KAULI YA SABAYA BAADA YA KUHUKUMIWA - "MAMA MWAMBIE ASIOGOPE, MUNGU YUPO KAZINI BADO"

  Рет қаралды 98,332

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

KAULI YA SABAYA BAADA YA KUHUKUMIWA - "MAMA MWAMBIE ASIOGOPE, MUNGU YUPO KAZINI BADO"
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake baada ya kukutwa na hatia ya unyang’anyi kwa kutumia silaha.
Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Arusha, Odira Amworo amesema kuwa ameridhika mashtaka dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake na kuwatia hatiani kosa unyang’anyi wa kutumia silaha.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 181
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 2 жыл бұрын
Mungu ndia ajuaye kama kweli au si kweli
@user-hl4rw9xe3u
@user-hl4rw9xe3u 2 жыл бұрын
Mda nimwalimu yeye alikuwa anawafunga wengine sasa mungu amefanya mapinduzi kwake uvamia kwa mbowe nakumpa kesi ya ugaidi leo nawewe unaitwa mjerajera
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu mtetee Sabaya kwani wewe ndiye wajua kama alikosea au la.
@mwitamsamba5911
@mwitamsamba5911 2 жыл бұрын
Sabaya pole mungu pa1 nawe
@amosmahona433
@amosmahona433 2 жыл бұрын
Mwandishi namkubali sana anavyoripoti TAARIFA Kwa kujiamini na makini sana.
@agiasaidi5294
@agiasaidi5294 2 жыл бұрын
MASHAALLAH
@georginajohn8456
@georginajohn8456 2 жыл бұрын
Amina Mungu hawahi wala hachelewi na kwa Mungu hakuna dhambi kubwa wala ndogo machoni kwa Bwana Mungu humsamehe Mtu yoyote anae tubu na kuacha dhambi kikubwa ni kuwa na Imani tu ni kweli Mungu yupo kazini halali wala hasinzii kama kila jambo linapita na hili pia litapita
@norbertmbena5896
@norbertmbena5896 2 жыл бұрын
Utakuwa kiongozi hata huko uendako UONGOZI UKO NDANI YAKO Mungu akusaidie SABAYA
@eliudijastini645
@eliudijastini645 2 жыл бұрын
Duuuu himechi ninoma sana mpaka watu walio mkusudia wamefanikiwa sasa😭🙏
@glorykapenja9473
@glorykapenja9473 2 жыл бұрын
Mungu yupo kazini wala usijali sabaya yeye ndo hakimu wa kila kitu
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 2 жыл бұрын
Ndiyo maana Ameshamuhukumu miaka 30 jela
@williamkavishe397
@williamkavishe397 2 жыл бұрын
@@johnmwasilu7087 ungekuwa Ni wewe uliotendewa Kama waliotendewa usingeongea hivyo wacheni unafiki nyie
@felisterandrew8741
@felisterandrew8741 2 жыл бұрын
Mungu simama nae Umsamehe alipokosea 😭😭
@uwezowamunguutendaokazi3043
@uwezowamunguutendaokazi3043 2 жыл бұрын
MUNGU MKUU akusaidie sabaya. Amen.
@sirizawa3360
@sirizawa3360 2 жыл бұрын
Amin
@abdulkhamis1170
@abdulkhamis1170 2 жыл бұрын
Pole kaka
@marrymenas
@marrymenas 2 жыл бұрын
Keep up Sabaya, usikate tamaa! ❤
@Veni584
@Veni584 2 жыл бұрын
Ni kweli Mungu yupo bado
@mwahamedychilungu8981
@mwahamedychilungu8981 2 жыл бұрын
Nashetani yupo pia kama yeye alivyo fanyaga ushetani mbwa uyo
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 2 жыл бұрын
Kabisa. Alivyombaka yule mwanamuziki km wewe mzazi wa yule binti ni maumivu gani! Wanaficha kujenga heshima ya yule binti miaka 30 midogo
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 2 жыл бұрын
Kweli ushetani kaufanya hayo ndo majibu
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
@@kellyngogo3319 bint gani
@ozybizness3914
@ozybizness3914 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@kassimukipingu5343
@kassimukipingu5343 2 жыл бұрын
Kesi kwa jinsi nilivyokua naifatilia nilikua naona hukumu ya sabaya ikimuelemea maana hata maswali aliokua akiulizwa na majibu yake nikasema ngoja nisiitangulie mahakama
@hamadeddy3046
@hamadeddy3046 2 жыл бұрын
Pole sana bro aisee utatoka tu binadamu c wema
@mtumishimathias7762
@mtumishimathias7762 2 жыл бұрын
Mungu Bado yupo kazini kweli ,Halali wala.hasinzii.
@abelsteven3189
@abelsteven3189 2 жыл бұрын
Hata watu alioumia walimtaja Mungu, hatujui ni nani anayelipa. Ila Mshahara wa dhambi ni mauti.
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 2 жыл бұрын
Ukikata Rufaa sasa familia zilizoumizwa zitajitokeza. Wataomba faragha watoe ushahidi. Walikaa kimya kulinda heshima zao na watoto wao waliobakwa. Eti mimi Ni DC fungua alikolala huyo msanii ukambaka mtoto wa watu kisa DC!! Leo ndo unamtamka Mungu unamuonea Mungu alikupa cheo ukakitumia vibaya. Mungu hapendi. Ukikata rufaa miaka 90 jela
@swalehekingu344
@swalehekingu344 2 жыл бұрын
Alimbaka mwanao au
@zachariahariohay359
@zachariahariohay359 2 жыл бұрын
Mungu akusimamia
@nicksonihelmani407
@nicksonihelmani407 2 жыл бұрын
Lakni Kuna mafisadi wanaiba mamilioni yapesa wapo tu jamani
@sirizawa3360
@sirizawa3360 2 жыл бұрын
Mungu bado yupo kazini 🙏🙏🤐
@maryrichard9211
@maryrichard9211 2 жыл бұрын
Kumbe na yy anamtegemea Mungu!?
@bamsnames149
@bamsnames149 2 жыл бұрын
IN SHA ALLAH
@reubenmobe5961
@reubenmobe5961 2 жыл бұрын
Mie siamin kifungo sabaya inaweza kuwa mbinu ili ionekane mbowe nae akifungwa waseme mbona sabaya alifungwa Kama wanavyo kwa lisu kuwa kuna wengi walishafanyiwa hivyo mmesahau deus Marya alifungwa baadae walimkuta kwenye kikao mie siiamin
@adamnoah4334
@adamnoah4334 2 жыл бұрын
Mungu ni wa wote.
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 2 жыл бұрын
Mungu atakusaidia sana
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Mungu atamtetea,masikini mama yake
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 2 жыл бұрын
Na bado atanyooka tu
@zuleikha7691
@zuleikha7691 2 жыл бұрын
Mungu yupo kazini analipwa mshahara na nani
@faridaaloyce7672
@faridaaloyce7672 2 жыл бұрын
Pole sabaya...MUNGU bado kazini anashighurika na Maisha yetu nakuombea uzima.
@godmremi3558
@godmremi3558 2 жыл бұрын
JAPO WANASEMA HUJAFA HUJAUMBIKA LAKINI SABAYA ALILEWA MADARAKA MWACHE AVUNE ALICHOKIPANDA.
@abdiabdi4299
@abdiabdi4299 2 жыл бұрын
Kweli mungu yuko kazini majambazi wenzake wote wataishia jela
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Watu waliokua wakisafirisha wa madini wameacha na wamerudi kazini kuendelea kuiba leo sabaya ana zalilishwa munguweeeee
@westonymwasanduki1423
@westonymwasanduki1423 2 жыл бұрын
Mna undugu??
@ziongate5464
@ziongate5464 2 жыл бұрын
Ni ajabu sana kwa nchi ya wala rushwa, Sabaya anapambana na genge la walio kuwa wakwepa kodi na watoa rushwa zidi ya mahakimu ndio matokeo hayo tunayo shuhudia leo
@halfanrangadim8764
@halfanrangadim8764 2 жыл бұрын
Mmekutana kikeni au kiumeni na huyo mfungwa? Ahahaaaah
@timboxlee919
@timboxlee919 2 жыл бұрын
Awamu ya sita ni mafisadi tu,tuliona kwa babu seya,iko siku tutapata rais mzarendo
@mwiganemwakajinga5368
@mwiganemwakajinga5368 2 жыл бұрын
@@ziongate5464 Yaani inaumiza na kuvunja moyo kiutendaji;Ila kweli Mungu yupo kazini bado.Siwezi sema katenda au hakutenda ila kamabinadamu nimeumia Sana japo sinaudugu nae.Siwezi kufurahia hilo kwasababu siijui kesho yangu.Mungu fundi.
@ramadhanimkude5744
@ramadhanimkude5744 2 жыл бұрын
Mungu yupo kwa wote.
@furahasanga2534
@furahasanga2534 2 жыл бұрын
God at work. Nimeupenda msemo Wake Mungu anafanya.
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 2 жыл бұрын
Kabisa
@michaelmoro4801
@michaelmoro4801 2 жыл бұрын
Amen
@fredyemmanuel4303
@fredyemmanuel4303 2 жыл бұрын
Sabaya anajifariji lakini moyoni anamajonzi mzito sana
@tinaabdallah5631
@tinaabdallah5631 2 жыл бұрын
Nimeumia sana atakama ana mabaya lakini mkumbuke na mazuri yake jamani
@lusitoally5623
@lusitoally5623 2 жыл бұрын
Mungu hayupo pamoja na wezi na wanyang'anyi
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 2 жыл бұрын
Mungu yupo na wanyonge sio magaidi na wanyang’anyi wako na mashetani sehem yao hela tu miaka 30
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 2 жыл бұрын
Asiye ijua hii nchi atashangilia kifungo cha Sabaya.Lkn Mungu yupo kazini kweli kweli kwa matajiri wapitao kwenye migongo ya wanyonge.🙏🙏🙏
@vintz338
@vintz338 2 жыл бұрын
Hili igizo hili daaaaaah Yan mtu anaepigwa miaka 30 haweZ kutabasam hivo anajua tu kinachoendelea
@blandinalukole5535
@blandinalukole5535 2 жыл бұрын
Sabaya Mungu ni wa wote hata wanaokutupia mawe wanakuona mchafu wao wananuka dhambi ila wamezipaka mafuta, endelea kumwamini Mungu na ni yeye rafiki wa kwel, jifunze kupitia Maguful alifanya vitu vingi vizuri lakini wanafiki wamemsaliti iweje wew? Endelea kumtumainia Mungu hata wakufunge maisha. Kuna mwimbo unasema Mungu huwatumia watu wake kumwaibisha shetani kwani wanapopita kwene Magumu humwaibisha shetani
@banjifesti7584
@banjifesti7584 2 жыл бұрын
Paulo na Sila waliomba milango ya gereza zikafunguka hata kwa sabaya zitafunguka
@mluziwajini4734
@mluziwajini4734 2 жыл бұрын
jidanganye
@sirizawa3360
@sirizawa3360 2 жыл бұрын
Hakika itafunguka 🙏🙏🙏
@mecksonmgeyekwa6987
@mecksonmgeyekwa6987 2 жыл бұрын
Mungu hayupo pamoja na wezi na wanyang'anyi
@sirizawa3360
@sirizawa3360 2 жыл бұрын
@@mecksonmgeyekwa6987 ndomana anawapa pumzi na rizki
@larickmtui2852
@larickmtui2852 2 жыл бұрын
Mh unamfananishaje mhalifu na watu ambao hawakua na hatia?
@sunrisetv7364
@sunrisetv7364 2 жыл бұрын
Sina uhakika wa makosa juu yake. Sijui usahihi wala ubatili wa hukumu yake
@naalyhussen3253
@naalyhussen3253 2 жыл бұрын
Mhm!! . hamza alionekana gaid Na huyu nae ni nani maana alijiona mungu mtu sana hyu . dhurma mbaya sana mungu hua anailipa hapa hapa duniani kabla hujakufa.
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 2 жыл бұрын
Najua hii Ni drama baadae utasikia alikata rufaa kaachiliwa huko huru..anatoka akishangiliwa..
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 2 жыл бұрын
MH !
@lilianalphonce4413
@lilianalphonce4413 2 жыл бұрын
Czan kma atakaa iyo miaka 30🤔🤔 huenda akatoka kwa msamaha
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 2 жыл бұрын
Safi sana, Bado fulani endelea kuchukua pesa za wasiojua kujieleza" ipo siku ntajitoa muhanga.
