UTAMPENDA TU KISHIMBA AKICHANGIA KUHUSU ELIMU / KUTENGA UGALI HAKUHITAJI HOTEL MANAGEMEMENT

  Рет қаралды 61,532

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

Жыл бұрын

Пікірлер: 113
@saviomlelwa
@saviomlelwa Жыл бұрын
Yuko vizuri Sana.. huyu mbunge. Ana contribution kubwa katika uhalisia wa maisha
@Pastorsteverotali
@Pastorsteverotali Жыл бұрын
Mzee kishimba uko vizuri sana, watoto waliandaliwa wakiwa wadogo vijijini, leo hii watoto wa mijini mabinti hawajui kupika, kufua nguo, wanaolewa wanaachwa na waume, hawajui kujitegemea, wamedekezwa na uchawi wa wazungu. Turudi kwenye misingi tujenge kizazi cha kujitegemea sio kuzurula.
@wasafinasibu-sg4gi
@wasafinasibu-sg4gi Жыл бұрын
Huyu mzee hajawahi kuwa na hoja bovu zote ni fact mungu Akupe maisha marefu
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 Жыл бұрын
Huyo mzee yuko vyema sana
@abrahammollel3558
@abrahammollel3558 Жыл бұрын
Mtu utamjua Anapo ongea jambo la msingi Hana papara yupo makini sana Mungu Akubariki sana Baba kishimba
@songweboytaifa1990
@songweboytaifa1990 Жыл бұрын
Uyu mbunge lazima Hana degree za vyouni lakn anadegree za mtaani ndiomaana anaongea mambo yenye uhalisia na jamii yetu maua yako mh🌹🌹🌹
@dismaswagana6458
@dismaswagana6458 Жыл бұрын
He is a fountain of wisdom and he has what it takes to be be a presidential advisor on policy matters.He is above parliamentary politics.
@ibraahmbena
@ibraahmbena Жыл бұрын
Mh upo vizuri yani unazungumzia uhalisia wa maisha yetu Safi Sana mungu akulinde
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 Жыл бұрын
Ni Moja ya watu wenye IQ kubwa sana TZ
@abrahammollel3558
@abrahammollel3558 Жыл бұрын
Ingekuwa ninauwezo wakusema Ningesema Awe Waziri wa maisha Wa Elimu
@robertnkaragano298
@robertnkaragano298 Жыл бұрын
Kishimba bonge la Professor!! Ndo maana hua matafta clips zake hata zikiwa za miaka mingi nyuma!! Aisee very educative speechs!!
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 Жыл бұрын
Kumbe Kama mimi
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 Жыл бұрын
Huyu jamaa anaongea natural Sana ..
@isaacvtv547
@isaacvtv547 Жыл бұрын
Mtu akisoma huendeshwa na usomi wake ila ukiangalia waliosoma kiasi wanatowa hoja zinazowagusa watu ila wengine kama vile wanawatumikia waanzilishi wavisheria visivyo vyakibinadamu.
@alirattansi5040
@alirattansi5040 Жыл бұрын
Mheshimiwa Mzee Kishimba, Kwanza Heshma yako Mzee, kila wakati unakuwa na Logic point...Suala la wafanyakazi nyumbani ni wazo nzuri sana na Italeta mafanikio kwa watanzania wengi kuwa na Kazi yaku dumu baada wakipata elimu na itajengea kuwa na Heshma na Busara na wataheshimika pia. Ubarikiwe Amen!
@annapeter-wb6iv
@annapeter-wb6iv Жыл бұрын
Wwtakuelwa wachache Genius wetu
@isackkwitwa7739
@isackkwitwa7739 Жыл бұрын
Uko vizuri mzee hoja yako ya mzazi nae apate percent kwenye mshahara wa mwanae iko sahihi kabisa maana kuna watu tukipata ajira hatutaki hata kurudi kuwasalimia wazazi
@fatmayussuf1787
@fatmayussuf1787 Жыл бұрын
Kabisa wazee wa nahangaika tukikuwa haoo tunasema nami nahangaikia familia yangu wazee wanatupwa
@athumanjuhudi5014
@athumanjuhudi5014 Жыл бұрын
Kwa kweli Kishimba akiongea Wabunge wote wanasikiliza kwa umakini. Lakini baadae hoja zake zinaachwa hapohapo maana zinakinzana na za EU.
