жыл бұрын
Pamoja sana kaka'
@theophilishengoma3195
@theophilishengoma3195 2 жыл бұрын
Uko vizuri. Asante.
@stephen9856
@stephen9856 2 жыл бұрын
Safi sana kaka mungu akubariki
@vianusbahati03
@vianusbahati03 2 жыл бұрын
Napenda unavofanya mentorship...Hakika unaupga mwng...Nataman nitembee zaid na zaid katka viatu vyako kaka!
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Karibu sana . nashukuru sana
@johnbanda6601
@johnbanda6601 2 жыл бұрын
Ooo wow nashukuru
@brjmen3020
@brjmen3020 2 жыл бұрын
Mungu akubariki ezden
@kelvinally7384
@kelvinally7384 2 жыл бұрын
Usikute ezden utaishi miaka 50 kwli 😂😂😂😂😂
@zeriaweightloss259
@zeriaweightloss259 2 жыл бұрын
Big up brother nimeelewa sana leo
@arafaselemani5033
@arafaselemani5033 2 жыл бұрын
Asante nitaanza kusoma ili niwe vizur maana mm n mama wa nyumbani ninamuda zaid
@salimumussa5989
@salimumussa5989 2 жыл бұрын
Bro nakubali sana
@so-Iam
@so-Iam 2 жыл бұрын
Kuna story nliisoma mama wa nyumbani aliyekuwa hajui kusoma kabsa akaja kuwa mwandishi bora sana wa vitabu huko uingereza. Usichelewe kuanza na ukianza weka ratba uwe na muda maalum wa kusoma kla siku. Hutoamini matokeo yake..
@bhoke9729
@bhoke9729 2 жыл бұрын
Asante sana mwalim 💪
@enockkingamkono9955
@enockkingamkono9955 2 жыл бұрын
each one teach one🙌
@nguvuyafikramedia1202
@nguvuyafikramedia1202 2 жыл бұрын
Assalamu a'laykum warahmatullah wabarakatuh so amazing and interesting
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Very well said, each one teach one
@emtv9675
@emtv9675 2 жыл бұрын
Kaka nakupata na nakufatiliaaa sana
@kalungu_psychomotive1
@kalungu_psychomotive1 2 жыл бұрын
Asante kwa SoMo zuri
@MussaSaid-o1n
@MussaSaid-o1n 2 ай бұрын
Aaisee
@timamahendo4172
@timamahendo4172 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana bro
@bbs9030
@bbs9030 2 жыл бұрын
Wa kwanza
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Ningefurahi zaidi kusikia umekuwa wa kwanza kufanyia kazi niliyofundisha. Utatisha zaidi
@alliymohamedalliy6524
@alliymohamedalliy6524 2 жыл бұрын
Appreciate 😇 🔥
@gabrielchristopher1979
@gabrielchristopher1979 2 жыл бұрын
Nacomment kabla sijamaliza kuangalia video Mana huwa sikosi point kwako brother.
@ladslauspius4845
@ladslauspius4845 2 жыл бұрын
Nakubali
@stephen-CEO
@stephen-CEO 2 жыл бұрын
Ni ipi njia ya kustrengthen akili tafadhali kuondoa udhaifu wa kusahau sahau????Nliiskiza mahali pengine ile sikuelewa vizuri huyo mwalimu alikuwa muhindi so anameza maneno zingine
@husseinhashim1024
@husseinhashim1024 2 жыл бұрын
ME NAFIKIRI LA IBADA NALO NI CHANZO PIA MOJA WAPO
@dullakanda27
@dullakanda27 Жыл бұрын
😇😇😇
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Asante
@allykaranja4398
@allykaranja4398 2 жыл бұрын
Ooooh I thought mm ndio wa kwanza kumbe kuna jamaa mbele duh!!
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Ningefurahi zaidi kusikia umekuwa wa kwanza kufanyia kazi niliyofundisha. Utatisha zaidi
@brjmen3020
@brjmen3020 2 жыл бұрын
Nataka namba zako za simu
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Soma description zipo hapo
@ibrahimjuma9709
@ibrahimjuma9709 2 жыл бұрын
Wewe wacha hizo akili ni neema kubwa na siri ya ke anaijua mola muumbaji nipe jibu dawa gani inatibu UJINGA? Ili uwe na akili au watoto wenye akili nikujiifadhi na zinaa tu utatoa mbegu zilizo safi kamilika kwisha
@rukayyawendo1268
@rukayyawendo1268 2 жыл бұрын
Jitambue
@erickkyalo2847
@erickkyalo2847 2 жыл бұрын
God bless your ezden umenifanya maisha yangu ikachengi
@DJQueenBeeOG
@DJQueenBeeOG 8 ай бұрын
Sasa ulitumwa usikilize kama una juwa nikitu Cha mungu 😂😂😂
@twofivefive906
@twofivefive906 2 жыл бұрын
😍🇹🇿🤝
@MussaSaid-o1n
@MussaSaid-o1n 2 ай бұрын
Aaisee
@halimaisaac9144
@halimaisaac9144 2 жыл бұрын
Asante
UBONGO WA MWANADAMU - JOEL NANAUKA
13:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 76 М.
EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA
9:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 113 М.
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.
MAARIFA YATAKAYO KUSAIDIA MAISHANI - JOEL NANAUKA
8:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 50 М.
Dr.Chris Mauki: Mambo 7 Ya Kukuepusha Na Matatizo Ya Akili
6:13
Vitu Vinavyowakera  Wanawake - Joel Nanauka
8:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 190 М.
KILA SIKU JIAMBIE MANENO HAYA - JOEL NANAUKA
7:03
Joel Nanauka
Рет қаралды 137 М.
Mambo 7 Ya Kuacha Ili Ufanikiwe
22:00
Success Path Network
Рет қаралды 2,2 МЛН
Maeneo 4 Ya Kumjua Mtu Vizuri - Joel Nanauka
6:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 125 М.
NJIA WANAZOTUMIA KUKUTOA KWENYE RELI - JOEL NANAUKA
6:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 23 М.
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 232 М.
USIFUPISHE MAISHA YAKO KWA KUFANYA MAMBO HAYA
17:00
Success Path Network
Рет қаралды 26 М.