"Unapotangaza mtu aje Polisi saa 5, wewe ni nani?" - MBOWE

  Рет қаралды 692,758

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Kwa mara ya kwanza toka Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kutajwa kwenye sakata la dawa za kulevya kwenye orodha ya watu 65 ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, leo ameongea akiwa Dodoma.

Пікірлер: 567
@azizyben281
@azizyben281 7 жыл бұрын
mpk naskia raha mbowe anavyoiishi sheria upo vizuri sana mkuu na your there for the people!!
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 жыл бұрын
Exactly as are really good leadership.
@dominacosmo8163
@dominacosmo8163 7 жыл бұрын
we need ten more people like you
@odoocool9755
@odoocool9755 7 жыл бұрын
Domina Cosmo watu hatujui sheria tunakurupuka, hta kama anhusika hajbisha ila sheria zifuatwe. Me nimemuelewa.
@danielromario5183
@danielromario5183 7 жыл бұрын
asanteh sana bwana mkubwa mbowe wajinga watakupinga wenye akili watakuunga mkono
@leahmkumbo2526
@leahmkumbo2526 7 жыл бұрын
well said Mh Mbowe
@anodnjenje9084
@anodnjenje9084 7 жыл бұрын
daniel romario haswaaaa
@nonofelix3903
@nonofelix3903 7 жыл бұрын
daniel romario hilo nalo neno.. safi sana ndugu
@danielromario5183
@danielromario5183 7 жыл бұрын
santeh ndugu
@danielromario5183
@danielromario5183 7 жыл бұрын
sawasawa
@petersanga4167
@petersanga4167 7 жыл бұрын
kwa MTU muelewa atakua kamuelewa vizur mkuuuu
@celitomclassic5085
@celitomclassic5085 7 жыл бұрын
peter sanga kila mtu ana uelewa tofauti...
@anodnjenje9084
@anodnjenje9084 7 жыл бұрын
peter sanga kunavichwa maji hawaelewagi
@ramadhanjarome3880
@ramadhanjarome3880 7 жыл бұрын
peter sanga diamond
@tonyjohn9543
@tonyjohn9543 7 жыл бұрын
Anod Njenje baba nmekuelewa sana
@janekisyombe5795
@janekisyombe5795 7 жыл бұрын
safiiii mbowe mwambie huyoooo dogo hajielewiiii kabisa.
@lindahoney360
@lindahoney360 7 жыл бұрын
we need a guy like him..salute..
@lindahoney360
@lindahoney360 7 жыл бұрын
anajielewa.
@Ishengoma1
@Ishengoma1 7 жыл бұрын
Yaani Muziki ndo unaanza. Acha maneno weka muziki
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 жыл бұрын
Mwaka huu!!!sijui
@castrolk.ezekiel7426
@castrolk.ezekiel7426 7 жыл бұрын
Duh,ukijua sheria raha xaana,"nmeamin mwanaume htishiwi nyau" maana pamoja na misukosuko yoote bado Rais anatajwa kua...!!!?? Nmekuelewa Mbowe
@leoniladidas3343
@leoniladidas3343 7 жыл бұрын
CASTROL EZEKIEL k
@celitomclassic5085
@celitomclassic5085 7 жыл бұрын
CASTROL EZEKIEL unakumbuka Manji na Gwajima walivyojitamba ???? unadhan kuna mtu anajua sheria ka Tundu Lissu mbona anaenda na kurudi?? hayo ni maneno tu hata wanasheria wa Manji walibak central jana wameshangaa wakti wenzao wanapandishwa gari...
@pascaljulias6008
@pascaljulias6008 7 жыл бұрын
Thomas Malauri haijarishi mbowe sheria hanaijua na ndio ni raha kujua sheria za nchi so taratibu zikifuatwa za kumuita ndio hatakuja lakini sio kinyonge kama wengine walivyo jipeleka....hata kama wakija kumchukua kimabavu teyari kishaonyesha uwanaume....pia kafungua wengi kua serikali tawala haifuati sheria.....na hakuna asiye pinga madawa ya kulevya.
