Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 kuiteka akili ya mpenzi

  Рет қаралды 53,277

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Пікірлер: 101
@Franciamuro
@Franciamuro Жыл бұрын
Aaha nakukubali sana Dr..chris
@natachaminguandrea2618
@natachaminguandrea2618 Жыл бұрын
Asante sana docta
@MonicaAdam-b7j
@MonicaAdam-b7j 8 ай бұрын
Ubarikiwe docta
@HaithamOthman-p5c
@HaithamOthman-p5c 11 ай бұрын
Umenifuza kit❤
@samirahassani8606
@samirahassani8606 Жыл бұрын
Yaani Mola akubarik kaka.
@MossyAloyce
@MossyAloyce Жыл бұрын
Natamani nimfanyie hyoo yote mpnz wng lkn sijui km yy ananipenda maana hata simuelewi
@mouzahal-alawi6474
@mouzahal-alawi6474 Жыл бұрын
Mungu Akubariki sn Dr.Chriss.. Love from..Oman🇴🇲❤️
@rachelkikono9701
@rachelkikono9701 Жыл бұрын
Tuko buz nakutafuta maisha ,hatupati muda huu.
@ElvinOtsieno
@ElvinOtsieno Жыл бұрын
Napendwaa ata nibc..my love wherever you are penda sana ww..yan uyu mwanamme hashindi bila kunitext wala kunikol❤❤🙏🙏
@fatumakale7004
@fatumakale7004 6 ай бұрын
Thanks
@DorothyKerubo-lz4cd
@DorothyKerubo-lz4cd Жыл бұрын
Ndio mapenz imeanz hope God will never let me down again long relationship is killing me slowly
@FatumaOsman-zk6en
@FatumaOsman-zk6en Жыл бұрын
Naomba namba
@shedy_marie
@shedy_marie 7 ай бұрын
Mm halinihus hili somo 😢
@JoyceDaniel-ri4gt
@JoyceDaniel-ri4gt 11 ай бұрын
Kak yang yaan kuna wanaume wengn hat umpendje amn kit
@adasmanyanda2258
@adasmanyanda2258 Жыл бұрын
I like what you are advicing us about love
@jacklinenoballa8946
@jacklinenoballa8946 Жыл бұрын
Hapo kwa kuteka moyo mm niko kwa ndoa kakangu lakini kwa sai niko mbali ila mwenzangu mimi ndio nikama najilazimisha tu kumjulia hali za asubui za mchana ata usiku mbaka na voice namtumia ila atazisoma na asikujibu wakati anaitaji yeye ndio anitafute nilichoka kweli
@Sharifarajabudebe
@Sharifarajabudebe Жыл бұрын
ibadilishe Akili yako Unapo fanya jambo usitake nae afanye hivyo hii itakusaidia kupunguza hasira, kisiran na kulalamika pia unaongea nae acha kulalamika kwanini hakutafuti utamfukuza wanaume ndivyo walivy mwanzo amacare sana ila penzi likifika stage ya pili anacha kucare anajua ni utoto sasa badilika nipe furaha ama kuwa busy kweny vitu unavyo vipenda
@kasichanakitsao8095
@kasichanakitsao8095 Жыл бұрын
​@@Sharifarajabudebetrue nakuunga mkono na akiona umeacha kujipendekeza anarud mwenyewe chini Niko na experience
@Winner_Maggie88
@Winner_Maggie88 Жыл бұрын
@@kasichanakitsao8095 vip kwa yule ambae ndo mnaanza mahusiano lakin hapig wala kutext mpk siku inaisha na akikupigia siku ya pil anakulalamikia ww mwanamke humtafuti,
@kasichanakitsao8095
@kasichanakitsao8095 Жыл бұрын
@@Winner_Maggie88 kma hajakutext ww unafaa kumtafuta silazma YY aanze kukutext
@agnessbahamu3931
@agnessbahamu3931 Жыл бұрын
@@Sharifarajabudebe uko sahihi ✍️
@AgnessKoyonza
@AgnessKoyonza Жыл бұрын
Ahsante kwa mafundisho bt me ninaboy frend wangu sikumbuki ni lin ashawah nilitea zawadi zaid ya ubuyu wa mia moja tu! 😢😢😢
@YumiiArbaz-wz4rg
@YumiiArbaz-wz4rg Жыл бұрын
Bora ww uliletewag ata ubuyu bt mm 3yrs kwenye relation sijawah ambulia zawad yyt wacha sahv nienjoy zang😂😂😂
@GrolyDundus
@GrolyDundus Жыл бұрын
​@@YumiiArbaz-wz4rg😂😂😂😂 pole ni walewale tu
@DevothaShirima-io1xs
@DevothaShirima-io1xs 4 ай бұрын
🙏.
