No video

Mama Mzazi wa Nabii Mkuu Dr. GeorDavie athibitisha mwanae alivyoanza Unabii akiwa mtoto.

  Рет қаралды 105,308

GeorDavie TV

GeorDavie TV

Күн бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Пікірлер: 188
@mollelemanuel4659
@mollelemanuel4659 9 ай бұрын
Ubarikiwe mno mama .... Baba Nabii mkuu namkumbali sana ni mtu wa Mungu kweli kweli....
@neemamatiko3745
@neemamatiko3745 8 ай бұрын
Mama ni lweli anaxhokisema shetani nae huiba watu ambao Mungu huweka vitu ndani yao
@rachellaiza7779
@rachellaiza7779 2 жыл бұрын
Mama kijana sana hakika wanaomtumaini Mungu a Wanapewa ujana kama tai nabii amefanana na mama mzazi waoookk
@JoeNdungu-co2re
@JoeNdungu-co2re 4 ай бұрын
This is awesome seeing Nabii for the first time. Powerful testimony
@josephakure6743
@josephakure6743 Жыл бұрын
Jina la Mwenyezi Mungu itukuzwe na indumu milele.Amen.......................
@aulelichuma4114
@aulelichuma4114 Жыл бұрын
Hongera mama kwa kutunza kumbukumbu Safi Sana maana wengekua wengine wacnge kumbuka chochote
@rechosamwel241
@rechosamwel241 8 ай бұрын
Hongera bibi Kwa kukamilisha ndoto ya nabii mana isingekua ww kumpa saport huendaa asingefika hapo mungu akubariki aakupe miaka mingiiiiiiiiiiiiiii isiyo na mateso mana ulifanya kazi ya mungu nasema hv kwasababu wazaz wengine wanaharibu ndoto za watoto wao mungu akubariki my mom mm siyo wa ngurumo ya upako ila nafamilia sana nimebarikiwa
@balancedviewpoint7418
@balancedviewpoint7418 2 жыл бұрын
Waaah, they resemble sana. I thought his skin is bleaching kumbe ni natural skin yake. Big up Nabii mkuu.
@vj8313
@vj8313 2 жыл бұрын
Kwakweli raha sana kupiga story na bibi yani nimejifeel kama nasikiliza hadith za ukweli kutoka kwa bibi , luv u bibi 😍
@adieljoshua640
@adieljoshua640 7 ай бұрын
Polen sana watu wa geordev
@mch.gregorymtweve864
@mch.gregorymtweve864 8 ай бұрын
Asante sana kwa ushuhuda. Barikiwe sana.....
@evamringo3071
@evamringo3071 2 жыл бұрын
Shalom.. kwa Yesu kila goti litapigwa na kila ulimi utakir ya kuwa Yesu ni Bwan na mwokoz wa Mataifa yote.. mwenye masikio na asikie.. amen
@user-eo5qo7iz1q
@user-eo5qo7iz1q 8 ай бұрын
Alianza kutumika akiwa mdogo I wish wazazi wangekuwa more sobber in spirit..
