MASWALI KWA WAZIRI MKUU: Mbowe achafua hali ya hewa

  Рет қаралды 34,931

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Hali ya kutoelewana, leo imeibuka katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa waziri Mkuu Bungeni, baada ya kiongozi wa kambi rasmi ya upinzanin Bungeni, Freeman Mbowe kuhoji kuhusu madai ya rais kutaka kuvifuta vyama vya siasa.

Пікірлер: 14
@marychacha825
@marychacha825 7 жыл бұрын
kwani waziri si ajibu mbowe hongera swali limepenya
@yusuflittanda2949
@yusuflittanda2949 7 жыл бұрын
Lema hayupo kizuizini, Aliyefungwa kafungwa, Mbowe huenda alikuwa na maana nzuri ila kakurupuka ajipange ndio aulize swali
@sulemanWaydad
@sulemanWaydad 3 ай бұрын
Ni atr
@gaspermassawe7397
@gaspermassawe7397 7 жыл бұрын
Mbowe please, komaa tu kwani nchi hizi za Africa na sisi tukiwemo Mara nyingi kama siyo Mara zote,tunapenda kuwa kuongoza wananchi wetu bila kuwatendea HAKI,HIVYO BASI VIONGOZI WETU WANAPENDA KUWA WAKOLONI WEUSI,STUPIDITY LEADERS, ONE DAY WILL GOT OUR INDEPENDENT.
@princeedward2741
@princeedward2741 7 жыл бұрын
Nooo,angejitambua kikazi haya yote yaxingemkuta.dogo janja wa arumeru kaona pamenuka xkuizi yupo kimya anajali kazi yake.
@trgphonegeorge3832
@trgphonegeorge3832 6 жыл бұрын
Maswali hatari hayo, lazima umteteee huyo!!!!!
@marychacha825
@marychacha825 7 жыл бұрын
mbowe Hana MTU nimeipenda
@charlesmagere9020
@charlesmagere9020 7 жыл бұрын
separation of power lazima iheshimike.....mbowe vpi mbona unakurupuka Mzee..... au ndyo madeni ya NHC yanakuchanganya
@trgphonegeorge3832
@trgphonegeorge3832 6 жыл бұрын
Kwa nini umamkataza kujibu wewe!!!!
@juvenalishao1652
@juvenalishao1652 7 жыл бұрын
Endelea na msimamo wako wa maswali magumu
@sifuelinyaki3341
@sifuelinyaki3341 4 жыл бұрын
Ajibu swali banh
@devisdomician9469
@devisdomician9469 7 жыл бұрын
Big up mbowe
@amanimkambala8146
@amanimkambala8146 7 жыл бұрын
ongera mbowe
@hamisjafari6407
@hamisjafari6407 7 жыл бұрын
Amani Mkambala
"Unapotangaza mtu aje Polisi saa 5, wewe ni nani?" - MBOWE
12:00
Millard Ayo
Рет қаралды 694 М.
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 38 МЛН
MBOWE ALIVYOMBANA WAZIRI MKUU KWA MASWALI, UCHAGUZI, TUME UHURU
10:31
KUDOROLA KWA UCHUMI: Mbowe VS Waziri Mkuu,
6:00
Mwananchi Digital
Рет қаралды 4,3 М.
Dk Mpango akiondoka bungeni baada ya kuthibitishwa kuwa Makamu wa Rais
4:40
129th IOC Session - Keynote speech by Professor Muhammad Yunus
1:26:36
BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU
12:23
Millard Ayo
Рет қаралды 311 М.
Lissu afunguka kuhusu madini 'Mungu anasikia.. mtaniambia'
17:29
Millard Ayo
Рет қаралды 378 М.
MBOWE AMBANA WAZIRI MKUU BUNGENI - "UNANIPA MAJIBU MEPESI SANA"
11:04
Global TV Online
Рет қаралды 140 М.
VIDEO: Naibu spika vs Mbowe bungeni kwenye swali kwa Waziri mkuu
5:29
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН