ZITTO YAMKUTA BUNGENI / WABUNGE WATAKA AADHIBIWE / HUU NI UMALAYA

  Рет қаралды 103,694

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

4 жыл бұрын

Пікірлер: 188
@paulmalula8590
@paulmalula8590 Жыл бұрын
Nchi yetu ilikuwa imeenda sehemu mbaya sana tena sana kuambiana mtu msaliti,mchochezi nk hakika mungu fundi na pia mungu anaipenda tanzania
@romanamassawe814
@romanamassawe814 3 ай бұрын
Huyu mgogo mliyemuita speaker ni mgogo kweli kweli
@albashakluninshaah3727
@albashakluninshaah3727 4 жыл бұрын
Zito kafanya kosa kubwa sana hafai hata kulanae chakula pamoja hii ni kwa mawazo yangu. Ila ushauri wangu kwa wanasiasa na viongozi wakubwa vipenzi vyetu muliopo madarakani nawaomba tusiwatolee Mifano hasa viongozi wa Nchi zingine ambao bado wapo madarakani kanakwamba ni viongozi wasiofaa hasa katika vyombo vya habari na penginepo. Kwasababu wasaliti na watoasiri katika Nchi yetu bado tunao wengi waliojificha. Hii baadae italeta chuki baina ya Nchi yetu na Nchi Zao. Mwenyenzi Mungu ibaraki Tanzania na Afrika. Mwenyenzi Mungu Umlinde Mh. Rais wetu kipenzi Magufuri awe na Afya njema na imara na viongozi wote na wananchi wote wenye nia nzuri na Nchi yetu Mwenyenzi Mungu awalinde na awape Afya njema. Tanzania oyeeeeeeee, Africa oyeeeeee. Mimi ninayestahili kusamehewa. Ahsante
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 жыл бұрын
Nilikua napitia comment za watanzania kuhusu swala la zitto lakini huelewa ni mdogo sana inatakiwa kujua kitu hiki uwe na akili nyingi sana .mfano mdogo tu hile ndege moja hela zake ingetosha kutatua tatizo hili na nimepiga hesabu inabaki chenji kama milioni 112 sasa nawashangaa watanzania wenzangu mnaongea ovyo ovyo yaani mpaka nawaonea huruma kusahua kitu kwa haraka
@ibrahimbakar622
@ibrahimbakar622 4 жыл бұрын
Hizo pesa hata kama zitapatikana zitatumika bara tu ni safi Mh. Zitto
@masaimmbea1374
@masaimmbea1374 4 жыл бұрын
Naona ni bora wasaliti wanao toka nje kuliko wasaliti mliopo hapo ndani nampenda sanaa raisi magufuli ila nawachukia sanaaa wabunge wa wa ccm kwa sababu hawatetei nchi wanatetea chakula chao
@eaglecrown3872
@eaglecrown3872 4 жыл бұрын
kweli kabisa ni umalaya tena sio wa kitoto limekubuhu
@zaitunimrisho1062
@zaitunimrisho1062 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi nanyi mna kazi nzito mnoo
@ramamongi3479
@ramamongi3479 4 жыл бұрын
Uuu umalaya Malaya utatufanya na sisi tusiwe na amani tukazunguka zunguka kama Malaya malaya ataruhusu mabebelu wapate mwanga mkubwa kupitia yeye
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 4 жыл бұрын
Tatizo sio zito ila wakikopa mwananchi atazisikia tu, ila atazilipa kwa njia yoyote hata kama zimeyeyushwa na upepo wa kisulisuli.
@davidmgombele5034
@davidmgombele5034 4 жыл бұрын
Hahahahaaaaa %%%%%%&
@lukongejoshua9113
@lukongejoshua9113 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@yahayasalum2943
@yahayasalum2943 4 жыл бұрын
Majukwaani tunahubiri msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Tukiambiwa ukweli, anayetuambia ni adui yetu mkubwa. Hatutakii mema. Ametumwa kutuangamiza.
