Huyu Mchungaji Ana Kitu Kikubwa Kichwani Km Utamzingatia. Barikiwa Sana Mtumishi Wa MUNGU 🙏
@SaidiKidika11 ай бұрын
Anaelimisha watu wa imani zote kwa ujumbe wake,Mwenyezi Mungu am bariki.
@shabbymakapane11 ай бұрын
Opo Sahihi 100%
@ahmedhamis10 ай бұрын
Barikiwa sana mchungaji , maneno Yako yananifanya kuendelea kusoma vitabu vya m/mungu kujua amri zake 👏👏
@JeremiahYohana-br2bd11 ай бұрын
Huyu mchungaji namkubali sana, Mungu akutunze mzee wetu.
@msafirisalum624511 ай бұрын
Mimi ni muislam, ila nimemuelewa sana huyu kiongozi. Nitakutafuta nipate hata picha ya pamoja. Asante kwa maneno ya busara
@shabbymakapane11 ай бұрын
Kabisa Mchungaji Anaejielewa , Yuko Vizuri Anafindisha Vizuri
@IbrahimuSpriano11 ай бұрын
Muisilam gan anae luhusu picha huo Ni ukafir tafta maana ya vitu vilivyo wekwa kwenye bidaa uone
@husseinchivinja584411 ай бұрын
Kweli huyu mchungaji anaongea maneno sahihi nampenda sana abarikiwe
@Dianamwansasudddw11 ай бұрын
@@IbrahimuSprianowewe unakuwaga na kiherehere sijui Kwanin has?umekazana makafiri tu.nenda kaswali huko
@mayangeramadhani849711 ай бұрын
@@IbrahimuSprianohawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mfuate mila zao
@theophilwhiteheart199711 ай бұрын
Aisee Mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu sana mchungaji hananja🙌🏽
@mozeslyricstz72011 ай бұрын
Aimen
@mapachawayesu11 ай бұрын
Barikiwa sana Pastor, Mungu azidi kukutunza kwaajili ya kukiokoa hiki kizazi tulichonacho
@newgreeneaglestudio308911 ай бұрын
Mimi mwislamu ila hanaja ni mmoja katika wachungaji nawafuatilia sana ni mtuu mwenye kafuata matendo ya yesu Always Anasema ukweli ❤❤
@Sheba465111 ай бұрын
Mtu akimfuata Yesu lazima awe Muislamu tu, ukiona anamfuata Yesu kisha hajawa Muislamu, huyo mungu wake anakuwa Yesu.
@saimonijonas147111 ай бұрын
Naomba nikuulize. Nini maana ya Islam na Uislam.?
@taturamadhan594011 ай бұрын
Ni kukiri kwa moyo na kwa ulimi hapana mola anastahiki kuabudiwa ila Allah na kukubali kuwa Muhhamad s.a.w ni mtume wa Allah
@suleimansalym753711 ай бұрын
@@taturamadhan5940Hii sio maana ya uislamu hiyo ni maana ya shahada ulitakiwa kutoa maana ya uislamu halaf uje na maelezo kma hayo lkn sio mbaya anaetaka maana ya uislamu na akasome uislamu lkn sisi waislamu tunasema ISLAM IS THE RIGHT PATH & FINAL DESTINATION na ndio dini pekee ya Mwenyezi Muungu hapa duniani
@muksinimbaruku123311 ай бұрын
Muislam na yesu tena alisikika chizi mmoja KZbin
@leahmollel658911 ай бұрын
Tuambie tuu kweli ya Mungu! Tukubali tukatae kazi ya Mungu umeshaifanya! Mko wachache sana na sisi ni vigumu kukuelewa! Mungu akubariki sana🙏🙏🙌
@godlistendiah356311 ай бұрын
WOW... this is awesome. Hayo ndio maneno ya mtu wa Mungu. keep it up brother.
@YusuphMkumbo11 ай бұрын
Kila siku unanyoshaa Sana Mzee wangu mungu akuwekee miaka 1000
@samsonnzisabira76811 ай бұрын
Duuh,hekima na busara ya mzee vimezidi.Mungu akubariki mzee!!!
@dr.dicksonjohn819611 ай бұрын
Mwenyezi Mungu Amtunze Sana Pastor Ukweli Siku zote Ni Mchungu kuupokea Lakini Ni Vizuri Sana Kuongea Ukweli. Hongera Sana Pastor Umeongea Ukweli Bila Kuficha na kuogopa Bila unafki.
