No video

LIFE WISDOM : KUVUKA NYAKATI NGUMU - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 9,210

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 50
@salomemrembo7482
@salomemrembo7482 4 ай бұрын
Ni kwili sana Joel yamenipata. Nimadarasa ya mungu kila jaribiyo..na Tuzo lake hukikubali kufumiliya bila kunungunika...Hanakupandish .top 🙏
@mahambagislain9618
@mahambagislain9618 4 ай бұрын
Ameeeeeee 🎉🙏🇨🇩
@YeseSanga
@YeseSanga 4 ай бұрын
Ni kweli kabisa binafs maisha yang magumu sana na yamesababishwa na mahusiano ya ndoa . Kwa Sasa sielew hatima ya maisha yang ukizingatia umri wang ni miaka ,43 sijajenga nyumba Wala Sina kazi na Wala Sina msingi wa biashara ee Mungu nisaidie mke wangu Kwa Sasa anajiweza kimaisha lkn hanijal Kwa lolote zaid ya kunicheka na kunidhalau kwamba mm sitofanikiwa Tena kimaisha
@yohanakipako7934
@yohanakipako7934 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka Hakika inahitaji uvumilivu sana Kufanikiwa katika hili
@user-sk8hw5bx1v
@user-sk8hw5bx1v 4 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana kaka Nanauka umekuwa life coach wangu,nimekuchagua na namshukuru Mungu juu mbinguni kunikutanisha na mtu kama wewe hii ni neema kubwa,kwa sababu nimebeba maono makubwa lakini changamoto zilikuwa zaniumiza ila kwa kuwa niko na life coach mzuri hakika kupitia mafundisho yake i will be the greatest at the top🙏🙏🙏.....be blessed and live long😊
@zeynabmohamedzeynab4753
@zeynabmohamedzeynab4753 3 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@RebeccaMwakibibi
@RebeccaMwakibibi 4 ай бұрын
Hili neno limekuja sahihi kabisa Asante Mungu kwa ajili ya sauti Yako kupitia Mtumishi wako huyu
@AmryKikoyo
@AmryKikoyo 4 ай бұрын
Kaka nashukuru sana,MUNGU akuzidishie kheri maishani mwako ipo ciku nitakutafuta.
@RachelMwenge-wz3hq
@RachelMwenge-wz3hq 4 ай бұрын
Santé sana baba nusumungu niww yaniumetumwa n'a bwana
@user-dy6mx4yc6y
@user-dy6mx4yc6y 4 ай бұрын
Ahsant sana kaka Joel Ninafuraha pia jana nmemaliza kusoma kitabu cha TIMIZA MALENGO YAKO hakika kimenifungua pakubwa na Nina jitahidi kurekebisha yale ambayo nlkuwa siyazingayii na ambayo sikuwa nayajua pia
@ombeninyemba6428
@ombeninyemba6428 4 ай бұрын
Thanks much
@Eziron9Vyats
@Eziron9Vyats 4 ай бұрын
Ahsante Sana kaka Joel Kwa elim unay tufundisha see you at the top
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka yangu umefanyika baraka kwa wengi
@fazatall140
@fazatall140 4 ай бұрын
A brother to keep be blessed Man of God
@bukuruphilibert2968
@bukuruphilibert2968 4 ай бұрын
Hakika nakuona waziri wa fedha badae
@janetmbwana553
@janetmbwana553 4 ай бұрын
Àsante sana coach hakika nimejifunza kitu kikubwa sana🙏🙏🙏
@user-gz1cd6kn5j
@user-gz1cd6kn5j 4 ай бұрын
Kweli kaka tangu nilipoanza kuishi ndoto zangu mambo ndiyo yamekuwa magumu zaidi kuliko mwanzo
@KagawaAbdul
@KagawaAbdul 4 ай бұрын
unajua sanaaaa god bless you teacher
@Udindigwa
@Udindigwa 4 ай бұрын
Amina
@Sumay228
@Sumay228 4 ай бұрын
Powerful
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 4 ай бұрын
☝️☝️✍️✍️
@AdrianoMwenda
@AdrianoMwenda 4 ай бұрын
Thanks alot brother Nanauka #see you at the top
@user-kk5cr8yi4t
@user-kk5cr8yi4t 4 ай бұрын
I'm waiting ❤
@RedgaMsigala
@RedgaMsigala 4 ай бұрын
Amina balikiwa.
