MAKONDA ASHINDWA KUJIZUIA KISA CHA KUSIKITISHA "NIMEUGUA MARADHI YA MOYO KISA MADENI"

  Рет қаралды 3,193

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 19
@SadikiDjumaine-f1k
@SadikiDjumaine-f1k Ай бұрын
Bro uko na roho nzuri kabisa yenye Imani ya kweli kabisa weye siyo mnafiki wapige spana broooo mkono wa Mungu uko juyako😢😢
@berthatz
@berthatz 3 ай бұрын
Nchi hii kuna watu wanaonewa jamani😢..Makonda kaka yangu Mungu akupe nguvu na hekima usaidie wananchi hawa.
@kilungahamis1270
@kilungahamis1270 3 ай бұрын
Ee Mwenyezi Mungu Kuna msemo wa kiswahili wanasema chema hakidumu. Lkn kwa Makonda Mwenyezi Mungu amjaalie umri mrefu aendelee kuishi. Huyu kiongozi ni mtu na nusu. Ucha Mungu pia upo ndani yake.
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 3 ай бұрын
Pole sana mpambanaji mwenzetu, jipe moyo. Mungu yupo upande wako
@marykiswaga7409
@marykiswaga7409 3 ай бұрын
Makonda Mungu akupe hekima nyingi sana pia pole majukumu unayo
@HASHIM-rt4mf
@HASHIM-rt4mf 3 ай бұрын
Mungu atasimama naww ipo siku utakuwa rais One day
@ally1702
@ally1702 3 ай бұрын
Jambo tv ebu naomba uyu jamaa mumtafute tena kujua kaishia wapi mana dah inauma kupita kiasi
@amiribakari2528
@amiribakari2528 3 ай бұрын
Du aisee pole sana
@marykirigiti203
@marykirigiti203 3 ай бұрын
nimejukuta ninatokwa na machoz pole kaka makonda ipo sk utakuwa kiongozi mkubwa nchi hii una utu ndani ya moyo wako pole mpaka machozi yanamtoka kiongozi
@user-fl7jl7vk3n
@user-fl7jl7vk3n 3 ай бұрын
Hali tete pole sana mungu atakusaidia tu
@edinalihedule7609
@edinalihedule7609 3 ай бұрын
😢😢
@navokisembo
@navokisembo 3 ай бұрын
Duh Tanzania hii kweli mtu utapata maradhi au ufe buree kWa jasho lako jamani eeeh Mola saidia
@cosmasdaudgwemela6046
@cosmasdaudgwemela6046 3 ай бұрын
Nakuombea Kwa MUNGU siku moja uwe Rais wa nchi yetu mana nchi yetu imemezwa na mafisadi kila Kona haki imebaki Kwa wenye vyeo selikalin na ilala sisi wanyonge hatuna haki kabisa
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb 3 ай бұрын
Wanataka watu wanaodai fedha zao ili wazigawane! Wamejaa laana kabisa!!
@beatrcidavid3318
@beatrcidavid3318 3 ай бұрын
Huyu mkurugenz afutwe kazi tu watu wanaumia san
@amiribakari2528
@amiribakari2528 3 ай бұрын
Huyu mkurugenzi ni tatizooo
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 3 ай бұрын
Pyscopath
@happymrema7487
@happymrema7487 3 ай бұрын
Duuu inasikita
@GodMushi-vm2bo
@GodMushi-vm2bo 3 ай бұрын
2030 Anafa
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 42 М.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 26 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 202 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 26 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 26 МЛН