MCH.AMIEL KATEKELA:MBINU ZA USHINDI WA KANISA DHIDI YA MALANGO YA KUZIMU NA MAWAKALA WAKE

  Рет қаралды 26,470

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Жыл бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 50
@user-qn2kn6mj1r
@user-qn2kn6mj1r 4 ай бұрын
Yaani mungu baba amenisaidia kukua kiroho Kila ninapo isikia injili ya pastor katekela. Mungu akubariki baba
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Toba Ina mrejesha MUNGU katika maisha yangu/ yako
@user-pl6js5ji9d
@user-pl6js5ji9d 4 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu aliye hai Mungu amekuleta wakati sahibhi.barikiwa sana.
@graceboke4346
@graceboke4346 Жыл бұрын
Mchunngaji nakupenda sana mahubiri yako Mungu azidi kukuinua kwa Jina la yesu aliye hai
@lovemajogolafia5839
@lovemajogolafia5839 Жыл бұрын
Asante Mungu kwa toba na ukombozi...nakukabidhi maisha yangu mimi ni wako na wewe ni BWANA wangu usiniache daima 🙏
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Nimekupenda mtumishi wa MUNGU,,,,umenibariki hapo kwenye Toba
@roselaisser1879
@roselaisser1879 Жыл бұрын
Mchungaji Katekela Mungu azidi kukuinua.
@JeromeBukuru-bj9fy
@JeromeBukuru-bj9fy 2 ай бұрын
Asante
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa MUNGU,,,,nimepata maarifa kupitia neno la MUNGU,,,,,,,kwa mamlaka ya jina la YESU KRISTO nakataa chini ya shetani
@lilianwanjala8728
@lilianwanjala8728 Жыл бұрын
Ameen mtumishi nimeokolewa kwa kufatilia maubiri yako toka ulipokua ukiahdidia . mbaka sasa naona mkono wa mungu ukiwa upande wangu mungu akulinde akubariki na akuongezee viwango vya kiroo ameen barikiwa mtumishi
@feminakidiavai5849
@feminakidiavai5849 8 ай бұрын
Amen nimebarikiwa sana
@user-rg1vs9mb8x
@user-rg1vs9mb8x 7 ай бұрын
Mchungaji nafurahishwa Sanaa na màfundisho yako sema neno juu ya binti yangu anayesumbuliwa na mizim ma
@user-vc4xc7xg7j
@user-vc4xc7xg7j Жыл бұрын
Asante mtumishi leo naamini nimefunguliwa naamini
@JaneKuyokwa
@JaneKuyokwa 11 ай бұрын
Mungu akulinde mtumishi
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Amen sitalia Tena kwa jina la YESU KRISTO,,,,, barikiwa mtumishi wa MUNGU
@monicamatimbwi7810
@monicamatimbwi7810 Жыл бұрын
Amina yesu akutunze mchungaji katekela tunakuitaji sana sana.
@barakakiamati9630
@barakakiamati9630 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe,mtumishi wa Mungu ulindwe sana endelea kutufungua macho. Kwa jina la Yesu
@FredrickRosenius
@FredrickRosenius Жыл бұрын
Amen tunabarikiwa sanaaaa🙏🙏🙏🙏🤚🤚
@gribatilyandala-cs9tf
@gribatilyandala-cs9tf Жыл бұрын
Mtumishi wa mungu Asante Sana kwa maombi na mafundisho haya. Ninaitwa furaha mlowe napatikana dalesalamu maeneo ya mabibo. Ninashida Sana nakuomba kabla ya kwenda nnje nakuomba msada unisaidie. Nikufuate ulipo. Mimi Ni mmojawapo wa kupigwa kilakitu kimesambalatika hakuna kinachoshikika kilakitu nimeuza na Bado mzim wa madeni haukuisha. Sina makao. Nakimbia kimbia tunipo na watoto watatu. Nimeokoka nasali ieitiji. Baba ukipata ujumbe huuutakuwa umeokoa maisha yangu kiroho na. Kimwili. Katekella. Nimekuwa nikifuatilia. Mahubiri yako mtandaoni ..pole na msiba mungu anakusudi maalumu juu ya baba.ngoja apumnzike mungu awe faraja yako
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 Жыл бұрын
Karibu sana kanisa tunakupenda God bless Africa 🙏
@wemamanikana9791
@wemamanikana9791 Жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki mtumishi Amiel Katekela