@pascaljulias6008
@pascaljulias6008 7 жыл бұрын
Absolutely
@selemanilisecamp3349
@selemanilisecamp3349 7 жыл бұрын
yani inauma sana kubebeshwa mzigo usiyo kuhusu makonda kabeba zigo la misumali kichwani
@brysonvicent8230
@brysonvicent8230 7 жыл бұрын
mh mbowe Mara nyingi huwa simuelew lakin kwa hili nimemwelewa sana. simama imara baba mbowe ✌✌✌✌✌✌✌👏👏👏👏
@mahelamnazaletimahela9317
@mahelamnazaletimahela9317 4 жыл бұрын
Mbowe uwaga umuelewi kapimwe akili
@samwelmasoya3347
@samwelmasoya3347 4 жыл бұрын
P1
@kapolesyaba3133
@kapolesyaba3133 7 жыл бұрын
Tangu mwaka 2003 nilpokufahamu, nilkupendezwa na hoja na msimamo wako nikajikuta ninakufollow, mpaka mwaka 2007 nilpokufanya my role model officially, ndivo nitafanya katika maisha yangu yaliyobaki sababu hata ungebadilika vip bado mengi nilojifunza kutoka kwako yamenifanya kuwa hivi; mwananchi muwajibikaji, shujaa, mpenda haki na nchi yangu kwa ujumla. real appreciate u Mh. Mbowe! Hakika wewe ni hazina kwa taifa hili hususan katika kipindi hichi cha transformation into Industrialized country, wanaokubeza acha wafanye hivo ila haitopunguza trust za wengi kwako. Mungu akupe maisha marefu na ubunifu zaidi.
@andrewmlamba
@andrewmlamba 7 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa atamuulizaje maswali mbunge!?!Nakatiba yenyewe haimuruhusu.Ngoja jumatatu kibao kimgeukiye yeye atakapo funguliwa mastaka yakumchafuliya sifa Mbowe
@jacquelinemabula2519
@jacquelinemabula2519 7 жыл бұрын
Mullermba Chusa who is mbunge asiulizwe yeye nani basi nikweli wancho k8fanya na ndiyo shuhuri zao mbowe si yupo dar bado yupo chini ya makonda tu ubunge wake bungeni kila mtu anasehem yake ya kazi rc ndiye anae paswa kujuwa hali ya u salama ndani ya mkoa wake na mienendo ya watu wake ndani ya mkoa aende zake uko huyo mbowe aende police
@ummyissa4622
@ummyissa4622 7 жыл бұрын
Mullermba Chusa patam haap0
@juliusbivannah9807
@juliusbivannah9807 7 жыл бұрын
not
@queenmalikia4172
@queenmalikia4172 7 жыл бұрын
Mlash Chusa makonda Kanyea chupi ya Mtoto wazazi Waja just. ....kimeiva kwako makonda utajibeba kama sio kukimbia nchi
@tikaeddie7284
@tikaeddie7284 7 жыл бұрын
Mlash Chusa juzi manji alifoka jana akaja kulala Aya endeleeni kumsema Makonda ila huyo mbowe hizo sifa zake hazina faida 💃💃
@salmasalim6055
@salmasalim6055 7 жыл бұрын
mbowe maashaallah nimeipenda spich wako wewe kiboko sulut mkuu
@happybraysoni7373
@happybraysoni7373 7 жыл бұрын
Kweli imechukuwa Muda mrefu kulichukulia hatua hili na waadhirika ni wengi
@Eddo_barbertz
@Eddo_barbertz 7 жыл бұрын
Happy Braysoni kweli
@raphaelraphael4557
@raphaelraphael4557 7 жыл бұрын
Happy Braysoni kama dhana ni kuwa kiongozi basi wote wanaongoza watu wakiambiwa wanawachafua wanaowaongoza au
@kamaluhajj3446
@kamaluhajj3446 7 жыл бұрын
Millard please ongea na TCRA mtu wetu wa nguvu wasikufungie huku ndo tunapata mambo mazuri
@heriethb.chanafi5644
@heriethb.chanafi5644 7 жыл бұрын
Safi sana! At last sheria zinaanza kutumika huko ziliko andikwa! Ndugu waheshimiwa naomba kujua sheria inayolinda "REPUTATION" ya watoto wetu na vijana wetu ambao wamekuwa mateja! au mashoja au wana VVU kwa kutumia madawa ya kulevya aka mihadarati! na sisi wazazi wao ambao majina yetu yameharibiwa na heshima zetu kushuka katika jamii kwa kigezo cha kushindwa kulea watoto wetu hadi wamekuwa mateja! au mashoga au wana virusi vya ukimwi kwa kuchangia mabomba ya kujidunga madawa! Wakati sasa umefika nataka kufungua mashtaka ya "DEFORMATION" kwa wauza unga lakini sijui "PROCEDURE" nisije kosea katika kuitafuta haki!
