CHECHE NYINGINE ZA RC WA "FYEKELEA MBALI" KWA DC WA IGUNGA NA INJINIA

  Рет қаралды 670,199

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri ambae amekua maarufu mitandaoni kwa misemo yake ikiwemo 'fyekelea mbali' au 'sukumia ndani' leo alitembelea ujenzi wa kituo cha Afya cha Igurubi kwenye Wilaya ya Igunga kuangalia umefikia wapi ujenzi huo na fedha zilizotolewa na Serikali zinatumikaje.

Пікірлер: 539
@saimonirugwila4608
@saimonirugwila4608 5 жыл бұрын
Hongera mzee wa sukuma ndani kwa usimamizi wa alimasi za inchi yetu pongezi Sana chapa kazi hata laisi wetu anawapenda wawakilishi wake kama wewe ubarikiwa sana DC Tabora.
@vincentmuli4283
@vincentmuli4283 5 жыл бұрын
Hongera lecture wangu wa communication skills John Mwaipopo Mungu akubaliki sana,vile vikao vya mtenda hotel vimezaa matunda. Hongera sana.
@binurusm8886
@binurusm8886 5 жыл бұрын
Kwanza kabisa Mh. Mwanri ana uchungu Na Nchi yetu, hababaishwi Na wasioelewa, anaumia Na wasioona juhudi za Mh. Raisi, wanapata tabu mno, Mungu akulinde, Mungu Ibariki Tanzania, Aamina.
@shadrackemmanuel7582
@shadrackemmanuel7582 5 жыл бұрын
Na wish ningekua mkazi wa tabora kwa haya ninayoyaona big up sana baba piga kazi #MKUU WA MKOA.
@daviesmwingira5183
@daviesmwingira5183 5 жыл бұрын
Nimekukubali sana ww Kiongozi uko vizuri sana kwenye utendaji.Nimejifunza kitu kutoka kwako Mh.DC.
@willykikwete342
@willykikwete342 5 жыл бұрын
Mwanri ni kiongozi anayetambua kuwa maendeleo hayaji kwa kuchekeanachekeana, urafiki na udugu kwenye mambo ya msingi yenye manufaa kwa nchi yake na watu wake Bali kimbinde mbinde na full ukauzu. Yuko poa mkuu wa mko huyu na anamachungu kweli na ya dhati juu ya maendeleo hasa kwa eneo lake la utawala. Be blessed Mr RC-TABORA
@GaudenceRaphael
@GaudenceRaphael 5 жыл бұрын
Hana vitisho vya Siasa bali vya Uchumi, kama unamuelewa gonga likes Sukuma ndani 😂😂😂😂
@jamesakhabuhaya6194
@jamesakhabuhaya6194 5 жыл бұрын
Uzuri Wa huyu Mkuu Wa mkoa akufukuzi kazi anakurekebisha tu,waukweli sana,jifanye unajikuna uone
@chachamarwa3921
@chachamarwa3921 5 жыл бұрын
Hahahaaa sijikuni
@florenciasimba8586
@florenciasimba8586 5 жыл бұрын
Ha ha ha
@felixochiengomondi6189
@felixochiengomondi6189 5 жыл бұрын
Ok najikuna Mimi
@bimkubwamussajuma5356
@bimkubwamussajuma5356 5 жыл бұрын
hongera kwa kazi nzuri mh mungu akusaidie inshallah
@frankmwafifi6712
@frankmwafifi6712 5 жыл бұрын
Nyoosha mkono juu jifanye unajikuna😁😀😂🙌👏👏👏👏
@hamfreytwitu1204
@hamfreytwitu1204 5 жыл бұрын
Hahaha jifanye unajikuna
@frankmwafifi6712
@frankmwafifi6712 5 жыл бұрын
Noma sana
@goodluckkinye5631
@goodluckkinye5631 5 жыл бұрын
jikune uone
@melickjohn5141
@melickjohn5141 5 жыл бұрын
😀
@flavian-augustino.pangah
@flavian-augustino.pangah 5 жыл бұрын
Asanteh mh. Mkuu wa mkoa bwana Mwanri Mungu akujaalie maisha marefu unafanya kazi nzuri
@vicentaugustino4850
@vicentaugustino4850 5 жыл бұрын
