No video

KISHIMBA BUNGENI TENA, ASEMA "UCHUMI WETU KAMA TEMBO ALIYEBEBWA NA SISIMIZI" AWAVUNJA MBAVU WABUNGE

  Рет қаралды 52,368

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

June 18, 2021 Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba akichangia mapendekezo katika hotuba ya bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22

Пікірлер: 111
@fredyjames4327
@fredyjames4327 3 жыл бұрын
Mzee unajua maisha halisi ya mtanzania mitano tena
@abdulmajidy5496
@abdulmajidy5496 3 жыл бұрын
Leo naomben like zenu namimi
@zainabwage4658
@zainabwage4658 3 жыл бұрын
Good point ukoseag wewe big up mbunge
@jacksonjoel6724
@jacksonjoel6724 3 жыл бұрын
CBE's ni vyuo vya watafuta ajira serikalini. Sio vyuo vya watu kujifunza kufanya biashara. Big up Mh. Kishimba.
@omarialfaaruuq6643
@omarialfaaruuq6643 3 жыл бұрын
Mm nipo bagamoyo lakini mbunge wangu anaeniwakilisha bungeni mh jumanne Kishimba
@carolinakayet4149
@carolinakayet4149 3 жыл бұрын
Hongera sana Baba kwa hoja zako Mungu awabariki
@bashirimkilindi-ww7if
@bashirimkilindi-ww7if Жыл бұрын
Mh, kishimba uko vizuri mno? Sijui Kama wabunge wakuerewa.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@abdulazizahmed478
@abdulazizahmed478 3 жыл бұрын
Honorable kishimba my favorite Mp
@drhammo5709
@drhammo5709 3 жыл бұрын
Tunamuombea mwenyezi mungu ampe maisha marefu one day awe rais wa nchi
@nitumesokoni3164
@nitumesokoni3164 3 жыл бұрын
Itakuwa ngumu rafiki yangu. Katiba inalazimisha mgombea urais awe na digrii. Huyu jiniasi kaishia darasa la saba
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 3 жыл бұрын
Mtu anateuliwa , kuliko kuja na mikakati chanya, anaanza kukomalia machinga, 🧐🧐🧐🧐🧐, Wabunge wote tumuunge mkono kishimba kwa mawazo hayo.-💪💪💪
@ericrukamba6802
@ericrukamba6802 3 жыл бұрын
Huyu Mweshimiwa nampenda sana, anaongea vitu vya maana sana kuliko wasomi, inabidi waheshimiwa wajifunze kutoka kwake namna ya kuchangua.
@mwinyikadhi2870
@mwinyikadhi2870 3 жыл бұрын
Hii nchi ya ajabu Sana Hili swala la wamachinga mbona hayati Jpm alilimakiza..mbona siasa na wamachinga haziishi jamani
@ludobudege1662
@ludobudege1662 3 жыл бұрын
Hongera sana kishimba nondo zako zaukweli sana
@dominicksamwel7578
@dominicksamwel7578 3 жыл бұрын
Bunge wangu👏👏👏
@emanuelmaro8471
@emanuelmaro8471 3 жыл бұрын
Kanywe chai kwa Shishi Food nitakulipia, 😁😁
@economistshillajr.1317
@economistshillajr.1317 3 жыл бұрын
Mzee Kishimba ni Genius sana kwenye mambo mbalimbali hasa biashara, uwekezaji n.k Serikali iwatumie hawa Wazee
@yothamthomasmgolozi1809
@yothamthomasmgolozi1809 3 жыл бұрын
Wendo mzarendo mitano tena
@Joekwid960
@Joekwid960 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukuweka Baba, wenye akili watakuelewa. Binafsi naona unastahili kuwa Raisi wetu.
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 3 жыл бұрын
God bless you hon MP
@paulinamassay5122
@paulinamassay5122 3 жыл бұрын
Duh!!! Mzee we unawaelewa Sana watu wa hali chini koliko kawaida, tuteteeeeee baba.
@kitindifredy9436
@kitindifredy9436 3 жыл бұрын
Asante sana kwa hoja zakitaft
@honestmsigwa920
@honestmsigwa920 Жыл бұрын
Mzee mungu akusimamie sana tunakuombea.