@jastinesamboto4674
@jastinesamboto4674 2 жыл бұрын
Mungu Yuko kazini kumtetea katika hujuma aliyofanya ila Mungu hakuwa kazini kuwatetea wale waliokuwa wakiumizwa sio? Mungu naye tumemfanya kama mnafiki mwenzetu Bora hatumwoni maana pengine angeshauawa kwa akili hizi
@jonaspatrick2871
@jonaspatrick2871 2 жыл бұрын
Sasa kusiwe na malalamiko Mbowe akihukumiwa kifungo kama hiki.
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 2 жыл бұрын
LEO ARUSHA NA HAI, WAUZA NYAMA CHOMA, BIA NA VINYWAJI, WATAUZA SANA, WAHUDUMU MJIPANGE KILA KONA WATU WANAFURAHA SANA.
@mwasamiladldm7557
@mwasamiladldm7557 2 жыл бұрын
Eti eeeh! Uzeni kabisa lakini hii ni dunia sote tunapita tu.
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 2 жыл бұрын
@@mwasamiladldm7557 ni kweli usemayo ila Sabaya hakujua hilo alifikiri yeye ana MTU anamlinda hata kwa maovu yake
@stemarcely7493
@stemarcely7493 2 жыл бұрын
@@johnmwasilu7087 Kweli kabisa hapo ndo atambue hakuna alie juu ya sheria.
@christinachriss9231
@christinachriss9231 2 жыл бұрын
Sio huko 2
@gidionkadaraja1403
@gidionkadaraja1403 2 жыл бұрын
Watu hukuu tunahuzunikaa 2 hakunaa aliyefrahi wala nin
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Hamna kazi tu huyo sabaya yupo vizur
@simaraphaellucas8469
@simaraphaellucas8469 2 жыл бұрын
Sabaya tulia 2025 utatoka zamu yawazarendo!
@hellenmgungus2935
@hellenmgungus2935 2 жыл бұрын
Ndounajua kama mungu yupo kazini
@salmaabduli700
@salmaabduli700 2 жыл бұрын
Yan mm ningesom nisinge hakuna kazi ya uwakim unamuukum mtu hata uwakik hun
@bernardsamizi7289
@bernardsamizi7289 2 жыл бұрын
ACHA MUNGU AITWE MUNGU. KAMA SI MUNGU TUNGEKUWA WAPI????.KWELI KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA. ILIFIKA MAHALA WATU WAKAJIONA NI ZAIDI YA MUNGU.
@missmrs829
@missmrs829 2 жыл бұрын
Na wewe subiri ipo sikuyako wewe endelea kushadadia ufisadi wa samia
@peacesmart534
@peacesmart534 2 жыл бұрын
I hope ni hukumu ya kweli na sio iwe njia ya kumuondoa ktk macho ya jamii...Akafichwe huko mbali.
@ponsianmatimo681
@ponsianmatimo681 2 жыл бұрын
Hukum safiii na murua kabisa hiii yy aliyoyafanya leo mumesahau kawaachia watu maumiv mangap? Kaporomosha uchum wa watu wangap? Katenganish familia ngap na wapendwa wao! Acheni mungu aitwe mungu anajib kw wakat hawai wala hachelewiiii!!!!
