KUNA JAMBO NIMEFUNZA TOKA KWA MADAM. MAPENZI/NDOA HAIHITAJI RAFIKI NA TUNAPOWASAIDIA WATU TUWASAIDIE WAKIWA KULEEEEE AND NEVER INVITE MTU ASOGELEE MAHUSIANO YAKO. KAMA UNAKUBALI HILI GONGA LIKE
@hadijasalum63733 жыл бұрын
Nikweli
@junaithammahad38443 жыл бұрын
Ata mm sitaki uwo upumbavu
@ricostar42423 жыл бұрын
Sane:kumbuka pia Madam Ritha nusu mwafrika na nusu mzungu, kwahiyo tabia zake deeper sana na nzuri sna, angali anasema wazi wazi nilimsamehe huyu hasidi....Jackline Mengi
@sanekwilabya44533 жыл бұрын
@@ricostar4242 Ni sawa unachokisema kusamehe au kutokusamehe ni matokeo. hapa tayari mtu amekwisha umizwa hivyo basi bado tunahitaji namna nzuri ya kuwasaidia marafiki na kulifunika vyema Penzi ili tujiepushe na maumivu ya namna hii.
@wennybarny1689 ай бұрын
Tatizo wanaume huwa wanachagua mwanamke huyu nimpende, halafu mwanamke yule niwe nae ili nimtese hadi ajute kuzaliwa. Hasa mwanamke akiwa mzuri, kasoma, mtafutaji na ana kipato fulani basi mwanaume anakuja kumtesa hadi mwanamke inafika hatua anasema wanaume ni wabaya sana. Mwanamke wa kawaida au duni ndo anapendwa sana na mwanaume.😢😢😢😢
@karensabai6303 жыл бұрын
Ila huyu interviewer she's really really good , she knows what she's doing..
@ilovejesus93033 жыл бұрын
Sanaaaaa
@saidahj25433 жыл бұрын
Best of all
@lilyabel23203 жыл бұрын
MADAM RITA WEWE NI MREMBO SANA. NAKUPENDA, YAANI HUZEEKI. MUNGU AKUBARIKI SANA NA AENDELEE KUKUTUNZA
@wennybarny1689 ай бұрын
Rita Paulsen ni pisces/samaki na sifa la kundi hili ni hizi:- 1. Wazuri sana kwa muonekano 2. Wanahisia kali sana kupitiliza 3. Wana huruma sana na ni watoaji sana 4. Wanapenda kuwa peke yao kwenye ukimya na utulivu
@joslinchuwa12983 жыл бұрын
Yaani huyu Dada Rita Nampenda sana sana,,
@heriethkusigwa84693 жыл бұрын
Nan anauona Moyo wa Marehemu Mengi hapa Kama Mm 😆Congrats Ritha Madam 😘😘
@bettyngala85183 жыл бұрын
God bless you. Lots of love from Kenya. You are an inspiration.
@mariawandiba67363 жыл бұрын
Hakika interview nzuri sana I like Madam Rita na maturity yake
@annamwakibinga31903 жыл бұрын
Yaani kila siku Rita anapendeza sana. Mungu amjaalie
@ricostar42423 жыл бұрын
Wewe mtangazaji utaenda mbali sana kiutangazaji, unajua sana kumuuliza mtu maswali, nakubariki leo. i admire you.
@estherminnahboaz69563 жыл бұрын
Madame Ritha kisu jamani duh
@portinagodson38363 жыл бұрын
WATU MSICHOKIJUA MTANGAZAJI AKIWA ANAHOJI VIZURI LKZ KIPINDI KIWE KIZURI NASHANGAA WATANGAZAJI KAMA HAWA HAWAPEWI AIRTIME NZURI.
@mamachris68113 жыл бұрын
Point imenigusa Hata mimi hupenda niwe na changu,ninapoingia mahusiano,nisifuate pesa,nimpende Nakuwa huruuuuu 💃💃💃
@evermarykijumbe26553 жыл бұрын
Nawapenda wote mtangazani na mtangazwa both of you I like you guys
@danielmsuya720 Жыл бұрын
Nakubaliana kabisa nahoja hii:- Mtu asiolewe na mtu kwa sababu ya uwezo fulani bali mtu aolewe na mtu kwa sababu yeye mwenyewe ana mpenda.Upo sawa.
