MAKUNDI YA WANANCHI PEMBA YAMTOA MACHOZI BOPAR

  Рет қаралды 12,846

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 47
@hamidahnassoro-12
@hamidahnassoro-12 8 ай бұрын
Yaa rabbi mungu anijaalie nami siku moja niwe miongoni mwa wanaotoa sadaka hata kidg kwa uwezo taojaaliwa na allah
@ridhiwanikibonge793
@ridhiwanikibonge793 8 ай бұрын
Allahumma aaamiina
@YakubuMuhammed-o5q
@YakubuMuhammed-o5q 8 ай бұрын
Maashaa llah cc watu wa chanjani ChakeChake duwa tunakuombea inshaalla Allah awafahamishe wengine ambao wanakuzidi na unaowazidi Kwa uwezo watoe na Tunakudhania kheri
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 8 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah tabarakya llah Allah akuruzuku afya na uzima na akulipe kheri nyingi nasi watu wa Kuungeni pia tunatoa shukran zetu za dhati tukiongozwa na Sheikh wetu Mohammed bin Suleiman Altiwany kwa kweli hatuna la kutulipa ila tunakuombea maisha mema hapa duniani na Akhera
@faizanassor6336
@faizanassor6336 8 ай бұрын
MASHAA ALLAH kwa kutengeneza akhera yako ALLAH BARQI zaidi ya hayo unayo yafanya THUMMA AMIN
@lusakaone7782
@lusakaone7782 8 ай бұрын
Subhanallah hii ni kuonyesha waziwazi ya kwamba UMASIKINI UMEZIDI.
@kunuzaljannah506
@kunuzaljannah506 8 ай бұрын
Kila mahali kuna Umaskini hata ulaya utapata wazungu ni mahomless yaani hawana nyumba wanalala nje muhimu ni kusaidia kama mwenyezi mungu Amekupa utajiri kama kila Tajiri Atatoa kiukweli maskini watapungua
@lusakaone7782
@lusakaone7782 8 ай бұрын
@@kunuzaljannah506 Sijakuelewa unakusudia nn kuwa positive brother, kama huna cha kuchangia kaa kimya.
@jumaahmadi
@jumaahmadi 8 ай бұрын
Allah awalipe inshallah awazidishie nalia na matajir wote dunia Allah atawauza juu ya ndgu zao waislam
@AminaAli-fy5sk
@AminaAli-fy5sk 8 ай бұрын
Mashallah Allah atakulipa ujira wako allah akupe umri mrefu
@Allybinamour
@Allybinamour 8 ай бұрын
tunamuomba bopar afike na hapo makoongwe.sehem nyingi misaada inafika lakini makoongwe inasahauliwa. allah amhifadhi said bopar.😊
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman 8 ай бұрын
Assalaam alaikum ningependa bwana Said wetu, kijiji cha Mkungu kengeja asiwasahau apite kwani wakazi wa hapo nao hali zao si mzuri idadi yao ni nyumba kama 60 hivi. Allah akutilie barka na neema zaid katika mali yako
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 8 ай бұрын
MASHA ALLAH JAZAKALLAH LKHEIRAN ❤❤❤❤
@bushraaljadidi7747
@bushraaljadidi7747 8 ай бұрын
ما شاء الله تبارك الرحمن.الله يحفظك ويسعدك في الدنيا والآخرة
@MaryamIssaAbdalla-og5wc
@MaryamIssaAbdalla-og5wc 8 ай бұрын
Allah ambareek zaid In Shaa Allah
@abkhamsalshamte429
@abkhamsalshamte429 8 ай бұрын
Barrakaallah yani akiongea shekh bopari utataman Asiache kuongea. Matajirj toweni zaka musfanyemashara mutakuja kujuta na hio lazima itokee. Lau wangejua ujuzi wa yakini basi wengili shindana kutoa zaka na sandaka. Mungua atuongeze juu ya kuyatenda mema.
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 8 ай бұрын
Njama za ccm kutia njaa Zanzibar na zaidi Pemba kwahilo wamefanikiwa wajiandae kutuuwa na kutupinduwa tena na kuendelea kututia njaa tena mpaka watakapo tosheka..
@omarshaban4735
@omarshaban4735 8 ай бұрын
Masha Allah ❤
@gangmore9091
@gangmore9091 8 ай бұрын
Wakitoka hapo wakapige zogo wakija Ccm mtihani mkubwa umaskini umekisiri Zanzibar kila mtu atahukumiwa alichokichuma insha Allah
@princesaha3262
@princesaha3262 8 ай бұрын
Maashaallah!! Allah atakulipa Bopar
@IssaIra-j9u
@IssaIra-j9u 8 ай бұрын
Kesho ndo Allah atajuwa yaliyomo Ndani ya vifua vyetu; Tuacheni riya
@rasadsaid1818
@rasadsaid1818 8 ай бұрын
MashaLLAH Tabaaraka
@MisMona-oo6zk
@MisMona-oo6zk 8 ай бұрын
Mashaallah kaka mungu atakupa zaidi
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 8 ай бұрын
Allah s w akulipe heri
@rushydahmed9179
@rushydahmed9179 8 ай бұрын
zanzibar inahitaji uongozi wa kweli ili kuiokoa zanzibar. kila siku zikenda mbele watu wanadidimia kwenye ufukara.