@shabbymakapane11 ай бұрын
Umesema Kweli 100%
@joycehefsiba275010 ай бұрын
Asante sana mchungaji Hananja. Mungu akubariki sana.Tunakuombea Mungu akulinde uishi myaka mingi sana. Nb: wale waganga wa kyenyeji waliamua kuingia kanisani sababu sahii watu hawaendi kwa waganga sana Kama mwanzo, kwa ukweli hiyo si monekano wa mtu abebaye ujumbe wa Mungu kwa watu WALAWI19:28 uyo ni mchawi kapewa masharti aje aandalie wenzio njiya ndo pakitokea mtu mwingine Kama yeye akubalike. Kwa jina la Yesu christo alie hai tuna wapinga na kazi zao zi shindwe.
@avitusmichael511 ай бұрын
Mchungaji bora kuwahi kutokea ndani ya nchi hii, waumini wako wanapata uhalisia wa imani ya kweli
@shabbymakapane11 ай бұрын
100%Upo Sahihi
@emmanuelbonaventura425811 ай бұрын
Naam
@adelineswai236511 ай бұрын
I just love this man of God
@lalesmhina9 ай бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji Hananja
@margaretseela234411 ай бұрын
Spitting wisdom. Volume pastor hananja👏👏👏
@DavidKadaba5 ай бұрын
Mungu akuzidishie mchungaji Ananja na maisha marefu izo tamaduni zao zi poteleye mbali sana nasi❤❤❤❤Mchungaji
@charlesmbena912111 ай бұрын
Hananja is one of the best uishi Sana mzee wetu.
@EricaBizuru-jp9by11 ай бұрын
Umeongea ukweli mtupu na haki mungu atazidi kukulinda Ameen
@FatmaSaid-j9o11 ай бұрын
Am from kenya and I'm Muslim I really love him ❤
@jeremiahmuli176611 ай бұрын
AKUNA KAMA UYU CONGRATS
@emmanuelbageni438810 ай бұрын
Give Jesus Christ your life he will really save your life.
@OscarDzombo9 ай бұрын
Mungu akueke mchungaji
@tmbashujaaosama381011 ай бұрын
Kwa uwezo mchungaji alio nao angekuwa na tamaa angekuwa na bonge la kanisa. Mungu akutumze akuzidishie uwezo wa kusema ukweli tufukuze uchafu ktk dini
@azizamaulid925711 ай бұрын
Huyu mchungaji namkubali sana masha'allah laiti kama angekua na tamaa angefungua kanisa lake Haki angepiga hela sana Mungu amtunze mtumishi
@stephenmbasha438911 ай бұрын
Kuwa na kanisa ni kupiga hela??
@azizamaulid925711 ай бұрын
@@stephenmbasha4389 😅😅😅😅😅😅 huyu anaefufua watu yeye anafanyaje
@lucasmwambene826611 ай бұрын
Jiwe Moja limeua ndege wote Kwa hapa sio Wawili. Ubarikiwee pastor
@gidionmheni316511 ай бұрын
Be blessed Mtumish wa Mungu , wasemao kweli watan'gaa
@johnmakundi241511 ай бұрын
This"s might be the truly Man of GOD with purely words of wisdom,, apart from comedic tips in his preaching based on reality life he is role of origin Gospel!!!!
@shabbymakapane11 ай бұрын
100% Umesema Kweli
@chedielimrutu695511 ай бұрын
😂
@stanslausmteme845511 ай бұрын
Upo sawa
@owenomwanawayesu696111 ай бұрын
Mtawajua kwa matunda,fungueni macho!
@osamasuley229611 ай бұрын
A@@stanslausmteme8455
@vizinhomarioafonso953511 ай бұрын
Mze anailimu sana, tunfaidi, mungu akupe maisha malefo, amém, from Moçambique
@MichaelMsambwa-q9d9 ай бұрын
Asante baba kwa mafundisho
@PatrickMuendo-ur9js11 ай бұрын
Powerful mchungaji true gospel 🇰🇪🇰🇪
@ObadiaSimkoko11 ай бұрын
Wasome Yohana 4:24 na Yohana 7:17-18 wanadharilisha ukristo ni uhuni tu mungu Huendana na maadili ya eneo husika tuweni macho Sana watanzania ni nyakati zimefika zilizotabiliwa
@marystephen199411 ай бұрын
Nabarikiwa sana na wisdom na ukweli wa mpakwa mafuta huyu, Mungu ampe uzee mwema. Be blessed man of God❤
@patrickkatana882311 ай бұрын
AMEN..BARIKIWENI SANA MTUMISHI WA MUNGU
@reubenmwidima11 ай бұрын
Very true pastor 🙌
@AnordKawageme10 ай бұрын
Barikiwa sana mchungaji MUNGU akujalie afya na nguvu utubadilishe
@MaryMakala-o5i10 ай бұрын
Pastor endelea kutuweka sawa watu wasome biblia vzr, pesa Ina mwisho, safi sana mtumishi wa mungu, paza sauti usiogipe yupo yesu nyuma yako Amen
@MeryblessMshana11 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu,utamtambuaje kuwa ni Mwanafunzi wa Yesu,kutembea kwake na kuongea kwake utajua kuwa huyu ni Mwanafunzi wa Yesu,Matendo yako tu
@tigejuma986511 ай бұрын
Huyu baba ana nyosha maelezo vzur xna ... wachungaji wote wangekua kma huyu basi makanisa yote yangekua na msimamo mzuri...
