Kiukweli mko vizur sana crwn fm tunajivunia uwepo wenu maana mupo kila sekta
@samuelmlapwa785817 күн бұрын
Masoud amenilisha kitu muhimu sana alivyo fananisha ubongo na tool box he us Genius
@shabanmsamba581717 күн бұрын
Congrats Dj NAH kwa look ya laptop maana ile ya zamani ilikuwa inaharibu view ya ubora wa crown kwasasa una shine kwelikweli , ushauri wangu umetendewa kazi thanks crown tv, listening all the way from 🇺🇲🇺🇲🇺🇲...
@samuelmlapwa785817 күн бұрын
Kazi nzuri mnoo
@barakamwasala22816 күн бұрын
Muongo sana A.Y wameshindwa kutusua wamebakia kutoa visababu tu..afu wazungu wanajua Africa yote ni nchi mojaaa