@Siti_maroneit
@Siti_maroneit 2 жыл бұрын
Nimemoenda sana bibi yetu wa kiroho anamemory nzuri sana. Woow🤩👏👏👏👏Mungu Malindi ampe maisha mema na marefu kwa jina la Yesu
@chalessabaya2938
@chalessabaya2938 2 жыл бұрын
inaonyesha Baba anamtunza sana Bibi yetu mbn amengaa
@mkalisimbatv1915
@mkalisimbatv1915 2 жыл бұрын
MUNGU atupe fedha tuwatunze wazazi wetu
@jamesobedy3687
@jamesobedy3687 2 жыл бұрын
pesa imejaa ndio maana
@revenantyfoya911
@revenantyfoya911 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana nikisikiliza maubiri yako ubarikiwe sana mtumishi
@ibrahimsokoine
@ibrahimsokoine Жыл бұрын
Barikiwa sana mama
@brother_majesty
@brother_majesty 2 жыл бұрын
Much Love to our Grandmother...............Wababa ndio hawashuhudiagi mazuri ya watoto wao lol
@greenermichael2057
@greenermichael2057 2 жыл бұрын
Oooh so emotional Nabii anajiona mtoto Kwa muda jaman nmefurahi jaman mom Mungu akutunze
@felisianathadei5403
@felisianathadei5403 2 жыл бұрын
Honera sana mama yetu mpendwa sana kwa ushuda.mkubwa mno mungu Kibariki sana mama yetu
@marygregory7566
@marygregory7566 2 жыл бұрын
Na mimi leo namuomba Mungu watoto wangu wawe watumishi wake
@lilliankathure9812
@lilliankathure9812 2 жыл бұрын
Aqi mam thanks to your blessed son mungu Wa mbinguni amtie nguvu
@restypeter1141
@restypeter1141 2 жыл бұрын
Chaiii mdogo sna beautiful mom ametuzalia mtu mwema sna 🙏🙏🙏
@kendimutunga
@kendimutunga 2 жыл бұрын
Great testemony
@johnmoses4573
@johnmoses4573 2 жыл бұрын
Gghc Hgjhjvbj
@johnmoses4573
@johnmoses4573 2 жыл бұрын
@@kendimutunga dnjy we jjk
@johnmoses4573
@johnmoses4573 2 жыл бұрын
Kkytyfnkhb
@sweetylyimo3462
@sweetylyimo3462 2 жыл бұрын
Mama kijana ,mrembo basi,nimempenda very smart,anajieleza vzr kweli Nabii amechaguliwa na mungu ona mama anavyotoa shuhudu jmani,kumbe mtoto Nabii geordavie ni malaika eee mungu wa mbinguni mtunze huyu baba na biii
@joaoantonio155
@joaoantonio155 2 жыл бұрын
Asante mama.
@frankmnale1900
@frankmnale1900 2 жыл бұрын
Pole sana mama iponye roho yako mwenyewe, mwanao kashaa potezwa katika njia za Kristo Yesu yuko anamtumikia shetani sasa hayo maruweruwe ambayo yalikuwa yanafanywa na shetani tu ....anaye tumwa na KRISTO YESU lazima aambatane na ishara na uthibitisho wake mwenyewe mbele ya mataifa, MAMA, IPONYE ROHO YAKO MWENYEWE.
@floramongi1410
@floramongi1410 8 ай бұрын
Frank umeongea vema mbona anafanya mambo tofauti nabiblia? Maana yake shetani alianza kumtumia back mdogo
@enizemwayingatv5196
@enizemwayingatv5196 2 жыл бұрын
Hongera sana jamani Baba kwakuwa namama mzuri MUNGU AIBARIKI SANA MAISHA YAKE AMPE MAISHA MALEFU SANA
@dainessmalangalila466
@dainessmalangalila466 7 ай бұрын
Mimi si mkubari hata kidogo kwani history ni nini roho yangu inauma Sana na najikuta mwenye huzuni watu hao uliojaza kanisa unawapeleka wapi joedev wewe Mungu anakuona utajibu Nini kwa Mungu wako siku iliulizwa wewe umebeba maelfu kwa maelufu ya watu ole wako ndugu Mungu anakuona iseme kweli ya Mungu hizo roho utakuja kuulizwa wewe
@nessa4899
@nessa4899 2 жыл бұрын
Amen, What a great woman of God. Bila wewe tusinge mjua Nabii mkuu, ulipanda mbegu na uka tengeneza njia nae Nabii mkuu akaifuata. Ubarikiwe sana mama Nabii Geor davie.
