No video

MBUNGE ATINGA NA COUNTER BOOK, SARE ZA SHULE BUNGENI/ASHANGAA WAANAFUNZI KUVAA MASHATI MEUPE

  Рет қаралды 126,064

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

3 жыл бұрын

Пікірлер: 321
@yahayamaulanaworldwide6036
@yahayamaulanaworldwide6036 3 жыл бұрын
Huyu kiongozi nikiongoza hasaa..!! Like nyingi kwake
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 3 жыл бұрын
Huwa namuelewa sana huyu mzee pengine wao wasomi wanamuona hana akili lakini nikweli watoto wadogo wana beba madaftari mengi kuliko
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa Tena a naongea kwa hisia Sana.
@jesalutv5112
@jesalutv5112 3 жыл бұрын
Kama umemuelewa huyu Mzee like ziongezeke
@kimpalambapj
@kimpalambapj 3 жыл бұрын
Huyu Baba ni mwana harakati wa elimu nchini.
@rosticamposi7922
@rosticamposi7922 3 жыл бұрын
Kwakwel
@reedbruno8527
@reedbruno8527 3 жыл бұрын
i guess it's kinda randomly asking but do anybody know of a good place to watch newly released movies online?
@maajabuonlinetv5769
@maajabuonlinetv5769 3 жыл бұрын
Hivi huyu mbunge ni wa ccm au alitoka vyama vingine. Duh..... Akili na ukweli alionao ni ya hali ya juu Sana Ila kwakua ni mwendo wa kukandamizana tu naamini hawatayajali hayo aongeayo huyu mbunge
@jasminjamali9518
@jasminjamali9518 3 жыл бұрын
Ukisikiliza juu juu uwez elewa lakin uyu mzee Makin Sana kwenye kutafakar
@pascalhoza6297
@pascalhoza6297 3 жыл бұрын
Mzee mungu akubariki sana wewe kweli ni mzazi mwenzangu umesema kweli kabisa tusaidie sisi wezako angalau bunge limekuwa na maana.
@vitalicamos9887
@vitalicamos9887 3 жыл бұрын
Kwa kweli asiyemuelewa huyu mzee basi kichwa yake mbovu yupo silius ndio maana wengine wanacheka yeye hacheki... binafsi nampongeza kwa mawazo mazuri sana amewatetea watanzania wote hasa wenye hali duni... Makauta 11 mtoto anatembea km 6 kwenda makurudi na njaaa!! Mungu akubariki mbunge wa wote!
@velejilyomhongole6698
@velejilyomhongole6698 3 жыл бұрын
Huyu Mbunge Hakika yupo kazini
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 3 жыл бұрын
Msicheke pumbavu lichukulieni siliasi hilotatizo mzee anahoja zuri mnafanya mzaha mzaha wanafiki majambazi waajabu!!!!!
@mangeo2562
@mangeo2562 3 жыл бұрын
Mzee ana akili kubwa sana
@heroes1932
@heroes1932 3 жыл бұрын
Your real great thinker of this century, Africa we real need to wake up our mindset and change how we think and how we see things, poor mindset is real big problem for us
@costantinekeraryo9160
@costantinekeraryo9160 3 жыл бұрын
Kwel kabisa maitaji ya shule ndo yanachosha kuliko elimu yenyewe
@nessmwambogolo2545
@nessmwambogolo2545 3 жыл бұрын
Tungekuwa na mbuge Kama huyu mbozi magharibi ingekuwa 🔥🔥🔥🔥
@alfeokaguo1663
@alfeokaguo1663 3 жыл бұрын
Hongera sana mheshimiwa mbunge nimekuelewa vizuri sana umenena mengi sana mpka uchungu nikiangalia uhalisia dah
@alimahmud8927
@alimahmud8927 3 жыл бұрын
Kweli kabisa huku Kwetu wanawatoa watoto shuleni saa11 jioni, Pia kuna zimwi la tuition linakula pesa kila siku, pia kuna jezi kuna na hela za Mitihani pia hii elimu sio bure tunalipia Nyuma ya pazia
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 3 жыл бұрын
Kwenu wapi huko?