@supusupu8556
@supusupu8556 Жыл бұрын
mweshimiwa kishimba uko vizuri sana mzee love you mzee
@kudraahmad5670
@kudraahmad5670 Жыл бұрын
Mzee kishinba ,una akili kubwa sana inayogusa uhalisia wa maisha ya kawaida ,,hongera sana mzee wetu
@amosmgitu6707
@amosmgitu6707 Жыл бұрын
😮😮😢
@mashakamaganga1261
@mashakamaganga1261 Жыл бұрын
Kudra nimekukubali
@JohnKibebah-px8ci
@JohnKibebah-px8ci Жыл бұрын
Mbuge mwenye akili kubwa na mawazo chanya yanayohitajika tanzania
@saidmzee5471
@saidmzee5471 Жыл бұрын
Anayosema Kishimba ndiyo uhalisia, kwetu huku Zanzibar ilikuwa kipindi cha mavuno ya karafuu shule zinafungwa na wanafuzi wanakwenda kuvuna zao la Taifa
@japhetlaizer3919
@japhetlaizer3919 Жыл бұрын
Mzee uko vizuri Sana,,,,,,kahama mmempata mbunge kweli
@comics3437
@comics3437 Жыл бұрын
Elimu ni nzuri Tatizo ni ufundishaji ndio duni. Wengi wanasoma kufaulu mtihani lakini ki uhalisia hiyo elimu mtu akifundishwa vizuri anaelimika
@elishapaul9423
@elishapaul9423 Жыл бұрын
Kweli mwamba kaongea sanaaaaaa ukwel sheria ibadilishwe wazaz wasfungwe wahudumiwe mtt anayezaliwa aseeeeee
@bettymeshack7759
@bettymeshack7759 Жыл бұрын
Huyu Baba agombee Uraisiii🎉
@petermiren6324
@petermiren6324 Жыл бұрын
Huyu mzee ni zaidi ya wenye PhD ba maprofessor
@allykassim1120
@allykassim1120 Жыл бұрын
Big up kishimba Kwa uwono wa kuona ya mbele
@meshack3266
@meshack3266 Жыл бұрын
Sema uyo mama wa pembeni kama ananiboaa vileeeeee
@estherlemburismollel5901
@estherlemburismollel5901 Жыл бұрын
Anasema.vizuri lakini tukumbuke kila jamb na wakati, tukiwapa uhuru sana watoto ni shida kubwa
@raufurajabu
@raufurajabu Жыл бұрын
Daaaahhh huyu mzeee ni professional
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 Жыл бұрын
Apewe inch apewe uraisi huyu jamaa wasukuma ni vichwa san
@user-zc1zu7jx4r
@user-zc1zu7jx4r Жыл бұрын
Hoja ni za msingi Sana,shida kukuelewa ndio tatizo.
@alirattansi5040
@alirattansi5040 Жыл бұрын
Heshma yako Mzee Kishimba, naogezeea comment yangu juu ya elimu kwa wafanyakazi mwa jumbani ni kutoa mfano kuna wageni wafanyazi wa nyumbani kutoka nchi jirani kama Malawi.
@matthewm.ntinginya3107
@matthewm.ntinginya3107 Жыл бұрын
Hiyo point ya mwisho nimekuelewa sana mheshimiwa kishimba!!!!!!!! Kama kweli Serikali ikisikia hoja hiyo wazazi watakuwa matajiri siyo tu kuwa na bima ya afya
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Жыл бұрын
Ila Kishimba unanichekesha sana
@user-wi2kr3kl4j
@user-wi2kr3kl4j Жыл бұрын
Nakubari sana
@chamwilambomusa4447
@chamwilambomusa4447 Жыл бұрын
Prof. Kishimba
@SinguMahona-hy7ud
@SinguMahona-hy7ud Жыл бұрын
Ni kweli wazazi wanaumizwa
@user-pb6ln7qz8e
@user-pb6ln7qz8e Жыл бұрын
Dash huyu jamaa n genius aisee hope one day atapewa cheo kikubwa
@yothamgwanika9530
@yothamgwanika9530 Жыл бұрын
Genius, apewwe wizara huyuu.
@alexbushishi8342
@alexbushishi8342 Жыл бұрын
Prof. Mh. Dr. Kishimba PhD in action!