@joasitz9559
@joasitz9559 4 ай бұрын
Thanks Joe, keep going
@josephtesha872
@josephtesha872 4 ай бұрын
Asante kwa ujumbe wako🙏🙏
@bachunyamgude
@bachunyamgude 4 ай бұрын
Asante
@user-gu4ry4dg5q
@user-gu4ry4dg5q 4 ай бұрын
You're a rare gem! Following from kenya
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ameen ahsante sana🙏🙏
@user-qv3eo5pb3g
@user-qv3eo5pb3g 4 ай бұрын
Shukran joel❤
@user-kk5cr8yi4t
@user-kk5cr8yi4t 4 ай бұрын
I'm learning
@SalimuRajabummasai
@SalimuRajabummasai 4 ай бұрын
Kaka mungu akupe uhai mlefu tunajifunza sana kupitia binfusi nafulai sana kupitia elimu Yako kunavtu vingi sana vimebadilika kwa sababu Yako kaka ubalikiwe
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Tusonge mbele 🙏🙏
@gmandy9038
@gmandy9038 4 ай бұрын
Thank you
@EDMUNDSOSPETER
@EDMUNDSOSPETER 4 ай бұрын
Mr. Joel let the almighty God be with you @edmundsospeter #SEE ME AT THE TOP
@mloweapple8678
@mloweapple8678 4 ай бұрын
Asante sana kaka nazidi kuwa bora kwaajili yako
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Tusonge mbele🙏
@KalabaKlb
@KalabaKlb 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mkuu, nipo tayari kujiunga na MENTROSHIP
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Karibu sana🙏🙏🙏
@KalabaKlb
@KalabaKlb 4 ай бұрын
@@joelnanauka kwaiyo naitaji namba ili tuwasiliyane kusudi nijiunge Mkuu 🤝
@avitus-thobias
@avitus-thobias 4 ай бұрын
Thanks so much bro, Ninazidi kubarikiwa
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Tusonge mbele🙏
@bakaribilali27
@bakaribilali27 4 ай бұрын
Ahsante Kwa mafundishoo
@langemwepesi
@langemwepesi 4 ай бұрын
Kaka joel nanauka PDF ya timiza malengo yako nitakipataje kakaa please nko kenya.?
@ElishaDonald
@ElishaDonald 4 ай бұрын
Nabarikiwa sana na masomo yako...kama ikikupendeza nipe namba yako ili tuwasiliane zaidi
@Salehabdallah881
@Salehabdallah881 4 ай бұрын
Tutengenezee whatsaap group tuwe tunakufikia karibu zaidi
@KagawaAbdul
@KagawaAbdul 4 ай бұрын
unajua sanaaaa god bless you teacher
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ameen Ameen 🙏
@gmandy9038
@gmandy9038 4 ай бұрын
Thank you
LIFE WISDOM : UJASIRI - JOEL NANAUKA
14:17
Joel Nanauka
Рет қаралды 16 М.
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 22 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 11 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 78 МЛН
SABABU YA BIASHARA KUFA SEHEMU YA 1: JOEL NANAUKA
11:35
Joel Nanauka
Рет қаралды 6 М.
Joel Nanauka : Nini Ufanye Unapopitia Nyakati Ngumu?
46:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 25 М.
Maximizing your season - Joel Nanauka
1:23:37
Destiny City Church
Рет қаралды 7 М.
LIFE WISDOM : MADHARA YA KUWA NA KIBURI - JOEL NANAUKA
14:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 9 М.
LIFE WISDOM : BARUA YA KIFO - JOEL NANAUKA
11:14
Joel Nanauka
Рет қаралды 7 М.
LIFE WISDOM : VITA YA MAPENZI  - JOEL NANAUKA
14:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 17 М.
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
LIFE WISDOM : IJUE NGUVU ILIYOPO NDANI YAKO - JOEL NANAUKA
15:34
Joel Nanauka
Рет қаралды 17 М.
JOEL NANAUKA: JE, UNAJUA KUSUDI LA MAISHA YAKO?
13:32
Joel Nanauka
Рет қаралды 56 М.
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 22 МЛН