@oscarsagara8813
@oscarsagara8813 3 жыл бұрын
K'shimba anawakusha mara nyingi wanaoitwa wasomi kutunga na kuamua kwa kutumia elimu utashi na siyo nadharia dhahania lakini hawaelewi.Ndio tunakataa watu wasifuge ng'ombe wengi ila wafuge ng'ombe wachache kwamba wataleta mafao kwao ,wakati huo huo wakianza kusema mafanikio ya mifugo watahesabu wote hata hao wanaosema hawana tija.Nadhani wanakua wanakimbia tatizo baadala ya kutatua,watu walime marisho kama wenzetu wanavo fanya...nusu ya wasomi walioaminiwa wanaamini sana vyeti vyao na mabosi wao kuliko uwezo asili waliojaliwa na Mungu...ndio maana tunampa wakili atuamue kwa kosa tunalolijua...
@carolinakayet4149
@carolinakayet4149 3 жыл бұрын
Umenena kweli tupu
@lansonmlehele7248
@lansonmlehele7248 3 жыл бұрын
Your very Bright jumanne kishimba
@pastorgodsonjohn8562
@pastorgodsonjohn8562 3 жыл бұрын
Jamani hoja hizi hazihitaji mjadala zinahitaji kupitishwa za kishimba msukuma gwajima ziko vizuri sana
@RioIpo
@RioIpo 3 жыл бұрын
Mie nipo Zenji lakini mbunge wangu ni Jumanne Kishimba
@davidmagundu2285
@davidmagundu2285 3 жыл бұрын
Aisee tuko pamoja mi mwenyewe niko Morogoro lakini mbunge wangu ni J.4 Kishimba.
@mbarakambuguni3228
@mbarakambuguni3228 3 жыл бұрын
Mungu akubariki kishimba kweli anaesema machinga atoke hajui pia akumbuke ipo siku atatoka
@typeywatengwa2046
@typeywatengwa2046 3 жыл бұрын
Ww ndo Raisi wetu ajae,na WANANCHI Tunataka mtu kama ww,unastahili kuitwa BABA WA TAIFA kwa ss
@mshumbusideogratias9567
@mshumbusideogratias9567 3 жыл бұрын
CBE inatoa feki orginal wanatoa wamachinga
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 жыл бұрын
Kishimba anajua maisha ya chini na ya juu kwani ameyaishi yote. Wengine hawana uchungu kwani hawajui shida .na hawajawai kuiishi. Nchi itambue mlipa Kodi makubwa ni mlaji wa Mwisho. Ambao wengi ni wenye maisha duni na wanatafuta riziki pia kwa mbinde. Eee Mwenyezi Mungu tubariki Watoto wa Tz
@mbarakambuguni3228
@mbarakambuguni3228 3 жыл бұрын
Kishimba upo vizuri hao wanaosema machinga watoke hawajui maisha na hali za watu wa chini kahama oyeeeee
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 2 жыл бұрын
Honorable mzee kishimba kwani serekali si mumpe uwaziri huyu mzee jamani
@hbdina
@hbdina 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿♥️♥️♥️♥️Asante sana Baba
@nitumesokoni3164
@nitumesokoni3164 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni jiniasi sana. Mungu ambariki.
@bengang3265
@bengang3265 3 жыл бұрын
MZEE KISHIMBA FOR PRESIDENT
@jonsonjoani2448
@jonsonjoani2448 2 жыл бұрын
Hongera baba
@kassimmurji2872
@kassimmurji2872 3 жыл бұрын
Kishimba ww ni mbunge unaakili sana na mungu atakujaalia
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 3 жыл бұрын
Tatizo wabunge wengi ni wakoloni weusi. Hususani mbunge anayejiita Zungu. Huyo jamaa ni mkoloni mweusi. Anapendekeza tulipe kodi ya simu wakati pesa zilizopo zinaibiwa tu. Wizara ya pesa wamehujumu pesa za nchi hadi leo hakuna kauri yoyote ila mnawaza kuendelea kutukamua.
@annahpsimon1156
@annahpsimon1156 3 жыл бұрын
Yan wewe Baba Mungu akuweke🙏🏿
@ayubumoha6313
@ayubumoha6313 3 жыл бұрын
Mzee anajuwa matatizo ya watanzania
@geopolitics94
@geopolitics94 3 жыл бұрын
Mbunge makini sana huyu 🇹🇿 ❤️
@feruzinangwalanya5315
@feruzinangwalanya5315 3 жыл бұрын
Kishimba ni noma
@naqillogistic5862
@naqillogistic5862 3 жыл бұрын
Huyu mzee anajitambuwa sana mungu azidi kumtunza na kumupa afya
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 3 жыл бұрын
Huyu Kishamba mtu makini Sana kwenye hoja zake...