@EnockChingula-gw1po
@EnockChingula-gw1po 9 ай бұрын
Unafaa kuwa waziri wa elimu unauwezo mkubwa sana
@FabianJustine-bq6qv
@FabianJustine-bq6qv Жыл бұрын
Ok ukosawa Lakini hawayafanyii kazi
@ibrahimbaila7764
@ibrahimbaila7764 Жыл бұрын
Kikawaida wapewe wanawake wao . Sheria ni baba na mama walehee mtoto wao . Cyo kufunga mwanaume.
@isaacvtv547
@isaacvtv547 Жыл бұрын
Hizi sheria za kizungu ni za kishetani tu tunaona leo hii binti wanawachumbia wavulana na akibebeshwa mimba eti kijana afungwe myaka 30 jera ni ujinga wa hali ya juu.
@willymwaipaja6783
@willymwaipaja6783 Жыл бұрын
Ningetamani sana huyu awe waziri wa elimu, ila wasomi wana wivu, hawatapenda kuongozwa na waliomzidi elimu. Kwetu Tanzania kuwa na PHD ni kuwa na akili na marifa na hekima kuliko walioishia sekondari au la saba. si ajabu kuona mwenye phd ya uuguzi akajiona na kudhaniwa kuwa anaweza kuwa mshauri mzuri wa mambo ya ukoo au familia. Ni kanuni ile ile kuwa asemacho mzungu ndicho kifuatwe maana wako juu kielimu kuliko sisi
@devothambugi5467
@devothambugi5467 Жыл бұрын
Baba uko vzr Sana unachoongea point sana
@user-uy1zn8cr2q
@user-uy1zn8cr2q Жыл бұрын
Mr kishimba
@swahumukareemu7224
@swahumukareemu7224 Жыл бұрын
Mtu mwenye fkira za mbali
@mussamdetele5728
@mussamdetele5728 Жыл бұрын
Huyu Jamaa akili nyingi
@MarandaIhonde-qe6df
@MarandaIhonde-qe6df Жыл бұрын
Mtu kama huyu anatakiwa kua waziri asiye kua na wizara maalum
@silamwamlima2758
@silamwamlima2758 Жыл бұрын
Huwa namuerewa sana kishimba
@velejilyomhongole1641
@velejilyomhongole1641 Жыл бұрын
Daaah kishimba akiri kubwa sana
@juliuskatemi6816
@juliuskatemi6816 Жыл бұрын
Mwana Falisafa, He is a critical thinker
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Жыл бұрын
Kweli wafanyakazi wa ndani ni dili
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 Жыл бұрын
Haha haa Haha, ila J4 ana madini aise. Yaani anafikiriaga vitu ambavyo wengine hawawezi hata ku imagine yaani
@samwelimadaraka4358
@samwelimadaraka4358 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Shule nikambi wazungu wali2letea Wewe nikishimba kweli
@machindafadhili3186
@machindafadhili3186 Жыл бұрын
Yaani kupata wayu 10 kama wewe,nchi inaweza songa mbele kwa haraka sana.
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 Жыл бұрын
Kweli
@FabianJustine-bq6qv
@FabianJustine-bq6qv Жыл бұрын
Uko right now sasa nakuunga mkono kuhusu miba yani wawe wanawaoa tu serekali iwe toe azambu ya kulipa tu mahali tu maana hakuna anaye lazimishwa kimapenzi kwahiyo hakuna mujandala hapo
@loner_wolf
@loner_wolf Жыл бұрын
Umesahau SECURITY INDUSTRY...... inahitaji vijana wenye fresh ideas sana...... Sio mnakusanya kodi tu bila kutoa elimu kwa hao watu.
@topesafi9742
@topesafi9742 Жыл бұрын
shule ni kambi tu,,,hii kauli 100%
@MohamedTuga-dn9su
@MohamedTuga-dn9su Жыл бұрын
Mzee yupo vizuri 🎉🎉🎉
@robertzingu9889
@robertzingu9889 Жыл бұрын
Hilo la mimba kwa wanafunzi wa kike na mtia mimba (mwanaume) limeniingia. Ni kweli it doesn't make any sense at all kama unamruhusu mtoto wa kike kujifungua na kisha kurudi shule kuendelea na masomo halafu baba wa mtoto (aliyesababisha mimba) amefungwa jela miaka 30. Hii haileti maana kabisa. Hii sheria siyo. Walioitunga hata haileweki walikuwa wanafikiri nini tu
@kangaelias7782
@kangaelias7782 Жыл бұрын
Profesa nakubali sana
@AsimweJastin-od1yz
@AsimweJastin-od1yz Жыл бұрын
Nimekukubar mwamba
@christophermwashiozya5178
@christophermwashiozya5178 Жыл бұрын
Kahama mnambunge makini sana sijawahi jutia kumsikiza muheshimiwa kishimba sijui kwa nn hapati Uwaziri upo makini na ukileta hoja inaeleweka congole sana kwa kupigania haki za wanyonge.
