LIVE: “MAMA NI MGONJWA TOKA BABA AFARIKI"- MTOTO WA MAGUFULI

  Рет қаралды 329,313

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 345
@evelynebwire7684
@evelynebwire7684 3 жыл бұрын
Pole kwa mama yetu kipenzi Janeth Magufuli, MUNGU akuponye mama
@shanifesto9037
@shanifesto9037 3 жыл бұрын
Ee mwenyezi mungu shusha baraka zako na Neema zake ili mama yetu apate nguvu na afya tele na arejee katika hali yake ,,Amen
@carolinemulonzya432
@carolinemulonzya432 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kuwa fariji, tunamuombea mama uponyaji wa haraka kwa jina kuu la Yesu
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Duh mbona mtiani jamani..Mungu amponye mama yetu,Amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@tonyi6807
@tonyi6807 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ampe Afya njema katika kipindi chote tunajua namna hali inavyokuwa Tunawapenda sana.
@anethyusuph4737
@anethyusuph4737 3 жыл бұрын
Mungu hajawah mtupa mja wake atapona kwanema yamungu
@peninahkyalo4400
@peninahkyalo4400 3 жыл бұрын
May the almighty God visit this family and always comfort them...let's support them by praying for this family
@happymichael3821
@happymichael3821 3 жыл бұрын
Polen tena familia! Mungu aendelee kuwatunza
@petronillamnyambi7607
@petronillamnyambi7607 3 жыл бұрын
Poleni sana mpepole mama janethi mungu awabariki daima
@christinamagesa4381
@christinamagesa4381 3 жыл бұрын
Polen sana mungu ampumzishe kwa aman JPM pia mungu amponye mama janeth
@adelaidesimani727
@adelaidesimani727 3 жыл бұрын
Quick recovery mama Janeth.
@esterlyalo7710
@esterlyalo7710 3 жыл бұрын
Pole sana mama yetu Janet MAGUFULI mungu akupe uzima na afya njema.
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 3 жыл бұрын
Hakika tutamkumbuka 😭😭😭🙏🏽
@masundelwa
@masundelwa 3 жыл бұрын
Kafanana na baba ake. Ni jasiri kama baba ake. Ni mzalendo Kama baba ake. Ni Ana confidence Kama ya baba ake. Ni Ana speech nzuri Kama ya baba ake. .. 🙏🙏hakika anafaa kupewa nafasi ya uongozi katika taifa letu... Ili tuzidi kumuenzi hayati John pombe magufuli🙏
@benyrashird1130
@benyrashird1130 3 жыл бұрын
Kilichotoka katika viuno kitakua cha kufanana nawe hasa ukikuza utakavyo
@josephinanikwelimdacki3330
@josephinanikwelimdacki3330 3 жыл бұрын
Pole sana kaka yetu kipenzi tume umia sana juu ya baba etu ila mungu ata mpa afya njema mama yetu kipenzi
@rosaliembarikiwa592
@rosaliembarikiwa592 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuponye mummy Janette Magufuli, katika Jina la Yesu Kristo 🙏🏽
@annastaziadaniel2308
@annastaziadaniel2308 3 жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏
@merinaibrahimnampendayukov7007
@merinaibrahimnampendayukov7007 3 жыл бұрын
Amina😭
@rwandaafrika6173
@rwandaafrika6173 3 жыл бұрын
ASANTE kakangu unanikumbusha kabla Rais J.P Magufuli hajasema lolote alikuwa akiaza hivyo Asalamaleko .Tumsifu yesu kristo. Bwana yesu asifiwe asante sana kakangu Mpendwa
@dotahamad6640
@dotahamad6640 3 жыл бұрын
Khakika
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 жыл бұрын