@drhammo5709
@drhammo5709 3 жыл бұрын
Huyu mzee natamani nionane nae live (ananipa mfano wa kiongozi mzalendo
@samweliomahe589
@samweliomahe589 3 жыл бұрын
Njoo kahama anaongea na Kila mtu ndugu
@sabinawambura6029
@sabinawambura6029 3 жыл бұрын
Professor
@marthamarashi1913
@marthamarashi1913 3 жыл бұрын
Hongela. sana.
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 3 жыл бұрын
Unatema madini mzee ongela sana Kuna vijana wengine niwa sanii wamebweteka umo
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 3 жыл бұрын
Hao wateule kinachowabughudhi ni kipii??? Hebu Prof kishimba ajibiwe🤣🤣🤣🤣🤣 Nikiwa USA 🇺🇸 huyo ndiye Mbunge wangu 100%
@aishachambo3293
@aishachambo3293 3 жыл бұрын
😂😂😂
@johnjackson4363
@johnjackson4363 3 жыл бұрын
Wasomi wajifunze kupitia huyu mzee. Wasomi wanasoma vitabu vilivyotungwa na wazungu hawajui maisha halisi
@welcometoeat165
@welcometoeat165 3 жыл бұрын
Kikubwa mwaka 025 nakupa kura yangu! Hata usipogombea URAIS
@husnahassan2124
@husnahassan2124 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@dominikishilali5980
@dominikishilali5980 3 жыл бұрын
Uyu angekuwa laisi tanzania mngeinyoi sana mana kapiga eseba mpka mishahala wapu wana lipwa siku mbili mshala mtu hana
@petermwanyondo5370
@petermwanyondo5370 3 жыл бұрын
Ujawai kosea mzee
@bashirmrisho8491
@bashirmrisho8491 3 жыл бұрын
Dah...umemaliza mzee j4
@saulikinahi6703
@saulikinahi6703 3 жыл бұрын
Very bright mind🗞️
@godwinhaule6100
@godwinhaule6100 3 жыл бұрын
Wnaotaka kuongezwa posho mnawaona viti vitupuuuuu Kama mashabiki wa Simba pumbavuu kabisa hongera kishimba kwa kuwawakilisha wananchi wako
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 3 жыл бұрын
We kidume
@matildamtumishi8516
@matildamtumishi8516 2 жыл бұрын
Viongozi ni viburi hawasikirizi wala hawajali sijui tutafanyanye kwakweli ulieumba watu hawa utusaidie.
@khamisali5978
@khamisali5978 2 жыл бұрын
big up mzee
@noelimafwele602
@noelimafwele602 3 жыл бұрын
Akili kubwa kishimba anaongelea uhalisia wa maisha halisi kabisa ya binadamu wa chini wenye kipato Cha kawaida
@godlovemrosso5973
@godlovemrosso5973 3 жыл бұрын
Baba yangu kishimba nakupenda sana kwenye hoja zako mm napenda kuziita hoja tukufu ila kwenye hili je wenye maduka makubwa ndo watoke wawaache machinga kwenye miji mikubwa je watapata wapi mali?
@ahmadmpinzire5649
@ahmadmpinzire5649 3 жыл бұрын
Hao machinga ni mawakala wa maduka makubwa,maan wenye maduka makubwa hawawezi kunuka jasho kwny jua na kubembeleza wateja mpaka kununua,machinga wachukua kwa maduka makubwa kwa mali kauli af waingia mstari wa mbele kutafuta cha juu,ndio maan weny maduka makubwa wako kimya wajua jinsi wanavyonufaika.
@j_gh812
@j_gh812 3 жыл бұрын
Wamachinga elfu tano tu wakilipia viparata vya magufuli vya shilingi elfu ishirini kwa mwaka..Ni sawa na shilingi trillioni moja serikali imepata mapato hayo kutoka kwa wamachinga..hayati Magufuli alikua na akili ya ziada Sana..kweli baba ulisema tutakukumbuka.....
