HOJA MEZANI || Uchambuzi kwa yaliojiri Mkutano wa Brics mjini Johannesburg

  Рет қаралды 6,220

Azam TV

Azam TV

10 ай бұрын

Viongozi wa kundi la mataifa ya Brics - Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini - wamekutana tarehe 22 Agosti mjini Johannesburg, na suala kuu litakuwa ikiwa ni kukubali wanachama wapya.

Пікірлер: 30
@Hezronjumacharles
@Hezronjumacharles 9 ай бұрын
Huyu Thabit jamaa anajua sana keep it up
@user-wh9ml5vc7x
@user-wh9ml5vc7x 10 ай бұрын
kaka ucomakini sana kaka kinacho changanya erim hatuna asante.
@user-ni9gx1ho6c
@user-ni9gx1ho6c 9 ай бұрын
Hhhhh mada ipo poa sana woooote respect hoja ipo moto sana kila unapoipeleka inakubalika ipo nutro BG up 4 all.
@iddykivu1336
@iddykivu1336 10 ай бұрын
Huyu Mwenye Shati Jeupe hamna kitu Muongo sana na hajui chochote kuhusu BRICS
@aminielkombe66
@aminielkombe66 9 ай бұрын
Na reserve ikiwa Gold je,, sio makaratasi
@tonitonito1587
@tonitonito1587 10 ай бұрын
Tatizo lako wewe mchambuzi apo studio upo upande wa west. Lakini mm kwa utaalamu wangu naona anguko la dola litakuwepo lakini litachukua mda wa miaka 5 mpaka 10 sababu ya BRICS+ Wako na mipango mingi ambayo mm na wewe hatujui maana hao walisema hawahitaji ongezeko la wanachama lakini leo hii wameongeza sasa kwa haraka hawa jamaa wako very creative sana kwenye umoja wao. Time will Tell sisi tusubiri i na tuone
@ramansitv3292
@ramansitv3292 7 ай бұрын
Toa sababu mzee dola itaanguka kwasababu kadha wakadha kama alivyoeleza yeye, ili nasisi tupate elimu usibishe kwa hisia tengeneza fact
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 9 ай бұрын
Hakuna utawala wa milele. Ukubwa na kua ni mizizi mingi na yenye uimala, Hua huo mti unaangamizwa
@AbuuKajembe-bb3zo
@AbuuKajembe-bb3zo 10 ай бұрын
Itawezekana 2
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 10 ай бұрын
Tabit mlangi wewe ninoma sn
@ramadhanisalum2271
@ramadhanisalum2271 10 ай бұрын
Kaka umechambua vema, but wale wana akili nying kuliko unavo fikiria jua wee una elimu lkn kuna watu wana elimu ×5 zaid yako, jua mungu kashasema hakuna utawala weny kudum milele ispokua ni wake tu, kumbuka kuna tawala nying zimetawala miaka kibao lkn Leo zimeanguka
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 10 ай бұрын
Yani unajuwa kuchambu adi umepitiliza kk
@RidhiwanSeifJuma-fk6zj
@RidhiwanSeifJuma-fk6zj 10 ай бұрын
Uyokibaraka hakuna kitu hapo wameweka vikwazo na uchumi wa urusi umepanda itashindwaje kufa Kwa dola
@mussakulanga9513
@mussakulanga9513 10 ай бұрын
uchambuzi wa uchwara yaani kwa wasomi wa Russia, china na mataifa ya bricks hawajui wanalo lifanya duuh toka hapo na elimu zetu za kuunga unga vidiploma unachemka unachekesha
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 10 ай бұрын
Dola chaliiiiiii😂😂😂😂
@wewa7329
@wewa7329 10 ай бұрын
Hakuna kisichowezekana bwana hata hio dollar itaangukatu
@user-wh9ml5vc7x
@user-wh9ml5vc7x 10 ай бұрын
