MBUNGE KISHIMBA KAMA KAWAIDA AZIDI KUWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE

  Рет қаралды 143,405

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba akichangia Bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2021/22.

Пікірлер: 342
@prashantdetha7942
@prashantdetha7942 3 жыл бұрын
I appreciate Mr Kishimba. His approach is very practical. His vision is to change mindset which is outdated and old. He is a successful businessman therefore he understands the win win solution of the problem. Love you father kishimba.
@josephlucas8672
@josephlucas8672 3 жыл бұрын
- - - part pEOPLE w
@rashidmwalawa9612
@rashidmwalawa9612 3 жыл бұрын
Huyu mbunge anaakili sanna jaman. Namkubali 100%.
@wajanjaforever4822
@wajanjaforever4822 3 жыл бұрын
Watu wote wanaozunguka Kanda ya ziwa Wana IQ kubwa. Ni sababu ya Aina vyakula wanavyokula, ikiwemo samaki wa ziwa n.k. eg Kishimba, Magu...mtu anapima Hadi mapapai, Hii imethibitishwa kisayansi kabisa.
@hemedmselem4889
@hemedmselem4889 3 жыл бұрын
Ndio maana kawa tajiri miaka mingi Babu wa imalalseko
@osumrope2096
@osumrope2096 3 жыл бұрын
Kabisa..wasomi wetu wengi ni zero
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 3 жыл бұрын
Huyu mbunge mzur sana aisee,,hoja zake NI konki 🔥🔥🔥🔥
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 3 жыл бұрын
Yaani unapomsikiliza huyu mbunge hadi unatamani asimalize kuongea.
@mrgeorgeisdory5277
@mrgeorgeisdory5277 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni super nature yani anaongea maisha halisi ya Mtanzania
@atusbaraka
@atusbaraka 3 жыл бұрын
Naomba like yako kama unamuelewaga sana huyu mzee Kishimba💪
@Coachsamwel
@Coachsamwel 3 жыл бұрын
Kazi ya elimu ni kutatua matatizo ya jamiii... I love this mindset.. Wanahitajika watu wa hivi Tanzania... Tunataka pesa
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 3 жыл бұрын
Kweli huyu mbunge huwa ana hoja zenye afya sana
@eddyempire9797
@eddyempire9797 3 жыл бұрын
Daaaa!!!!! Wapga kura wake walichagua kweli🙏
@Coachsamwel
@Coachsamwel 3 жыл бұрын
@@mariumpeter6147 Yap! Yaan anaongea uhalisia nje nje.. anaweka vitu wazi kabisa hata mtoto wa miaka 6 anaelewa nini kinazungumziwa ... Kiukweli hata mimi nakubali kwamba nadharia nyingi zinazoonekana za kisomi ndio zatufanya kuwa maskini Afrika. Lazima tuchuje na tuchague nini kinatufaa na kipi hakitufai
@Coachsamwel
@Coachsamwel 3 жыл бұрын
@@eddyempire9797 Kabisa kabisa wala hawakukosea aisee... Wabunge wenye mawazo ya kimapinduzi kama huyu ndio wanatakiwa Tanzania Hoja za hivi zikianza kuungwa mkono na kufanyiwa kazi basi Tanzania imesonga mbele.. Sifa ya muelewa wa mambo ni kuhoji kama hivi..sio kukubali mazoea tu bila kupima kwamba yanajenga au kukandamiza wananchi
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 3 жыл бұрын
Binafsi huwa natamani atoe kitabu cha yote anayoongea na hata mengine ambayo ni uhalisia wa maisha halisi ya mtanzania
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz 3 жыл бұрын
Kahama hawajakosea kumchagua Prof Jumanne Kishimba. Anajua kutengeneza hoja na kuisimamia Safi sana
@benmashulano9030
@benmashulano9030 3 жыл бұрын
So focused with composure! Anajikita kwenye hoja moja mpaka mwisho mpaka inaeleweka.