@abdillahkhalid738
@abdillahkhalid738 8 ай бұрын
Mashallah Allah awazidishie na Awalipe kher
@VORTEXAF
@VORTEXAF 8 ай бұрын
Wengine tuliokosa tunatamani wengine wajitokeze na sie tupate sadaka
@IssaIra-j9u
@IssaIra-j9u 8 ай бұрын
Usiwaeke kwenye midia
@MohammedAdam-s4r
@MohammedAdam-s4r 8 ай бұрын
C kweli
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 8 ай бұрын
Mbona Serikali yetu haitoi hiyo Misaada au Kwa Tajiri Bopar peke yake hakuna wengine Kila mmoja ni mchunga na ataulizwa alichokichunga tukumbukeni Na Mauti Jamani munajikushanyia Mali hata Sadaka hamutowi
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 8 ай бұрын
Msisahau ndugu wenu kwa uslaam huko gaza wanauliwa kinyama namayahudi NA wazungu na ku bomolewa nyumba zao yote ili mradi wazidi kuteka nchi zaidi ya kiislaam na hata masjid alagsa hao wana njaa wanakula majani
@AliyussufMakame-js5dp
@AliyussufMakame-js5dp 8 ай бұрын
Maisha magumu matajiri wa kipemba mpo wengi mujitokeze kusaidia
@FatmaKombo-y8e
@FatmaKombo-y8e 8 ай бұрын
Mashaallah. Mbona huku kwetu msaada haufikiiiiii? Mmm nipo pemba katika Kijiji cha mgogoni shehia ya mgogoni na sisi tunaomba tuletewe huo msaada
@aliy3303
@aliy3303 8 ай бұрын
Muombee dua ipo vku atailisha pemba yote
@OmarBaraka-b4q
@OmarBaraka-b4q 8 ай бұрын
Alahh Atakulipa Kwa Wema wako
@MassoudAbdalla-v9g
@MassoudAbdalla-v9g 8 ай бұрын
Dar emungu tujalie na sie tuweze kupata uwezo na kuasaidia wengine
@FatmaKombo-y8e
@FatmaKombo-y8e 8 ай бұрын
Na sisi tunaomba utusaidie tupo hapa hapa pemba katika Kijiji cha mgogoni shehia ya mgogoni Jimbo la wawi tunaomba na sisi tupewe huo msaada
@SleepyChocolateBonbons-ib6hv
@SleepyChocolateBonbons-ib6hv 8 ай бұрын
mtangazaj wetu sasakatowek rashd ila wacha tumsikilz hadija jumaa mwanangu
@SelemaniDowile-mk1wm
@SelemaniDowile-mk1wm 8 ай бұрын
Sasa Mimi nikajua hiii serikali nayo inatowa misaaada kumbe ni wasismamiz tu wao ndio wanyonge ama vpi ???
@mbaroukseif3409
@mbaroukseif3409 8 ай бұрын
Mbora mfanye siku za mwisho za shaaban
@OmanOman-gu1wy
@OmanOman-gu1wy 8 ай бұрын
Ten fursha kubwa
@VORTEXAF
@VORTEXAF 8 ай бұрын
Na kazi hii bora ìwe mwezi wa Shaaban ili mwezi wa Ramadhan mupumzike
@saidnassor6532
@saidnassor6532 8 ай бұрын
Asalam alaikum mimi nataka nifanye hivo lakini contener zinakuwa zinachelewa
@IssaIra-j9u
@IssaIra-j9u 8 ай бұрын
Acha Riya .usipost .
@kunuzaljannah506
@kunuzaljannah506 8 ай бұрын
Hakuna Riya hapa sadaka waeza toa kwa siri na dhahiri
@kunuzaljannah506
@kunuzaljannah506 8 ай бұрын
Kwani wewe ni mwenyezi mungu wajua nia yake ama moyo wake
Subhanallah!Namna Mji wa Sodoma ulivyo leo hii
10:35
Kalamutz
Рет қаралды 32 М.
Creative Justice at the Checkout: Bananas and Eggs Showdown #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 8 МЛН
ТЮРЕМЩИК В БОКСЕ! #shorts
00:58
HARD_MMA
Рет қаралды 2,7 МЛН
МЕНЯ УКУСИЛ ПАУК #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
SASA HII NDIO PEMBA MPYA
11:16
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 4,6 М.
NIOKOE, USINIACHE NITEKETEE
10:47
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 19 М.
MTOTO KUMTELEKEZA MZAZI WAKE KWELI NI SAWA?
15:26
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 2,3 М.
Kivumbi
9:40
Tamthilia za pwani official
Рет қаралды 7 М.
SURA MPYA YA MAMA ALIYEKUA ANAISHI CHINI YA MTI
7:57
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 12 М.
MFAHAMU MUUZA SUPU ALIYEIBUKA KUWA BILIONEA
38:24
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 35 М.
MAISHA YA MAMA ANAYELALA CHINI YA MTI NA WATOTO SITA NDANI YA RAMADHANIÅ
9:40
Dato Ingat Dato Malaikat Ke, Padu Ayob Khan SOUND Golongan Atasan
16:45