Kabisa aisee hakubagua raingi wala kabila wala dini yeye alisimama kam rais wa wote
@liliansamson674
@liliansamson674 3 жыл бұрын
Nimelia sana JPM tulimpenda sana, poleni familia yake🙏🏽🙏🏽
@allykhelef1416
@allykhelef1416 3 жыл бұрын
Pole sn mamy
@saitawilson7307
@saitawilson7307 3 жыл бұрын
😭😭😭😭 R.I.PJpm
@dicksonwanyama1689
@dicksonwanyama1689 3 жыл бұрын
Pole sana Mungu aitie nguvu Family ya Hayati JPM. Pole sana Mama Janeth Magufuli
@manissa9654
@manissa9654 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Ailaze Loo yako Maali pema pepon Jpm Inshalllah Amen 🙏🙏🙏
@latifamkulazi8378
@latifamkulazi8378 3 жыл бұрын
Allahumma amiin
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 3 жыл бұрын
Ameen yarabby
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 жыл бұрын
Amina thumma amina
@irakozejclaude7869
@irakozejclaude7869 3 жыл бұрын
Amiiin ya Rabbi
@halimamwajuma9208
@halimamwajuma9208 3 жыл бұрын
Allahuma amiin
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Poleni sana familia ...Mungu awatie nguvu🙏🙏🙏🙏🙏
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 3 жыл бұрын
handsom boy like father like son love you from congo zaire
@olphamoraa6683
@olphamoraa6683 3 жыл бұрын
Pole sana kakangu mungu ndiye kiongozi wa familia hawesi kugwaacha 🇰🇪
@witnnesheke2246
@witnnesheke2246 3 жыл бұрын
Duh inauma sna aiseee ...Mungu azidi kuipigania familia ii y mpendwa wetu jpm aiseee inauma sana RIP JPM
@munamuna7488
@munamuna7488 3 жыл бұрын
Pole mama Janet mama etu kipenzi Allah atakuwafu ni mtihani nikimkumbuka mangufur nakosa la kusema
@josephinemetekai9152
@josephinemetekai9152 3 жыл бұрын
Mama Janeth Pole sana Mungu akuponye katika jina La Yesu Mungu awatie nguvu familia kwa kweli kama Mimi nimeumia kiasi kikubwa je mke wake na watoto wake.
@siaswai8310
@siaswai8310 3 жыл бұрын
Mungu atamponya kwa jina la Yesu
@martinnjeru3191
@martinnjeru3191 11 ай бұрын
Mungu awerehemu na kuwapa nguvu kwa kumpoteza rais na baba mzazi joseph
@rehemamsamila8820
@rehemamsamila8820 3 жыл бұрын
Pole sana mama yetu Janeth Magufuli Mungu akupe uponyaji
@ibel4lf
@ibel4lf 3 жыл бұрын
Pole sana Jose pole pia kwa Mama yetu mpenzi Janeth Magufuli nakuombea faraja kuu kutoka kwa Mungu uwe na amani uwe na furaha Mungu anakusudi jema na wewe hawezi kukuacha atakupigania katika mapito haya mazito
@elizabethmapunda6806
@elizabethmapunda6806 3 жыл бұрын
Daaah Magufuli umetuacha baba yetu kipenzi tunakukumbuka sana sana tulikupenda sana ila Mungu kakupenda zaidi yetu pumzika kipenzi chetu,Poleni familia,mama pona ututie moyo yote muachie Mungu wewe uwezi.
@doricas2049
@doricas2049 3 жыл бұрын
POLE XANA MAMA ATAPONA KWA JINA LA YESU SAUTI TO KAMA BABA MAGUFULI LALA SALAMA SER
@bahatimungundomteteziwetum4360
@bahatimungundomteteziwetum4360 3 жыл бұрын
Mungu awape faraja kutoka juu. Pumzika kwa amani baba yetu jpm
@sabrinaiboma2444
@sabrinaiboma2444 3 жыл бұрын
Pole mama yetu mpenzi wetu...MUNGU akutie NGUVU na akusimamie uyashinde magumu yote kikubwa Subra
@dianamkita6571
@dianamkita6571 3 жыл бұрын
Hakika nimelia sana,,,Mungu awatie nguvu familia ya Mpendwa wetu JPM...