@kyomamabifi5499
@kyomamabifi5499 4 жыл бұрын
Zito yupo sahihi kabisa tz inahela san tu mnalilia vya mikopo wakat tz ina madin ambayo ni tanzanait iweje mnalilua kamkopo
@michaelmwaluko2882
@michaelmwaluko2882 4 жыл бұрын
Zito kiboko uko vzr
@AleX-sc8xp
@AleX-sc8xp 4 жыл бұрын
Duuu Kweli mambo mazito yana Zitto😁😁
@nyaticarriersllc3075
@nyaticarriersllc3075 11 ай бұрын
Speaker ovyo sana, ndio yalikukuta
@titoruhanyula3002
@titoruhanyula3002 4 жыл бұрын
No no no no no nasema no mnalilia vya nje nawakati vya ndan mmexhindwa kuvilinda wapi alipo lugola? Kod za wananchi izo macikin haohaooooo yann zitto?
@gwakisaphilipo7000
@gwakisaphilipo7000 4 жыл бұрын
Tito Ruhanyula ccm vilaza
@fadhliaweso7096
@fadhliaweso7096 4 жыл бұрын
Serikali inapesa kwann mnatolea macho kamkopo..,"unajenga ghorofa alafu unaomba ada ya mtoto",,🤔🤔🇹🇿
@senimashauri4796
@senimashauri4796 4 жыл бұрын
Zitto kabwe alianza kusaliti chama chake cha chadema na sass amefikia hatua ya kusaliti taifa, huyu tukimuacha badae ataisalit dunia
@arexmerck2324
@arexmerck2324 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@nuhumabondo9101
@nuhumabondo9101 4 жыл бұрын
Kaa kando hujuii kitu usiogee tuu.... Ss ni matajiri hatuhitaji kusaidiwa
@omaniallybakari2372
@omaniallybakari2372 4 жыл бұрын
@@nuhumabondo9101 acha uhanisi wewe kukopa sio kwamba wewe ni maskn jitambue jarbu kakaa na matajil ujue maden yao na utajili wao na uwaulize kwann nyinyi ni matajili mnakopa
@godmanmlokozi4519
@godmanmlokozi4519 4 жыл бұрын
@@omaniallybakari2372 unaipenda siasa lakn umegubikwa na ujinga hujui chochote
@masagapaul5039
@masagapaul5039 4 жыл бұрын
Mhe mollel unajitambua braza
@mozaummy327
@mozaummy327 4 жыл бұрын
Nyinyi mnasema pesa mnazo sasa mbona mlia 😂😂😂😂👩‍❤️‍💋‍👩👩‍❤️‍💋‍👩👩‍❤️‍💋‍👩👩‍❤️‍💋‍👩
@richardshija5209
@richardshija5209 4 жыл бұрын
Moza kwani wewe. Upo Nchi gani?
@kyomamabifi5499
@kyomamabifi5499 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂zitakuwa zimeisha
@msamajames7663
@msamajames7663 4 жыл бұрын
Yaan mtu mmoja tu anawatoa jasho duuh
@hindisaidi5097
@hindisaidi5097 4 жыл бұрын
Naiona Tanzania ya kuvamiwa. Hawa wahalifu wanaaza kupata sapoti huko ya kutuangamiza.kikulacho kiko nguoni.si muda mrefu tutashuhudia uhalifu na uasi mkubwa.bahati mbaya wako wasio na elimu na wale wasomi wa chuo div.0 hushangiria. Mh!.MUNGU ATUSAIDIE
@abdullmohdy5278
@abdullmohdy5278 4 жыл бұрын
Huyu aly kesi anaumwa na ni mnafik mkubwa mungu akuongeze usiushirikishe uislam na ukauchafua buree huo ni ujinga na ushenz @alykesi
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Mbona hajaongea vibaya,msikilize tena,upande wangu naona hajakosea
@pilatoonlinetv9660
@pilatoonlinetv9660 4 жыл бұрын
Huyu bulembo ni mjinga kabisa unasemaje mtu auawe !!