@kebo2155
@kebo2155 7 жыл бұрын
safi sana ...nchi hii imekosa adabu... muulize mjumbe wako wa shina ataweza kukusaidia kidogo kuhusu procedure...
@lulumariethk7385
@lulumariethk7385 7 жыл бұрын
Herieth B. Chanafi great point about kufungua mashitaka! I would advise uende kumuona mwanasheria binafsi au hata ustawi wa jamii kama una evidence kua kijana wako ni mwathirika. Kwanini nimesema ustawi wa jamii? It's because wanatakiwa kushughulikia social welfare (hili neno sijui ni nini kwa Kiswahili) ya wananchi!
@AnkoJJ
@AnkoJJ 7 жыл бұрын
Social welfare kwa kiswahili ni Ustawi wa jamii
@officialmologa
@officialmologa 7 жыл бұрын
Herieth B. Chanafi nguvu tutapata wapi na sisi ni vijana ambao status zetu ni poor unafikr tutafka mahali kudai haki au tutazimwa kama mshumaa
@jacquelinemabula2519
@jacquelinemabula2519 7 жыл бұрын
Herieth B. Chanafi 👏👏👏nice sister
@fundikiller7884
@fundikiller7884 7 жыл бұрын
MBOWE YOUR GREAT MAN
@christsflowe.r
@christsflowe.r 7 жыл бұрын
Safi sana Tanzania watu wanapelekwa pelekwa tu atleast u can stand for the rest
@athanasmasmami5389
@athanasmasmami5389 9 ай бұрын
ukijua sheria bwana raha sana yani Big up Mbowe
@eliuskivuyo6521
@eliuskivuyo6521 7 жыл бұрын
Kiongoz wangu nakuelewa sana, onyesha njia, tupo nyuma yako
@lulugama1547
@lulugama1547 7 жыл бұрын
wazo la makonda ni zuri lakini approaching yake sio nzuri. unapoongelea madawa ya kulevya inaleta picha mmbaya kwenye fikra za mwanadamu ndani ya jamii, Kuna watu walikuwa na mapenzi na nchi yao lakini kuharibu jina la mtu anaeaminika na watu mia nyuma makonda lazima aelewe anakosea. mtu anayauza mkamate na kete zake mpeleke mahakamani sio kusikia maneno watu wanamtajia tuu majina anaandika hata spelling zenyewe anakosea. well said Mr mbowe I myself support you completely
@dvjtwentyfivedecember4398
@dvjtwentyfivedecember4398 7 жыл бұрын
unajisumbua tu cha msingi fika kituoni katoe maelezo, acha maneno mengi kiongozi itikia wito, ufanyiwe uchunguzi basi.
@hassanovajunior3006
@hassanovajunior3006 7 жыл бұрын
Dvjtwentyfive December afike tu kujieleza ni kwa sirro sio hapa
@lyimoaikamber2159
@lyimoaikamber2159 7 жыл бұрын
Hassanova junior ww umefanyiwa uchuzi
@joycemichaellovelove2221
@joycemichaellovelove2221 7 жыл бұрын
#Dvjtwentyfive December 😂😂😂😂😂
@shuwehaomar6658
@shuwehaomar6658 7 жыл бұрын
Dvjtwentyfive December hunaakili
@emariusrush7704
@emariusrush7704 7 жыл бұрын
Dvjtwentyfive December kuma nyoko,aende police bili samasi????