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭Mungu ampumzishe kwa amani JPM wetu, Mungu akampe AFYA njema MAMA janeth magufuli
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 3 жыл бұрын
Joseph ameongea maneno machache tena ya hekima sana. Aendelee kupumzika kwa amana rais wetu wa awamu ya tano
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Familia yote hasa mamaJanneth na watoto wake,inauma sana.japo ami nimeumia lkn siwezi kuwafikia machungu mliyonayo familia yk.Mungu awape faraja.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
😭😭😭😭 Jaman mm sijawahi umizwa na msiba kama huu daah magufuli😭😭 alikua mwema saba kwetu lkn 😭😭😭duuuh TAZAMA MAMA YAKE 😭😭😭 PALE KITANDANI ALIPATA STROK KWASABABU YA KIFO CHA MTOTO WAKE WA KIKE😭😭🤔 TENA MAMA HAYUPO SAWA MAGUFULI NAE KAENDA😭😭 TAZAMA MAMA JANETH NA WATOTO WAKE HAKI WA NAWAKATI MAGUMU TUSIWASAHAU KTK MAOMBI YETU JAMANI KAMA MAGUFULI ALIVYOJITOA KWETU😭😭😭
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
@@jenyyusuph4973 Kweli kabisa ndugu yangu. Tuendelee kuiombea familia yake hasa mke wake na mama yake.
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 жыл бұрын
Umesema mpendwa.wanawakati mugumu Sana.ondoka ya magufuli mungu tu anajua.ujue hata familia hakuacha wosia wowote
@augustinomathias1893
@augustinomathias1893 3 жыл бұрын
Mungu awe nanyi ktk kipnd chote
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
Nasikia sauti Ikisema HAPA KAZI TU nasikia sauti Ikisema SAMIA MTANGULIZE MUNGU USIKUBALI MACHANJO HAYO ooh nasikia sauti sauti yaushindi sauti yenye nguvu yakiongozi wakweli mzarendo mwenye Imani yakweli iliyotufanya Tz🇹🇿kuwa nchi yatofauti Sana na yakujivunia hasa kwenye hi biashara ya korona. Pole Joseph Mungu amponye amfariji mama yetu mama yako
@jacobsafari700
@jacobsafari700 3 жыл бұрын
we love you JPM mungu akupe raha ya milele
@tatubadi9010
@tatubadi9010 3 жыл бұрын
Nimejikuta nalia kabla nilipokiona kichwa cha habar.. Yaarabi mpe shifaa mama Janet magufur na umasamehe makosayake Raic wetu magufur na uwape nguv Familia ya magufur na faraja sikuzote..
@geoffreymwarabu8323
@geoffreymwarabu8323 3 жыл бұрын
pole sana mama Janeth. Baba yumo mioyoni mwetu na kamwe hatofutika
@abasadidal7
@abasadidal7 3 жыл бұрын
Tunamuomba Mwenyezi Mungu amponye mama
@stephanokigosi656
@stephanokigosi656 3 жыл бұрын
Apone Haraka mama yetu, Dah tumekumbuka mbali isee.
@saknajumapili8282
@saknajumapili8282 3 жыл бұрын
Pumzka kwa aman magufuli,na polen tena ndugu zetu kwa kuuguliwa na mama,mungu aponye,amin
@maridadi8
@maridadi8 3 жыл бұрын
You sound just like your father - Big up. May be one day you will become the president of Tanzania.