@stardamian9385
@stardamian9385 2 жыл бұрын
Ni sahihi lakini Mungu wa wote haijalishi umekosa mara ngapi ukirudi kwake anakusamehe na kukupa thamani yako Huyo ndie Mungu naemfahamu
@saeedally268
@saeedally268 2 жыл бұрын
Kweli kabisa tupo pamoja na sabaya hawa mashetani watahukumiwa na mungu japo wanatumia dola mafisadi wanaachiliwa sasa huyu rais hatufai kabisa hukumu ya huyu rais atatowa mungu sisi tunamshitakiya kwa mungu
@ayububakari9942
@ayububakari9942 2 жыл бұрын
KUMBE HUYO HAKIMU NDIYO RAISI
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 2 жыл бұрын
Na wala haimpati. Mzazi wa binti aliyembaka pale hotel alipataje maumivu acheni hizo! Hayo ndiyo majibu yake
@mtumishikakoyo4762
@mtumishikakoyo4762 2 жыл бұрын
Tafsiri ya kufungwa kwa sabaya ni kuwataka viongozi wengine kuongoza kwa uoga. Sabaya amekuwa mbuzi wa kafara, Alisema mahakani kwamba alikuwa akitelekeza maagizo ya mwenda zake. Sasa mtu anaetelekeza maagizo ya mkubwa wake kwa nini afe mwenyewe?? Je mwendazake hakuwa na jopo la watendakzi pembeni yake?? Mwenda zake hakuwa na mawaziri?? Hakuwa na mkuu wa mawaziri?? Hakuwa na makamu?? Kama kweli sabaya alipewa maagizo na mwenda zake basi kuna angefunguka alivokuwa anatumiwa ingesaidia nchi. Lakini hapa kuna hukumu ya kuwapa waliyopo kazini kua na uoga wa kazi zao
@shayopaterini8678
@shayopaterini8678 2 жыл бұрын
Pamoja na kutekeleza majukumu ya mkuu wako wa kazi lazima ufuate sheria kuyatekeleza ndugu kama utakuwa mjinga basi yatakukuta
@wardaheluwa734
@wardaheluwa734 2 жыл бұрын
Kwanza hapo pakusema alitekeleza majukumu ya mwendazake ndipo alipokiri kuwa alifanya wengi wafungwa hutumwa kama alivyotumwa Sabaya ukipatikana na hatia pekeyako
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 2 жыл бұрын
MUNGU anayaona yote. Wakwepa kodi wako kazini baada ya kumaliza kazi ya kumwuua aliyekuwa anajua siri zao. Miaka 20 ndani ya uwaziri, alijionea ufisadi mkubwa na kipindi hicho hakuwa na ubavu wa kupambania hayo. Baada ya kuwa na nafasi ya ubavu alitoa UHAI wake wa hali na mali na alijua watamwuua. Apumzike salama, na Sabaya awepo gerezani vinginevyo akiwa nje watamwuua.
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 жыл бұрын
😭😭😭😭SABAYA mtumainie Mungu atakushindia serikali yetu mmhhhhhhhh
@oscarmushi1164
@oscarmushi1164 2 жыл бұрын
Acha unafiki
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 2 жыл бұрын
Angekubaka wewe au dada yako au mama yako usingeongea hivyo Sasa. Wa TZ acheni hizo hiyo hukumu halali yake
@stardamian9385
@stardamian9385 2 жыл бұрын
@@kellyngogo3319 sawa ila Mungu ni wa wote ukiludi kwake kwa uaminifu anakusamehe
@meryevance6944
@meryevance6944 2 жыл бұрын
Mbona Ditopile alihua dreva teksi akushitakiwa akiwa Mbunge kipidi cha Kikwete hapo hupo mkono wa mkubwa tena na huyo ambae alikuwa ampendi Magufuli lkn k8la Jambo linamwisho
@sunrisetv7364
@sunrisetv7364 2 жыл бұрын
Wakati Ditopile anaua hakuwa mbunge. Alikuwa mkuu wa mkoa wa Tabora
@hallin9561
@hallin9561 2 жыл бұрын
Kesi ya mbowe inapiga alarm ya taa nyekunduku
@sebastianmichael4031
@sebastianmichael4031 2 жыл бұрын
Mimi napita tuu.
@betitympeleta9697
@betitympeleta9697 2 жыл бұрын
Unamkumbuka mungu leo?
@abdallahabubakar688
@abdallahabubakar688 2 жыл бұрын
Eheee sawasawa sioiwe ina kulakwa walala hoi tu hata kwa viongozi wenye tamaa
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
Et Mungu yupo kazin bdo,ungekuwa unamjua Mungu asingefanya ya kukosa hofu yke shwain ww
@ndeankandossi6335
@ndeankandossi6335 2 жыл бұрын
Haimtoshi miaka 30 aongezewe mtu mnyama sana
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU ANAMPENDA KILA BINADAMU ILA TUACHE UJINGA
@felistermligo323
@felistermligo323 2 жыл бұрын
Sabaya jipe moyo kukaa miaka 30 jela maombia yetu yetu itakua miaka 3 nipo hapa mmi
@joshuamwanilwa7562
@joshuamwanilwa7562 2 жыл бұрын
Mh! Kwel hi selikaki ni yawatu flan hv sasa tutakutana 2025
@barakambasile2651
@barakambasile2651 2 жыл бұрын
Amebaki mbowe vulugu za sabaya mpaka makosa yote hayo ni mbowe yet apigwe20 tu
@sanyengefundibatigeita
@sanyengefundibatigeita 2 жыл бұрын
Mungu akusaidie sabaya hii ni dunia tu
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 2 жыл бұрын
Kama huyu baba hakufanya kosa wanamsingizia mungu hapigi kwa fimbo mungu atawaonesha malipo yake hapa hap duniani
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 жыл бұрын
Uonevu mkubwa kwa watu wenye misomamo ya jpm
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Sheria ni msumeno
@meryevance6944
@meryevance6944 2 жыл бұрын
Huo niuonevu mbona makonda kafanya mambo mengi ya hatari lkn atujasikia kakamatwa
@enockkachembeho7425
@enockkachembeho7425 2 жыл бұрын
hata kama akikataa rufaa na akatoka cv ya kuwa mfungwa anayo
@westonymwasanduki1423
@westonymwasanduki1423 2 жыл бұрын
Heeeee kumbe anamjua Mungu???