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u Ай бұрын
Sijawahi kukuelewa moleri
@mussamassawe7624
@mussamassawe7624 4 жыл бұрын
Wabunge jaman benk ya dunia hawawez ku2nyima mkopo kwa aajili ya zitto,mnakiri zitto anaweza kuiishawish benk ya dunia,fatilien vizur kisheria!....na mhoji benki kuu ya dunia ni kwa sababu gan wamepinga mkopo usitoke na m2patie majibu wananchi tujue!...
@godrickmigella9451
@godrickmigella9451 4 жыл бұрын
Zitto the great
@mariammobeto5512
@mariammobeto5512 4 жыл бұрын
Ivi Tanzania imekosa nin lbda mpka mtgemee mikopo ndo m2mie akili Tanzania ina kila ki2 so Zotto kafanya jmbo la msingii
@richardshija5209
@richardshija5209 4 жыл бұрын
Hutupo kwaajili tusomeshe wazazi,tunasomesha Taifa la kesho.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Naww lijulikane hovyo kabisa mara unasema serikali inahela kwani kuwa na hela unazuwiwakukopa? Mara unasema lamda kazushiwa yani mitatano imemzushia alivyokufa anaongea BBC KILIKUA KIVULI CHke? Upumbavu kutetea ujinga kama Huna CHAKUSEMA siku zingine unaweza KUKaa Kimya unajishusha sifa kusimama na kuongea visivyoeleweka kutetea ujinga
@makongwacleofa1079
@makongwacleofa1079 4 жыл бұрын
zito kabwe ni malayamalaya wa siasa
@gilbertvicent4229
@gilbertvicent4229 4 жыл бұрын
KWELI WABUNGE WENYE MAONO WAPO WACHACHE ,MH JPM ANGEWATUMIA KULIKO WALE WA MAKOFI TU.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Kivipi ndugu nieleweshe
@comrade83
@comrade83 4 жыл бұрын
Mimi ninachokijua ukoma ukiutimibia aibu utakukata mikono zitto kabwe hafai kuwa kiongozi wa Taifa hili Nashauli apewe adhabu Kali sana
@erickmasawe1499
@erickmasawe1499 4 жыл бұрын
Helimu zetu ndogo kila kitu tuna fanya ushabiki ssa hamsikilizi hoja nyee na ushabiki haya twende hivohivo /
@salumcosto7231
@salumcosto7231 4 жыл бұрын
Daaah!! Kazi ipo
@cunada712
@cunada712 4 жыл бұрын
Hamna tajiri ambaye hakopi
@calvinkitaly9376
@calvinkitaly9376 4 жыл бұрын
Jualikani nimekuelewa
@trinitynorberth5068
@trinitynorberth5068 4 жыл бұрын
vijana tunapnda kufata mkumbo babala ya kufkilia kiundan kiukwel zito kakosea sana awajibishwe kisheri
@mamaally6134
@mamaally6134 4 жыл бұрын
ni kweli tunakuunga mkono mm mwananchi
@faudhiathomas3616
@faudhiathomas3616 4 жыл бұрын
Jualikali ni noma sana
@methodamani5577
@methodamani5577 4 жыл бұрын
Faudhia Thomas jua Mali bangi tu hamna kitu
@samanyaswai6272
@samanyaswai6272 4 жыл бұрын
Wapiga makofi kumbukeni hii ni 2020 Kitaeleweka Tuu Hoja za Upinzani huwa Siyo hoja
@marianamfomii1166
@marianamfomii1166 4 жыл бұрын
Hongera sana mh zito nchi ina pesa mkopo wa nini
@stevenmaselo5220
@stevenmaselo5220 4 жыл бұрын
Huyo Malaya hana mtoto mkubwa ndio maana haoni umuhimu wa msaada mzuri huo afungiwe kupeleka kiherehere chake nje
@khadijakhafidh1423
@khadijakhafidh1423 4 жыл бұрын
Kwakeli huyo zito mpotoshaji na akifanya kitu hafikiri vizuri
@musajumamusajuma8544
@musajumamusajuma8544 4 жыл бұрын
Mmh niatar sana
@gilbertvicent4229
@gilbertvicent4229 4 жыл бұрын
MSICHONGANISHE WATU,USIINGIZE DINI KWENYE MASLAH YENU...UISLAM UMERUHUSU POMBE HIZO MNAZOPANGIA BEI BUNGENI? UNARUHUSU UNYANYASAJI UNAOFANYWA DHID YA WANACHI?ACHENI KUUPOTOSHA UMMA
@fadhliaweso7096
@fadhliaweso7096 4 жыл бұрын
Nimekuelewa serikali Haina dini Haina chama..Ila mmh hii ya leo😲😱
@wamalaibrahim1844
@wamalaibrahim1844 4 жыл бұрын
zito usituhalibie nchi Mimi nimubongo aliozalia inje so jilekebishe ikia Tanzania ni nchi yako
@phelisiwedondolo6296
@phelisiwedondolo6296 4 жыл бұрын
Ziti malayamalaya
@florianlasway601
@florianlasway601 4 жыл бұрын
Kwan zito aliongea nn BBC mbon upinzan unabisha akat ushahd upo.zitto.!pole sana na kipimo unachopimia watu ndo utajakikuta huko mbele ya haki.