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 3 жыл бұрын
Hongera sana Joseph Magufuli kwa lisala fupi na nzuri
@SAM_163
@SAM_163 3 жыл бұрын
R.I.P JPM YOU WERE THE TRUE SON OF AFRICA!!!🌹💪💪
@peterassenga6169
@peterassenga6169 3 жыл бұрын
Jamaaa ni dingi mtupu
@africaboy9880
@africaboy9880 3 жыл бұрын
Mungu ampumzishe raisi yetu mahal pema pepon amina
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
@@africaboy9880 Sidhani hivyo ,maana Mingu wetu ni wa haki hahukumu kwa mapenzi anahukumu kwa haki naye Magu kauwa wengi tena kwa uonevu tu,akiwemo Ben Saa Nane,Azory Gwambo,na wengi wengineo.Achilia mbali waliotekwa na kupigwa risasi na kutiwa ulemavu,watu wasojulikana waliuwa wengi na kutesa wengi chini ya amri zake Magu.Mungu ni wa haki na atahukumu kwa haki musijisahaulishe aliowafanyia raia zake.
@amirlehao8945
@amirlehao8945 3 жыл бұрын
Viongozi mjifunze kwa mwamba magu hata watoto wake hawajulikani kabisa yule alikuwa raisi mzalendo anayependa taifa lake hakuweza kujilimbikizia vyeo, kule upande wa pili mpaka mjukuu atajulikana ikulu
@benyrashird1130
@benyrashird1130 3 жыл бұрын
This might be sound something ahead
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 3 жыл бұрын
Huyu kijana ana hekima kubwa sana, huwezi jua kama babake alikuwa kiongozi. Ubarikiwe sana
@wlkmwlkm3381
@wlkmwlkm3381 3 жыл бұрын
Watu wengi walishtuka sana ata Mimi nikiwa mmja wao 😢😢
@sabrinaiboma2444
@sabrinaiboma2444 3 жыл бұрын
Kaka yetu umenitonesha kidonda nimejikuta nalia sanaaa......MUGUFULI WETUU JEMEDARI...daaah aiseeee naumiaaaaaaaaa mpaka mwisho jamani kama mie naumia hivi mama JANETH MUNGU AKUPE NGUVU UJASIRI. Na akuponye 💔😭😭😭😭💔💔💔💔💔🇹🇿🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲✍️🙏
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
Ujumbe wako umenitiririsha machozi. Magufuli alikuwa baba yetu. Najua Mungu amemweka kwenye makao yake ya milele. Mungu aijalie familia yake hasa mke wake mama yetu mpendwa Mama Janeth na mama Magufuli
@susanlazaro8323
@susanlazaro8323 3 жыл бұрын
Namlilia Sana Raisi wetu Magufuli Jamani😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Tulimpenda Sana Daima Tutamkumbuka😰😰😰🙏🙏🙏🙏
@azzamohamed6649
@azzamohamed6649 3 жыл бұрын
Machozi hayaishi
@pendomarco8928
@pendomarco8928 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba yetu Magufuri
@neemajulius1256
@neemajulius1256 3 жыл бұрын
Aponye kwa haraka ktk jina la Yesu
@saidhamad533
@saidhamad533 3 жыл бұрын
Familia inamachungu sana tena sana.pole mama janet mungu atakuponya
@hawamabira1499
@hawamabira1499 3 жыл бұрын
JPM💔 Forever ♾ in My Heart!
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 3 жыл бұрын
poleni sana 😢 Pole sana kwa mama Janeth 😢
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 жыл бұрын
Masha mungubakutunze na ww kaka maan nakumbuka katika hotuba za Rais Magufuli alikuw akianza kusema Asalam aleykum . Bwana yesu asifiwe na Tumsifu yesu krito leo na ww umeanza hivyo hivyo Nimejikuta nimelia walah khaa hivi ni kweli Magufuli hatunae jmn sijui kma nitakuja kuamin aiseee inaumiza kupita maumivu
@anastaziamoses4100
@anastaziamoses4100 3 жыл бұрын
Jamani inauma kiukweli 😭😭😭
@boazsamwel6111
@boazsamwel6111 3 жыл бұрын
Duh mama yetu pole sana ;Mungu akutie nguvu mama yetu
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 3 жыл бұрын
Dah! Inauma sana, pumzika kwa amani baba yetu JPM😭😭😭😭.