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 3 жыл бұрын
Kweli Prof. yuko vizuri sana
@zulkifuswai1747
@zulkifuswai1747 3 жыл бұрын
Mwanzo raia walikua hawamwelew
@njemamehuna9821
@njemamehuna9821 3 жыл бұрын
Nilimfundisha binti yake Hadija Kishimba alikuwa ana akili sana,sijui yuko wapi siku hizi
@husseinmussa516
@husseinmussa516 3 жыл бұрын
Akir nying kishimbaa respect kwak mzee🤗 more life 4 u
@festoloweza9868
@festoloweza9868 2 жыл бұрын
Uko vizuri sana changuo hilo ni harari hamjapigwa
@eddyempire9797
@eddyempire9797 3 жыл бұрын
Natamani niwe kama huyu mzee... daaaa!!! Wakati wenzie wanasoma makaratasi yeye huwa anawaza maisha halisi ya Mtanzania. #wapiga kura kweli walichagua 🙏🙏🙏🙏
@derickkahabwa3391
@derickkahabwa3391 3 жыл бұрын
Mzee Kishimba Ni mfano wa kuigwa kwa namna anavyoleta fikra mbadala yanayoendana na uhalisia wa maisha yetu na siyo ukasuku wa kwenye makaratasi. Mzee Kishimba Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu.
@officialsteeve2384
@officialsteeve2384 3 жыл бұрын
This father is so genious,,always he discussing about the reality of the people of the lower class God bless you father🙏🙏
@khamistv922
@khamistv922 3 жыл бұрын
Mbunge Huyu nakkubali Sanaaa,Hana siku anayochangia akaongea pumbaa,yaani anazungumza uhalisia na maisha halisi asaa ya kitanzania
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 жыл бұрын
Nampenda Sana kishimba anaongeaga point kuliko hao wasomi mlio nao huko bungeni
@jeremiahphilibety4889
@jeremiahphilibety4889 3 жыл бұрын
Ni mmoja kti ya wabunge wenye akili tz
@arnoldmangi2407
@arnoldmangi2407 2 жыл бұрын
Safi Sana mzee makalatasi sio suruhisho Kila kitu kiende kwa mpango kufanya jaribio ndipo usitishe matumizi au kuweka Shelia @mr kishimba safi Sana 🙏🙏
@raphaelheinzy1287
@raphaelheinzy1287 3 жыл бұрын
Nimeamini kura yangu niliyokupa unaitendea haki nipo hapa Kahama Municipal "asanteeee"
@ramlazuber6038
@ramlazuber6038 3 жыл бұрын
Yaaan huyu baba mungu amuongoze. Na Amzidishiee umri MREFU
@josephyegella4816
@josephyegella4816 3 жыл бұрын
Hongera sana mbunge mwenye akili ya kuzaliwa sio ya darasani.
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 жыл бұрын
Kishimba anafaa Sana anajua sàna shida za wanyonge ana huruma sana Mungu akulinde Tajiri wetu usiye na majivuno♥️🔥🙏🙏🙏🙏
@hamimujimmy4669
@hamimujimmy4669 3 жыл бұрын
Mm najalibu kuangalia ktk bunge letu, kati ya wabunge wasomi na ambao sio wasomi. Nakuja kugundua wabunge ambo sio wasomi ndo wanaotoa hoja na ushauri wa maana saaa.
@irakozejclaude7869
@irakozejclaude7869 3 жыл бұрын
Umeona eeh
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Kabsa
@benmashulano9030
@benmashulano9030 3 жыл бұрын
Practical oriented vs theory oriented
@irenemsumba6776
@irenemsumba6776 3 жыл бұрын
Nikweli
@Bruno-ed1ps
@Bruno-ed1ps 3 жыл бұрын
Wasomi wapuuzi sana
@emmyally5335
@emmyally5335 3 жыл бұрын
hapo kwenye kipengele cha matumizi ya mkaa hatari Sana nakubali Sana mbunge wangu kwa kutengeneza hoja na kuzisimamia
@dominicksamwel7578
@dominicksamwel7578 3 жыл бұрын
Mbunge wangu
@happytz2807
@happytz2807 3 жыл бұрын
Tunakoelekea huyu mzeee tutampa urais
@welcometoeat165
@welcometoeat165 3 жыл бұрын
Sana kabisa! Hoja zake ni za msingi Sana
@happytz2807
@happytz2807 3 жыл бұрын
@@welcometoeat165 kabisa yan nikiongozi bora na sio bora kiongozi
@happytz2807
@happytz2807 3 жыл бұрын
@Athuman Fuko hata me nawashangaa kabisa
@binyurayanga9312
@binyurayanga9312 3 жыл бұрын
Kabsaaa
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 жыл бұрын
Hawa wabunge ndio walioyaishi maisha ya wananchi wanajua shida za wananchi
@sylvesterhaule7317
@sylvesterhaule7317 3 жыл бұрын
Daaaa mheshimiwa kazi anaijua hatariii
@westonmbuba6421
@westonmbuba6421 3 жыл бұрын
Mzee kila akifunua kinywa anatema madini tu
@malkiaboniface9664
@malkiaboniface9664 2 жыл бұрын
Asante Sana mbunge mweupeo mungu akupe maisha marefu
@ignacetemba7727
@ignacetemba7727 3 жыл бұрын
Daah,huyu mzee namkubaligi sana
@silasjoseph9033
@silasjoseph9033 3 жыл бұрын
Yes.🤗
@rukiaaminibwanamkuu1309
@rukiaaminibwanamkuu1309 3 жыл бұрын
Mimi namkubal balaa lasaba hoyyyeeee
@imanmtaki1436
@imanmtaki1436 2 жыл бұрын
Naona element za urais ndan yko Mungu akutie nguvu , ujasili pamoja na maneno ya busara. nina imani wew hutakuwa kama ulivo🙏
@josephcharles2279
@josephcharles2279 3 жыл бұрын
he is the sukuma hero and im proud of him he always speak the reality i appriciate
@bakariyusufujuma
@bakariyusufujuma 3 жыл бұрын
Watu mliosoma mnakwama wapi tukiwaweka maofisini kama hamjaiba basi mtatengeneza sheria za kutudhuru
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 3 жыл бұрын
Yaani unajua wanatukandamiza na kutuumiza hao wasomi.shida tu wanatupa.
@markomwipopo6054
@markomwipopo6054 3 жыл бұрын
Hiki kichwa kiko vizuri sana. Ana uwezo wa kufikiria vizuri sana kimaantiki.
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Lazima huyu mbunge aingie kwenye kitabu cha wabunge makini Duniani
@manrumba6133
@manrumba6133 3 жыл бұрын
Yaan kishimba n mbunge aliebarikiwa. Yupo kwa masirahi ya watanzani. Yaan mpaka sasa nasema Bunge harihtaji wapinzan. Ukimuangalia msukuma. Na huyo Baba Duh Mungu awabariki sana yaan.
@emmanuelonyangoochola9228
@emmanuelonyangoochola9228 3 жыл бұрын
Safi sana siku zote msomi anasmini karatasi lake tu hana habari na wavuja jasho, bunge lijalo tunaweka darasa la saba tu, wanaojiita wasomi wanakandamiza wanaojuwa hawakusoma
@simontv5012
@simontv5012 3 жыл бұрын
Anajua sanaa
@williamkeitha1262
@williamkeitha1262 3 жыл бұрын
PM With Strongest mind,thanks Mr kishmba
@frednassary7210
@frednassary7210 3 жыл бұрын
Huyu ndo mbunge pekee wa ccm mwenye akili🔥✌️
@Bruno-ed1ps
@Bruno-ed1ps 3 жыл бұрын
Wapo wengi akiwepo na huyu
@HashimuHashboy-bo2wl
@HashimuHashboy-bo2wl 4 ай бұрын
Sijui kama bunge hili litakuka kupata mwanaume kama kishimba anajaribu kutatua matatizo halisi ya watanzania reality sio makaratasi ya wasomi
@jescawalwa2619
@jescawalwa2619 3 жыл бұрын
Wabunge kuweni na hoja kama hizi basi ili taifa lisonge mbele kwa vitendo na si kwa maneno tu
@vitarismujuni6889
@vitarismujuni6889 3 жыл бұрын
Mm SEMA qeri bila huyu mbunge wetu/msukuma yaani Sina cha kuwasikilza wengine kazi yao nikuhongeana tu rushwa za matumbo yao.😭
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 3 жыл бұрын
Yaani anaongea kwa uchungu sana kutoka moyoni. Inamuumiza sana.😥😥😥
@annamussa679
@annamussa679 3 жыл бұрын
Hongera sana mh kishimba unawazidi hadi wasomi na degree zao
@ernestjophreymalaba3374
@ernestjophreymalaba3374 3 жыл бұрын
Huyu ni professor
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 жыл бұрын
Kurasimisha Mkaa ni wazo zuri lakini tumejipangaje kutatua tatizo la ukame wa Mvua, sababu ukataji wa mikaa holera inasababisha mabadiliko ya joto na ukosefu wa mvua huku Uoto wa Asili ukipotea na kufukuza Viumbe Hai wanaoishi Misutuni. Nadhani kuna haja ya Serikali kutenga maeneo makubwa kama Ranch katika Ngazi za Wilaya na Mikoa na iwe chini ya Wizara ya Mali Asili na Utalii, kisha ipandwe Miti ambayo ivunwe ndani ya muda mfupi. Ambao itatumika kuwauzia wananchi wanunue Miti wachome mikaa. Mbona Mbao unakabidhiwa eneo na Idara ya Misuti kisha wanakupa kibari unachana Mbao na Magogo bila kuathiri Uoto wa Asili sababu wanapanda Miti upya. Baada ya hapo Halmshauri zitenge maeneo kwa ajili ya Masoko ya kuuza Mikaa kwa bei ya jumla na rejareja. Itasaidia upatikanaji wa Mikaa kwa urahisi na kuondoa kero ya uhaba wa mikaa ambayo inapelekea bei ya Mikaa kupanda na kuwa ghali zaidi hivyo wananchi kushindwa kununua mikaa. Hii italeta ongezeko kwa Kodi kupitia ushuru wa Masoko ya mikaa. Pia zitaongeza Ajira kwa wananchi sababu wataenda kununua mikaa na kusambaza maeneo mbalimbali.
