"MASWALI 7: KWA NINI BAKWATA PEKEE IWE YENYE MAMLAKA JUU YA WAISLAMU TANZANIA? SHEIKH MUHAMMAD ISSA

  Рет қаралды 3,553

HAYATUL IIMAAN MAISHA YA KIIMANI

HAYATUL IIMAAN MAISHA YA KIIMANI

Күн бұрын

MCHAMBUZI WA KIMATAIFA. Mnamo tarehe 20 Juni 2024, Msajili wa Jumuiya za Kiraia Alitoa Kauli kwamba Serikali inaitambua BAKWATA tu kama Chombo cha Kuwawakilisha Waislamu Tanzania. Fuatilia Maswali 7 ya Msingi Upate Kufahamu KULIKONI? Huu ni Mwendelezo wa Ombi la Mufti wa Bakwata na Baraza la Ulamaa la Bakwata Waloiomba Serikali Iwadhibiti Wanaosemekana "Kutaka Kupora Mamlaka ya Bakwata"

Пікірлер: 88
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 3 ай бұрын
اللهم كفناهم بما شإت، اللهم كفناهم بما شإت، اللهم كفناهم بما شإت.
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 3 ай бұрын
حسبما الله ونعم الوكيل .
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 3 ай бұрын
Bakwata ni baranchi ya kanisa katoliki. Tunalijua hilo
@MkindiJujan
@MkindiJujan 3 ай бұрын
Hili jambo like sawa iombwe mahakama kutoa tafsiri ya ibara husika katika katiba ya Bakwata na katiba ya mabaraza menngine katika uislam hadhi ikojeeeeee
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 3 ай бұрын
Hakuna taasisi yoyote inayoweza kupata usajili serikalini bila ya kufuata masharti ya serikali. Na ndio maana nasema taasisi sio dini.
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 3 ай бұрын
Ndio maana nasema taasisi sio uislam ( narekebisha).
@omarsuleiman9064
@omarsuleiman9064 3 ай бұрын
Hiz halakat kwasasa hazifai shekhe mohammed hazitusaidiii sisi zaid zinatutoa kwenye msitary
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 3 ай бұрын
Umemsikiliza vizuri shekh au unaropoka tu? Unaposema hazitufai sema wewe ndo na majihil wenzako ndo hazikufaeni lakini kwa waislamu wa Tanzania zina msaada mkubwa kuliko hilo baraza la bakwata lililoundwa na asiyekuwa mwislamu.
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 ай бұрын
😂Allah akuhifadh shekh Suala hili la Ugaidi limelengaa dini moja tu Tz Mm toka niamze kulata akili ya kujua baya na ziri sujawah sikia Ghaidi mchungaji au Askof Halaf mnasema Kuna Balaza la waislam Tanzania( Bakwata) Mm nasema Bakwata tuipinhe tu tuandamane kama kenya gaituitaki Bakwata ! na ofisi zao zote tuichomeee moto it should on ablaze
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
@@twaibumikidadi7377 Andaman basi tukuone.
@abdallahshelufumo4602
@abdallahshelufumo4602 3 ай бұрын
Kwani nyinyi mna malengo gani mpk na nyinyi mnataka mpewe mamlaka???
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si 3 ай бұрын
Wanajenge shule wanajenga hospital bakwata wana Nini taja
@nuhhungaso8091
@nuhhungaso8091 3 ай бұрын
Swali Langu moja tu ulikua katibu wa barihiyani mlikosania nini?
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui 3 ай бұрын
MOH ISSA USIPOTOSHE WATU HAZIJAKATAZWA TAASISI NYENGINE KINACHOSEMWA KUWEPO NAUTARATIBU WAUONGOZ
@Nywesha
@Nywesha 3 ай бұрын
Utaratibu upi uliokiukwa na tasisi zisizo bakwata acha ubwege
@Nywesha
@Nywesha 3 ай бұрын
Bakwata is churches branch stpid
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
@@Ibunmaulanashirazy-sn5ui TUONDOE BAKWATA TUEKE UYAHUDI WA TAWHEE TATU (UWAHABIA) NA MUNGU MWENYE VIUNGO.
@abdallahshelufumo4602
@abdallahshelufumo4602 3 ай бұрын
Kwahiyo nyinyi mnataka WAISLAMU Tanzania iwe CHINI ya BASUTA???
@abdallahshelufumo4602
@abdallahshelufumo4602 3 ай бұрын
Kwahiyo maendeleo yenu mnayofanya lengo mupewe mamlaka na nyinyi kama bakwata???