@massbass6090
@massbass6090 3 жыл бұрын
Quick recover mummy Mungu awakumbuke na asimame na nyinyi
@happybonphasy6464
@happybonphasy6464 3 жыл бұрын
Get quick recovery mam janeth
@hidayamotto7210
@hidayamotto7210 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atamponyaa inshallah
@irenelulu530
@irenelulu530 3 жыл бұрын
Wallah Tz bado hatujarecover ukiacha kwamba ulikuwa rais wetu bado ulikuwa baba mwenye upendo wa dhati na tz 🇹🇿💔
@mazipupondi9760
@mazipupondi9760 3 жыл бұрын
It's so sad bra....inaumaaa sana bro ila poa Mungu you mwema
@agnesmajuramangombe986
@agnesmajuramangombe986 2 жыл бұрын
Pole jose umefanana na mama yako sana
@ashurampuya6214
@ashurampuya6214 3 жыл бұрын
Poleni sanaaa wanafamiliaa
@rehemamsamila8820
@rehemamsamila8820 3 жыл бұрын
Poleni sana wanafamilia Mungu awatie nguvu... tulimpenda sana Magufuli Mungu ampe pumziko la milele Amina😭😭😭😭😭😭
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 3 жыл бұрын
Maskini mama janet poleni sana mola awape subra katika wakati huu mgumu ikiwa sisi tupo mbali tumeumia vipi wewe ulie kua kitu kimoja na yeye ningum sana ila tutazidi kukuimbea mola akupe amani ya moyo na famili yako
@janethtobius6173
@janethtobius6173 3 жыл бұрын
Pole sana mama yetu janeth mungu akuponye na baba yetu mungu amlaze mahali anapopastaili
@eliasnyondo5528
@eliasnyondo5528 3 жыл бұрын
Mungu baba wa mbingun nyosha mkono wako wa baraka katika familia ya marehemu dokt John pombe magufuli
@angelalphonce9368
@angelalphonce9368 3 жыл бұрын
Tutakukumbuka Magufuri wetu
@morelovekombe9548
@morelovekombe9548 3 жыл бұрын
Mungu amponye janeth magufuli
@omarihamadumetishasanalava4725
@omarihamadumetishasanalava4725 3 жыл бұрын
Rip
@zawiajuma715
@zawiajuma715 3 жыл бұрын
Poleni sana Allah awape subra katika kipindi kigumu
@eunicemsigo9677
@eunicemsigo9677 3 жыл бұрын
Mama Janet mama Nakuombea Amani ya mwenyezi mungu dadangu mungu Skype Amani take ya biblia....pokea Amani ya yesu Christo. Na uponyaji pia ukufikie ulipo mama
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 3 жыл бұрын
Poleni Sana'a familia ya baba janety mungu awatanguliee aminaa tutamkumbuka Sana'a JPM aminaa
@lucymacha1853
@lucymacha1853 3 жыл бұрын
Poleni sana familia na tanzania pia tunamkumbuka JPM sana tu
@mohamedissakaishema9895
@mohamedissakaishema9895 3 жыл бұрын
Polee sana bro
@theresiathadayo3622
@theresiathadayo3622 3 жыл бұрын
E mungu unyooshe mkono wako wa umponye mama etu pia mwanga wa milele uzi kumuangazia tukumbuke pia rais jpm lala baba kiukwel naumia sana
@linetnekesa8019
@linetnekesa8019 3 жыл бұрын
Mkitaka kuponya hii familia muache kuongea kinyume na alikuwa rais pliz mnawafinya kwa vinonda ambavyio bado mpichi kumbuka rais alikufa kifo cha ghafla hakuna alie tarajia so Wana machungu😭😭😭😭😭
@shakilaabdallaherio5617
@shakilaabdallaherio5617 3 жыл бұрын
Tutamkumbuka sana jemedar wetu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@rosekaale9724
@rosekaale9724 Жыл бұрын