@janenatales8350
@janenatales8350 7 жыл бұрын
. Safiiiiii kamanda.... Huyo kajipalia makaa ya moto na atajuta Sanaa
@atheistblood8568
@atheistblood8568 7 жыл бұрын
mbowe oyeeeeee oyeeeeee
@meddyyassin4741
@meddyyassin4741 7 жыл бұрын
thank u mbowe,, that's why I love law,, cz it makes me aware of my rights
@user-de7nf8pp3w
@user-de7nf8pp3w 7 жыл бұрын
wallah laadhm nakuwa very interested ninapopata updates za nchi yangu niko mbal lkn millad unanifany kam niko tz hongera sana kak mwenyezmung azid kukulinda uzid kutuhabarisha kuhus nchi yetu shukran
@fatumafundi4410
@fatumafundi4410 7 жыл бұрын
Jaman mbn maneno meng
@hassanihussein4479
@hassanihussein4479 7 жыл бұрын
uxjl na mim itakuwa nakupa habar
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 7 жыл бұрын
+Hassani Hussein Ha ha ha acha ni cheke mie
@neemahussein4957
@neemahussein4957 7 жыл бұрын
افلح السريرس umeonaee
@josephlugala2035
@josephlugala2035 7 жыл бұрын
ONE DAY WE WILL UNDERSTAND THE TRUTH LETS BE PATIENT
@khalidkassim9782
@khalidkassim9782 7 жыл бұрын
Mbowe your the man mfunguliye mashtaka huyo makonda no one has to be above the law
@adenwarsame7357
@adenwarsame7357 7 жыл бұрын
Mbowe Umetisha Mkuu😂😂😂😂😂😂
@allangodbless1566
@allangodbless1566 7 жыл бұрын
limekua jambo la busara mh Mbowe kutoa maelezo hayo maana nilisikitishwa na kauli ya bwana yule akituzalilisha wananchi wa jimbo la HAI kuwa kiongoz wetu ni muuza unga;Uongoz ni hekima siyo masifa na unafik
@jacksonkoligo8164
@jacksonkoligo8164 7 жыл бұрын
gombea urais 2020 utusaidie mh mbowe ...big up sana ni kiongozi ambaye una vision na siyoni mwingine wa kukukaribia,,,,hongera sana mbowe
@OmarAli-wr1ti
@OmarAli-wr1ti 7 жыл бұрын
Yani uyu Mbowe pekeake ndio amefanya maamuzi Bora kuliko wote
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 жыл бұрын
Yeah.
@robathzingu1650
@robathzingu1650 4 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali sana Mh. Mbowe. You are really a leader...
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 7 жыл бұрын
vimba baba nimekuelewa kiundan sana.... MAKONDA kafanya kosa kubwa BINAF... hatakama tunataka liishe hili JANGA ila kiukweli kafanya makosa twendeni nyuma twende.mbele... kama utakuwa umemuelewa MBOWE kwenye mada za mwisho mwisho kabisa.... utakuwa wee sio waanchi hii yakibongo utakuwa umetembea tembea nje.
@juliusuronu8812
@juliusuronu8812 7 жыл бұрын
Mbowe leo umeongea kibaba.....Yan Makonda akiona haka kavideo lazima moyo umdunde kwanza maana hata aliyoongea Manji sio makali hivi...Shikamoo baba mbowe
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 жыл бұрын
Julius URONU hahaha haha mm ngoja nicheke
@gustaphmlyandi7045
@gustaphmlyandi7045 7 жыл бұрын
@godmanbuchocho2608
@godmanbuchocho2608 5 жыл бұрын
Ww ni baba sisi wanao tuonyeshe njia salama ili hali tuwe na uhuru katika nchi yetu
@maxzitatu1617
@maxzitatu1617 7 жыл бұрын
Najivunia Kuwa Mwana Chadema, Tuna Viongozi Wana Akili Sana
@tikaeddie7284
@tikaeddie7284 7 жыл бұрын
kwani kasema unadeal na madawa ya kulevya??? hebu nenda central, hapo sio central 💃💃💃
@petersanga4167
@petersanga4167 7 жыл бұрын
Tika Nyalusi unaakili wewe
@mathewmselle7331
@mathewmselle7331 7 жыл бұрын
Tika Nyalusi sikiliza anachokiongea acha kushabikia ujinga
@tikaeddie7284
@tikaeddie7284 7 жыл бұрын
Nimesikia,nimeelewa ndo maana nime comment alafu reflect alichosema Makonda upo....