@novathpanga8216
@novathpanga8216 3 жыл бұрын
Nakukubali sana
@johnmasanja1762
@johnmasanja1762 3 жыл бұрын
Nakumbuka hata Mambo ya kuchenjua makinikia, aliyaanzisha kishimba toka zambia
@marechojohn4955
@marechojohn4955 3 жыл бұрын
🤔kumbe
@hamicgaga7023
@hamicgaga7023 3 жыл бұрын
Huyu mzee anafikiriaga na kutoa pointi zaidi ya wabunge woooooote tz. Mungu akupe maisha marefu.
@hassanmahamed8744
@hassanmahamed8744 3 жыл бұрын
Prof. Kishimba huwa namkubali kwa nyingi za hoja azitowazo Bungeni. Ila shida sio wasomi, tatizo ni mitaala yenyewe! Tunaenda shuleni kufundishwa vipi kukumbuka (how to remember) badala ya vipi kufikiri (how to think). Pole Prof usichoke. wewe ulienda shule ya kufikiri (practical education)
@ibrahimiddi9893
@ibrahimiddi9893 2 жыл бұрын
Ma sha Allah, big up mzee kishimba!
@edwindaniel7306
@edwindaniel7306 2 жыл бұрын
Nakubali kanda ya ziwa ndo kuna watu wenye naona bila shaka wameishi maisha ya vitendo
@yonakatoto4067
@yonakatoto4067 3 жыл бұрын
Namkubari sana huyu jamaa, na anafaa kuwa Raisi. Wabunge wengi huwa wanalopoka tu wanasahau walikotoka. Wakifika bungen wanasahau kuwa sisi ndiyo tulio wapeleka bungen.
@Commentsplus
@Commentsplus 3 жыл бұрын
Kahama tutakupa mitano teeeena
@yusuphaman3449
@yusuphaman3449 3 жыл бұрын
Mpeni ata 20 anafaa sana
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 3 жыл бұрын
Mpeni mpk atakapo kufa.
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 3 жыл бұрын
Hongereni watu wakahama kwa kuchaguwa mtu sahihi
@godmanmullar4154
@godmanmullar4154 3 жыл бұрын
Moto mbaya unaakili dingiiii lai
@raymonadsaliboko3068
@raymonadsaliboko3068 2 жыл бұрын
Ukovizuri Kishimba, Mungu akupe nguvu
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 3 жыл бұрын
KWELI ELIMU SIYO VYETI! WASOMI MBONA HAWANA UELEWA JUU YA MAISHA HALISI YA WANANCHI??
@blessmoarusha1990
@blessmoarusha1990 3 жыл бұрын
Hawana uelewa kivpi?
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 3 жыл бұрын
Hasa afrika tunawaza kuiba tu
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 3 жыл бұрын
Uelewa wanao ila wanajitoa ufahamu tu
@emmansabu9300
@emmansabu9300 3 жыл бұрын
Wamefundishwa na walimu jifunza wakrem wamejifunza kukrem hamna practicality
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho 3 жыл бұрын
Mm nilishawahi kusema huyu mzee apewe hata unaibu Waziri.