hongera mheshiwa wetu
@martharichard7982
@martharichard7982 5 жыл бұрын
Wallah nampenda buree kazi nzuri cio maneno maneno
@amosikabalata6381
@amosikabalata6381 5 жыл бұрын
Kama umesikia kibonge alitaka kuanguka, hebu wote tukae chonjo kwa like
@stivenkhanga9781
@stivenkhanga9781 5 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁
@limokisuda4145
@limokisuda4145 5 жыл бұрын
Amosi Kabalata uwiii? mbavu zangu jaman kibonge alitaka kulazwaa
@japhetmaganga8055
@japhetmaganga8055 5 жыл бұрын
Uyu ndiye Rais wangu mtalajiwa
@dc39139
@dc39139 5 жыл бұрын
Hii ni spirit kamili ya kuelekea kwenye Tanzania tunayoitaka
@denismakweba3870
@denismakweba3870 5 жыл бұрын
Nani kasema muondoe miti hapa,Bonge yupo wap?👏👏 Hongera sana,kwa uajibikaji
@mastermind5729
@mastermind5729 5 жыл бұрын
Kama ulitamani kumuona kibonge gonga like hapa
@reyjosee9390
@reyjosee9390 5 жыл бұрын
novelty christopher me nlitaka nimuone kibonge
@mkwavi
@mkwavi 5 жыл бұрын
kwanza huko alipo ana harisha kibonge wa watu
@emaneez
@emaneez 5 жыл бұрын
Hahaha nipo.. Hapa...
@florianthomas4292
@florianthomas4292 5 жыл бұрын
Duuuu
@hassanimlacha8479
@hassanimlacha8479 5 жыл бұрын
Magufuli kwaniñi usituletee mwandry apa moshi aka was high bulimia vilivyo
@magesamambaga7939
@magesamambaga7939 5 жыл бұрын
Hongera sana mh kazi njema
@wilfredmaimu5084
@wilfredmaimu5084 5 жыл бұрын
Hongera mkuu mungu akulinde kwa kazi nzuri
@isackngulelo3075
@isackngulelo3075 5 жыл бұрын
Kweli huyu ndiye "mkuu" wa mkoa. Hahahah daah. Hakuna rukxa kujikuna mbele yake.😂😂😂
@pantaleoshirima4579
@pantaleoshirima4579 5 жыл бұрын
Raisi john pombe magufuli huyu anafaa kua mkuu wa mkoa wa dsm tuletee dar huyu anatufaaa
@hamisikurusu8961
@hamisikurusu8961 5 жыл бұрын
Yah
@abuuubaida2538
@abuuubaida2538 5 жыл бұрын
anafaa kuwa rais 2020
@salehkashindibinmsambya1719
@salehkashindibinmsambya1719 5 жыл бұрын
pantaleo shirima up
@linusngure9944
@linusngure9944 5 жыл бұрын
kukaa na uyu mkuu wa mkoa karibu anaweza kukupiga kofi
@onlinetzmedia
@onlinetzmedia 5 жыл бұрын
hahahhahahahaa.
@eliamapunda4195
@eliamapunda4195 5 жыл бұрын
We jifanye unajikuna
@samboreeadam4273
@samboreeadam4273 5 жыл бұрын
Hahahah huyo ndy Agrey
@isackngulelo3075
@isackngulelo3075 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@ashminaabdullah5626
@ashminaabdullah5626 5 жыл бұрын
kweli
@manyaramrema6531
@manyaramrema6531 5 жыл бұрын
Huyu mkuu wa mkoa raha sana burudani
@hassanichijumba7222
@hassanichijumba7222 5 жыл бұрын
Sanaa
@peterkisoka93
@peterkisoka93 5 жыл бұрын
Maisha Maisha tunaomba arudi nyumbani kilimanjari
@limokisuda4145
@limokisuda4145 5 жыл бұрын
Kiazi Kikuu.kibonge akae chonjoo
@georgekimboka9821
@georgekimboka9821 5 жыл бұрын
Wachagga wajanja Tanzania zima 1..Aggrey Mwanri 2..George Mushi Kimboka
@charlesmassawe3318
@charlesmassawe3318 5 жыл бұрын
😷😷
@ramadhankimbeiye8293
@ramadhankimbeiye8293 5 жыл бұрын
Duhh!