@joycemichaellovelove2221
@joycemichaellovelove2221 7 жыл бұрын
#Tika Nyalusi 😀😀😀😀
@anodnjenje9084
@anodnjenje9084 7 жыл бұрын
Tika ndo wale wale wasiolewaga mwalimu wako alipata shida kukufundisha
@hismail7867
@hismail7867 7 жыл бұрын
Asante Mbowe, lazima umpeleke Makonda mahakamani. Kasahao uheshima.
@nellxoxoxo9966
@nellxoxoxo9966 7 жыл бұрын
wacha sheria iongee R.I.P makonda you messed up big time 😎 madawa ya kulevya na sifa wap na wap?
@anodnjenje9084
@anodnjenje9084 7 жыл бұрын
Nellxo xoxo hahahaaa
@mwasitiomtima2818
@mwasitiomtima2818 7 жыл бұрын
tunapoangalia muvii kuona vitu flan huhu Leo yanatokea Tz yaan maisha yamekua kama muvi yaan, things are getting interesting wallah , hya let wait & see
@jacquelinemabula2519
@jacquelinemabula2519 7 жыл бұрын
mbowe iyo sio kificho kwani watanzania wanaelewa kuhusu wewe
@godlistenkimario8956
@godlistenkimario8956 7 жыл бұрын
jacqueline mabula kuhusu ww wanaelewa nn
@cavoo4get649
@cavoo4get649 7 жыл бұрын
jacqueline mabula unaelewa nini kuhusu yeye? itabidi uisaidie jamuhuri kama unaelewa.
@johnfrancis1826
@johnfrancis1826 7 жыл бұрын
jacqueline mabula unaeza ukaitwa kuulizwa nn unakijua kuhusu yeye na huna ushaidi wowote pimbi ww
@juliusuronu8812
@juliusuronu8812 7 жыл бұрын
Haka ka jacqueline mkasamehe bure maana mimi naona kana ropoko kama kamekula pombe ya machicha nyie kaacheni Central sio mbali
@salimomari3747
@salimomari3747 7 жыл бұрын
Naomba uende kituoni haraka katoe ushahidi....tena ukichelewa utakumbushwa.
@grandpa5071
@grandpa5071 7 жыл бұрын
Can't wait for next episode... need to get some popcorn too
@jumakhjuma5319
@jumakhjuma5319 7 жыл бұрын
Hatutoi Kiki Kiboya boya tyu....Congrats Uncle #mbowe #freeman na jina lako lenyewe ni Freeman....alafu no Buddy is above the law...umeongea jambo
@sifacycy_bby8827
@sifacycy_bby8827 7 жыл бұрын
Mh! shukran san #Ayo tv kwa tarifa. ......👏👏👏
@kigambontv9748
@kigambontv9748 7 жыл бұрын
Eti mjinga mmoja tu Mbowe bhana eti hivi Leo Makonda anaweza kunilipa leo hahahaaaa acha ISIDINGO iendelee
@odoocool9755
@odoocool9755 7 жыл бұрын
Nimekuelewa Sasa. siasa sio za kukurupukia. hahahahahhaah Mbowe kaza babaa we sio mtu waspotspot
@user-de7nf8pp3w
@user-de7nf8pp3w 7 жыл бұрын
jmn nilikuwa nina ham ya kukuckia mbowe kuhus hii inshu nimehuzunika kuckia umetajwa ktk orodha hiyo coz ww ni kiongoz wangu ninaependa kukufuatilia sana hasa ukiwa bungen
@leoniladidas3343
@leoniladidas3343 7 жыл бұрын
umesikitika kutajwa Mbowe...basi hata baba yako kama anahusika atatajwa tu... movie ndio kwanza mbichi....tetetetete!
@tikaeddie7284
@tikaeddie7284 7 жыл бұрын
unapenda vijana waangamie eh 💃💃💃
@zachariadidas9387
@zachariadidas9387 7 жыл бұрын
msenge leonila
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 7 жыл бұрын
+Leonila didas ha ha ha umemsahau mke wake atajwe tu
@judithlaizero356
@judithlaizero356 7 жыл бұрын
افلح السريرس mmm
@officialmbeyaone3572
@officialmbeyaone3572 7 жыл бұрын
mh mbowe umeongea hizulisaana
@daybrelimite7039
@daybrelimite7039 7 жыл бұрын
That's great facts, Mr Mbowe!