@bibletv9818
@bibletv9818 3 жыл бұрын
Unamvunjia heshima kaka. Acha tu awe Rais kabisa, huyu ni mwelewa sana
@sengeremaxleo9295
@sengeremaxleo9295 3 жыл бұрын
Akipewaa unaibu waziri atapoaa bob,, achaaa awe hvohvo
@exaverykapiry1811
@exaverykapiry1811 3 жыл бұрын
Kweli kabisa duh
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 3 жыл бұрын
Akipewa uwazir hatutapata hiz ladha
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho 3 жыл бұрын
@@eidallyeidally5093 😂😂😂😂
@yohannesshaudo5852
@yohannesshaudo5852 3 жыл бұрын
Tunahitaji watu wengi wa aina ya Kishimba. This is a very bright mindset.
@justinmbwambo9001
@justinmbwambo9001 3 жыл бұрын
Nakukubali sana kishimba.
@deodatusmagagura6793
@deodatusmagagura6793 3 жыл бұрын
Contradiction of African education. Wasio na elimu wanahoja za kushawishi na kuona mbali wakati wasomi wanafikiria kizungu wakati wanaishi Africa
@vannyemmanuel5866
@vannyemmanuel5866 3 жыл бұрын
kweli
@stanslauskipondya1861
@stanslauskipondya1861 3 жыл бұрын
Hiki anachokisema kishimba kinamaana sana pia unyanyasaji ni mkubwa sana utakuta mzee na kagunia kake kamoja ananyag'anywa na mgambo wa maliasili anapewa kipigo basikeli wanampora anabaki analia na kusononeka moyoni hii siyo sawa wote tumetoka katika maisha hayo ya chini kabisa
@danielkidona4214
@danielkidona4214 3 жыл бұрын
kazi yako njema sana msomi Kishimba naamini wengi watabadirika
@hamidafundi5890
@hamidafundi5890 3 жыл бұрын
👍👊👏 Kishimba oyeeeeee!
@zainabwage4658
@zainabwage4658 3 жыл бұрын
Mungu akupe maisha maref ulifaa uwe wazir baba ukoseag naomba ndugai uwe unamuongezea mda hawa ndio watetez wa wanyonge anachoongea point tupu
@abuumkumbalu9123
@abuumkumbalu9123 3 жыл бұрын
Namkubali sana mzee kishimba yuko vizuri katika hoja
@happynesselisha2048
@happynesselisha2048 3 жыл бұрын
Kisimba nakukubali sana sana
@denisladislaus3296
@denisladislaus3296 3 жыл бұрын
ur so genius prof
@damaspmtz1018
@damaspmtz1018 2 жыл бұрын
Point, Sana mzee
@ahmadmpinzire5649
@ahmadmpinzire5649 3 жыл бұрын
Kweli Kuna utofauti kati ya kwenda shule na kuelimika,na Kuna utofauti kati ya intelligence na education.
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 3 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏
@nehemiakahangwa250
@nehemiakahangwa250 3 жыл бұрын
Awanaokataza Mkaa wanakaa ulaya mungu akubari Prof kishimba
@robsonlotyloy5678
@robsonlotyloy5678 3 жыл бұрын
Baba umebaki mwenyewe bungeni. Ni kwa sababu wengi wetu na wasomi wamesahau asiliyao. Mkaa huo,huo umewapeleka shuleni wakasahau walikotoka. Mungu ibariki Tanzaniaò.
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 2 жыл бұрын
hii ndyo faida ya kuwa na wabunge wanaojua uhalisia wa maisha ya watu wa chini. aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
@hassanrashid5935
@hassanrashid5935 3 жыл бұрын
🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️salute mzee yaan nakukubali sana mzee
@annahpsimon1156
@annahpsimon1156 3 жыл бұрын
Huyu baba nampendaga anagusa maisha ya watu
@getrudeelibariki1002
@getrudeelibariki1002 3 жыл бұрын
Daaah🤔..I wish huyu baba sikumoja awe RAISI wangu wa Tz labda atatufuta machozi yetu😭
@exaverykapiry1811
@exaverykapiry1811 3 жыл бұрын
Kishimba Mungu akubariki
@anthonykondobole3962
@anthonykondobole3962 3 жыл бұрын
Yaan huwa Nazi download speech za huyu mzee,azichoshi.
