Mama.kila ukihudumu nasikiaga nguvu nyingi sana za Mungu tumboni kiasi ambacho nasikia rohoni ya kwamba hupindishi injili na kutafuta hekima ya wanadamu ukweli unao usema bila kupepesa macho ni kiu ya Mungu .Usiache kusema ukweli hata kama kuna ghalama .maneno ni mengi lakini nabarikiwa sana nasomo la Leo.