@dramachatta3851
@dramachatta3851 4 жыл бұрын
Zito ni mngese tu
@edsoniminani7061
@edsoniminani7061 4 жыл бұрын
Dahh siasa noma saanaa et Silinde na Lijualikali tayari Ni Wana CCM
@yeremiahnathan6307
@yeremiahnathan6307 4 жыл бұрын
Uwingi wa wabunge wa ccm ni chanzo cha kuleta ujing Tanzania nlimxikia katibu mwenezi wa ccm akixema popote alipo mbunge wa ccm axibuguziwe na mtu awe anafanya mazuri au mabaya axibuguziwe na mtu na akaxema wamekubaliana na kamati kuu xaxa ni nchi gan hii
@abdullmsuya1489
@abdullmsuya1489 4 жыл бұрын
Yaani spika unavyoonekana unavyoongea tu kama kunajambo unataka kuliladhimisha hapo nakuomba achana na hii issue bungeni iachie serikali lakini pia ongeeni kwa hoja sio ushabiki na uzandiki
@odethaerick6244
@odethaerick6244 4 жыл бұрын
Ww mh Mabula umewahi kufika kigoma ww ukakutana na rami na uhuru umepatiakana lini ww
@lauriangervas1392
@lauriangervas1392 4 жыл бұрын
Watanzania inabid tujitambue
@allykutenga2862
@allykutenga2862 4 жыл бұрын
Nyie mnaznguwa wa2 2uuu na mtihani ulokuwepo TZ wajinga wng,,ila jamn hawa wanalilia hela kwa maslahi yao tu hawana lolote wakitoka hapo laki3 tatu kwa kila mfuko..
@philiposam5762
@philiposam5762 4 жыл бұрын
Malaya Malaya wa kisiasa
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Haya zito umeskia hufai kabisa,msaliti
@allysudi4429
@allysudi4429 4 жыл бұрын
Matumizi ya pesa iyo ni muhimu sana ila mikopo nayo ni mabaya sana hatuwezi kuendelea kama nchi imejaa na mikopo maana tutafanya kazi na mwisho wa siku tutaishia kulipa madeni na kuendelea kuwanufahisha wao sasa cha msingi ni kupambana kupata iyo pesa kwenye mfuko wa serikali na naamini iyo pesa ipo bila shaka maana kwa sasa inchi yetu ipo makini sana kwenye swala la ukusanyaji wa mapato na hao wabunge wanaong'ang'ania huyo mkopo ndo haohao tutaskia mmoja kuchukua mia na mwingine mia mbili na tatizo litakuwa palepale so tujitahidi kujenga maendeleo ya taifa hili kwa kutumia pesa pesa yetu ukizngatia kwa sasa tunaumia hali ni mbaya ili taifa liende sasa ujenzi wa madarasa tu mnataka kukimbilia mikopo...!??!!