@s0phialwassa574
@s0phialwassa574 2 жыл бұрын
Huyu mama mbona kijana sana yani hii yote ni kumtegemea Mungu huzeeki
@Minsirerickjuniorofficial1272
@Minsirerickjuniorofficial1272 2 жыл бұрын
Mama say it all from heart, you open people heart and everyone to understand for true this is the servant of God send by God to save the world
@beatriceonyango4313
@beatriceonyango4313 2 жыл бұрын
Very touching testimony Amen
@janetnyabitanga9087
@janetnyabitanga9087 2 жыл бұрын
Jamani nani kama mama mungu mukuu
@kendimutunga
@kendimutunga 2 жыл бұрын
This beautiful and amazing for mother to testify the goodness of God in his son
@elizerbethmichael2435
@elizerbethmichael2435 2 жыл бұрын
Amina mama
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 8 ай бұрын
Mama epuka mapambo aina zote katika mwili wako, msikilize Roho Mtakatifu akufundishd kweli yote kwa unyenyekevu.
@janetkaingu7038
@janetkaingu7038 2 жыл бұрын
Aaamen,mtabiri wetu sasa amekuwa Mungu ampe uwezo zaidi
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Жыл бұрын
Jamani miujiza Nabii ubarikiwe sana
@JacklineJohn-qj1qx
@JacklineJohn-qj1qx 4 ай бұрын
Mama umejaliwa kweli 🎉
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 8 ай бұрын
Mungu Akubariki Sana mama , Hongera sn kupewa Mwana Mwema.🙏
@dainessmalangalila466
@dainessmalangalila466 7 ай бұрын
Naomba Mungu awafungue macho ya rohoni kwanza okokeni mmkiri yesu kuwa Bwana na mokozi wenu sio huyo mmmwmanadamu mnae msujudu mmjue Mungu wa kweli
@adieljoshua640
@adieljoshua640 7 ай бұрын
Kweli kbs hao wenzetu wamepotea njia
@possiepondie6538
@possiepondie6538 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana mama David
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 2 жыл бұрын
Hadi raha jamani .Mama bado ni mbichi kabisa halafu naye ni mtumishi dah hii ni baraka Sana nabii mkuu🙏🙏🙏.
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 2 жыл бұрын
Humo kanisani wanaume wanaruhusiwa kuvaa kofia,dah! Hii nayo kali ya mwaka
@lilliankathure9812
@lilliankathure9812 2 жыл бұрын
Thanks to God,God bless you pastor godave
@mugishajohansen9619
@mugishajohansen9619 2 жыл бұрын
Asante Bibi,asante Baba tumebarikiwa
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 2 жыл бұрын
Mama Bado kijana
@salomemassawe
@salomemassawe Жыл бұрын
wewe Mungu tusamehe
@Ngwamampha
@Ngwamampha Жыл бұрын
You were predestined prophet of God
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 жыл бұрын
Oooh, mama yetu mpendwa. Tunakupenda upeo. EEE MUNGU wa ajabu, ajuaye SIRINI. Mama huyu ulimpatia mwana NAYE atuinue SISI wanyonge na kutuhurumia KILA wakati tunapomfuata madhabahuni NYU Kisongo kimbilio la rika zote, TAASISI ZOTE ARUSHA yetu na Tanzania YETU na nje ya mipaka. Uishi miaka shibe mama na mwanao ,DR. GEORDAVIE, NABII MKUU. NINAMSHUKURU MUNGU MIMI NA FAMILIA YANGU KABISA!! AMINA×7×70.
@puissancemumbere2028
@puissancemumbere2028 Жыл бұрын
Mungu ana tumikisha mwana damu Nani watu kama yule ata mimi nikawa Mutiifu kwabwana yesu nitakuwa kayule
@josephmasanja100
@josephmasanja100 2 жыл бұрын
Asante MUNGU 🙏🙏 naomba namba ya nabii mkuu
@helentelemla5623
@helentelemla5623 2 жыл бұрын
Mama Geordavie umeni chekesha hapo kwenye kinanda.
