WAZIRI SILAA AINGILIA SAKATA MGOGORO WA GREENWOOD BAGAMOYO - AWATAKA WANANCHI WASIZUE TAHARUKI...

  Рет қаралды 2,746

Global TV  Online

Global TV Online

6 күн бұрын

WAZIRI SILAA AINGILIA SAKATA MGOGORO WA GREENWOOD BAGAMOYO - AWATAKA WANANCHI WASIZUE TAHARUKI...
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa muda mrefu kati ya wananchi na mwekezaji toka mwaka 2004 wa shamba Na.2126 & 2127 linalomilikiwa na kampuni ya GREENWOOD FARM LTD lililopo katika kijiji cha Makurunge wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani ambapo kampuni hiyo ilimilikishwa mashamba hayo toka mwaka 2004.
Waziri Silaa baada ya kupitia nyaraka pamoja na kuwasikiliza wananchi hao amewataka wasizue taharuki katika eneo hilo wasubirie maelekezo ya serikali kwani wao ni wavamizi na eneo hilo ni milki halali ya kampuni ya GreenWood.
Aidha Waziri Silaa amesema mashamba hayo yalimilikishwa kwa Kampuni hiyo kulitokea baadhi ya wananchi waliopinga umilikishaji huo kwa madai kuwa hawakilipwa fidia lakini sehemu nyingine za mashamba hayo haya kuwa na madai yoyote.
Pamoja nahilo wananchi wengine waliendelea kuvamia nakujimegea ardhi ndani ya mashamba hayo. Inakadiriwa kuwa ndani ya mashamba kuna wavamizi zaidi ya 800.
Halmashauri ilianzisha utaratibu wa kufuta umiliki wa Mashamba hayo ambapo mwaka 2022 mapendekezo ya ufutaji wa milki ya mashamba hayo uliwasilishwa Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Pwani kwaajili ya hatua zake muhimu.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 10
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 5 күн бұрын
Unapo ulizwa maswali na Waziri ambaye vilevile ni mwanasheria....Hakuna lelemama. Asante Mheshimiwa kwa kazi nzuri, hii nchi itakaa vizuri tu. Mwenyezi Mungu Azidi Kuwabariki wite mnaofanya kazi zenu kwa moyo, ujasiri and honesty 🙏🏽
@peteradeteacher1380
@peteradeteacher1380 4 күн бұрын
Anatosha waziri. Nampenda sana kwa kutatua migogoro ya Ardhi kwa njia safi na tulivu.
@FahmiNassor
@FahmiNassor 5 күн бұрын
JERRY SLAA jembe languuuu upo moyoni bro
@jacksonsawe2301
@jacksonsawe2301 5 күн бұрын
Hapo Waziri kuna kitu Cha kisiasa unakilinda kuwatetea wavamizi
@inocentlukumay767
@inocentlukumay767 5 күн бұрын
Slaha njoo Handeni na Kilindi.
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 5 күн бұрын
Wame jichomesha😂
@MultiKelvin1994
@MultiKelvin1994 4 күн бұрын
The wisdom 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@bilid4128
@bilid4128 5 күн бұрын
Shamba Pori
@manasehi
@manasehi 5 күн бұрын
Watu hawajui kujibu maswali kweli. Kuna wananchi hapo wamejichomesha tu kwa ujinga. Elimu kitu cha msingi sana
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 4 күн бұрын
Aisee Elimu nikitu cha msingi sana
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 17 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Bagamoyo Sugar || Kiwanda cha sukari cha Said Salim Bakhresa
18:31
President William Ruto dissolves Cabinet
11:40
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 271 М.