@allymapinda8804
@allymapinda8804 7 жыл бұрын
Makonda alipokua mkuu wa wilaya nilikua namkubali sana hata baada ya kupewa ukuu wa mkoa siku zile za mwanzo mwanzo. Ila kwa hii ishu ya madawa ya kulevya hapo amechemsha sana, kama mkuu wa mkoa hana madaraka ya kuwaita watu kwa style hiyo kwa kuhisi tu au kusikia kwamba fulani anawezekana anatumia au anauza. hilo pekee ni kosa. Mbowe anaifahamu sana sheria na hata kwa wale vichwa maji watakua ameelewa ni jinsi gani Makonda amechemsha!
@sulaimsameer2668
@sulaimsameer2668 7 жыл бұрын
Asante Baba....Who a you to point people wanauza madawa ya Kulevya ..... Waonea hao hawajui sheria
@isaacgwams8080
@isaacgwams8080 7 жыл бұрын
saafi sana mbowe huyo jamaa anyoshwee kinidhamu maana bado mchanga sana na anajikuta yupo juu ya sheria ili aonekane mwema
@deonisamedeus9695
@deonisamedeus9695 7 жыл бұрын
Mheshimiwa upo sahihi kabisa jamaa anaharibu ushahidi.
@bernadisabas2942
@bernadisabas2942 7 жыл бұрын
kwakuongea point unatisha mzeee big up tusikubali kukaliwa kizembe 😁😁😁
@markgaitan6035
@markgaitan6035 7 жыл бұрын
hahahah😂😂😂 kayakanyaga kw watoto wa mjin xaxa jasho lazma limtoke👊👊👊🙆🙆🙆
@ramadhanikazimoto3052
@ramadhanikazimoto3052 7 жыл бұрын
safi mbowe ndio maana huwa nakukubali sana unajielewa sana we mzee
@danfordmujaki2552
@danfordmujaki2552 7 жыл бұрын
DAH IMENIUMA SANAA....!!!!!!!!!! POLE SANA MH MBOWE NAKUELEWA SANAAA
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 7 жыл бұрын
Asante kwa kufunguka vizuri sana mm nimekuekewa big up
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 жыл бұрын
Safi sana kwa pamoja mpaka ikulu wenye kuuza madawa ya kulevya anajulikana ni yule aliyemsema kwamba yeye sio makonda ni (Bashite) yeye ndio anayefanya biashara ya madawa ya kulevya cocain hata taarifa hiyo aliwahi kupewa na kuisema Rais mstafu (kikwete).
@priscaabraham3833
@priscaabraham3833 7 жыл бұрын
kiukweli mbowe umeongea sahihi kabisa huyu konda amewakosea sana
@amadsabimbona2553
@amadsabimbona2553 7 жыл бұрын
amewakosea sanaaaa manda uwe hatabu utasama tanzania imekuwa yake
@ellymaduhu8668
@ellymaduhu8668 7 жыл бұрын
huyu jamaa anajua kujieleza balaa ukifanya yako hujajipanga anakuumbua. and he is smart na mwerevu
@salimatuyahhaya5772
@salimatuyahhaya5772 7 жыл бұрын
Millard ayo huwezi kufungiwa 2taongea nao 😨😨Zoea Mimi Wewe
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
Salimatu yahhaya kivip mbon sielew
@marymayeye7947
@marymayeye7947 7 жыл бұрын
athanas elisha !! usijukuwe hilijambo lamadawa yakulevi ni jambo lamcheo, hata makonde anahatarisha maisha yake, utaratibu uko wakufanyiko kwa siri .from kenya
@shakourmwinyimvua7209
@shakourmwinyimvua7209 7 жыл бұрын
ukijua sheria hautaendeshwa big up mbowe
@babah5598
@babah5598 7 жыл бұрын
Ndo maana tukakupa jimbo la hai mh mbowe,busara zako ndo zimekufikisha hapa!!wewe ni jasiri sana na unasimamia unachokiamn daima!!sheria zifatwe!!siyo ukurupukaji tu #nodrugs
@abirack9245
@abirack9245 7 жыл бұрын
Hayo kayaeleze panapohusika sio kutupotezea muda
@Lee74806
@Lee74806 7 жыл бұрын
Your updates are really good young man. Do something about repeating the same advert.
