Makonda uko vyema ❤ mungu akuinue akuwekejuu mpendwa wangu IRA nikuombe kitu mungu akikuinua wasaidie watanzania Kwa moyo
@marcokaroje89803 ай бұрын
Mbona salaam zake hajasema CCM hoyee anajisahau sana Makonda
@YusufSwaibu3 ай бұрын
Uko vzr Sana mwenezi unamaono pia pasua natumai wamekuelewa mama piga kz Yuko Bega Kwa Bega na ww Mungu akujalie afya njema ili utuongoze ktk kipindi kingine cha miaka 5 na Mungu wetu atajalia hilo sioni kabisa MTU yyte anayeweza kushindana na ww njia nyeupe mama atakaye subutu atayeyuka km mshumaa mwisho Mwenyezi Mungu ajalie ujumbe huu
@usembiphonedar56323 ай бұрын
Chawa utamjua tu
@user-ih1pk1vs4q3 ай бұрын
Mpeni urais muone kirakachotokea hamtasahau
@user-pb1em7lk2v3 ай бұрын
Kwa Kodi za watanganyika
@user-wc5iq1jt2t3 ай бұрын
Mmeridhika na hotuba hiyo?
@westmanmoses5413 ай бұрын
IKO Vzr na imetulia
@makongorowassira65933 ай бұрын
Uchawa tu, kumtaja sio issue ni ile kila siku imekuwa kama ni sara vile