@donaldmwahalende4841
@donaldmwahalende4841 3 жыл бұрын
Hujalazimishwa kupeleka tution
@twalibumngoma903
@twalibumngoma903 3 жыл бұрын
Mzee wangu ushawafikishia dawa kaxi kwao wenye dhamana. Mwenyex mungu akupe umr mrefu zaid kusemea malaika/watoto wetu
@aminafrancismwandu5789
@aminafrancismwandu5789 3 жыл бұрын
Mungu akubaliki watoto wafika wamechoka mzigo mzito wa makaunta books
@salmaomari1988
@salmaomari1988 3 жыл бұрын
Asanteee baba mungu akuweke muda mrefu uendelee kutufikishia ujumbe wetu Kwa wakuu
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 3 жыл бұрын
Wewe ndo unajua wananchi wako wanataka nn mzee big up sana mzee nimekupenda kwa hoja zako.
@edisonkashaija4067
@edisonkashaija4067 3 жыл бұрын
Safi sana maneno kuntu anaongea kama mzaha lakn ukisikiliza kwa umakini ni maneno yenye tija sana Ahsante sana gangana kwa kutusogezea hii kitu🙏🙏
@deusimtewele2301
@deusimtewele2301 3 жыл бұрын
Upo vizuri Mbunge lakini binge Hilo la Ndugai ni sikio halisikii dawa Mbati alilalamika Sana na akatoa mwongozo hawakusikia wafundishe hawo nakuombea uwe spika muda ujao we Kishimba Suruhisho Itisheni wadau secta zote kaeni kitaifa ili tuone elimu yetu iweje siyo Kila Kona ubabe tunauwa nchi
@ibrahimmagere5545
@ibrahimmagere5545 3 жыл бұрын
Kwangu Mimi huyu ni Mbunge Bora kabisa katika hili bunge
@yohanaagustino4610
@yohanaagustino4610 3 жыл бұрын
Kishimba kwa ethics aah sikupingi baba ipe serikali mawazo haya chanya
@edsonbalige3702
@edsonbalige3702 3 жыл бұрын
Uyu mzee nimemkubali Sana anaongea kitu kwa kuvaa ule ualisia ulvyo, nimependa point zake
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 3 жыл бұрын
Kweli kabisa tumpe tuzo
@mosesmzakwe7774
@mosesmzakwe7774 3 жыл бұрын
Hongera sana Kishimba Ukweli ni KUWA wasukuma ni Wazalendo sana katika Taifa Msoga ni wezi na wapiga dili kwa kupakia TWIGA WETU kwa masrahi yao
@ceasariomulumba5956
@ceasariomulumba5956 3 жыл бұрын
Great... Very impressive...
@helmenselly3799
@helmenselly3799 3 жыл бұрын
Nakupongezaa sana mbunge, big up sana
@mussakasimu2811
@mussakasimu2811 3 жыл бұрын
when the teacher is speaking and the class is making noise, then teacher is like.. ok am leaving nw, meet you in an exam.
@fatumajuma1157
@fatumajuma1157 3 жыл бұрын
Baraka za mungu zikufkie
@michaelbernard5573
@michaelbernard5573 3 жыл бұрын
Ndie huyo
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 3 жыл бұрын
Huyu Baba huwa namuelewaga 🤣🤣🤣🤣👍
@masungamashauri4070
@masungamashauri4070 3 жыл бұрын
This guy is lovely Member of the Parliament who scratches the heads of the bright Ministers of Tanzania. Kishimba is the best genius who have not gone to School but he is gives us best ideas ever seen in Tanzanian's Parliament
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Counterbook husaidia kuweka notes nyingi na kumsaidia mwanafunzi kutokupoteza notes. Lakini isiwelazima. Kuhusu sare ziendane na hali ya mahalia. Uzungu zungu tuache. Wazazi wachangie chakula cha watoto wao mchana hata angalau uji wa sukari. Wengine tulikunywa uji mchana na tukamaliza sekondari.
@muslimicone1751
@muslimicone1751 3 жыл бұрын
Kwa mbunge huyu, nataman kumuona ikulu, maAna anaonekana kua mzarendeo.
@genovevakaneke1727
@genovevakaneke1727 3 жыл бұрын
Safi Sana Mzee Kwa hoja za msingi Allah akulipe
@haclarelukuwi3778
@haclarelukuwi3778 3 жыл бұрын
Munguuu akuwekeee miaka 10000 bungeniiii unapoint za kikubwaaa
@salmaomari1988
@salmaomari1988 3 жыл бұрын
Asante sana fikisha ujumbe wanakataza watoto kupeleka chakula shule na bado kupika ni matatizo,watoto wataelewa vip na njaa
@Rocky-mn6wm
@Rocky-mn6wm 3 жыл бұрын
Mzee uko vizuri saaaaaaaaaaaanah. Nadhani taasisi husika mnajukumu la kumuelewa sanah huyu mzee wetu
@musakucheje3477
@musakucheje3477 3 жыл бұрын
Uyu mzee kwangu nimemuelewa Sana
@teychriss3248
@teychriss3248 3 жыл бұрын
Watoto wanaumia Sana kuyabeba ma counter book hayo! Mabegi kwanza hayadumu yanachanika na kukatiia! Uko sawa kabisa! Kwenye elimu uko vizuri Sana!