@vedastogwido5311
@vedastogwido5311 Жыл бұрын
Asante yesu kristo 🙏
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
UTUKUFU WA MUNGU MCHJ KATEKELA UKO JUU YAKO HAKIKA. NIMEJIFUNZ NIMEJIFUNZA, HUJAACHA HATA MOJA KATKA MAFUNDISHO HAYA AMBAYO HUJAYATOLEA MAJIBU NA MASWALI. MUNGU AKULINDE SAAAANA UMETOKA MBALI SANA NASI TUSAIDIE TUFUNGUKE KTK JINA LA YESU . AMEN
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Ameni amen
@joycekaphevemba7215
@joycekaphevemba7215 Жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana Sana kwa kweli kupitia promover TV nimekufaidi sana na nimekua kiroho ubarikiwe sana mtumishi mzuri wa Mungu
@siporachobasamie9123
@siporachobasamie9123 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu nabarikiwa sana kanisa la mtandaoni ndo tunajiungaje
@lovenessmtaita1879
@lovenessmtaita1879 Ай бұрын
Amina
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
daah kawimbo hako kamenikunbusha mbaliii ,,,barikiwa mtumishi wa MUNGU
@judithjumah3739
@judithjumah3739 Жыл бұрын
Mshirika wa mtandao ningependa kujiunga nanyi wapendwa from Kenya currently in saudia 🇰🇪
@evodiaathansio769
@evodiaathansio769 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji nimebarikiwa sana Mungu akuinue zaidi akupe neema ulio juu ya neem
@georgesteven8667
@georgesteven8667 3 ай бұрын
Ameen
@joyceshoo9822
@joyceshoo9822 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi wake nimefunguliwa na kuwekwe huru Mimi na familia yangu Nina LA Bwana Yesu libarikiwe kabisa
@beatricefilbert1171
@beatricefilbert1171 Жыл бұрын
Jamani nyie mimi nampenda Yesu
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 Жыл бұрын
Amina Mungu atukuzwe
@anitababyderickwasike7872
@anitababyderickwasike7872 Жыл бұрын
powerful 🙏🙏🙏🙏
@cossanwambura1614
@cossanwambura1614 8 ай бұрын
Duhh
@StellahKadesa-bg8rc
@StellahKadesa-bg8rc 11 ай бұрын
Kenya utakuja lini
@soeurbetty7667
@soeurbetty7667 Жыл бұрын
Ameennnnnn tumeokolewa
@dainesykalinga7133
@dainesykalinga7133 Жыл бұрын
Ee Mungu utusaidie na unifungue kwa Jina la Yesu Kristo 🙏🙏🙏🙏🙏
@mikael1656
@mikael1656 Жыл бұрын
Yesu ni mkuu
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
Oooh good washirika wa Mtandaoni, WATU wanajiungaje jamani, vigezo na masharti ni yapi. Aßnte.
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Nipigie
@mariethaKalonga-cm5ns
@mariethaKalonga-cm5ns 11 ай бұрын
Paster naomba namba za simu nina maswali unisaidie
@johnmungai5499
@johnmungai5499 Жыл бұрын
So Mungu amwinue mtumishi wake na amzindishie neema na usalama Ili utukufu na sifa za Mungu was Mbinuni zijulikane kwa wengi duniani kote. Hallelujah! Kenyan
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Haleluya
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 Жыл бұрын
Ameeeeeeen
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Amen
@musamugaywa3469
@musamugaywa3469 Жыл бұрын
Naitaji pia naitaji ukombozi yote yamenigusa
@vedastogwido5311
@vedastogwido5311 Жыл бұрын
Kila kilichonifunga kifunguke kwa jina la yesu
@hamzayusuf1894
@hamzayusuf1894 Жыл бұрын
Ukiaacha kanisa utakuwa umeokoka yesu muislamu we ni kafiri yesu haja ingiya kanisani
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 157 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
NGUVU YA NAFSI|UKOMBOZI NA MAMLAKA YA KUZISHINDA|Mch Amiel Katekella
1:05:57
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00