@benardethamhela48983 жыл бұрын
Hongera Sana .uko juu
@FahmiAbdallah-x9w9 ай бұрын
H MIAKA KADHA NILIKUA ,NAMUOCHI HUYU (QUEEN )SORRY KM KIUMBE ATAFANIKIWA ,KUPENDWA NA QUEEN (LKN MOYO WK SIO RAHISI KUU WIN (NAOMBA NIMUOMBE AFANYA SPACIAL IBADA YA KUMSHUKURU SUBHANNA WATTAALLA SUBHANNA WATTAALLA ((KWA JINSI ALIVYOMUUMBA)MASHAA ALLA
@mohamedkondo63923 жыл бұрын
Great interview, love you ritha Paulsen.💯💯💯
@blandinamnyinga83183 жыл бұрын
girl "" work 4 your own money always no matter how rich y're partner is
@mariamtumwebaze3893 жыл бұрын
Ni kweli Rita ulikuwa mlembo sanaaaaa na bado we ni mrembo lakini wakati huo ilikuwa zaidi sanaaa
@ilovejesus93033 жыл бұрын
Sanaaaaa
@azzamahamdu70393 жыл бұрын
Sasa kazeeka lkn pia mrembo
@wennybarny1689 ай бұрын
Ana watoto wakike wawili
@wilonjahatua20673 жыл бұрын
M@dd@m ritt@❤❤❤
@kechuagrosupplies3 жыл бұрын
Umetisha dada angu,najivunia wewe
@upendonsemwa84612 жыл бұрын
Kuna kitu I get from this super woman
@OnlyRuky3 жыл бұрын
Mmependeza
@agricolamirinde61112 жыл бұрын
Mhh Mungu nisaidie nijue kutenganisha marafiki wangu kwwnye mahusiano yangu
@dinnahhyypollyydinna23463 жыл бұрын
Mtangazaji mwaaa,, umesomea, unakipaji cha utangazaji
@dinnahhyypollyydinna23463 жыл бұрын
Nakupenda Jacky una discipline yakutosha
@salomewandya72573 жыл бұрын
Dah inasikitisha jmn😥nilikuwa natamani amtaje huyo mtu alievunja mahusiano ya madam Rita &Reginard Mengi
@rahiminamsangi85583 жыл бұрын
Jack ingia Google msach Rita utawaona pamoja wameegemeana akamzinguka
@damariszuckschwert94893 жыл бұрын
@@rahiminamsangi8558 Lakini si yeye alivunja ya mke wa kwanza wa mengi au?
@patriciacarlo72363 жыл бұрын
Jack
@Kijana-wa-Tanzania3 жыл бұрын
@@damariszuckschwert9489 Hapana Rita alimkuta Mengi yuko huru tayari sababu mzee alitengana na mkewe kitambo zaidi kabla hajamjua Rita ukizingatia Rita alikuwa mdogo sana kwake.
@damariszuckschwert94893 жыл бұрын
@@Kijana-wa-Tanzania Okay
@itikamlagalila19113 жыл бұрын
Haka kadada katangazaji nakapendaaaaaaaaaaaaa
@salomewandya72573 жыл бұрын
😂😂😂😂
@ilovejesus93033 жыл бұрын
Sanaaaaa
@bjchamba64523 жыл бұрын
Be blessed
@judithjulius59932 жыл бұрын
Hapa inaonekana mengi waliokuwa pamoja bado,rip dokta mengi,utakumbukwa milele
@dinnahhyypollyydinna23463 жыл бұрын
Pole madam
@maryamabdallah31403 жыл бұрын
Mmmh!!!🤔😱
@baubahashim62803 жыл бұрын
Hayo matunda hata sisi tuliyapanda hilo UA linatambaa sana umenikumbusha mbali Madam
@masalakulwa76013 жыл бұрын
Madam.ritha msaafiiiii...
@veronicamadata16733 жыл бұрын
Dizzim, background kuna noise.