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 3 ай бұрын
Bakwata ni masufi na hawa ni masalafy..ushaona roma akawatawala walokole ???
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
Ndohapo wakristu waruusiwa waislamu tunakaziwa tuww chini ya bawata arafu mnasema katiba ipo uhuru mtu wa kuabudu kuna kitu hapo mambo ya dini haya kiongozi inabidi ubalace bila kuonesha upendeleo seehemu yeyote ukibaguwa tuu unaamsha hisia za watu
@twahambowe440
@twahambowe440 3 ай бұрын
Hilo kuwa na maendeleo kwa waislam ndo ugaidi??
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 3 ай бұрын
Ata sie twashangaaa
@sheikh_abdulkarim
@sheikh_abdulkarim 3 ай бұрын
Hivi inawazekana vip waislam wote hawa Tanzania wakose kiongozi wa kuwaongoza naje shida ninini kuwa chini ya bakwata ? Au sunn ndio mnataka nyinyi muwe juu Kazi yetu nikuombea mungu wale ambao tayari niviongozi wetu sio kupambana ata ungekuwa ww au mngekuwa nyinyi suni ndio Bakwata mngekuwa wakamilifu sana
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb 3 ай бұрын
Mufti ajasoma yule mufti alichaguliwa na kikwete coz ni mganga wao km unabisha taja chuo alichosoma chochote duniani
@sheikh_abdulkarim
@sheikh_abdulkarim 3 ай бұрын
@@yusuphrashidi-dr1kb duh jitahid kabla hajasema uchunguze vizur na ukisema usimalize na kama hujui jilazimishe kunyamaza ebu waulize masheikh zako kama unao kuwa mufti kasomea wap watakwambia
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si 3 ай бұрын
We ni mjinga hujui bakwata ni chombo Cha kanisa
@twahambowe440
@twahambowe440 3 ай бұрын
KWANI SERIKALI YETU HAITAKI MAENDELEO YA WAISLAM TANZANIA !
@twahambowe440
@twahambowe440 3 ай бұрын
WAISLAM HATUNA MTETEZI WA HAKI ZETU,HILI LIPO WAZI,KWA USHAHIDI WA YANAYOENDELEA DHIDI YETU WAISLAM.
@nuhhungaso8091
@nuhhungaso8091 3 ай бұрын
Ulitangaza mwezi ukapingana na barihiyani.
@mtutulaclassic6207
@mtutulaclassic6207 3 ай бұрын
Shida yenu ni jambo moja tu hoja ni ya msingi sana ila mnaizungia wap?
@IsmailSanga
@IsmailSanga 3 ай бұрын
Yote haya nikwaajili yakutokuheshimiana katika itikadi,Kila mtu ana mwita mwenzake kafir nakudharauliana. Waislaam tungeheshimiana nakuvumiliana yasingetokea haya,kila mtu mjuaji.
@Nywesha
@Nywesha 3 ай бұрын
Nikikuita ulivyo nakosea nini ukristo ni ukafiri,hivi sasa mumeamua kuhalalisha ndoa jinsia Moja nisawa hiyo
@IsmailSanga
@IsmailSanga 3 ай бұрын
Ndugu yangu me ni mwislaam, namaanisha kuna baadhi ya waislaam wanawaita waislaam wenzao makafir,Washirikina namasheik wengine wanawaambia waumini wao msiswali msikiti ule au ile!!!
@BuiKishkOnlineTv
@BuiKishkOnlineTv 3 ай бұрын
Hapo mwisho mi naona utam ndo ulikuwa unaanza. Hebu waache yote alozungumza wachukue hilo la mwisho serikali ikiita mabaraza kwetu linaenda 1 tu wenzetu zaidi ya ma5, kisha watafakari.
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 3 ай бұрын
Tatizo longine kubwa la Bakwata ni kutofanya juhudi ya kuwaunganisha waislam bali waohuzidisha kuwagawa.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
​@@BofuMlanzi kivipi
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
@@BofuMlanzi Kuna watu washaaminishwa kuwa bakwata sio waislamu Ni kanisa. SASA mtu mwenye imani hio ataiamini vipi bakwata imuonganishe kwenye huo uislamu?. Kabla hujalaumu MTU basi jitizame Kwanza Wewe umetimia katika hekima!
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 3 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 pamoja na ukweli wa imani hiyo kwa watu na dosari nyingi za Bakwata zilizo dhahiri hatutegemei kila aliye ndani ya Bakwata hana mapenzi na uislam bali mfumo uliojengwa ndani ya Bakwata ndio unaificha imani yake. Hapo panahitaji juhudi binafsi kwa aliye humo kuunganisha waumini na hilo linawezekana.