@annamwakibinga52711 ай бұрын
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu. Ndiyo maana nakufatilia sana
@ntibashimadicksonmathiasna291511 ай бұрын
Barikiwe baba Mungu akutunze ni kweli shonga papai hilo linaliwa hilo
@faithe406311 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ambariki huyu pastor kweli, Mungu akikaa ndani ya mtu atavaa vizuri na kutembea kwa ustarabu
@ukhutfatumah115411 ай бұрын
Ameeeen ameeen ameeeen Asante sna baba kipenzi unafunza dini zote ubarikiwe Sana
@godfreyhiza107511 ай бұрын
Mchungaji umesimama upande wa Mungu Bwana azidi kukutumia!!!
@michaelkimweri107411 ай бұрын
Mungu akuweke mchungaji, unanifunza sana
@lilianmbeyu11 ай бұрын
amen hayo ndo mafunzo halisi ya imani much blessing man of God 🇰🇪
@shabbymakapane11 ай бұрын
Kweli Kabisa
@adamsengo186911 ай бұрын
Ni kweli kabisa 100%. Jina la Yesu libarikiwe
@godwinkileo770211 ай бұрын
Amen
@frankjohn870611 ай бұрын
Muonekano wa mavazi kimwili lkn pia Kuna ubatizo wa vitoto na kipaimara kama ni roho MTAKATIFU hawa wote wameliacha Neno watu kupenda pesa kuliko kumpenda Mungu..hongera pastor
@angellomarcel567711 ай бұрын
Nakukubali sana we Mzee yaani wewe ni Mchungaji wa Kweli soyo wale Mbugilambugila
@shilindebusolwa888711 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mchgj,,kwakusimama na misingi ya kibiblia,,hakika wewe ni mtumishi wa Mungu wa kweli,,,
@limymasele2111 ай бұрын
Mungu tulindie huyu Mchungaji.
@PatrickHassain11 ай бұрын
Mungu atakulinda sana mzee waambie ukweli wanaharibu dini yetu sana hawa usichoke mungu ata kulinda 🎉🎉🎉
@nataliamrosso11 ай бұрын
Amina
@LucasGabriel-o3p7v8 ай бұрын
Safi sana mchungaji mzuri,,,upo vizuri
@ChristinaCharles-py1ct10 ай бұрын
Mungu akulinde na mabaya muchungaji amen🎉
@AkwiliniQawoga11 ай бұрын
Maajabu mchungaji kuvaa ngup za kahaba.labda shoga.,Mungu atusamehe
@AsteriaBoay10 ай бұрын
Asante baba nabarikiwa na maneno Yako🙏🙏🙏
@georgemboneko916311 ай бұрын
Amina mch.mungu akubariki sana.
@suratibrahim641711 ай бұрын
Mch... Hananja ni lol model wangu.... mtumishi wa Mungu wa kweli❤❤❤ Sijawahi kuwa na mashaka nae 🙏🙏🙏💯 Mteule wa Mungu 🙏🏹🏹🏹
@linluxe10110 ай бұрын
😂😂😂lol????