@janenachalwe8150
@janenachalwe8150 5 жыл бұрын
George Kimboka tunatisha Sana
@fabioedson7323
@fabioedson7323 5 жыл бұрын
Ni mpare uyo
@kitashimarite4326
@kitashimarite4326 5 жыл бұрын
Mnamaaa!hahahaha
@danielsantael8799
@danielsantael8799 5 жыл бұрын
Unakumbuka ile siku alitaka kwenda kulazwa😂😂😂kwaleo nimemsamehe 😂😂😂
@mariyaal5366
@mariyaal5366 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@kherryserera9451
@kherryserera9451 5 жыл бұрын
kaka kibonge sioo😂
@costantinejoseph4907
@costantinejoseph4907 5 жыл бұрын
me sio ccm ila nakukubal sana mzee
@akimmbwego797
@akimmbwego797 5 жыл бұрын
We mzee walaahi ALLAH AKUPE PEPO ONE DAY INSHAALLAH MWISHO NAOMBA JPM AKURUDISHIE TAMISEMI ONE DAY INSHAALLAH KUMBE AWAMU ILIYOPITA WALIKUFANYA UKAKOSA UHURU WA AYA TUYAONAYO LEO.......UR FOREVER BIG BROTHER
@leoniabeda2711
@leoniabeda2711 5 жыл бұрын
Nakuelewa baba..
@alimassea612
@alimassea612 5 жыл бұрын
Pepo?
@princevanside4752
@princevanside4752 5 жыл бұрын
komesha nyau
@ngopanihamisi2413
@ngopanihamisi2413 5 жыл бұрын
Akim Mbwego :
@joseelias4870
@joseelias4870 5 жыл бұрын
Aiseeeeeeeeee huyu mkuu wa mkoa anatoa burudani, yaaaani hapo mwishoni kanikoshaa saaaaana, Duuuuuuuuh "anayebisha anyoshe mkono, anayesema mkuu wa mkoa anaongea kitu cha kipuuzi anyoshe mkono". Big up RC chapa kazi, lkn nimechekaaa kinomaaaaaaa
@atikombogolo2356
@atikombogolo2356 5 жыл бұрын
Akune kichwa tuu kwanza😁😁😁😁
@mzenjitz2242
@mzenjitz2242 5 жыл бұрын
Jose Elias s
@samboreeadam4273
@samboreeadam4273 5 жыл бұрын
Nakuamin sana mh Agrey ,unaongoza vizur mkoa wang
@lennygeorge9165
@lennygeorge9165 5 жыл бұрын
Namkumbuka sana mzee huyu akiwa waziri wa TAMISEMI na Magufuli akiwa waziri wa ujenzi walikuwa wakichapa kazi ad raisi kikwete alikuwa akiwambia punguzeni ukali,
@chriskalega4348
@chriskalega4348 5 жыл бұрын
Safi sana hapa kazi tu
@philipmihayo6335
@philipmihayo6335 5 жыл бұрын
Katika u serious wake anatumia busara kubwa sana, 2020 namwombea apate jimbo awe Waziri wa Kilimo
@GreatYNChannel
@GreatYNChannel 5 жыл бұрын
Huyu Mheshimiwa Mwanri nimependa utendaji wake( Hamung'unyi mung'unyi maneno) Hongera Rais wetu.
@paschalvenance1833
@paschalvenance1833 5 жыл бұрын
Huyu Bwana wakikakaa na kamanda Jafo Tamisemi patakuwa hapatoshi kwa kweli your the Best among JPM selection.