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 3 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 kuwagawa waislam ni kutofanya shura za pamoja kwa kuyaangalia matatizo na kutafuta ufumbuzi wake pia kuendeleza malumbano ya kimadhehebu badala ya kuyasuluhisha.
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 3 ай бұрын
KAMA WAISLAAM NI MAGAIDI, HIVI KWA NINI WAKRISTO HAWANA AMANI KTK MAENEO YAO NA WANAISHI MAENEO WANAPOISHI WAISLAAM WENGI? WALIO DAI UHURU WA TANZANIA NI WAISLAAM WAKRISTO MLIKAA PEMBENI!
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 3 ай бұрын
kuwepo kwa bakwata ni bora zaidi maana: hii inaepudha mizozo na mitafaruku katika jamii
@Nywesha
@Nywesha 3 ай бұрын
Kuendelea kubaki bakwata nikuuangamiza uislam Tanzania wamekalia ufisadikama jamaa zao
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 3 ай бұрын
Kwa uchache wa fahamu yako imezuia mizozo mingapi kama sio kua chanzo cha mizozo
@zaydamos874
@zaydamos874 3 ай бұрын
Sisi hata hiyo bakwata hatuitambui na huyo mufut n wabakwata sio wa waisilam watengue kaul
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 3 ай бұрын
Unajua Mtume Saw ameondoka duniani kaacha uislam kamili hajaacha taasisi. Kwa hiyo uanswali sio uoslam kamili na ubakwata sio uislam kamili ndio maana hivi sasa wamehama kwanye uanswar wamehamia salaf. Taasisi zimeundwa kutokana na mifumo iliyopangwa kidunia. Kwa hiyo angalia zaidi jitihada binafsi za kiongozi usijenge sana mapenzi na taasisi taasisi sio dini.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 ай бұрын
Hatujielewi haya madai ni upumbavu tu hiyo bakwata wache ijulikane na serikali sie tutafute kujilikana kwa Allah yatosha.
@haidarimfinanga9755
@haidarimfinanga9755 3 ай бұрын
Ipende dunia yako kama utaishi milele na uipende akhera kama utakufa kesho
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 3 ай бұрын
Hizo ni fikra mfu zio fikra za harakati na kisomi
@omarsuleiman9064
@omarsuleiman9064 3 ай бұрын
Bakwata hawakatai mabarza mengi shida bakwata wanaheshimu mabaraza mengine ispokua hayo mabaraza mengine hawamtambui mufti mnapingana nayo
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 3 ай бұрын
Wewe unaijua bakwata na lengo la kuanzishwa kwake au unaropoka tu?
@omarsuleiman9064
@omarsuleiman9064 3 ай бұрын
@@mohdkhatib223 hapo ndio tuna fery kuleta siasa uchwara kwenye din ndio ishaanzishwa lengo sio kupingana nayo mushaajua imeanzishwaje bac waheshimuni mengine yaende
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 3 ай бұрын
kwani mabarza yote ya kikristo yanamtabua Papa? we vip umechanganyikiwa?
@omarsuleiman9064
@omarsuleiman9064 3 ай бұрын
@@maftahmusa9513 wew ndio umechanganikiwa kwakua unazungumzia papa labda nikuulize lini umeskia taasis za kikilsto zingampiga pengo hadharani we vip
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 3 ай бұрын
@@omarsuleiman9064 wewe kupinga ni kupinga kama hupingi hadharani unapinga pembeni wewe ni MNAFIQ na ndivyo Quran ilivyo tafsiri tabia ya UNAFIQ kwa hiyo tuliza akili usitake kulizima tabia au khulqa yenu ya KINAFIQ kwa waislam wasio kubaliana na huyo unayemwita Mufti wenu
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui 3 ай бұрын
LAZIMA IWEPO TAASISI MOJA KUBWA ITAKAYO XIONGOZA TAASISI ZINGINE
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 3 ай бұрын
Inaonyesha hujamuelewa sheikh, usingesema maneno hayo. Pia huelewi lengo la kuundwa bakwata.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
@@mohdkhatib223 JE wewe unajua lengo la kuundwa uwahabia (answari na uwahabia)
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 3 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 wewe ni zero brain kabisa. Labda nikwambie hakuna chama au taasisi inayoitwa uwahabi. Lakini baraza la bakwata limeundwa na Nyerere baada ya kuivunja taasisi kubwa ya kiislamu iliyokuwa ikiongozwa na sheikh Hassan bin Ameir. Sasa wewe ungekuwa na akili timamu ungejiuliza kwanini Nyerere aliekuwa rais wa wakati huo aivunje taasisi kubwa ya kiislamu halafu awaundie kitaasisi kinachoitwa bakwata? Pia ungejiuliza kwanini waislamu tu ndo waundiwe chombo cha kuwasimamia wakati wakristo wao hawana chombo cha serikali kinachowasimamia?