sabiti kaka uwe unatusaidia kuchabua vita ya urusis na yukeren kaka tunategemea mawazo yaco
@khamisbubah9992
@khamisbubah9992 10 ай бұрын
Thabiti mlangi Acha ujinga akuna kinachoshindikana japokuwa itakuwa mchakato wa muda mrefu
@peterdeus6093
@peterdeus6093 9 ай бұрын
Tatizo unafikiria kwa emotional
@dinocastico8495
@dinocastico8495 10 ай бұрын
Kwa maelezo ya bwana thabit ni wazi dola haita anguka. Ila suali kitabaki moja tu je hawa BRICS hawajuwi wanacho fanya? Je hawana watu wa kimkakati katika kuyaendea mambo? 😂😂😂 jamani hawa jamaa hawaku jiunga kucheza ndondo tuacheni fikra za darasani siri ya uchumi wa nchi ipo katika utendaji wa serikali na sio nadharia ya kusikia vyombo vya habari
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 10 ай бұрын
Mmarekani hawezi kuathirika!!! Mcham uzi acha mahaba ya simba na yanga
@uwimana6533
@uwimana6533 10 ай бұрын
Ulisomea siasa ? Mpaka ubishe
@MiriamMwalukisa-oy4xl
@MiriamMwalukisa-oy4xl 10 ай бұрын
Uyu jamaa ni muongooo sanaaa aliye Vaa shati jeupe
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 10 ай бұрын
Ni muongo au we mjinga hata facts unaziona ni uongo
@Pedeshee01
@Pedeshee01 10 ай бұрын
Thabiti ni mchambuzi tu wa siasa na siyo mchambuzi wa uchumi,Hapo amejaribu tu,mfumo wa dola ulipandishwa tu na watu na kuuangusha pia inawezekana japo itataka muda kusema haiwezekani ni kukosea chini ya jua hakuna linaloshindikana,america keshaanza kupoteza
@peterdeus6093
@peterdeus6093 9 ай бұрын
Tatizo unaushabiki bila fact ndo.maana unaona uongo
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 9 ай бұрын
@@peterdeus6093 sio ushabiki tu uwezo wake mdogo wakujua hoja za vijiwe vya kahawa au stori za saluni sio mambo yanayohitaji kujua vitu kwa kina
@mocomoja4229
@mocomoja4229 10 ай бұрын
Thabit yupo vizur kwa uchambuzi Ila naamin waliokaa chini mpaka kulipanga hili Ni watu hatar kimkakati so tutegemee lolote linaweza tokea kuanguka kwa Dola au kushindwa kwa brics
@mahmudahmad5369
@mahmudahmad5369 10 ай бұрын
wewe mchambuzi ni muongo maana haujui kitu.
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,2 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 129 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 17 МЛН
HOJA MEZANI || Ushirikiano baina ya Mataifa ya Afika na Urusi
29:27
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 10/07/2024
22:22
Azam TV
Рет қаралды 12 М.
CHEKECHE || Ukosefu wa Dolla na sababu za kuadimika kwake
24:37
Urusi yatangaza kusimamisha mkataba kati yake na Marekani
9:53
MCHAMBUZI THABIT ATOA SOMO MFUMO WA UTEUZI
38:00
Gangana Info Channel
Рет қаралды 3,7 М.
Русский ДЕБЮТИРОВАЛ В ЛИГУ ДАНЫ УАЙТА #shorts
0:35
ШКОЛЬНИК ДАЛ БОЙ ШОВХАЛУ 😨 #shorts @EXPERTIZAMMA
0:57
ExpertИза MMA
Рет қаралды 1,5 МЛН
Valverde's Shooting Power
0:39
Foot Passion
Рет қаралды 5 МЛН
Не надо толкать, надо бить🥊
0:20
Алексей "Новатор" Сурков Тренер по боксу
Рет қаралды 1,5 МЛН
Footballers Precise Shot Challenge😎
0:28
Football Arena
Рет қаралды 4,5 МЛН