@miriamchisongela9205
@miriamchisongela9205 5 жыл бұрын
Safiiii Tabora imekaa kaa nyoosha mzee kama vipi sukuma ndani
@samsonnzisabira768
@samsonnzisabira768 5 жыл бұрын
jamaa ni jitu kweli ana kimo kama kile cha Iddi Amini.
@medkisalazo3890
@medkisalazo3890 5 жыл бұрын
muroto mwingine wanatafuta kiki misifa
@mwetamweta8433
@mwetamweta8433 5 жыл бұрын
Dah Mzee anachapa kazi
@lutherking3666
@lutherking3666 5 жыл бұрын
3,4 aliyeckia ngonga like hapa
@davidodehero8760
@davidodehero8760 5 жыл бұрын
#6310
@SteveMK
@SteveMK 5 жыл бұрын
Kupitiwa kwenye kuhesabu ni jambo la kawaida unapoongea bila kusoma points... Kama kweli anatekeleza anayoyasisitiza, Mkuu ni mchapakazi sana.. Na msimamizi mzuri sana..
@mrishomussa8698
@mrishomussa8698 5 жыл бұрын
Kweli Tabora itakua Toronto nimekubali
@hambalgullam8178
@hambalgullam8178 5 жыл бұрын
Good this is how leader ought to do
@kherisalum5748
@kherisalum5748 5 жыл бұрын
Nakukubali sana Mwanri piga kazi baba
@alsadymateke8695
@alsadymateke8695 5 жыл бұрын
Mkuu unajua sana mungu akuzidi shie humli baba ww ni muawazi na mkweli una uzalendo
@masoudissah567
@masoudissah567 5 жыл бұрын
Sijawahi juta kukufahamu mkuu wa mkoa Mwanry tangu ukiwa TAMISEMI#gRISI YA VYUMA VILIVYOKAZA#BURUDANI YENYE TIJA KAZINI#SAAAFI SANA
@munamuna414
@munamuna414 5 жыл бұрын
Mungu akuongoze milele
@barakamweta9958
@barakamweta9958 5 жыл бұрын
mkuu Wa mkoa safi sana huyu,nampenda sana ,anafurahisha sana,nimtendaji mzuri sana
@luomusicchannelfromtanzani5650
@luomusicchannelfromtanzani5650 5 жыл бұрын
PANDA MITIII WWE KIBOOONGEEE
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 5 жыл бұрын
Japo simpendi Makufuli kabisaa lakini nawapenda wakuu wa mikoa wawili. Mwanri na Mongera. Mongera ni muungwana sana na mara nyingi hutumia busara. Huyu Mwanri nampenda kwakuwa haya mambo mnayoyaona anafanya hajaanza katika serikali hii ya kiki, yeye alikuwa hivyo tangu akiwa waziri tamisemi alikuwa anakagua mpaka vitasa vya milango hata niliposikia amekosa ubunge nirihudhunika japo siipendi kabisaa CCM.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
Aisee anaweza pata uwaziri aise
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 жыл бұрын
Aseeeee uko vizuri umewasilisha vyemaa..Sio kama nyumbu..
@holdenngeze2652
@holdenngeze2652 5 жыл бұрын
Alikuwa mbunge jimbo gani?
@kiyabonjemu9885
@kiyabonjemu9885 5 жыл бұрын
Hujitambui
@NeemaMedia
@NeemaMedia 5 жыл бұрын
For sure uko kama mimi siasa pembeni tunaangalia utendaji Nimependa
@gbbuku4714
@gbbuku4714 5 жыл бұрын
jifanye unajikuna ndo utatambua mkuu wa mkoa ni nana agrey ana biti sana😀😀
@hotexmedia2021
@hotexmedia2021 5 жыл бұрын
Jamaa anapiga kazi Sana nimemkubari. Lakin akae hawaeshimu professional,. Make yey sio professional ni mwanasiasa tu.
@ttec9431
@ttec9431 5 жыл бұрын
Uyu akija kuwa raisi huyu atakuwa zaidi ya magu
@captenndunga6745
@captenndunga6745 5 жыл бұрын
Mi nawekaga MB kwa ajili yako. Nakukubali kinomanoma.