Kuongea mbele za watu kazi kubwa mungu akupe nguvu joseph baba wa yatima yupo
@mawananasoro4405
@mawananasoro4405 3 жыл бұрын
Poleni sana baba
@mashakamagembe1188
@mashakamagembe1188 3 жыл бұрын
Baba yetu mungu ampe makazi mazuri Shujaa wetu
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Hata huyu mtoto hayuko sawa ki vile. Ana ongea aki tetemeka 😢
@yusuphmalongo706
@yusuphmalongo706 3 жыл бұрын
Hawezi kaa sawa kwa mda mfupi majonzi bado anayo
@rockgsimbajike6557
@rockgsimbajike6557 3 жыл бұрын
Tunamuombea mama Janet Tunampenda sana
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
Mungu aendelee kumtia nguvu mama yetu janet magufuli ameacha mioyo yetu inavuja dam mama janet itachakua muda sana kukaa sawa 😭mungu ampe afya
@auntdorah9141
@auntdorah9141 3 жыл бұрын
Poleni sana😭ukweli kifo cha Mheshimiwa kilituumiza wengi..alikua kipenzi cha wengi..pole sana mjane na watoto...😭😭kufiwa na mzazi/mume kunauma sanaaa...Mungu azidi kuwa faraja kuu.
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 3 жыл бұрын
Pole sana hakikisheni msimpeleke kwa madaktari walomtibu magufuli wakiongizwa na prof jabir. Mwambie tunamwombea mama yetu na tunampenda
@frankkakobin2281
@frankkakobin2281 3 жыл бұрын
Pole sana mama Janet Magufuli. May the hand of the Lord touch you and heal you in Jesus Name.
@annamtapila5761
@annamtapila5761 3 жыл бұрын
Mungu aendelee kuikumbatia familia hii jamani. Tunawaombea. Msiba huu ni mzito.
@vailethanod1522
@vailethanod1522 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu amtie nguvu Mama janeth
@josej9888
@josej9888 3 жыл бұрын
Apumzike kwa AMANI JPM 🇹🇿🙏
@hajijuma9908
@hajijuma9908 3 жыл бұрын
Poleni sana jose mungu awatie nguvu
@dauzjumaa6818
@dauzjumaa6818 3 жыл бұрын
Pole Sana kaka angu
@hamzamohamedKeslivol
@hamzamohamedKeslivol 3 жыл бұрын
Hee mtihani, mungu amponye
@ungaroboungarobo5531
@ungaroboungarobo5531 3 жыл бұрын
Usitetemeke big
@rachaelkazimili4092
@rachaelkazimili4092 3 жыл бұрын
Jaman mm sijawahi zoea huu msiba kila siku naumia nakilia😭😭😭😭
@sophiamahanyu3056
@sophiamahanyu3056 3 жыл бұрын
We nikama mim yn
@anithaisraely5808
@anithaisraely5808 3 жыл бұрын
Kumbe tupo wengi jamani.😭😭😭
@catherineluoga6288
@catherineluoga6288 3 жыл бұрын
Polr mama quick recovery
@julianacostantine6682
@julianacostantine6682 3 жыл бұрын
Dah nimemuangalia huyu mtoto nimeumia Sana tutakukumbuka Sana Baba yetu raisi wetu Joseph magufuli 😭😭😭🙏🙏
WASTARA ASIMULIA MAISHA BILA SAJUKI, AMUONESHA MTOTO WAO
10:32
Millard Ayo
Рет қаралды 7 М.
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 48 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 198 МЛН
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 52 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 618 М.
Rais Magufuli ametaja mshahara wake leo
12:08
Millard Ayo
Рет қаралды 441 М.
Duh! ASKARI KIBURI Abishana na MAGUFULI Mbele ya RPC - "AMENIINUA"
2:53
Global TV Online
Рет қаралды 689 М.
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 48 МЛН