@absalimlufyagile4974
@absalimlufyagile4974 3 жыл бұрын
Kweli kachimba wewe mfano wa kuigwa ukumbuke ukitumbuliwa unaludi hukuhuku
@ramlazuber6038
@ramlazuber6038 3 жыл бұрын
Nimeliaaaaaa sanaaaàaa..
@jaymalebo2159
@jaymalebo2159 3 жыл бұрын
Honorable presedent 2025👏
@irakozejclaude7869
@irakozejclaude7869 3 жыл бұрын
Wanapewa vyeo wenye elimu wakati maarifa ndio kichwa kwenye maendeleo ya inchi
@simonjonas1457
@simonjonas1457 3 жыл бұрын
We unajua mpka unaboa mzee
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 3 жыл бұрын
Mbona unapotosha...hakuna mtu aliyesema anatoa wamachinga....na serikali haijatamka kuwatoa...wamesema wanataka kuweka utaratibu mzuri...Mimi nashangaa kuona wabunge wa vijijini wanazungumzia machinga wa kariakoo...haiwezekani kuachia Hali Kama ile...kariakoo imejaa ndani ya miaka miwili hijayo itakuwa balaa maana kila mtu atakuwa machinga...serikali lazima ijena jibu ata ikiwezekana ata kununua maeneo kariakoo na ilala kujenga masoko makubwa ya wazi ya gorofa kusiwe na vizimba....tusijifanye tuna huruma na Hawa vijana kwa manufaa yetu kisiasa...tuumize vichwa ili kuwasaidia sio kuwaacha ili tupate kura zao...mkuu wa mkoa endelea na mpango wako
@pendomakali4115
@pendomakali4115 3 жыл бұрын
Wewe sio wao,wewe unajitosheleza,ndio maana unatoa idea za abunuwasi,khaaaa
@fadhilikawambwa1586
@fadhilikawambwa1586 3 жыл бұрын
POINT TUPU.ANASTAHILI UPROFESA
@josephbaraka8451
@josephbaraka8451 2 жыл бұрын
Mzee kishimba ama hakika unaongea vitu vyenye maono ndani yake MUNGU akuweke siku moja uwe rais wetu nchi inaitaji watu fct kama hawa ila wanao fikiria nje ya box watajibeba
@yohanamichael2858
@yohanamichael2858 3 жыл бұрын
tumbo likijaa watu husahau asili yao
@yonakatoto4067
@yonakatoto4067 3 жыл бұрын
Rais mtarajiwa.
@rahmarahma920
@rahmarahma920 3 жыл бұрын
Wewe ni mzalendo wakweli
@mekumeku2484
@mekumeku2484 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anawaza mbali asee...
@miriamsaidi1047
@miriamsaidi1047 3 жыл бұрын
Mh kanywe Soda kwa mangi
@blueeyes5952
@blueeyes5952 3 жыл бұрын
Uyu ndio Muzalendo na mkweli kuwa kiongozi kura yangu utapata siku zote. Hawaa mafisadi matajiri yanawaza yana waza wanaweza kuwa matajiri bila maskini????? Ndugai fukuza wote wa bunge wenye akila za umalaya za kunyanyaza maskini, je mnasahau kama tz ni ya mukulima na mfugaji?? Machinga waleo njo wakulima je hawa ruhusa ya kufurahia nchi yao???
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
Tuna ndege saivi wewee😂😂. Tanzania ya ndege hii
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 3 жыл бұрын
Mimi ningeshauri serikali iunde kitengo cha wamachinga kama ewura ambacho kitatizima matatizo ya wachinga na changamoto zao kwa sababu ukiwasaidia wamachinga umesaidia kundi kubwa pili wamachinga wote watambuliwe kisheria hili TISS wanaweza maana ukisema kuna usajili wa wamachinga dar nzima watakuja, tatu kuwe na ufuatiliaji wa wamachinga kwa mfano wamachinga wanunue simu zile ndogo za 25,000 ambazo zitakuwa na namba maalum ambayo EMEI yake itakuwa kwenye database ya TRA na TRA washirikiane na mitandao ya simu, Hiyo simu itafanya wauze vitu vyao online kama vile MPESA, nne kuna mtu alifanya kitu kizuri sana pale soko la kariakoo nje alijenga viduka vidogo vidogo vizuri ambavyo wamachinga wanafanyia biashara kwa nin visingejegwa huku pembeni ya barabara vikawa kama urembo lakin watu wanapata ajira
@sospetermigera685
@sospetermigera685 3 жыл бұрын
Mzee huyu ana akili hatari ,huyu mimi ndo mbunge wangu bora kwa sasa .