@samsonjudith3425
@samsonjudith3425 3 жыл бұрын
Yani baba mueshimiwa umeongea point sana
@SafeHaven_TV
@SafeHaven_TV 3 жыл бұрын
Kwa nini wasikupe tu hiyo wizara ubadilishe mambo?Mawazo chanya kiukweli baba👏🏿👏🏿
@saidiabdallah2603
@saidiabdallah2603 3 жыл бұрын
Safi sana mh Mbunge umeongea point hongera kwa kufkria mbali mh
@varmandavarmtv8999
@varmandavarmtv8999 3 жыл бұрын
Mimi nilijiuliza Mwanagu J3 mitihani na j5 na jmosi nmitihani sijui kusoma nilini na nmemkuta mwanangu. Kapigwa kisa hakwenda na pesa hivi chaki znazo tumika kuandika ubaon nizile zile nyeupe nilizo someshwa Mimi au za sasahivi zina rangi maana baada anipigie mtoto kwa kutopanda max na mm nyumbani nkamuongeza vboko mtoto anapgwa kwenye swala la pesa na mitihani mala 3 kwa wiki nkipimo Cha masomo ya siku ngapi kwa wiki Mm niseme Nina Jambo la kufanya na siku nitasikika nkilifanya
@ahmadchimale7607
@ahmadchimale7607 3 жыл бұрын
Sio kweli,mtoto wa miaka 8 hawez tumia counter book q 4,si kweli.Hizo nyeupe n njia mojawapo ya kuwafundisha watoto u smart na kua safi muda wote.Mnafurahia utopolo,this is Tz
@deustobias765
@deustobias765 3 жыл бұрын
Uko sahii
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 3 жыл бұрын
Huyu mbunge Ni genious
@abedysteven6910
@abedysteven6910 3 жыл бұрын
Mzee umeongea K2 cha mana sana!!!
@florarog548
@florarog548 3 жыл бұрын
Watoto wa shule za msingi wanalazimishwa kuwa na counter books na kusababisha kubeba mzigo wa madaftari, hii siyo sawa kabisa
@Somatostatin360
@Somatostatin360 3 жыл бұрын
Hongera sn mbunge
@saidseleman6004
@saidseleman6004 3 жыл бұрын
Huyu mbunge anakili sana iko siku watamuelewa tuu
@danielnsolezijonathan89
@danielnsolezijonathan89 3 жыл бұрын
Huyu mbunge ni education currently
@linkreuben5804
@linkreuben5804 3 жыл бұрын
Tunataka wabunge kama hawa! Ubunifu wa kizalendo!
@marcoboniphace8108
@marcoboniphace8108 3 жыл бұрын
HONGERA SANA MBUNGE WETU WA KAHAMA UMEONYESHA UMAHILI MKUBWA KURA ZETU UNAZITENDEA HAKI .
@mizeckmwambuputa9970
@mizeckmwambuputa9970 3 жыл бұрын
Mbunge wangu umenitetea kihalali myonge,hongera sana
@salviusbasil5334
@salviusbasil5334 3 жыл бұрын
Hakika huyu ana mtazamo chanya wa kielimu,Kwa haraka nilivyoelewa Mh.Kishimba anamaanisha Elimu kwa vipendo na mazingira.Heko kwa mbunge wangu Khm twn
@winfridaevarist8743
@winfridaevarist8743 3 жыл бұрын
Unasomea manunuzi,,unanunua nini miaka mitatu😆
@margarethndyamkama5537
@margarethndyamkama5537 3 жыл бұрын
Au ushirika, ushirika upi?
@nuratkalinga581
@nuratkalinga581 3 жыл бұрын
Nikweli watoto wetu wanaumwa vifua kila siku daftari 11 harafu bado daftari za msomi kwa ajiri ya twisheni.Tuna umia sana .
@hussnabakary3507
@hussnabakary3507 3 жыл бұрын
Vitabu bado umesahau
@gililwise
@gililwise 3 жыл бұрын
Yaani watoto wameshakuwa na.ulemavu wa mabega sababu ya.kubeba macounter book.
@amanikawogo8478
@amanikawogo8478 3 жыл бұрын
Safi sana baba nimekuelewa
@elizaboster9479
@elizaboster9479 3 жыл бұрын
Mzee yupo vizuri
@rajabuomary3258
@rajabuomary3258 3 жыл бұрын
Huyu ndio pekee namba 1 Tanzania
@charlesbahini7265
@charlesbahini7265 3 жыл бұрын
AMA kweli mbunge kishimba wewe professor hongera sana unatukosha watanzania 🙏
@salumukimanzchana987
@salumukimanzchana987 3 жыл бұрын
Psmoja
@peterdomnick585
@peterdomnick585 3 жыл бұрын
Wanafiki wanakucheka ila unatetea haki xetu mungu akutangulie kishimba
@tumainirichard6298
@tumainirichard6298 3 жыл бұрын
Kishimba umeongea vizuri sana na una points nzuri mnoo, lkn wengine wanakodoa macho hawaelewi kwa kuwa wamezoea longolongo.
@rwelamira
@rwelamira 3 жыл бұрын
Huyu Baba anafaa kuwa Waziri wa Elimu
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
watu kama hao huwa hawapendwi
@anthonynetto4503
@anthonynetto4503 3 жыл бұрын
Kweli baba wengine tumesusiwa watoto na wanaume counter book nyingi tunapata wapi?
@ashasaidi1895
@ashasaidi1895 3 жыл бұрын
Umeeleweka mbunge tuko pamoja
@robathzingu1650
@robathzingu1650 3 жыл бұрын
Kuna mambo nakubaliana na Kishimba. Mfano; uniform si hitaji la lazima kwa mwanafunzi. Na kama ni lazima kwa maana ya kuwatofautisha mwanafunzi Wa shule A na B, basi iwe ni nguo simple na affordable. Lakini daftari counter book ni muhimu na lazima kwani atalitumia kwa mwaka mzima. Ni faida kwa mzazi maana hatapata usumbufu wa kununua daftari mara kwa mara
@mwitajuma7863
@mwitajuma7863 3 жыл бұрын
Mm nahisi kishimba ndo mbunge mwenye akili humu bungeni kuliko wote
@agustinokagoroba6116
@agustinokagoroba6116 3 жыл бұрын
Hata tukichanga chakula hakifikii wakati,unaweza ukakuta maharage yamebebwa umebaki unga matokeo hawali na mchango umetolewa.
@alexmaiga5352
@alexmaiga5352 3 жыл бұрын
Mwamba anafikiri sanaaa 👊
@bensonmtigo8078
@bensonmtigo8078 3 жыл бұрын
Salute sanaaa mheshimiwa mbunge
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 3 жыл бұрын
Kweli kabisa.wengine tunashindwa pa kusemea. Asante
@abduelloth1560
@abduelloth1560 3 жыл бұрын
Huyu mbunge yuko vizuri na anaongea vitu vya msingi sana japo wengi wanamcheka
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Hapana wenye akili wanamuelewa
@alkadokalimalwendo3396
@alkadokalimalwendo3396 3 жыл бұрын
ishi sanaaaa mzee wangu
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 3 жыл бұрын
Mh.Kishimba huwa nakuelewa sana. Baba huwa nakufuatilia hoja zako zote nakuelewa zaidi ya sana
@crissinkala3110
@crissinkala3110 3 жыл бұрын
Miongoni mwa wabunge wenye fikira nzito
@josephatmgeka8678
@josephatmgeka8678 3 жыл бұрын
Unaweza chukulia mzaha ila mzee yupo sahihi
@boniphasfesto4325
@boniphasfesto4325 3 жыл бұрын
Hivi haya Mabunge mengine ni kama Machawi yapo yapo tu Shenzi kbs
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 3 жыл бұрын
Huyu ni mzalendo kwelikweli
@wilsonytz6730
@wilsonytz6730 3 жыл бұрын
Na ndyo tunataka viongozi kama hawa ili inchi iende mbele zaidi
@rajabually2498
@rajabually2498 3 жыл бұрын
safi sana mbuge woyoooo
@angelmbwambo9980
@angelmbwambo9980 3 жыл бұрын
Alaf mtoto amalize ng'ombe na ajira akose dar hongera mheshimiwa
@festomilinga5634
@festomilinga5634 3 жыл бұрын
Huyu mbunge hoja zake ziko very smart
@mgonasipapune1383
@mgonasipapune1383 3 жыл бұрын
Kaka nimemuelewa sana huyu mbunge
@lucasjackson8675
@lucasjackson8675 3 жыл бұрын
Uko sawa kabisa shida ya inchi yetu nikuwa ni viongozi wenye masilahi binafs