@charlesboniphace2343
@charlesboniphace2343 5 жыл бұрын
Kwel mwanangu MB hazipotei bure lazm ufurah
@baissabaissa6596
@baissabaissa6596 5 жыл бұрын
Mtapigwa bao hahahaa noma sana mkuu wa mkoa
@korogwetanga810
@korogwetanga810 5 жыл бұрын
Chota Baba sukuma ndani Kwa mkuu wa mkoa huyu wallah hata kama umekasirika utacheka tu Kwa jinsi anavyoongea 😂😂😂😂😂
@alphoncetheodory41
@alphoncetheodory41 5 жыл бұрын
Daaaaah kweli we mkuu wa mkoa saf sana unajua maendeleo ya wanatabora
@andreashayo6266
@andreashayo6266 5 жыл бұрын
kama upon pamoja nam jifanye unagonga like
@imathamjesse2702
@imathamjesse2702 5 жыл бұрын
All leaders in Tanzania are now inspired buy Magufuli’s systems of leadership. This is a boost in all Tanzanian politics and economic development, Lions 🦁 always raise lions 🦁. Big up my people .
@jimmycatamollel8217
@jimmycatamollel8217 5 жыл бұрын
Nice commentary
@hamisikessy1987
@hamisikessy1987 5 жыл бұрын
Huyu mkuu wa mkoa abadilishane na makonda. Aje Dar
@bensonnyagali7605
@bensonnyagali7605 5 жыл бұрын
Hawa wote ni kuchota na kusukuma ndani Anayesema mkuu Wa mkoa anachoongea ni cha uongo anyooshe mkono jifanye Kama unajikuna
@freymuch7112
@freymuch7112 5 жыл бұрын
Nampenda sana huyu jamaa...mweye namba zake anitumie.natamani siku nimtembelee
@solomonitv7808
@solomonitv7808 5 жыл бұрын
Sukuma ndani wote wakikosea
@dicksonmufungo8539
@dicksonmufungo8539 5 жыл бұрын
Noma sana uongoz huu
@anthonymganule46
@anthonymganule46 5 жыл бұрын
Nampenda sana Aggrey,,,,,,,,sio tu anabit lakin yuko vzur anachapa mzigo
@fadhilrashid2711
@fadhilrashid2711 5 жыл бұрын
dah huyu RC noma xana jifanye unajikuna uone
@didaskabendera4521
@didaskabendera4521 5 жыл бұрын
mkuu uko sawa lakini kwa upande wa ilo jengo likipelekwa kwa speed unayotaka nahsi baadae linaweza kupata madhara make ujenzi unautaratbu wake
@allenngandu17
@allenngandu17 5 жыл бұрын
i love him he is so real...
@jonyojaote6589
@jonyojaote6589 5 жыл бұрын
I like whatever is happening in Tanzania under President Magufuli.
@dr.bigfish3607
@dr.bigfish3607 5 жыл бұрын
The man knows how system works.
@magdalenakidumbuyo1505
@magdalenakidumbuyo1505 5 жыл бұрын
Hongera
@youngvullagentleman4075
@youngvullagentleman4075 5 жыл бұрын
Mmmh akiwa ndo babaangu nistor tu mtaani mtoto wa mkuu wa mkoa apotea mazngira yakutatanisha
@zuusaidibushiri5556
@zuusaidibushiri5556 5 жыл бұрын
Dudubay mungu anakuona😀😀😀😀
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 жыл бұрын
dudubaya konki sikutegemea kucheka😄😄😄😄
@gadielpaulo8925
@gadielpaulo8925 5 жыл бұрын
tumbavu sana mfyuuuuu😝😝😝😝😝😝
@limokisuda4145
@limokisuda4145 5 жыл бұрын
young vulla gentleman serikali inajua ni mwezi wa6 zingine ni rujojoo na fundi mchunduu
@tinnomsingi76
@tinnomsingi76 5 жыл бұрын
Ngap uko!
@shawaribakari1226
@shawaribakari1226 5 жыл бұрын
Ila huyu mzee ajee dodoma anatufaa Sana Mana nizaidii ya comedy 😃😃😃😃😂😂washirikianee na Mr mroto
@kimarobrighton3269
@kimarobrighton3269 5 жыл бұрын
Hahaha, eti nyoosha mkono jifanye unajikuna 😂😂😂
@0785116223
@0785116223 5 жыл бұрын
😂😂😂 Jifanye Unajikuna Tu owone😂😂
@francecemamba3748
@francecemamba3748 5 жыл бұрын
Hahahahahahahaha utapasua mbavu zangu😂😂😂😂😂😂
@mazubesialex3497
@mazubesialex3497 5 жыл бұрын
ha ha ha hata kama unawashwa huamshi mkono
@raymondkavumo2921
@raymondkavumo2921 5 жыл бұрын
Beaza Kibo😂
@raymondkavumo2921
@raymondkavumo2921 5 жыл бұрын
Braza Kibo
@jenifamoses4276
@jenifamoses4276 5 жыл бұрын
Nimecheka sana hapo eti jifanye tu unajikuna
@muniraahmed624
@muniraahmed624 5 жыл бұрын
fyekelea ndani❌❌
@mackandrew3823
@mackandrew3823 5 жыл бұрын
MH.MKUU WA MKOA HUYU MWANRI MIE NILIKUA NAMUELEWA TOKA WAZIRI SERIKALI ZA MITA TAWALA ZA MIKOA ...HAKOPESHI ANAJUA ANACHOKIFANYA ...MUNGU AMSIMAMIE SANA
@beltilakaphipa8892
@beltilakaphipa8892 5 жыл бұрын
WACHANGA WANAOGOPA KUIBIWA , SAFI SANA MKUU
@tumainimsilanga8427
@tumainimsilanga8427 5 жыл бұрын
Haaaaahaaaaahaaaa jifanye unajikuna hapa uone
@goldenson1340
@goldenson1340 5 жыл бұрын
Sukuma ndani............ Yan hata mimi huku nimeshindwa kujikuna jaman RC mbona mambo ni moto😂😂😂😂
@alfredkillo6080
@alfredkillo6080 5 жыл бұрын
Mi naamin kwa mwendo huu tabora itakua tokyo anafaa aletwe dar awanyooshe wazembe
@ibrahimmaganga3429
@ibrahimmaganga3429 5 жыл бұрын
Mmmmmmmh Mr.eeeeeeeh tuna mkuu wa mkoa tabora ila wabunge tunaye bashe tyuu naomba mkuu wamkoa 2020 uje bukene tuombe kula zetu tutakupa z cyo mtu
@michaelmzava7682
@michaelmzava7682 5 жыл бұрын
Tunakuelewa Mkuu wa Mkoa wa Tabora
@ivancharles578
@ivancharles578 5 жыл бұрын
Kwa ukalii huu unaweza ukapita miguun mwake akakimbia
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 5 жыл бұрын
Mwalimu huyooooo lakini yuko sahihi Ingawaje inabidi umzoee vinginevyo utaugua shinikizo la damu. But naona ni rahisi kuwajibika kwake ukimpatia kazi nzuri.