@ngoshaachaula71523 жыл бұрын
Ni chache
@wennybarny1689 ай бұрын
Rita ni mtoto wa ngapi kwa kuzaliwa kwenye familia yake
@natashanasson82973 жыл бұрын
Nice interview ilov madam litha
@namsamson34433 жыл бұрын
Not Litha is Rita
@victoriadaizy52773 жыл бұрын
@@namsamson3443 😂😂😂🙌
@edinambwambo48473 жыл бұрын
Mnajiuliza nn jmn,wkt mnamjua kabisa.Na kwa sasa huyo dada ni mjane.Siku akimtaja kumbukeni hii komenti.Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.Jiongezeni!😔
@Iragibarune1.3 жыл бұрын
Duh
@damariszuckschwert94893 жыл бұрын
Lakini litakuwa la mengi au la huyo mwanamke aliyemchukua? Mengi mwenyewe ndie hakuwa ametulia
@princesstaes54833 жыл бұрын
@@damariszuckschwert9489 Shida ni rafiki why amkubalie
@veronicaally9 ай бұрын
Kwanini hupendi kuomgea kiswahili
@mariamtumwebaze3893 жыл бұрын
Ohhh sorry my darling binadamu ndi yo walivyo
@gracemwinuka58993 жыл бұрын
Madam madam! Ritha.,
@Ivy-pn2gc3 жыл бұрын
Reggy Mengi nini maana madam alilia msibani kwa uchungu sanaa .....shidah madam apendi drama ila angekua mwanamke mwingien au wema lazima tungejua ukweli kwamba ni Kama jack tubalile kausika flani .....anyway interview imebambaa sana .....tz wanapenda drama wanataka watafuniwe kila kitu
@damariszuckschwert94893 жыл бұрын
Huyo huyo Jack...mchawi mtu paka hutumwa
@nurukhalifa94133 жыл бұрын
Madameee
@doreenkissia10873 жыл бұрын
Madame Rita
@jackyluns82243 жыл бұрын
Kwanza nimependa interview ya madam ritha,pia ninatamani siku moja nikutane na huyu madam kuna kitu amenigusa ndani yangu Piaa naombea siku ingine aje aelezee na uhusiano wake jaman
@ngoshaachaula71523 жыл бұрын
Ukutane nae kwa ishu gani jamani
@jackyluns82243 жыл бұрын
@@ngoshaachaula7152 acha maswali yako ya kijinga
@jackyluns82243 жыл бұрын
@@ngoshaachaula7152 kila binadam tumeumbiwa tusimdharau mtu ndo maana hata Rais wetu alitupenda sana hasa wanyonge kwani MTU akiwa na kitu chake moyoni inamfaa amwambie yule MTU anae muinspire Ila sio kama unavyohoji tafakar chukua hatua
@jessymalembeka61813 жыл бұрын
Afadhali kumbe J hakua chanzo. Ur so kind Madam
@theafricaiknow66153 жыл бұрын
Ni yeye. Hujaelewa akisema hakuwa girlfiend, wakati anatengeneza deal ila girlfriend thing ilifuta
@abdallahkapute56083 жыл бұрын
Nc
@azzamahamdu70393 жыл бұрын
Adui ya mwanamke ni mwanamke mwezie...hilo halipingiki.tubadilike wanawake.pole madam.ulkua cutest till now.unazeeka na uzuri wako.najua kitakua kijack akafanya mwili ka kuni..
@salmajabiry8843 жыл бұрын
Yani nilikuwa nampenda na sijui history yake hata moja.ila kwa sasa nime zidi kumpenda dada Rita hongera sana kwa lupigania kuwa na jina
@lepadrechief46423 жыл бұрын
Tz huwa tuna ulimbukeni ukiongea kingereza unaoneka unjua kila kitu ata nyinyi watangazaji mnakua wajinga....chague kiswahili au kingereza na si kuchanganya..wapuuzi
@mariamtumwebaze3893 жыл бұрын
Ohhhhh hhhhhhhhh jamani Rita ohhhh my God zamani nikiwa musichana mdogo alikuja uganda ohhh nimefulahi sanaaa