No video

🔴

  Рет қаралды 432

MAGOTI TV

MAGOTI TV

Күн бұрын

Endelea kubarikiwa na somo hili.
..........................................................................
Neno la Mungu ni Taa ya Miguu yangu na Mwanga wa njia yangu.
Neno la Mungu ni Pumzi ya maisha yangu, unapolisoma neno la Mungu hautapotea gizani bali Nuru ya Bwana itaangaza Maishani mwako kila wakati.
..............................................................................................................................................................................................................................................................................................
Naitwa Japhet Magoti ni mtumishi wa Mungu ambaye nahubiri na kufundisha neno la Mungu kuhusu habari za Yesu mwenye wokovu. Mungu amenipa baraka ya mke mmoja Veronica Japhet Magoti na watoto wawili wa kiume Jayson na Jayvyn Japhet Magoti.
...............................................................................................................................................
Unaweza kushiriki huduma hii kwa sadaka yako ili tuzidi kupeleka injili kwa watu wengi kwa njia zifuatazo:-
Mpesa 0764062976 jina JAPHET MAGOTI MATOTI
Safaricom mpesa number 0713307222 Japhet Matoti
Tigopesa 0712526937 Veronica Kanick
CRBD BANK 0152318092200 JAPHET MAGOTI
Mungu akubariki sana.

Пікірлер: 3
@user-pq9be8re6i
@user-pq9be8re6i Ай бұрын
Kila saa nikiomba,nakukumbuka na team magoti pamoja na familia zenu,baba wambinguni usisahau watoto wako katika jina lako 🙏🙏🙏🙏wapee itaji la moyo wao,afya njema, uwabariki Katika njia zao zote, malaika wa ulinzi na wa vita asikoze popote mwendapo,damu yako inafuta Kila kitu, Amen 🙏🙏🙏
@nigomadalajuma734
@nigomadalajuma734 Ай бұрын
Nawapata nikiwa hapa Burundi
@NyamariFaith-qu1jm
@NyamariFaith-qu1jm Ай бұрын
Mungu akujibu maimbi Yako Leo kwa jina la yesu 🙏 watching from Saudi please nitumie no yako ya watsap nataka nikutumie credit kwa masomo Yako yamenijenga kiimani n pia niombee nimasumbuliwa n miguu yangu nashikwa n ganzi n kutoka sauti kwa magoti
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 237 М.
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 22 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН
MUNGU ANAKUANDAA KWA KILE ALICHOKUANDALIA || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
10:53
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 51 М.
NAMNA YA KUTUMIA SALA YA BWANA KAMA NJIA MOJAWAPO YA KUTAFUTA UFALME WA MUNGU
1:59:36
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 813 М.
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 20 М.
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 22 МЛН