@JescerProsper-hg1bf
@JescerProsper-hg1bf Жыл бұрын
Daaah aisee vitu vyote Ni ukweli mtupu yaan me na mpenz wangu tulikua atupatan ugomvi wa Mara kwa Mara nikakaa nikawaza Sana Cha kufanya but now ❤️
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا Жыл бұрын
Vp hiv sasa amebadilika
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا Жыл бұрын
Hebu nisaidie ndugu yangu ugomvi hasa ilikuwa nini sababu mana nipo mbali kila saa tuna bisha a ila anasema ananipenda
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا Жыл бұрын
Yani tuna bisha a sana
@hedayakagoma9133
@hedayakagoma9133 5 ай бұрын
Kwakweli long conversation zinakuwa za maumivu mara nyingi 😂😂Yesu atusaidie 😂😂😂
@NaomiSimon-jk4yj
@NaomiSimon-jk4yj Жыл бұрын
Duuuh mm huyaona kwenye TV tu Duuuh naona ndoa ni mzingo kweli yaan
@janembalinga7074
@janembalinga7074 Жыл бұрын
Asantee
@asyasaid5012
@asyasaid5012 Жыл бұрын
Nafanya sana kwa mwenza lkn bore tuuu😢😢
@JescerProsper-hg1bf
@JescerProsper-hg1bf Жыл бұрын
Daaah pole dear
@jemangonyan4876
@jemangonyan4876 Жыл бұрын
Kaka me npo kwenye kpind kigumu mpz wang ayupo sawa na mm amenpa mda atanitafuta maana kuna makosa yalitokea nkimpgia cm apokei nakosa raha kaka
@BeblineShima
@BeblineShima Жыл бұрын
Ha wangu kipnzi hapendi umuandikiy Akisoma hajibu voice ndo kabiiisaa hafungui😢 ila anapiga hata masa ma 5
@adijashaban4793
@adijashaban4793 Жыл бұрын
Thank you 🙏
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا Жыл бұрын
Jamani nisaidieni mimi namapenzi wangu ila wivu ndo unanisumbua NA yeye ananipenda anasema lazima aniowe
@theodorabarnabas-pk8jg
@theodorabarnabas-pk8jg Жыл бұрын
Mafunzo mazuli Ila Mimi naomba mawasiliano niongee moja kwa moja nashida kubwa
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Jamani jamani mambo mazuri haya
@FelsterHaule-ik4hx
@FelsterHaule-ik4hx 6 ай бұрын
Toka ameondoka ajawahi kunitumia sms nzuri sio asubuhi sio usiku mara fiki tu ndiyo wanajali kuhusu mimi
@Marianamariana181
@Marianamariana181 Жыл бұрын
Wangu namufanyia haya mambo ila kila siku n yeye n wanawake wengine amenishinda mpka najiuliza anakosa nn kwangu sijui shida inaeze kuwa n nn nawaza mpka nimefika mwisho n yeye umukumbushe tu kila siku 😢😢😢😢
@kasichanakitsao8095
@kasichanakitsao8095 Жыл бұрын
Mpee time usiache ktu inakupa furaha jifanye mjinga jiweke bz sikiza music Yan jaribu kusahau jifanye huon kenye anafanya atakuja mwenyewe
@agnessbahamu3931
@agnessbahamu3931 Жыл бұрын
@@kasichanakitsao8095 Ukiishi nae kama vile anavyoishi na wewe kila kitu kitaenda sawa
@Franciamuro
@Franciamuro Жыл бұрын
Yani polee Huyo kashindikana
@erastojoseph4458
@erastojoseph4458 Жыл бұрын
Wengne halijui hilo
@margaretnyambura8923
@margaretnyambura8923 Жыл бұрын
Na kama unatumia na hajibu Wala kukutafuta na mko mwenye long distance
@MLAWA501
@MLAWA501 Жыл бұрын
Naomba tuwasiliane
@theresiasabaya2761
@theresiasabaya2761 Жыл бұрын
Mhhh watu wangeishi kwenye mafanikio sana
@happynessevarista1938
@happynessevarista1938 Жыл бұрын
Wow
@meggarcute116
@meggarcute116 Жыл бұрын
❤❤
@janethlikiliwike2591
@janethlikiliwike2591 Жыл бұрын
eti hata ukidelete baadae😂😂😂😂😂😂
@janethlikiliwike2591
@janethlikiliwike2591 Жыл бұрын
😂eti leo tukikutana ntakukumvatiaà😂😂😂
@faithjosiah-lc2nt
@faithjosiah-lc2nt Жыл бұрын