@vannyemmanuel5866
@vannyemmanuel5866 3 жыл бұрын
kweli damu yang
@immathebonga5164
@immathebonga5164 3 жыл бұрын
Wananchi wakahama hatukukosea 💪
@hemedmselem4889
@hemedmselem4889 3 жыл бұрын
kishimba nimekuelwa sana Hawa wasomi wa kutukwamisha hawafai
@emmanuelonyangoochola9228
@emmanuelonyangoochola9228 3 жыл бұрын
sijutii mbs zangu ww ni jembe na Mungu akulinde sana dah huyu mbunge ni wa kwanza Bungeni safi
@paulolmabu7161
@paulolmabu7161 3 жыл бұрын
Wananchi wanaona nyie wabunge ni wapuuzi tu🤣🤣🤣🤣
@safarinicas7238
@safarinicas7238 3 жыл бұрын
Mungu awe nawe daima
@erastoernest8209
@erastoernest8209 3 жыл бұрын
Yahani uyu akipewa uraisi Kwakweli tutafika mbali sana
@increaseknowledgetvonline5507
@increaseknowledgetvonline5507 3 жыл бұрын
Eti wamesoma,wamesoma kukaririi tuuu na kufanya mitihani.. Elimu halisi ya maisha halisi hawana
@edsongidion4182
@edsongidion4182 3 жыл бұрын
Aje agombee uku karagwe sisi tulipigiwa mezan
@salmamulira2838
@salmamulira2838 3 жыл бұрын
Kweli Akili Ni Mali Hongera Mheshimiwa Kisimba
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Ebu nkasome ili niwe mgambo nije nimkamate uncle
@kisetukumbuael1839
@kisetukumbuael1839 3 жыл бұрын
Nakubali hoja,,Mungu akutunze
@mazigemohamedi4187
@mazigemohamedi4187 3 жыл бұрын
Great mind Mr Kishimba.
@isakabaragomwa296
@isakabaragomwa296 3 жыл бұрын
Nikwel hatuwezi kila siku tunasomea kukamatana kwa ajili ya matatizo. Bali elimu itusaidie kutatua matatizo.
@emmanuelsamwel9970
@emmanuelsamwel9970 3 жыл бұрын
Jamaa kaongea point sanaaa
@sufianmsuya4993
@sufianmsuya4993 3 жыл бұрын
Aisee mzee ana hoja ambazo hazipingiki
@sanifhesro2169
@sanifhesro2169 3 жыл бұрын
Safi saaaaana mkuu nakubali🤝
@shedrackjacob6038
@shedrackjacob6038 3 жыл бұрын
Binafsi mtu anae jiita msomi simkubali hata kidgo kwa sabbu 95% ndo wanao kwamisha kila kiti, mzee km huyo anatoa nondo mpka msom anabaki na aibu , nyie wasomi tofautisheni kupita shule na kuka shule sasa wengi wenu mmepita shule ila hamjakaaa ndyo mana kila kitu ovyoooooooooooo
@Hauleshabby
@Hauleshabby 3 жыл бұрын
Huyu mzee ana akili sana
@cosmasmakoye9510
@cosmasmakoye9510 3 жыл бұрын
Safi baba yetu kwamchango wako
@jitulakalemastr7636
@jitulakalemastr7636 3 жыл бұрын
Sema baba tuna kubali
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 3 жыл бұрын
Kazi ya elimu ni kutatua matatizo
@ericklucas7196
@ericklucas7196 3 жыл бұрын
Hakika nchi hii ingekuwa na wabunge kumi Aina hii nchi hii ingekuwa zaidi ya amerika
@mwlelishamathayo6528
@mwlelishamathayo6528 3 жыл бұрын
Tumpe uraisi tu huyu mzeee maan hii akili sio ya kuipoteza kizembe
@irakozejclaude7869
@irakozejclaude7869 3 жыл бұрын
Ukisikia eti wazungu wali tuletea elimu yakutupoteza ni hapa Kubari kataa akili sio elimu
@Lechipya
@Lechipya 3 жыл бұрын
Good
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 13 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 16 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 44 МЛН
Mbunge Kishimba awavun ja mbavu wabunge "Kwani akili ni Bando?"
10:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 32 М.
HUYU Ndiye MBUNGE Darasa La 7 Anaetema MADINI Kama Ana PHD
9:59
Global TV Online
Рет қаралды 260 М.
MBUNGE KISHIMBA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE
14:02
Millard Ayo
Рет қаралды 207 М.
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 13 МЛН