@shakilamasoud8979
@shakilamasoud8979 7 жыл бұрын
kumbe ushirikiano utatoa......safi sana. punguza hasira baba
@malkoashaali5430
@malkoashaali5430 7 жыл бұрын
LOVE IS MAN SO TRUE
@odoocool9755
@odoocool9755 7 жыл бұрын
jah bless Ayo, nakukubali kinomaaaa anii now najua movie inavyoenda
@Justin_Dickson
@Justin_Dickson 7 жыл бұрын
Thanx for good logic
@athanaselisha1617
@athanaselisha1617 7 жыл бұрын
Mbowe kitaeleweka ukishahojiwa huko ndani!!!!we are watching the movie.
@masaithedon4818
@masaithedon4818 7 жыл бұрын
Asante Kamanda Mbowe thx Kaka tena
@bahatidan4751
@bahatidan4751 7 жыл бұрын
True said sir... MP Mbowe..The Rc needs leadership training...and to be impeached now n sue him for defamation standard...Magufuli needs another mkuu WA mkoa na Makonda awe ana deal na madawa ya kulevya with the police tu....Period.. And while at it ...he can go get a law degree ...CAPISH
@isayamerickiorywille6881
@isayamerickiorywille6881 4 жыл бұрын
Mh mbowe hongera sana mungu akulinde
@seifmassoud2686
@seifmassoud2686 7 жыл бұрын
Tuombe kheir na lengo lilokusudiwa likiwa ni zuri lifanikiwe na watu wasigombane warekebishane tukae chini pamoja tujenge maadili yetu mana hayo madawa yameshaimaliza jamii..
@phyniacerungu5368
@phyniacerungu5368 7 жыл бұрын
duuuuuu......picha limenoga
@queenlatiphamushi9554
@queenlatiphamushi9554 7 жыл бұрын
no body is above the law.... tanzania is democratic country... mbowe nimekuelewa kabisa hata bila elimu ya darasani
@khalfanhamisi8215
@khalfanhamisi8215 7 жыл бұрын
Big up sana mp mwenye akili zakuona mbali
@jescajoseph2129
@jescajoseph2129 7 жыл бұрын
mbowe big up mkuu umeongea vizur sana
@vanscauz6513
@vanscauz6513 7 жыл бұрын
mbowe baba wahambie hukweriii hao ccm natunawasubiri mwaka 2020 tuone uyo magufulii hatakuja na Sera ganiii yanii mwenyezi mungu hatuweke mpaka sikuiyooo yanii mbona wataipendaaa
@idreamfoto
@idreamfoto 7 жыл бұрын
For The First Time, Nimekuelewa Sana Mheshimiwa, Umeongea FACTS ✌🏽
@franklawrence9512
@franklawrence9512 7 жыл бұрын
kwa kuwa ni mtuhumiwa haimaanishi waweza kumdharilisha, take imagine mtuhumiwa akakosa hatia how will you apology to him? aisee namuunga mkono Makonda kwa vita hii ila c kwa style hii, inajulikana waTZ tunapenda kuckia zaidi kuliko vitendo we are failing
@mariamisuja6256
@mariamisuja6256 7 жыл бұрын
Hapo bado sijakubaliana na huyu Kiumbe.Makonda bado yuko sahihi. sisi binadamu hatuoni kama Mungu huko ni kutafuta kujiona mwema mbele yetu. Awadanganye hao hao waliosimama nyuma yake.Makonda yasikutishe haya mawatu yenye maumbo na maneno mengi. Nakuombea sana na nakupenda kwa kila ufanyalo. Fanya kazi kaka yangu.
@wilfredmmbando689
@wilfredmmbando689 Жыл бұрын
Mmmmh akili za kimalaya malaya
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Yaan Makonda alikuwa mtu wa ajabu sana alitaka sifa tu si kingine
@lorrainegalado516
@lorrainegalado516 7 жыл бұрын
I love him... yan uyu baba mungu akueke
@amankajuna5064
@amankajuna5064 7 жыл бұрын
Mbowe sema yote kiongozi wangu lakini kumbuka kureport police
@graceopudo139
@graceopudo139 7 жыл бұрын
safi sana, sheria ifuate mkondo wake.