Mh Kuna Mimi natamani nimteke lakini mpenzi Sina kabisa😭
@hannahchibwae3170
@hannahchibwae3170 Жыл бұрын
😂😂😅
@agnessbahamu3931
@agnessbahamu3931 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@gabrielyemmanuely1815
@gabrielyemmanuely1815 Жыл бұрын
jiteke mwenyewe bn
@mariamshija7882
@mariamshija7882 Жыл бұрын
@@gabrielyemmanuely1815 😄😄😄
@GrolyDundus
@GrolyDundus Жыл бұрын
​@juliethonesmo1632😂😂😂😂
@marymolel616
@marymolel616 Жыл бұрын
Kwa huyu nilienae hapo kwa ujumbe mtam sijui nitamtumia vip maana akitoka tu nje na nyumbn simu anazima🤔🤔🤔
@jacklinenoballa8946
@jacklinenoballa8946 Жыл бұрын
Kumbe tuko wengi 🤔🤔
@mjukuuwandessa2974
@mjukuuwandessa2974 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@Sharifarajabudebe
@Sharifarajabudebe Жыл бұрын
😂😂😂duu sasa kwanini
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@judychungu
@judychungu Жыл бұрын
mi naswali kama nina mpenz mmee wamtu ananipenda nampendaa nifanyajee
@rahmakitomar7968
@rahmakitomar7968 Жыл бұрын
Mume wa mtu ni bala shoo
@tulinagwembelo867
@tulinagwembelo867 Жыл бұрын
Tafuta wako uyo wa mtu achana nae SI wako utateseka sana mda unamwitaj Yuko na mkewe huo ni utumwa uliokuthiri
@tarasila6148
@tarasila6148 Жыл бұрын
Sema jina lake nikupe mbinu za kumiliki mtu
@sesiliatomas5211
@sesiliatomas5211 Жыл бұрын
hapo anakuigizia anampenda mke alomuweka ndani
@fridasanga7541
@fridasanga7541 Жыл бұрын
Mhm
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Mbinu 5 za kuiteka akili ya mpenzi wako Namba 1 mpe pesa 💵✍ Namba 2 mpe pesa 💵🤗 Namba 3 mpe pesa💵🤗 Namba 4 mpe pesa 💵🤗 Namba 5 nasema kwa msisitizo Mpe pesa 💵🤗 Ukifanya hayo mtadumu kwenye mahusiano na mtazikana kinyume chake ni kuvumiliana tu maana unakua huna namna🤔🤔🤔
@julie7727
@julie7727 Жыл бұрын
😂😂😂
@GlitterAlee-fs4cn
@GlitterAlee-fs4cn Жыл бұрын
😂😂pesaaa tu ndio unataka ,yan wewe una damu ya kichaga
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 Жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@Swaliha-p5f
@Swaliha-p5f Жыл бұрын
Aki ni kweli
@tumainiezekia5873
@tumainiezekia5873 Жыл бұрын
😅😅😅 umejuaje
@ElvinOtsieno
@ElvinOtsieno Жыл бұрын
Napendwaa ata nibc..my love wherever you are penda sana ww..yan uyu mwanamme hashindi bila kunitext wala kunikol❤❤🙏🙏
@rahmakitomar7968
@rahmakitomar7968 Жыл бұрын
Safiii
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 Жыл бұрын
🙏
Dr. Chris Mauki: Tabia 5 za mpenzi mwenye akili ya mahaba
8:48
Chris Mauki
Рет қаралды 48 М.
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 85 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 3,2 МЛН
Mambo Matano (5) Ya Kufanya Uweze Kuwa Kiongozi Mzuri
8:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 55 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 6 za kudumisha mahusiano ya chumbani
9:55
Vitu Vinavyowakera  Wanawake - Joel Nanauka
8:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 186 М.
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 220 М.
Dr.Chris Mauki:Hatua 5 Za Kurudisha Imani Kwa Aliyekuumiza
9:22
Chris Mauki
Рет қаралды 31 М.
Dr. Chris Mauki: Tabia 9 zitakazokuongezea ujasiri maishani
12:13
Chris Mauki: Kwa dalili hizi hafai kuwa mume
7:15
Chris Mauki
Рет қаралды 74 М.
Dr. Chris Mauki: Mambo 5 kamwe usiendekeze kushirikisha watu
8:15
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 85 МЛН