@MAFUNDISHO1
@MAFUNDISHO1 3 жыл бұрын
PROF. kishimba namkubali sana aisee
@zariadunia6328
@zariadunia6328 3 жыл бұрын
Hivi hili la kuwatoa machinga limetokea wapi au kwa sababu walimpenda Sana magufuli mpaka wakaingia airport na mtu anayelisemea Sana ni makala hivi hawajui umuhimu was machinga ngoja tuwaache tuone
@benedictojanuary4930
@benedictojanuary4930 3 жыл бұрын
Huyu Kishimba si awe hata Raisi maana ana IQ kubwa sana ya kifikra. Kishimba Bonge LA kiongozi
@kajugaa4537
@kajugaa4537 3 жыл бұрын
Matajiri wengi wafanya biashara na wengi walianza kama machinga kweli umachinga ni chuo kabisa
@lazarosteven7286
@lazarosteven7286 3 жыл бұрын
Ujawahi kosea mbunge wangu
@ramadhanmohamed6433
@ramadhanmohamed6433 3 жыл бұрын
Unastahili upewe nafasi ya uwaziri wa tamisemi , ama wizara ya fedha
@computersales-tz
@computersales-tz 3 жыл бұрын
Nyundo
@mwinyikadhi2870
@mwinyikadhi2870 3 жыл бұрын
Halafu na mpenda kiahimba hanaga Mambo mengi..sijuinkupongeza Sana Mara hivi yeye anajielekeza kwenye mada moja kwa moja
@mungaSapo
@mungaSapo 10 ай бұрын
Poa sana
@chifupromise9575
@chifupromise9575 3 жыл бұрын
💯👍👍👍👍
@MrMachume
@MrMachume 3 жыл бұрын
Huyu ndiye anatufaa kuleee mbeleni..
@emanuelmaro8471
@emanuelmaro8471 3 жыл бұрын
Kwani viongozi vinawauma Nini,? Waache watu wafanye kazi
@salimkinyashi562
@salimkinyashi562 3 жыл бұрын
Mzee kishimba umetisha sanaa we mzee una madini mdomoni mwako wewe ni mgodi unaotembea unaitaji mlinzi mzee mzeee.
@salimkinyashi562
@salimkinyashi562 3 жыл бұрын
Mitano tena kishimba.
@calistgwaydamuy8813
@calistgwaydamuy8813 3 жыл бұрын
Dahhhhh, Hadi raha watu wa kahama mitano tena
@jeffreywilliams1171
@jeffreywilliams1171 3 жыл бұрын
Hichi ni kichwa, je serikali inayafanyia kazi mawazo yake? Huyu hana chuki na yoyote, please apewe kitengo hasa kwenye biashara na uwekezeji kama itawapendeza wakubwa.pia mh kumbuka kuandaa kitabu ili alama zako zibaki.
@josephlutatina9416
@josephlutatina9416 3 жыл бұрын
Huyu mzee apewe uwaziri hata Kama Hana degree
@HeddySonBrownjr
@HeddySonBrownjr 3 жыл бұрын
Huyu fother anapatikana wap?
@vitarismujuni6889
@vitarismujuni6889 3 жыл бұрын
Khm,shy Tz
@hemedmselem4889
@hemedmselem4889 3 жыл бұрын
Yani machinga waendelee kublock barabara na kuchafua mandhari ya majiji Ndio kigezo cha uchumi hiko ? Duniani hakuna wafanya biashara kwenye barabara bwana huu ni uchafu tu Dunia yote inao machinga lakini wanatengewa maeneo yao kwa utaratibu mzuri wa kimazingira Huu ni uchafu tulonao tao tz Wakajifunze hata hapo rwanda kwa rafiki wa hayati wetu Waone kafanyaje kuhusu machinga
@abdulmajidy5496
@abdulmajidy5496 3 жыл бұрын
😄
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 12 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 211 МЛН
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 10 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 9 МЛН
Jumanne Kishimba: Hauwezi kuoa kwa friji au TV
10:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 27 М.
MBUNGE KISHIMBA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE
14:02
Millard Ayo
Рет қаралды 207 М.
Mbunge Kishimba awavun ja mbavu wabunge "Kwani akili ni Bando?"
10:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 32 М.
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 12 МЛН