Kaka yangu namtukuza Mungu kwaajili yako, naendelea kujifunza na kushea nawatu jumbe zako
@tfashy_hub91567 ай бұрын
Joe umenitoa sehem moja na kuniweka sehem nyingine kabisa. Ninajiona mbali sana hapo baadaye. Njozi na fikra zangu zimebadilika kabisa… Kuna muda najiona nimeishakuwa vile ninataka. Asante sana.
@vibetz99917 ай бұрын
Sina Network,,Sina contacts, na maisha yangu ni Amazingly happy😊😊😊😊💵Pesa ipo..
@Thedonbling7 ай бұрын
Tupo wengi
@truthch16427 ай бұрын
It's not something to brag about... u need ppo anywayz
@hadidjaissa91547 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu my brother😘
@Musareuben-m2k7 ай бұрын
Unanifanya na pambana sana nikiwa chuo MUNGU akubaliki sana
@HeavenSumari7 ай бұрын
Ubarikiwe boss
@TENGULE_177 ай бұрын
GOD BLESS U🙏🙏LIFE COACH
@Omosak7 ай бұрын
Ningependa sana fundisho kuhusu maarifa
@franciscoalbogast32027 ай бұрын
Joel nimejifunza kitu mentor
@marianalwiva88237 ай бұрын
😢😢😢kaka Joel kipindi hakifika mwisho hizo nyingine namalizia wapi....naomba kuunganishwa na darasa jamni maana naona huku Kuna vitu nakosa sipati vyote😢😢
@StanleyMussa-j6m7 ай бұрын
Hili somo nimelipenda sana, Nashukuru sana Brother nanauka🙏🙏