Magufuli - 2005, tutasafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami

  Рет қаралды 59,856

Quadroonq Quadro

Quadroonq Quadro

Күн бұрын

Mkapa na Magufuli mwaka 2005 Jiwe la Msingi Nangurukuru - Mbwemkuru (Lindi) km 95.
Rais Benjamin Mkapa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli mwaka 2005 walipoweka Jiwe la msingi Barabara ya Nangurukuru - Mbwemkuru (Km 95). Ujenzi wa barabara hii ulikamilika Januari, 2008.
WANANCHI wataweza kusafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami,hayo yalisemwa Bungeni Mjini Dodoma wakati Waziri wa Ujenzi John Magufuli alipokua akijibu swali la Martha Mlata (Viti Maalum-CCM), swali lililohoji juu ya ahadi ya Serikali katika kipindi cha awamu ya nne na ahadi hiyo iliyosema wananchi wataweza kusafiri kwa taxi toka Mtwara hadi Bukoba. Waziri Magufuli alisema kuwa nia ya msemo huo ni kuonesha kwamba wananchi wataweza kusafiri toka Mtwara hadi Bukoba kwa lami na kuongeza kuwa lengo hilo limetekelezwa kwa mafaniko makubwa hadi kufikia asilimia 99 ya barabara yote kutokea Mtwara hadi Bukoba.
Hata hivyo ahadi ya Magufuli imetekelezwa kwa kuwa sasa barabara yote kuanzia Mtwara - Dar es Salaam- Dodoma-Singida- Nzega-Tinde-Usagara pamoja na Geita-Bwanga-Kyamyorwa hadi Bukoba yenye urefu wa kilometa zipatazo 1,989 imejengwa kwa kiwango cha lami.
Serikali ya awamu ya nne imetimiza ahadi ya wananchi ya kusafiri kwenye barabara ya lami kutoka Mtwara hadi Bukoba imetekelezwa kwa asilimia mia moja (100%).

Пікірлер: 52
@florashauri9228
@florashauri9228 3 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani baba yetu mpendwa Rais wetu Dr.JPM daima tutakukumbuka na yote mema uliyoyafanya juu ya nchi yako ya Tanzania
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 9 ай бұрын
22/11/2023.,.....😭😭😭😭.MUNGU EEEH,KWELI KIZURI HAKIDUMU.
@edisonkashaija4067
@edisonkashaija4067 3 жыл бұрын
Umeacha umeifanyia makubwa sana nchi hii 👋 👋 👋
@ngasalakonkmaster5734
@ngasalakonkmaster5734 5 жыл бұрын
Ndio maana umepata urais kwa kazi nzuri ulizokuwa unafanya ,mungu akubaliki sana
@barakaoriginal4044
@barakaoriginal4044 3 жыл бұрын
Nitakukumbuka Sana raisi wetu
@mashamasha2854
@mashamasha2854 3 жыл бұрын
😭😭😭😭
@abednego3876
@abednego3876 5 жыл бұрын
2005 Waziri 2, 2019 Kashikilia nchi kwa nguvu zote VIVA JPM.
@fx-farm6888
@fx-farm6888 3 жыл бұрын
Daima magufuli alivaa batch ya Africa katika koti lake upande wa kushoto usawa wa moyo wake aliipenda Africa kwa dhati shujaa wetu Pumzika kwa amani safari umeimaliza Legendary
@josephgomalo41
@josephgomalo41 8 жыл бұрын
Mwanawani wewe ni jembe Mungu wetu akubariki sana.. Amen.
@prosperlemunge3349
@prosperlemunge3349 3 жыл бұрын
R. i. p
@patrickalfred8387
@patrickalfred8387 3 жыл бұрын
Keep Resting Boss Mr. President!
@msugwamarco6773
@msugwamarco6773 8 жыл бұрын
magufuli daima!!! mwenyezi mungu akulinde love you sana my president.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 жыл бұрын
thank u Magufuli...a blessing from God to Tanzania..thank u Lord Jesus!
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 жыл бұрын
Alikuwa handsome aki😭
@johnrogath1066
@johnrogath1066 3 жыл бұрын
Rest in paradise Our President John Magufuli
@mcutanorsonvanwillson2991
@mcutanorsonvanwillson2991 3 жыл бұрын
Rest in peace
@amiryhamza1984
@amiryhamza1984 3 жыл бұрын
tutakukumbuka daima allah akuweke mahalapema peponi
@ungaroboungarobo5531
@ungaroboungarobo5531 3 жыл бұрын
Rip
@leonsishao3479
@leonsishao3479 3 жыл бұрын
Kwakweli mahisha nisafari ndefu alipotoka mpaka alipo fika nimapenzi ya mungu apunzike kwa amani
@ezekielchengula2228
@ezekielchengula2228 3 жыл бұрын
Rest In Power Mr. President
@jeremiahjeremiah6943
@jeremiahjeremiah6943 3 жыл бұрын
Umepampambana sana toka kitambo kwenye nchi hii pumzika kwa Amani.
@esterkiyabo1329
@esterkiyabo1329 3 жыл бұрын
Amina
@drhatmandispensary6502
@drhatmandispensary6502 4 жыл бұрын
Well!!
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 3 жыл бұрын
Hii ilikua tunu kwa taifa ila imetutoka na tutaikumbuka
@henryanthony1130
@henryanthony1130 3 жыл бұрын
Inauma sana kumpoteza baba huyu jaman
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 жыл бұрын
watanzani ! alikuwa mzuriii kaingia kwenye uraia mmezeesha weeee .Mh rais Magufuri kelele za watu zisikuzoofishe kula kunywa pata muda wa kupumzika vitu vingine chukulia poa pata muda wa kupumzika kucheza baadhi ya michezo.Pole sana ndg yangu Mungu akupe subira.
@juliuskatemi6816
@juliuskatemi6816 7 жыл бұрын
nchi ulianza kuijenga tangu ukiwa wazili
@isakajoseph5758
@isakajoseph5758 3 жыл бұрын
R I P
@franciskavyega280
@franciskavyega280 3 жыл бұрын
Uyu jamaa kaifanyia Mengi sana nchi hii Nyie..
@deogratiustimoth4070
@deogratiustimoth4070 2 жыл бұрын
Tanzania yetuuuu waTanzania tuilinde tusijenge chuki tuondoe tofauti zetu tusinyanyasane kwa tofauti ya vipato na vyeo chinga nae anatafuta maisha aachwe afanye kazi
@dogodogo595
@dogodogo595 3 жыл бұрын
Tanzania ikiongozwa na kiongozi kama huyu itakua juu sana!
@moemussa5212
@moemussa5212 3 жыл бұрын
RIP
@calvinmchopa2222
@calvinmchopa2222 3 жыл бұрын
Mtoto Wa Mkapa, like father like son
@abdallahhamza9689
@abdallahhamza9689 5 жыл бұрын
Ulikuwa huangaiki na mavazi toka kitambo naona koti hata pasi uliisahau
@egnokinunda6959
@egnokinunda6959 5 жыл бұрын
Duuuuu
@babusadala5732
@babusadala5732 3 жыл бұрын
Kitambo sana hii daaaa......🤔🤔🤔🤔🤔
@josephmolle
@josephmolle 3 жыл бұрын
R.I.p rais magufuli
@abednego3876
@abednego3876 3 жыл бұрын
Dah RIP Mzeee.😥😥😥😥
@BlueBubba
@BlueBubba 3 жыл бұрын
So sad to believe he has rested today🥺😓😭 R.I.P my president
@jjmeliyo4625
@jjmeliyo4625 4 жыл бұрын
Jembe
@mwinyichandeyassin9610
@mwinyichandeyassin9610 2 жыл бұрын
hayo yote yalikuwa kichwan mwamba alikuwa bright enough mwamba apumzike kwa aman
@iddihassan6602
@iddihassan6602 4 жыл бұрын
Jpm mzee atausipo fanya kampini we ndie raisi wetu Wala mzee usiangaike baba umeshapita jiandae kuapa kikatiba
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
na kweli amepita
@georgewilliam6001
@georgewilliam6001 3 жыл бұрын
Dah namuona na Kijazi
@temkezatv4381
@temkezatv4381 4 жыл бұрын
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@mashamasha2854
@mashamasha2854 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
acha usengekuma we
@michaelmachiya3308
@michaelmachiya3308 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani
@ciarmnyone738
@ciarmnyone738 2 жыл бұрын
😂😂hili kot alilitunzaaa......
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Rip
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 111 М.
LIVE: MAGUFULI AMKATAZA MKURUGENZI KUONGEA KIINGEREZA "NITAKIFUNGA"
23:26
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 18 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 50 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 626 М.
Mwalimu wa kwanza wa John Magufuli, Cornel Pastory
18:28
Quadroonq Quadro
Рет қаралды 10 М.
KIPINDI CHA ZIARA YA MHE RAIS DKT MAGUFULI   KAHAMA JULAI 31,2016
26:32
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 14 М.
MAGUFULI ALIPOKATAA KUIPOKEA BARABARA YA KILWA (KM 5.1)
7:19
Malili Migongwa
Рет қаралды 126 М.