MCHUNGAJI MSINGWA AFUNGUKA SABABU ZILIZOMFANYA AONDOKE CHADEMA | WANAVUNJA KATIBA

  Рет қаралды 2,144

Channel ten

Channel ten

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@emmanuelymganga5737
@emmanuelymganga5737 2 ай бұрын
we mzee muache aseme mAneno yake pekee akee saa una msukumia vikaratasi vya kazi gan
@LalariNgakenya-sf7cu
@LalariNgakenya-sf7cu 3 ай бұрын
Hayo hukuyaona ulipokuwa unagombea uenyekiti wa Kanda?kwa Nini umeyaona tu baada ya kushindwa?
@YusuphJaha
@YusuphJaha 3 ай бұрын
Nimefuatilia KADI ya ccm Toka September 2023 mpaka Leo nazungushwa TU. Msigwa Leo Leo amepatiwa KADI ya chama.😢😢
@TrustElbashil
@TrustElbashil 3 ай бұрын
Msigwa,msigwa jaribu kufunga limdomo chunga ulimi ccm nikama panya lakini haina shida c sisi tupo
@allyaboud7224
@allyaboud7224 3 ай бұрын
ata uko ukikosa madarak utahama tena hahahahah
@gloryharold8022
@gloryharold8022 3 ай бұрын
njaa tuuu , ungekua umeshinda ungeongea huo ujinga, mpuuzi tu kama wapuuzi wengine
@hassanzuber
@hassanzuber 2 ай бұрын
Ukiwa kiongozi unatakuwa uwe na ujasiri lkn baba hakimbii nyumba yake na kutupa silaha zake hata ndani ya chama Cha mapinduzi wengi wanaojua uongozi ni pamoja na uvumilivu hawatakuelewa ila hongera unapoteza mvuto ndani ya ccm na chadema hata kwa wananchi nakupongezaaaa
@fadhilikyandofadhilikyando5666
@fadhilikyandofadhilikyando5666 3 ай бұрын
Wewe ndio umepoteza mwelekeoo syo chademaaa
@mozesjoseph7630
@mozesjoseph7630 2 ай бұрын
Huna jipya. Wewe. Hivo umeisha. Kisiasa. Kafurira Yuko wapi. Nasari Yuko wapi. Machari Yuko wapi. Rijuwa Kari. Yuko wapi. Umeisha. Kisiasa. Yani. Umeisha.
@DavidKagulu
@DavidKagulu 2 ай бұрын
Hivi siku wakimchukua heche watafanyaje?
@emanuelmwakasungula3052
@emanuelmwakasungula3052 2 ай бұрын
Mimi nakubaliana sasa chama kingenda Kwa mitindo wa wanasiasa wa mitindo wako
@DavidKagulu
@DavidKagulu 2 ай бұрын
Watamtumia kwa muda watamdampo Kama wanajiamini wamsimamishe ubunge iringa mjini'tuwaonyeahe
@Fesary
@Fesary 3 ай бұрын
Maajabu
@OmaryallyAbdallah
@OmaryallyAbdallah 3 ай бұрын
Sawa umeeleweka
@mozesjoseph7630
@mozesjoseph7630 2 ай бұрын
Hivi msigwa. Umezidiwa. Akiri na. Mtu ambye hajasoma. Umefanya Nini kuhamia ssm. Maana hata mtu ambye hajasoma hawezi kufnya hivo. Kiukweri. Kiukweri. Umeisha. Kisiasa. Mbona. Hukujifunza. Kwa zito. Kabwe. Yani. Umekwisha. Hovyoo. Kwerikweri.
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 3 ай бұрын
Wakati wa kupiga pesa sasa msingwa
@Kanyawela
@Kanyawela 2 ай бұрын
Hakuna demokrasia ccm iliyosema nileteee uyu hata kwetu ccm tulionewa nadhani demokrasia bado kwa vyama vyote tujipambanue uyo msigwa ni muongo mbona hukuja kabla ya kushindwa ?
@cloudjulius-sf6nw
@cloudjulius-sf6nw 2 ай бұрын
Huyo msigwa hana lolote nimrafi wa madalaka na mwenzake upendo peneza
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 3 ай бұрын
Na manguo yake ya laana,mwizi wa sadaka
@etufaniakahemela5879
@etufaniakahemela5879 2 ай бұрын
Hahahahaaaaaaa
@BlessMwangosi-mz8dw
@BlessMwangosi-mz8dw 3 ай бұрын
Kwendazakomsaritmkubwaww
@OmaryallyAbdallah
@OmaryallyAbdallah 3 ай бұрын
Sawa umeeleweka
Ruto's choice for Gachagua replacement
21:42
Herman Manyora
Рет қаралды 39 М.
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 89 М.
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 5 МЛН
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 12 МЛН