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
Akwende hko
@saeedally268
@saeedally268 2 жыл бұрын
Mafisadi wanaachiliwa huyu rais ana hasira na watu wa magufuli wengine keshawatowa uwaziri tena wachapa kazi anawekwa mtu kama makamba yote sisi tunamwachia mungu hawa viongozi wa sasa mungu awahukumu
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Sabaya akitoka atakuwa mtu mwemaa sana
@jeromemdoe6816
@jeromemdoe6816 2 жыл бұрын
Ya yeye s hamkuyajua,
@selemanmwagike8785
@selemanmwagike8785 2 жыл бұрын
Mungu gan huyo shetan wewe
@zainabsaid9264
@zainabsaid9264 2 жыл бұрын
Pamoja Mandela alifugwa alipotoka kawa Rais
@sharifjuma1220
@sharifjuma1220 2 жыл бұрын
Kwani mandela alifungwa kwa kazulumu? Na ujambazi? Mfano uliotoa mushkeli.
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 2 жыл бұрын
@@sharifjuma1220 Sabaya amepambana na mafisadi majizi. Ni heri awepo gerezani vinginevyo akiwa nje watamwuua. Hii Nchi ina wenyewe.
@sharifjuma1220
@sharifjuma1220 2 жыл бұрын
@@margarethsolomon9823 sasa unapapandaje na ufisadi kwa silaha na kuteka watu? Alikuwa anaunga Juhudi then akazidisha dozi akanogewa. Infact Lema alimueleza Magufuli sio Mungu. Bado bashite. Unakumbuka alipovamia cloud studios. Na yale ya 48 hour naona yamesita sikuhizi. Ama kweli Mkuu aliambukiza uchizi
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 2 жыл бұрын
@@sharifjuma1220 Lema mwenyewe ni kidnapper, au hujui kazi alizokuwa anazifanya huko Namanga na marasta yake kichwani. Na kweye misokoto alikuwamo. Hivyo hisia zake haziwezi kuwa mbali kwa Sabaya kwamba alikuwa akitenda hayo. Time will tell.
@sharifjuma1220
@sharifjuma1220 2 жыл бұрын
@@margarethsolomon9823 lema mtekaji je zile clip za watu wanalalamika Sabaya kaingia kwenye Mahoteli. CCTV footage. Hawa wezi watu wengi kupanga. It must have been some fact. Kaunga Juhudi too much. Aliongeza na Juhudi zake. Nothing to do with corruption just a stupid boy. He was not alone. Wengi waliunga Juhudi.
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
SABAYA MUNGU YUPO SOON UTATOKA, WANAO FURAHIA VYAO VYAJA.