@shamilahussein5294
@shamilahussein5294 3 жыл бұрын
Tatizo raisi ndie anae takiwa awe kikao mbele kwa wananchi wanyonge jamani
@stephenwakunyala4004
@stephenwakunyala4004 3 жыл бұрын
Nimekuelewa sana
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 3 жыл бұрын
Wote wangekua hivi,walau hata nusu tu .tusingekuwa hapa
@uthmanihimbawe5244
@uthmanihimbawe5244 3 жыл бұрын
Hakika
@kelvinsweetbert981
@kelvinsweetbert981 3 жыл бұрын
Mzee yupo vzr sana
@barakaedwin4162
@barakaedwin4162 3 жыл бұрын
Duhh,leo kaongea point atareeeee,saaaaaafi
@azizamohamed654
@azizamohamed654 3 жыл бұрын
Kweli kabisaa mniunge wetu kishimba hiyo pointi mm mwenyewe mjane lakini ndoo mpaka nimepata ugonjwa wa moyo mawazo kuhusu hayo mahitaji ya shuleni
@elizaboster9479
@elizaboster9479 3 жыл бұрын
Pole mama
@gabrielbahat9107
@gabrielbahat9107 3 жыл бұрын
Ukiwa baba kama huyu unayo kazi maana yupo juu ni shidaa
@allymwakibinga442
@allymwakibinga442 3 жыл бұрын
Hongera Sana kwa kazi nzuri
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 3 жыл бұрын
Tanzania. ni nchi TAJIRI ila TATIZO ni msingi tuliowekewa toka mwanzo kuwa sisi ni masikinin kwatokana na waliotutangulia
@barakayohanasanga3005
@barakayohanasanga3005 3 жыл бұрын
Asante Sanaaa,
@wilsonytz6730
@wilsonytz6730 3 жыл бұрын
Kishimba nakuelewa sana kaka gombea hata uraisi inchi utaiongoza vzr
@salumukimanzchana987
@salumukimanzchana987 3 жыл бұрын
Pamojaaa huyu ni mbunge halisi genius
@wilsonytz6730
@wilsonytz6730 3 жыл бұрын
Kwel
@pronamsyangi6205
@pronamsyangi6205 3 жыл бұрын
Uko sawa kabisa baba,,Mungu akupe umri mrefu,, Elimu ya Tz ni kifungo Cha maisha
@hangayamafenya8883
@hangayamafenya8883 3 жыл бұрын
hongera.sana.mzee.
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 3 жыл бұрын
Mchumi uko vizuri
@paulm.kaponda2300
@paulm.kaponda2300 2 жыл бұрын
Tena kuna baadhi ya shule waalimu wanawalazimisha kuunganisha counter za somo la darasa walilo vuka kwa kila somo, hivyo kama masomo ni 9 mfano, mtoto analazimika kubeba counter 18, Ukweli ni mzigo mzito kubeba wahusika mlione hilo!.WAHURUMIENI wapunguzieni MIZIGO!!.
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 3 жыл бұрын
Swadakta wallah
@sylivestermahajile5469
@sylivestermahajile5469 3 жыл бұрын
Nimekuelewa xana mzeee kweli kijijini elimu tabu
@justinashayo3743
@justinashayo3743 3 жыл бұрын
Kuna mbunge mmoja aliongea sijui ni huyu mzee au. Alisema haoni haja wazazi kuunguza pesa halafu mtoto anamaliza degree anaambiwa kajiajiri. Anazunguka na cheti hata hata single pen atajiajiri na nini? Wazazi wameuza kila kitu mtoto asome baada ya hapo ni umasikini kwenye familia. Serekali angalieni hizo point jamani
@naziamohamed9420
@naziamohamed9420 3 жыл бұрын
Ndo huyuhuyu
@ntibashimashima2919
@ntibashimashima2919 3 жыл бұрын
Nimekuelewa mkuu Ubalikiwe sana Mtumishi
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Mh Kishimba unawasilishaga ukweli wa maisha. Na tena maisha ya kiafrika kabisa ila kwa kuwa tumeshajizunguka na kuwa wazungu weusi maskini nani akusikilize?
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 4,7 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 32 МЛН
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 32 МЛН
Mbunge aishauri serikali kuanzisha chuo cha wizi
5:41
Azam TV
Рет қаралды 154 М.
MBUNGE KISHIMBA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE
14:02
Millard Ayo
Рет қаралды 207 М.
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 4,7 МЛН