@jovinanthoni7851
@jovinanthoni7851 Жыл бұрын
Elimu ndo inamfanya huyu mzee asiweze kupata hiyo nafasi maana kupewa hiyo lazima huwe umeenda shule kweli kweli
@Brightonkatabaro
@Brightonkatabaro Жыл бұрын
Big brain! Nchi zingine zinaweka mkazo kwa mabinti kujilinda kutopata mimba. Wengi hawapati mimba japo wanakuwa na mahusiano tangu wanapokuwa shuleni. Kuna sheria ya matunzo ya watoto kwa vijana wanaowabebesha mabinti mimba. Kwa hiyo, vijana wanajichunga sana wasiwabebeshe mabinti mimba ili kutoingia kwenye gharama kubwa za kutunza watoto. Hoja ni kwamba, hakuna kifungo kwa baba wa mtoto, badala yake wanawajibishwa kuwatunza watoto. Mhe. Kishimba yuko sahihi kabisa. Unamfunga baba wa mtoto, mtoto alikukua anaathirika kisaikolojia kwamba baba yake alifungwa. Ni vema kuiangalia sheria hii kwa upya na kipekee tujikite kwenye elimu ya makuzi kwa watoto wetu wa kike na wa kiume ili waepuke mimba za utotoni.
@petitmwapinga7130
@petitmwapinga7130 Жыл бұрын
Huyu mbunge upewe kiti chake cha pekeake
@sylivesterleonard5133
@sylivesterleonard5133 Жыл бұрын
Genius!!🎉
@bonphacearon2428
@bonphacearon2428 Жыл бұрын
Kixhimba namkubal xna anaongea vtu yenye akili nyingi xn
@robertmwakitwange7292
@robertmwakitwange7292 Жыл бұрын
Uko sawa
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 Жыл бұрын
Kweli kabisa ni kuandaa umaskin nchin maana mtoto aliezaliwa anakoswa haki zake pia ndoto za mfungwa zinazima na kusababisa ongezeko la walaji magerezan ambapo ni mzigo pia kwa serikal hivyo liangaliwe kwa makin hongera sana mh.Kishimba umekuwa taa ya watanzania waelewa mungu akulinde.Kweli kahama Wana mbunge wa kweli
@elishuaisaya4176
@elishuaisaya4176 Жыл бұрын
Sibria tukuite sie kuwa wewe ni mzalendo na katu kujiita kuwa wewe mzalendo kishimba yu mzalendo na anafaa kuwa kiongoz nchini
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 Жыл бұрын
Professor Kishimba ni mwamba
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 Жыл бұрын
Jamaa ana points
@josemitimingi8048
@josemitimingi8048 Жыл бұрын
Good
@mwakasagule
@mwakasagule Жыл бұрын
Jumanne Kishimba Hoye!!🤣🤣🤣
@happinessmroni8654
@happinessmroni8654 Жыл бұрын
Hakili kubwa😊
@mahijamikael3652
@mahijamikael3652 Жыл бұрын
Hazina ya taifa
@emmanuelshavunza4314
@emmanuelshavunza4314 Жыл бұрын
Huyu Mbunge apewe mauwa yake.🤣🤣🤣
@petermahimbo3458
@petermahimbo3458 Жыл бұрын
Kishimbaa!
@prosperjuma905
@prosperjuma905 Жыл бұрын
Kwamba mtoto akose masomo kwa siku kadhaa akalime? Aise..aliyesoma kasoma tu.
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Жыл бұрын
Hata hivyo miaka 30 ni hadith tu
@dicksonmauki3604
@dicksonmauki3604 Жыл бұрын
YAANI MZAZI ANAKUWA KAMA WAKALA WA MTOTO HAHAHAHAHAAA, UNAKULA PERCENT YAKO SERIKALI IKIMWAJIRI HAHAHAHAHAA
@mc_Mangula
@mc_Mangula Жыл бұрын
Dah😅
@augustinokingazi8301
@augustinokingazi8301 Жыл бұрын
Hawa ndio sauti za umma
@alexmatt9504
@alexmatt9504 Жыл бұрын
Ahsante kwa mchango wako Mweshimiwa Mbunge Kishimba ila kwenye mada ya mimba kwa wanafunzi,kumuozesha ni sawa lakini adhabu ya kifungo kwa mwanaume unataka sheria ibadilishwe? Maana yake ukimpa easy way huyo mwanamme ni kwamba watazoea na kuona huo mchezo ni safi. Ila kwa yule aliyebaka hakuna haja ya kumhurumia,akatumikie kifungo na kazi ngumu.
@godlovekasaka4166
@godlovekasaka4166 Жыл бұрын
Sikiliza hapo kwenye likambi” hapo kuna jambo linejifucha yaan kakataa kikubwa nakakubali kikubwa. Inaonyesha kama ingekuwa amri yake basi wasingerudi shule. Maana ishakuwa easy way to one side bora iwe kwa both side
@daudmihambo2174
@daudmihambo2174 Жыл бұрын
Hekima za Mzee kishimba
@bensonmramba6960
@bensonmramba6960 Жыл бұрын
Zamani ilikuwa ngumu kupata mwanamke bikira siku hizi ni ngumu kupata mwanamke ambaye hajazaa
@olarivolariv1313
@olarivolariv1313 Жыл бұрын
Hahaha 😆
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Hahahahaaa wee jamaa hatarii
@timotheontibayaga-lq2xx
@timotheontibayaga-lq2xx Жыл бұрын
Una akili sana baba
@sospatrongallaba3252
@sospatrongallaba3252 Жыл бұрын
Full of logic. Lazima zingaombwe hili lipate solution,all what is talking is full of sense tumebakia kuiga tu
@macknonkibona2401
@macknonkibona2401 Жыл бұрын
Huyu mzee ni zaid ya mbunge
@josephpetermaganga2907
@josephpetermaganga2907 Жыл бұрын
Hatari
@samsonjoseph7320
@samsonjoseph7320 Жыл бұрын
Baba Bora
@emmanuelmlekwangano9991
@emmanuelmlekwangano9991 Жыл бұрын
Apewe Maua yake
@joshuabartonpolelaab4985
@joshuabartonpolelaab4985 Жыл бұрын
professor kishimba 😆😆😆
@InnocentCharles-hm3ff
@InnocentCharles-hm3ff Жыл бұрын
Maisha ni uhalisia wa mambo ambapo unapaswa kufikiria Kwa kina sana na kutolea uamuzi sahihi....sio kukopi au kukariri ...uyu mzee anafanya analysis za maana ambapo ndio wajibu wa kila binadamu apa duniani...ni zaidi ya utafiti..
@mokororugatiri4181
@mokororugatiri4181 Жыл бұрын
Naomba namba yake
@swedijr2686
@swedijr2686 Жыл бұрын
Chuma hicho
@saidmzee5471
@saidmzee5471 Жыл бұрын
Mimi nadhani tumerudi nyuma sana kieleimu kuliko tulipotoka
@athumani6655
@athumani6655 Жыл бұрын
Yec
@ajuayemwepelwa4304
@ajuayemwepelwa4304 Жыл бұрын
Huyu kishimba ndo wangempa uwazir
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Жыл бұрын
Matatizo ya waafrica ni copy na ku paste. Tunashindwa kutofautisha kua sisi sio EU. Warabu Wana taratibu kwenye sheria ambazo zinaonyesha kua maadiri haya na yale yatekerezwe kwa vitendo. Kwetu hata mambo ya kwetu tunayazidisha sheria za EU. Baada ya mda eti maadiri ya watoto yameporomoka. Maadiri yanatakiwa kuwekwa kwenye maandishi na watu wayasomye. Sio uhuru, uhuru, uhuru, wakati wachina, Japan, warabu, ...wote wanafuata ya kwao
@andrewmushi5820
@andrewmushi5820 Жыл бұрын
Eiheih9hiieu2hih
Mbunge aishauri serikali kuanzisha chuo cha wizi
5:41
Azam TV
Рет қаралды 154 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 14 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 26 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 17 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 16 МЛН
Jumanne Kishimba: Hauwezi kuoa kwa friji au TV
10:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 27 М.
Waziri KABUDI Amvunja Mbavu MAGUFULI - "NYERERE Asingekuwa MTANZANIA"
17:33
Suala la Wachina Kununua Migodi Midogo Lamtisha Kishimba
9:27
The Chanzo
Рет қаралды 2,5 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 14 МЛН