@abdulwahababdulkadir9965
@abdulwahababdulkadir9965 2 жыл бұрын
Naskia ameelekea kukata rufaa,akishindwa nyonga kabisa muhuni tu uyu
@fridamdoe5845
@fridamdoe5845 2 жыл бұрын
Tena akafie mbele huko nashangaa wanaomhurumia na kuona eti amedhulumiwa kuhukumiwa Kwahiyo walitaka aendelee kunyanyasa watu acheni ujinga ametendewa haki sawa sawa na matendo yake
@laurenceclarence6878
@laurenceclarence6878 2 жыл бұрын
Mungu yupo kazini ila ikumbukwe waliohukumu leo wao wamemaliza
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 2 жыл бұрын
Wewe ni mkatili sana sabaya
@froma3732
@froma3732 2 жыл бұрын
MUNGU YUPO NA ATAKUWEPO ALIKUWA AJUE HIVO KAMBLA HAJAFIKA HAPO ALIPO
@anethmtei2912
@anethmtei2912 2 жыл бұрын
Sabaya amemjua mungu tangu lini
@salmaabduli700
@salmaabduli700 2 жыл бұрын
Ss munav mfung hiy pesa mnapata au nyie makakim tambueni kuna mung naanaukum kushind nyie
@husseinmaula4361
@husseinmaula4361 2 жыл бұрын
Siku zote faida ya ubabe ndio hio
@damianlugendo9161
@damianlugendo9161 2 жыл бұрын
Sindo wakina mbowe acha wa shugurikiwe
@rashidmohammed4887
@rashidmohammed4887 2 жыл бұрын
Kila mtu huvuna alichopanda
@bakarinasa580
@bakarinasa580 2 жыл бұрын
MUNGU yupo kazin kwel na ndio kasmamia usawa ukafungwa,,jaman manung'uniko ya wengi ni Lana bora ww umefungwa wengne tunaskia wamekufa na ajal tu
@shaphiasabani5760
@shaphiasabani5760 2 жыл бұрын
pumbavu zako ww uliokua unatesa watu kwasbab ya cheo chako alikua umejua mungu ayupo
@fadhilikavindi5385
@fadhilikavindi5385 2 жыл бұрын
Kwani ccm itatawala Mika 30 hatajaji mwenyewe pengine hatakuwa Jaji kwamda huo
@happymwanguo2521
@happymwanguo2521 2 жыл бұрын
Eti unajitetea,nilitumwa kufanya hivyo,hivi una akili kweli?unatumwa kuonea watu na wewe unafanya kweli,tujifunze ,akili za kuambia + na zako,popote ulipo tenda Haki,hata ukionewa ,Mungu anakutetea , na kukuinua,ukitaka kujiinua ulingane na Mungu ,hakikisha hutabaki salama,Mungu atakuaibisha mchana kweupeeeeeeee
@petereck6647
@petereck6647 2 жыл бұрын
Akafieee mbali huyu jambaz
@timboxlee919
@timboxlee919 2 жыл бұрын
Sabaya mungu yu pamoja na wewe,hii ni awamu ya mafisadi,,iko siku tutapata rais mzarendo,atakutoa sabaya,kama ilivyo kuwa kwa babu seya ,Rip JPM
@Zaburi-
@Zaburi- 2 жыл бұрын
Mungu/MUNGU na sio mungu
@abelsteven3189
@abelsteven3189 2 жыл бұрын
Mbona amekiri kwamba amefanya sema tu alitumwa. Mshahara wa dhambi ni mauti. Amelaaniwa anayemtegemea mwanadamu.
@moturichacha7253
@moturichacha7253 2 жыл бұрын
Sabaya mtumainie Yehova kila wakati Kama Paulo na Sila Mungu atakutetea ndiye Hakimu wa kweli!.
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 2 жыл бұрын
Kuna comments nazisoma hata sielewi. Inamaana Kuna watu wanaridhishwa na mambo kubaka,kutesa,kudhulumi,kudhalilisha,na mengine mengi ya huyu jamaa.
@timboxlee919
@timboxlee919 2 жыл бұрын
Babu seya alisingiziwa na sasa yuko huru
@lydiamahenge2161
@lydiamahenge2161 2 жыл бұрын
Natamani kesho kusikia Makonda mikononi mwa polis , walitesa sanaa watuu , walijipa u Mungu mtuu
@sondanzingulasondasam4029
@sondanzingulasondasam4029 2 жыл бұрын
We alimbaka mama yako au boya we
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 2 жыл бұрын
@@sondanzingulasondasam4029 Hata kama sio.. mama ake.. lakn ni wanawake wengine
@christinachriss9231
@christinachriss9231 2 жыл бұрын
@@abelianraphili5150kweli
@godfreymbuya2659
@godfreymbuya2659 2 жыл бұрын
Mbunge wa Arusha Lema alimuonya mapema kabisa kabla mambo hayajaaribika ,akawa mkali.Sasa ameacha mke na watoto wanalia.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,8 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН
LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM
5:25
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 780 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,8 МЛН