@sanyajuutv2679
@sanyajuutv2679 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mama yetu
@tukyaclassic-xm1qd
@tukyaclassic-xm1qd Жыл бұрын
Mama umeleta kiumbe Cha ajabu sana dunia bora mzee angevaa kondomu! Maana kinapotosha kondoo wa bwana
@annasolomon9855
@annasolomon9855 8 ай бұрын
Mmh, huwezi pendwa na wote.. hayo pia ni mawazo yako 😅😅
@jaffarymmbagah6045
@jaffarymmbagah6045 2 жыл бұрын
Mwalimu wa Walimu ..🙏🏾🙏🏾😘
@samwelijohn5547
@samwelijohn5547 2 жыл бұрын
Hongera mama mza chema
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 Жыл бұрын
Babu K🤣 Huyu bibi ni noma sana
@evangelistmcsarahmvungi3626
@evangelistmcsarahmvungi3626 2 жыл бұрын
Huyu ni mpakwa mafuta wa Bwana Yesu asizeeke
@vailethkinabo7961
@vailethkinabo7961 2 жыл бұрын
Hongera sana mama mzaa chema
@fanikiomisigaronyamuvugwa9937
@fanikiomisigaronyamuvugwa9937 2 жыл бұрын
Du! Kwa hiyo hapo ndipo alipoanzia kuwa nabii Mkuu.
@ismailmwakabelele2393
@ismailmwakabelele2393 8 ай бұрын
Mama ubarikiwe
@emoalembe4790
@emoalembe4790 2 жыл бұрын
Nifurahia huo ushuhuda wa mama ume nielewesha hii huduma ilitoka wapi.
@floraflora5717
@floraflora5717 8 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana Mungu akubariki
@filamubomba
@filamubomba 2 жыл бұрын
Fantastic indeed GOD is conducive all the time.
@evabikabhai1861
@evabikabhai1861 2 жыл бұрын
Mungu alimwandaa Mtumishi wake tangu tumboni Mwa mama yake. Glory to God
@stellahbosibori2968
@stellahbosibori2968 2 жыл бұрын
Mama ambarikiwa sana looking young and beautiful glory to God
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@marygoshashy2220
@marygoshashy2220 2 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@fatumajuma3284
@fatumajuma3284 Жыл бұрын
Bwana asifiwe
@erickbenjamini8154
@erickbenjamini8154 2 жыл бұрын
Mungu amekupaka mafuta juu ya watu wake
@angelalaizer3895
@angelalaizer3895 2 жыл бұрын
Nimeipenda Hii mnooooo.
@user-bk4dr8dd5g
@user-bk4dr8dd5g 4 ай бұрын
Mama ni mrembo anaonekana kam kijana
@amiriforjesus8689
@amiriforjesus8689 2 жыл бұрын
Eeeeeeeemeeeeen barikiwa sana mama
@rehemasunday5623
@rehemasunday5623 Жыл бұрын
acheni kumchafua nabii niwaukweli mimi nimepona mengi siwezi hata simulia
@janatabdo9476
@janatabdo9476 2 жыл бұрын
Hallelujah Praise the Lord.
@levisremmy1277
@levisremmy1277 Жыл бұрын
Bwana asifiwe sana Mama mzuri kama mwanae mbarikiwe sana nawapenda.
@jenamimmdendu3264
@jenamimmdendu3264 Жыл бұрын
This is amazing!
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 жыл бұрын
Hongera mama kwa mwanao anaokoa watu na tunampenda sana.
@janethngowi1058
@janethngowi1058 2 жыл бұрын
Mama bd kijana sanaa
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 Жыл бұрын
Nimzee ilapesa mzee
@evelynochola4743
@evelynochola4743 7 ай бұрын
The truth is with you and God.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
,,,,,,, Vikapu vya sadaka si vipo vya kutosha hapo?
@deogratiusdesderius7053
@deogratiusdesderius7053 2 жыл бұрын
UMEKUZA MAMA,HAKIKA MUNGU ALIWEKEZA CHEMA KWAKO,UBARIKIWE SANA
@bishopgeorgemao999
@bishopgeorgemao999 2 жыл бұрын
Hio nimebarikiwa sana
@kayitesikayitare1844
@kayitesikayitare1844 Жыл бұрын
Amina mama
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 8 ай бұрын
Hivi zumaridi siku hizi yupo wapi
@petermollel1471
@petermollel1471 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mama
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 2 жыл бұрын
Ila kusema umemuona yesu akakupa ufunguo umetupiga na kizito kichwani
@sleymohamed3825
@sleymohamed3825 2 жыл бұрын
😂
@revenantyfoya911
@revenantyfoya911 Жыл бұрын
Ufunguo kaupata kwenye ndoto hiyo inatokeaga mbona kwenye ndoto na ss ufunguo huo unafanya kazi yake ss ubarikiwe baba nami mwaka huu ufunguo huo unifungulie na mm ktk maisha yangu Amen
@marthakimia4075
@marthakimia4075 2 жыл бұрын
Una Raha ajabu in Jesus's Name
@learnswahiliwithfestus
@learnswahiliwithfestus 2 жыл бұрын
Ubarikiwe bibi yetu
@nelsonmrutu371
@nelsonmrutu371 2 жыл бұрын
Mama wa Nabii Mkuu Dr.GeorDavie 🙏
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 Жыл бұрын
Wanaomponda Nabii Geordave wana mapepo sugu ya chuki na watanzania wengi tumezoea kuponda ponda tu watu wanaofanya mazuri huo nao ni aina ya uchawi
@janetkaingu7038
@janetkaingu7038 2 жыл бұрын
Eeeeeeemen haleluia, mtoto mubarikiwa abarikiwe saaana Mungu azidi kumpa kipaji
@brigitmutua9357
@brigitmutua9357 Жыл бұрын
Ako wapi huyu mutumishi
@julisasatoti6450
@julisasatoti6450 2 жыл бұрын
Nakuba nikuhite baba wakiro NABI muku
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr Жыл бұрын
mbona yeye ana zeeka mama yake kijana
@pendaelikiula3777
@pendaelikiula3777 7 ай бұрын
Songela mzaa chema.
@janetkaingu7038
@janetkaingu7038 2 жыл бұрын
Chekeshaaa sana,mshangao mkubwa Baba yetu Nabii mkubwa
@winniealbert5530
@winniealbert5530 2 жыл бұрын
Halleluja Halleluja Halleluja🙏🏼🙏🏼🙏🏼❤❤❤.prais our LORD Always Asante sana Mamma 🙏🏼❤🙏🏼
@mackmneneiy7284
@mackmneneiy7284 2 жыл бұрын
Hongera sana Mama yangu nakupa🇹🇿 haleluya amen.
@kendimutunga
@kendimutunga 2 жыл бұрын
More grace sir
@ahmednoor1412
@ahmednoor1412 2 жыл бұрын
Mungu hachezewi ipo siku
@jacobnghwali4531
@jacobnghwali4531 Жыл бұрын
We mpumbavu nini?
@angelicamomoya7682
@angelicamomoya7682 2 жыл бұрын
God is great❤️🙏
@isacklyanga1250
@isacklyanga1250 Жыл бұрын
Mama Kasambale,mama yetu.
@sweetylyimo3462
@sweetylyimo3462 2 жыл бұрын
Kidagu,🙏🙏🙏
@belindakabona4026
@belindakabona4026 2 жыл бұрын
Nabii mkuu naomba niombee ninaumwa
@emmanuelmfwomi9112
@emmanuelmfwomi9112 Жыл бұрын
Halafu mother mwenyewe kakaa kisomi
@hilaliusjohn8386
@hilaliusjohn8386 8 ай бұрын
Huyu mama ni msaniii
Maneno Mabaya Yanavyoweza Kuharibu Maisha Yako
14:55
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 8 М.
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 10 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 26 МЛН
AFUNGULIWA NA KUTENGWA NA NDOA YA KIROHO (FULL VIDEO HD)
24:00
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 73 М.
MNAOWEKA PIKO KICHWANI,SIKILIZENI USHUHUDA HUU, KILICHOMTOKEA JESCA. Sambaza Ujumbe huu.
41:08
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 371 М.