@sifacycy_bby8827
@sifacycy_bby8827 7 жыл бұрын
Mh! shukran san #Ayo tv kwa tarifa. ......
@mohamedabdallah4101
@mohamedabdallah4101 7 жыл бұрын
Hii series si ya mchezo mchezo!!! Makonda he can stand he is strong
@georgebongi4844
@georgebongi4844 2 жыл бұрын
Pumbavu.
@andrewasagwile7162
@andrewasagwile7162 7 жыл бұрын
Kwa kweli mbowe mimi mwenyewe siamini km kweli unajihusisha na madawa ya kulevya lkn kwa sababu umetajwa jina basi subiri taratibu za kisheria ukaripoti kituo cha polisi
@azizfatawi2043
@azizfatawi2043 7 жыл бұрын
makonda kakalia msumari wa moto kwenye matko kuuchoma maumivu ukiendlea kuukalia maumivu m........nd unachanka kazi atajuta kujitia kiherehere.
@qwara7853
@qwara7853 7 жыл бұрын
we need more leaders like you mbowe
@jacksonmodaha1590
@jacksonmodaha1590 7 жыл бұрын
mboye noma mungu atutoe kwenye uungu huo wa ccm
@omarysai2911
@omarysai2911 7 жыл бұрын
Mh.mbowe kula nae sahani moja uyo
@dominicwilliam34
@dominicwilliam34 7 жыл бұрын
pale unachokoza moto na unakuwakia sasa ni mfumo wa kisheria kutumiaka
@anodnjenje9084
@anodnjenje9084 7 жыл бұрын
dominic william hahahaaa nami naona
@ibrahimsaid1128
@ibrahimsaid1128 7 жыл бұрын
Ahsante kwa busara zao Freeman mbowe
@seebrizzy8459
@seebrizzy8459 7 жыл бұрын
huko aliko ingia sasa kamshika simba makalioo Ange wagusa wasanii tuu hawa wazee Wa kazi ange waacha analo hilo
@f.a6043
@f.a6043 2 жыл бұрын
Mh Mbowe your really genuine
@adaherikweyunga9597
@adaherikweyunga9597 7 жыл бұрын
nmemuelewa sana huyu bwana mkubwa
@adismas665
@adismas665 7 жыл бұрын
WELL SAID ..I'VE EVER HEAR ✔✔
@esterdaniel1574
@esterdaniel1574 4 жыл бұрын
mnampamba mbowe ataweza?au anataka Kes zake ziongezeke maana wakimpa mamlaka mbowe wamekaribisha matusi nchini dhidi ya viongozi wetu
@hechechacha4032
@hechechacha4032 7 жыл бұрын
yaani ni uhasama tu WA kuchafua watu kwa hisia zisizo na tija Hakuna mwenye mkataba na mungu kuwa kesho atakuwepo kujitahidi kuchafua watu kwa kuegemea MATUKIO kumbe mna wana dhamira zao za ndani ni kumkasirisha hata Mungu wetu mh mbowe usitetereke songa mbele
Askofu Gwajima aongea baada ya kutajwa na Paul Makonda
8:45
Millard Ayo
Рет қаралды 258 М.
BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU
12:23
Millard Ayo
Рет қаралды 301 М.
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 25 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 20 МЛН
Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya
13:52
LIVE SCENE, NAPE akitolewa Bastora Hadharani. KITENGE AAMULIA
2:27
Junior Syaary
Рет қаралды 620 М.
Makonda Ataja Majina Mengine 65 ya Watuhumiwa wa Kuuza ‘Unga
10:39
Global TV Online
Рет қаралды 14 М.
Tundu Lissu Vs Mwana Sheria Mkuu Bungeni
7:05
SIMU. Tv
Рет қаралды 1 МЛН
Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma 1995
14:17
Joseph Mabima
Рет қаралды 3,6 МЛН
Zitto Kabwe VS Dk Tulia Ackson, Full package
19:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 320 М.