@obedysabukunze10 ай бұрын
Asante sana baba kwa maneno ya hekima!😊
@NeliaMwenisongole11 ай бұрын
Kabisa Baba umezungumza Mungu ni zaidi ya Rais
@buikilapo-wm7zb11 ай бұрын
Mungu hakubariki,hakupe mwisho mwema!❤
@VicentKayagula11 ай бұрын
Hapa mchungaj HANANJA umenikosha. Big up father good 👍
@davidmisiwa462211 ай бұрын
Huyu mzee Huwa anaongea point sn, haongelei kabisa Bali anasimamia ktk uhalisia wa neno na nwenendo wa maisha au mtindo wa maisha uliopo, mwenyezi MUNGU amtunze
@KassimMbwana-m6i11 ай бұрын
😂😂😂Eti mwalimu lakn sijui wa vyuoni wakina nan ,Ila umenyooka sana mchungaji Mungu akutunze na akupe maisha marefu uzidi kutupa elimu ktk ubora huo huo🙏🙏
@joelyngomuo744111 ай бұрын
Mungu akujalie miaka mingi mchungaji hananja umesema ukweli mchungu
@SumunPolisi11 ай бұрын
Mpo wachache sana mungu akulinde
@RahiimTraveller-xb3pt7 ай бұрын
God bless you Pastor Hananja
@christermapunda50310 ай бұрын
10 Nao watauchukua uovu wao; uovu wa nabii utakuwa sawasawa na uovu wake yule amwendeaye aulize neno; Ezekieli 14:10 Asante mch Hananja.
@IsakaJeremia7 ай бұрын
Amen kizaz safi kijacho mungu mwema
@owenomwanawayesu696111 ай бұрын
Pastor MUNGU akubariki kwa kusema ukweli juu ya hawa manabii wa uongo.
@uwezawamungumkuu.amaniafrika11 ай бұрын
Haya ni majanga na tatizo. Lakini tumwachie Mungu mkuu mtoa ukumu mwenyewe. Amen.
@KenethMwambegele9 ай бұрын
Asante mch.. Hananja kwa ushauri wako mzuri kuhusumavazi
@josephmwangalika26739 ай бұрын
Mungu Akubaliki. Mtumishi
@SWAIBABDUL8 ай бұрын
Mungu amzidishie maisha marefu kwa nondo zake
@johnjohn208011 ай бұрын
Ubarikiwe sanaa sana na BWANA wetu YESU KRISTO mchungaji
@ليلياناورو9 ай бұрын
Very true,,,,hii ni hidalgo ya wachungaji,,,wasio na kazi,,,hawawezi,kanisa kukemea,dhambi,,wata kula,,wapi,,ndiyo,,maanau
@zabrongermanus-co1jj10 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@mbomapadon11 ай бұрын
Be blessed my Mchungaji umeongea points
@PeterOchieng-di7my3 ай бұрын
Hananja May God continue to be with you (namba ya sadaka)
@fredanunda771910 ай бұрын
Mchungaji ubarikiwe sana.kuweka mwangaza katika ukristo,
Sana nakupenda sana mzee una akili kweli kweli mungu akulinde na moto
@nemitv785011 ай бұрын
Amen pastor huu ndo ukweli watu wamekuwa vipofu.
@nganamaula806411 ай бұрын
Ubarikiwe mzee wangu
@salomeshongola169710 ай бұрын
Mimi ni katoliki,na katika wachungaji ninayemkubali Huyu ni namba mmoja.barikiwa sana.❤❤🎉🎉
@LeahKaboza-vb4ih11 ай бұрын
Leo mchungaji nimekuelewa asante
@JULIUSNYAMARUNGU11 ай бұрын
Mungu hakubariki uendelee kutusaidia katika Neno 12:44 ."we ❤ you"
@tlaqsy993810 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba kwa ujumbe wako!
@pariskatene11 ай бұрын
La illa illaallah Muhammad rasullullah
@NorbethJosphath-hm1zb11 ай бұрын
Wape makavu Asante baba
@mrsdeborahurio11 ай бұрын
Ubarikiwe Sana, Pastor!
@MichaelMathew-j3f11 ай бұрын
Ww mchungaji mtaalamu. Hahahahaha niseme tu mimi nakupenda!!! Uko juuuu!!!
@janengowi-lt9gu11 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mchungaji
@elizanguvila870711 ай бұрын
Ubarikiweee saaaana mtumishi wa Mungu
@everkivuyo859611 ай бұрын
Nakupenda bure Baba angu mt wa Mungu dunia inalazimishwa kuingizwa kanisan alaf watu wenye. Neno wakae kimya kisa watu hawataki ukweli ....big noo ujinga huo mt unakataliwa kabisaa Mteten Mungu sio ujinga ebu nenda leo n heren zako kaingi mskitini kama hujachapwa viboko vya kutosha
@prosperkimaro466011 ай бұрын
Mungu akulinde uishi Mika mingi uendelee kutusaidia kuwapinga wale wanaoaribu maandiko matakatifu