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 3 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 tatizo lako akili zako ndogo. Kwani kuna chama au taasisi inayoitwa uwahabi? Kama ipo taasisi inayoitwa uwahabi kama ilivyo bakwata tuambie iliundwa lini na viongozi wake akina nani? Wewe ungekuwa na akili ungejiuliza kwanini Nyerere aliivunja taasisi/ jumuiya ya kiislam iliyokuwa ikiongozwa na sheikh Hassan bin Ameir na kuanzisha bakwata chombo cha serikali? Pia ungejiuliza kwanini serikali isiyo na dini lakini imeweka chombo cha kusimamia waislamu lakini wakristo hakuna kitu kama hiko? Wewe huoni kama lengo ni kudhibiti uislamu usisonge mbele?
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 3 ай бұрын
Kina nchi duniani zina baraza la waislam ni moja hata saudia baraza lao moja vp nyinyi mnataka baraza lenu nyinyi mnajiona ni bora na wengine ni makafiri hilo tatizo lenu
@haidarimfinanga9755
@haidarimfinanga9755 3 ай бұрын
Waislam tusiangalie masuala ya maulid, khitma, nk (biddaa) tu, kuna masuala ya maendeleo ya kijamii kwa waislam ambayo haya shughulikiwi ipasavyo. Taasisi ya kidini haitakiwi kuwa tawi/idara ya serikali
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 3 ай бұрын
kule Saudia hakuna bidaa ndio maana kunabaraza moja
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 3 ай бұрын
Tatizo nyie MAWAHHABI/MAANSWARU SUNNA/SALAFI itikadi yenu ni mnadai nyie pekee ndiyo waislamu halisi na wengine mnawaita washirikina na makafiri. Nia yenu siyo nzuri na ni kheri Hata taasisi zenu zifungiwe na serikali maana ni hatarishi kwa umoja na MSHIKAMANO wa waislamu..
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
Bahati mbaya Sana wakifa hata shahada hawaipati.
@zaydamos874
@zaydamos874 3 ай бұрын
Nyie bakwata n washirikina kwel Tena wanafkhi nyie n zaid ya makafir nyie n hatar zaid
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
@@zaydamos874 KAMUULIZE MTU WA SUNNA ABUU MUAWIYA KWANINI ILIMSHINDA SHAHADA KAMA NASOUR BACHU?!!. KWA BAHATI MBAYA SANA HAWA TUNAOWASEMA MAKAFIRI WANAKUFA MASHAHIDI TUNAWASHUHUDIA . AHADI YA MTUME SAW NI KWA MASHAHIDI NA SIO VIPUPUTA NA KANZU VIBUTU
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 ай бұрын
@@zaydamos874 washirikina wanaleta SHAHADA wakifa ?! Watu wa Sunna inawashinda kauli Thabit wakifa😂😂😂. HAPA UPO MCHEZO FULANI PENGINE HAO WANAOJIITA SUNNA HAWANA IMAMU ILA NI FUJO TU NDIO NA HAO TUNAOWAITA SISI KUWA WASHIRIKINA PENGINE NDIO WA SUNNA.
@zaydamos874
@zaydamos874 3 ай бұрын
@@mohamedhamismagoraonlinetv459 ww unajuaje Kama huyo aliye kufafa kaleta shahada au ajaleta hilo ndio tatizo lenu mnakuaga na hoja za kitoto sana
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 30 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 105 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 112 МЛН
FADHLA ZA SIKU YA ARAFA
58:30
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 5 М.
MAJIBU JUU YA URONGO WA ALI ABUBAKAR || SHEIKH MUHSIN ALI BUTE
20:29
Markaz Swalihinal- islamy Mombasa Kenya
Рет қаралды 8 М.
SHEIKH SAID ATOA SOMO JIJINI DSM, MTOTO WA BACHU USIPOELEWA HAPA BASI
19:54
SHEKH BACHU USITAFSIRI UTAKAVO
37:37
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 30 М.
SHEIKH ILUNGA
40:05
Chalamanda _
Рет қаралды 225 М.
SHEIKH WALID AKIMKARIBISHA SHEIKH OTHMAN MAALIM KWA AINA YA KIPEKEE
40:58
Sheikh Mohammed Issa Afufua Makaburi
23:33
MAKIR ONLINE
Рет қаралды 10 М.
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН