Wema unagharama namshukuru Mungu wema wangu ni wakiasi acha mtu aseme na roho mbaya ila najuwa badae hitanisaidia
@sharonabnersalema5890Ай бұрын
Hili ndilo linalonikula nashindwa kutoka kwenye hili kabisa...najipa moyo labda wanangu watasaidiwa na ndugu zangu..najinyima sana ila still bado naumia nashindwa kujipa mipaka roho inaniuma....😢asante Kaka Joel unazidi kunitia moyo sitaacha kukufwatilia napata nguvu Sana.👏🏾🙏
@adrianobihabwa3464Ай бұрын
Pole
@MrJuma-in5ioАй бұрын
Duh pole sana, wengi tunapitia hivi😢
@salmazwallo5920Ай бұрын
Kwa kwelii yaani hususani ndugu zetu yaani
@joelnanaukaАй бұрын
Ameen, tuendelee kujifunza 🙏🙏
@AlexJefwaАй бұрын
Somo zuri Sana naendelea kujifunza 🙏🙏
@MrJuma-in5ioАй бұрын
Kazi nzuri, unagusa hisia/maisha ya watu kabisa. Mungu akutunze utupe somo kadri ya siku zinavosonga mbele, "amin"❤
@joelnanaukaАй бұрын
Ameen Ahsante sana
@KimMajaliwaАй бұрын
Ndomana mm saivi sitaki kuwa mwema kaka
@zulfatnamaneno644321 күн бұрын
Habari nmenunua vitabu viwili. toka majuzi lakini nikiangalia havijaingia huku kwangu sijajua shida nini
@peacennko2003Ай бұрын
Tatizo moyo wangu hauwezi kuacha kutenda wema. Kama Mimi niliazimwa hela uwiii haikurudishwa
@azizimussa7678Ай бұрын
Tunafanana. Hata mimi nasema sasa nitaacha ila nashangaa nimeanza kufanya wema tena kupita kiasi. Ila katika matukio 10 ambayo nimefanya wema sana, 9 nimeishia kutumika vibaya
@sarahlyimotv138026 күн бұрын
Imenigusa sana hii 📍📍story of my life
@MohamedSarahani-gk6jxАй бұрын
Kweli mamaa yangu wakati yupo haii alikuaa mwema sana ,amefarikii lakini hataa watoto ambaoo ameachaa hata waliosaidiwaaaa hawawakumbukiii waliobaki
@matrugnawangaeli4815Ай бұрын
Mungu amerusuru baada ya kunipitisha katika moto mkali. Lakini bado nashindwa kuweka mipaka. Ila naturali kwa kuwa sasa amenipa ujasili wa kuwa na mipaka. Hivi sasa najitahidi kujijali mimi mwenyewe. Asante kwa uhusia wako.
@tsongokauta5911Ай бұрын
Shukurani kuipata duniani hakuna. Hâta Yesu hakuipata
@deemandroidАй бұрын
Dunia inatufunza mengi sana, wema waweza kugeuka na kuwa uadui, hivyo sichoki kuwa nakiasi.
@joelnanaukaАй бұрын
Usichoke
@deemandroidАй бұрын
@@joelnanauka nashukuru kaka je darasa la mentorship bado lipo
@DogohbtzDogohbtz15 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@shukranjulius9526Ай бұрын
Aiaee hii imenitokea wale nilo jitoa kwao hawakunijali nilipo wahitaji
@NZAMUYEJosephАй бұрын
Ndioo dk .Joel Arthur nanauka .my role model tenda wema nenda zako
@joelnanaukaАй бұрын
Shukrani
@Muddy_rizzoАй бұрын
Tunasubiri kwa hamu sana 🙏
@194summerАй бұрын
Hii imenitokea sana na inaumiza kuliko Unamsaidia mtu mwishowe anakukimbia kabisa...
@eliasmartinekilunga9367Ай бұрын
Thanks my pastory U mwema inabidi uwe na limit unawasaidia watu ila wao hata hawakukumbuki.
@joelnanaukaАй бұрын
Ni kweli kabisaa
@PetrusModestus26 күн бұрын
Thanks a lot brother 🙏🙏
@JigwaHozaАй бұрын
Una nifuza mengi kaka Mungu awe na nawee siku zote
@BarakaJoseph-ij2hc27 күн бұрын
Huu ni moyo wa kipekee kama uliumbwa kusaidia wengne utasaidia tu ,hata ujizuie vp
@SamweliSilungweАй бұрын
Asante Bro be blessed more nazidikujifunza mengi
@Paulomollel-n3nАй бұрын
Hii me naishi nayo kbsaa iko kama ulivyosema kaka Joel yote ni ukweli nimepitia sasa tunaondokana nayo vip kaka
@joelnanaukaАй бұрын
Sikiliza hadi mwisho nimeelezea
@Paulomollel-n3nАй бұрын
@@joelnanauka Okey sawa Joel
@farajmanuar3589Ай бұрын
Kazi nzuri unafanya ndugu,asante sana🙏
@prospermbumaАй бұрын
Thank you sir.
@SamiathMohammed-mb4jkАй бұрын
Asante kaka
@AmosLushonishaАй бұрын
I appreciate it.. kaka Arthur
@alvinmtui-m6iАй бұрын
Respect brother 💪🏾💯
@joelnanaukaАй бұрын
Ahsante sana sana 🙏🙏
@AnnaMgala-n6gАй бұрын
Barikiwa sana kaka joel
@joelnanaukaАй бұрын
Ameen Ahsante sana
@josephtesha872Ай бұрын
Asantee sanaa nimejifunza🙏
@aminasaleh7875Ай бұрын
Absolutely kweli
@joelnanaukaАй бұрын
Kabisaa
@annamallya8756Ай бұрын
Ubarikiwe sana sana
@atungamovies9117Ай бұрын
Respectful
@RamadhaniNkayaghwaАй бұрын
❤
@godwineliya5434Ай бұрын
Thank you brother
@joelnanaukaАй бұрын
Karibu sana
@JasmineMilima27 күн бұрын
😢Kaka nakuunga mkono, nilimpenda rafik yangu nikamthamin zaid ya ndugu, nikampa kila nilichokua nauwezo nacho, lakin alinipiga tukio la pesa mpaka sasa anadeni langu na hana dalili ya kurudisha tuka farakana amerudi tena kuimba msa maha na anaomba msaada kwangu nikasema labda nibadilike 😅😅kwahiyo wema unaweza kuku fanya usifiwe au uharibikiwe😂😂😂
@FredrickMrishoАй бұрын
Asante Sana kaka
@joelnanaukaАй бұрын
Karibu sana
@FredrickMrishoАй бұрын
@@joelnanauka asante nakufuatilia sana KZbin pia vitabu vyako vinanijenga sana
@ShamimShamyАй бұрын
Kweli Joel hapo umenilenga kweli kbc ahsat Kwa ujumbe nitajitahid kuwa Na mipaka❤❤❤❤🎉🎉🎉
@joelnanaukaАй бұрын
Jitahidi kabla haujachelewa
@ShamimShamyАй бұрын
@@joelnanauka ahsat 🙏🙏
@jennymwakibasi2069Ай бұрын
NIMEFANYA WEMA IMEGEUKA KUA NI JUKUMU LANGU MUNGU NISAIDIE NIWE NA KIASI KATIKA HILI