@valentinamgeni1948
@valentinamgeni1948 4 жыл бұрын
Waabunge kueni makini ktk maneno yenu mnaongea maneno ya hatari na taifa mnaenda kulivunja vipandevipande
@edsoniminani7061
@edsoniminani7061 4 жыл бұрын
Zitto ni mupumbafu kabisaa
@georgekawa5670
@georgekawa5670 4 жыл бұрын
Me nashangaa wabunge wetu km zito kaandika barua kuomba kusitisha mkopo na nyie si muandike yenu kupinga hoja zake y mnamshindwa?
@mozaummy327
@mozaummy327 4 жыл бұрын
Maslahi yenu sio taifa
@samwelmwaipopo1455
@samwelmwaipopo1455 4 жыл бұрын
Zito alizaliwa familia ya wenye Visa chuki na wivu kwa waliofanikiwa
@jamesmasome359
@jamesmasome359 4 жыл бұрын
Liju likali pumba kweli kweli
@fadhliaweso7096
@fadhliaweso7096 4 жыл бұрын
Ww mbunge mweupe serikali Haina dini ..uisilam unakujaje
@kaidrisa2711
@kaidrisa2711 4 жыл бұрын
YAANI KUMBE NYIE WABUNGE WAPUMBAVU SANA YAANI MAMBO YENU UNAZI UNAZI
@kasianimwangamila3213
@kasianimwangamila3213 4 жыл бұрын
Jaman jaman kikumbwa amani itawale tanzania na haki pia
@sirvergans4542
@sirvergans4542 4 жыл бұрын
Kichwa kimoja kime wazidi akili mimi nilishaish nao hadi getto na wajua vizuri kwa kujiongeza ni hatari sana
@mdoman2794
@mdoman2794 4 жыл бұрын
Sasa lazima mkopo kwa hatuna vitega uchumi
@Raysam-ki1rc
@Raysam-ki1rc 4 жыл бұрын
Mnakaaa mnajadili pesa za mikopo hamjadili mtu anaeenda nje ya nchi na kuenda kufunga mikataba bila bunge kupenda halafu hilibula ta tanzania kama jina jipya la tanganyika
@mwalimumohamedi4007
@mwalimumohamedi4007 4 жыл бұрын
Uko juu
@jospinabraison524
@jospinabraison524 4 жыл бұрын
😭😭😭
@mamaally6134
@mamaally6134 4 жыл бұрын
mchapeni tu huyo zito
@denishamka8657
@denishamka8657 4 жыл бұрын
Ndio maana alifukuzwa chadema
@amiabillity4609
@amiabillity4609 4 жыл бұрын
niruhusieni mm nimnyooshe zitto pumbav xn
@nyanzafrank6726
@nyanzafrank6726 4 жыл бұрын
wewe ndo mpumbavu umenyosha wangapi
@amiabillity4609
@amiabillity4609 4 жыл бұрын
@@nyanzafrank6726 mkundu wako
@kingyehoshafatitvbornerys2496
@kingyehoshafatitvbornerys2496 4 жыл бұрын
@@nyanzafrank6726 🤣🤣🤣🤣
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Mimi Nashangaa sana waha wapinzani sijui wanataka kutetea zitto Mnataka serikali isbitishe nawakati yeye mwenyewe kakiri kwenye TV ya kubwa BBC? mnataka usibitisho gani?
@josephzakaria4462
@josephzakaria4462 4 жыл бұрын
Watoto wa upinzani ni kina Nani? Tuna tatizo Kubwa kama Taifa kwa baadhi ya wawakilishi wetu
@theodorycharles6384
@theodorycharles6384 4 жыл бұрын
Mmmh tananzania hii jaman simnasema serikali yenu inapesa sana nahaihitaji mikopo kutokea popote sasavp leohii
@allykutenga2862
@allykutenga2862 4 жыл бұрын
Theodory Charles;Serikali imechoka kama cc wananchi,,na huyu vp nakumbuka kama alikuwa chadema au nae kashavuta mkwanja mrefu..
@htvtanzania3483
@htvtanzania3483 4 жыл бұрын
We msenge tyuuu
@J4UPro
@J4UPro 4 жыл бұрын
Theodory Charles wewe kwani ni wanchi gan
@jovitusngonge8190
@jovitusngonge8190 4 жыл бұрын
Saw saw uyo msaliti
@jumambonde5361
@jumambonde5361 4 жыл бұрын
Nchi yetu inaitaji wazalendo
@barakagaby7615
@barakagaby7615 4 жыл бұрын
He!! jamani hv si mlisema tunajitosheleza kwa fedha zetu za ndan na hatuhitaji mikopo sasa mbona mnapanic? au mmesahau kauli za muheshimiwa raisi? tanzania bana, mwanzo waliposema hatuwezi kuendesha miradi kwa fedha zetu mliwapinga tena kwa hali ya juu ss leo hiyo mikopo mnaitaka ya nini?
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 4 жыл бұрын
Mtu anaitwa "lijua likali" hata akiongea unamuona ni kama wale watu hua wanabishana ovyo kwenye vijiwe
@mboyjoseph2522
@mboyjoseph2522 4 жыл бұрын
Zitto baba lao nice mubunge wangu zitto I love u
@unsfinityjr2748
@unsfinityjr2748 4 жыл бұрын
Mamimba
@mussamassawe7624
@mussamassawe7624 4 жыл бұрын
Dah,ama kweli!.....mheshimiwa anadili na zitto!...pambana!...
@magangashilogile
@magangashilogile 4 жыл бұрын
tuuze ndege zetu tupate hela
@asfiwekibona3274
@asfiwekibona3274 4 жыл бұрын
Limewagusa
@mozaummy327
@mozaummy327 4 жыл бұрын
Muuwe kama utaewza mwanga wewe
@zakariambughi3493
@zakariambughi3493 4 жыл бұрын
hapo kunajambo chini ya kapeti
@sebastianngimba6629
@sebastianngimba6629 4 жыл бұрын
sasa mkopo wanini wakati mmesema tunajitosheleza.aa jamaniiiiiiii
@monicachoga5878
@monicachoga5878 4 жыл бұрын
Pumbavu sana wewe huna akili
@salumcosto7231
@salumcosto7231 4 жыл бұрын
Miaka 14 akitiwa mimba fukuza shule
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 4 жыл бұрын
Msaliti huyo wakat jimboni kwake Kuna shida ya elimu
@jordanfromyt2861
@jordanfromyt2861 4 жыл бұрын
Duh Tz bunge lenu ni tulivu kuliko zenginezo
@nazarethmwakipembe3246
@nazarethmwakipembe3246 Жыл бұрын
Mh
@atuganilemwakipesile4979
@atuganilemwakipesile4979 4 жыл бұрын
Zito ujielewi kabisa,upo upo tu.
@ombenimshana9162
@ombenimshana9162 4 жыл бұрын
Nchi inahela 😴
@elishastephano1431
@elishastephano1431 4 жыл бұрын
mimi natoka kigoma mjini huyo zito hatufai
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Uchaguzi unakuja anagalieni
@robertfrank1207
@robertfrank1207 4 жыл бұрын
Zito yupo saii kwakuwa humu ndani hamna sehemu ya kusikilizwa. Ubabe mtupu
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 4 жыл бұрын
He is selfish 😢😢
@hemediswaibu5199
@hemediswaibu5199 4 жыл бұрын
Uko vizur jualikari
@robertfrank1207
@robertfrank1207 4 жыл бұрын
Mnaomba ela za kampeni nyie ccm. Acheni uongo ndio maana zito ameshitukia.
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
17:08
Global TV Online
Рет қаралды 553 М.
ZITTO KABWE: "Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi"
8:01
Global TV Online
Рет қаралды 661 М.
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 11 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 102 МЛН
BUNGENI: Bashe na Sugu kuhusu ishu za kutekwa
11:41
Millard Ayo
Рет қаралды 662 М.
Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.
42:54
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 1,8 МЛН
BUNGE - JULY.03.2015| TBC
10:44
SIMU. Tv
Рет қаралды 27 М.
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 565 М.