@davidnyirenda5087
@davidnyirenda5087 5 жыл бұрын
Mwendo wa hapaa kazii tu shikamo mkuu wa mkoaaa
@sophiatungaraza2507
@sophiatungaraza2507 5 жыл бұрын
Mungu ibariki tanzania
@kassimhashi4092
@kassimhashi4092 5 жыл бұрын
Mimi binafsi Niko Kenya lakini .huyu mzee nimemkubali.kiingereza yake safi.mchapakazi na pia mchesi
@mwinjumathomas5132
@mwinjumathomas5132 5 жыл бұрын
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,Baba turidhani kuwa unaigiza😀😁kumbe ulikuwa unamanisha,Tunyooshe baba tulizoea kupiga dili , na kulala twende kaziiii
@marthomba968
@marthomba968 5 жыл бұрын
Mwinjuma Thomas
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 5 жыл бұрын
Huyu injinia kwa kweli alitamani afadhali angezimia akajikuta tu yupo spital lakini maskini hakijatokea hicho
@jensennashon6147
@jensennashon6147 5 жыл бұрын
kiongozi safi sana
@brianadolfbabat1180
@brianadolfbabat1180 5 жыл бұрын
vizuri sana mkuu wa taboraaa
@FrancisAMligo
@FrancisAMligo 5 жыл бұрын
Lakini mimi nimempenda sana. Uhakika wa mipango kwa faida ya watu
@samwelhechei8537
@samwelhechei8537 5 жыл бұрын
Nyoosha Mkono juu kama unabisha
@jacksonmollel5157
@jacksonmollel5157 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 aaah nampenda sana huyu RC "jifanye unajikuna"😂😂
@ibrahimmwilo3640
@ibrahimmwilo3640 5 жыл бұрын
Hawa ndio viongoz safi sio kutujazia wanawake mikoan tu muda wa kazi wanajiremba
@noahgodwin4194
@noahgodwin4194 5 жыл бұрын
Say yes!!!!!
@shehanidege6291
@shehanidege6291 5 жыл бұрын
Angekua mkuu wa mkoa wa pwani ingependeza zaid
@prospernanyaro7273
@prospernanyaro7273 5 жыл бұрын
" hawa wote ni kuchota wote na kusukuma ndani wote wote"😂😂😂😂
@flaviusmwemezi9961
@flaviusmwemezi9961 5 жыл бұрын
Hawa wazee wenye bit kali huwa ni wapole kinyama Presentation yote imejaa utan sio bit ilo mi nanyoosha mkono mzee 👆🏾👆🏾
@yohanaeden1731
@yohanaeden1731 5 жыл бұрын
Yeah kwl kbxa
@chizerobungubuliho1489
@chizerobungubuliho1489 5 жыл бұрын
Watu wanahamishwa unasema imejaa utani Mzee! Mzee yuko serious!
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 жыл бұрын
Sio utani wewe kaongea siriasi na kuwaambia ukweli na kwa Faida yao wenyewee..wee unadhani kama hawatembelei siku ukuta ukipiga chini itakuwaje yaa mh kaongea vitu vya maana na katumia sana busara ingekuwa wale wengine ungesikia flani atoe maelezo hamna mzaha hapo sema ndio namna yake yakuongea Tangu alivyokyws waziri wa Tamisemi.
@mr.furahamalele1854
@mr.furahamalele1854 5 жыл бұрын
Mzee Yuko Vizuri Sana Anawaamsha na Kuwaelekeza Nini Cha Kufanya Sio Wengine Ni Kukimbiza Tu Kwani Binadamu Gani Hana Makosa Jamani, Wengine Mnafurahia Wenzenu Kufukuzwa Kila Mara, Wanadamu Wote Wana Mapungufu, Ndio Maana Hata Yesu Alikuja Kutufia, Furahia Sana Wenzako Kufukuzwa Yako Yaja.
@marryfrank8926
@marryfrank8926 5 жыл бұрын
Majambazi
@robertmaingi2194
@robertmaingi2194 5 жыл бұрын
Huyu mkuu ako sawa kabisa ukileta upuzi uwezi kosa kofi
@haruninyituga9469
@haruninyituga9469 5 жыл бұрын
Nimekuelewa mkuu.hiyo ndyo kazi
@habarikiswahili
@habarikiswahili 5 жыл бұрын
Kama unataka picha ya kibonge njoo nibox
@ahmeedjuma7367
@ahmeedjuma7367 5 жыл бұрын
Kama unamkubali sukumia ndan like apa
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 5 жыл бұрын
Sjui Watanzania tuna ugomvi gani na miti,kulima shamba kata miti!kujenga nyumba kata!! Hv tumelogwa nani jaman???
@kfastak
@kfastak 5 жыл бұрын
Ufaham mdogo .... Ukiwawanyima watu Elimu na maarifa.... Wanaweza kufanya mambo yakujiuwa huku wakishangiria
@dotomohd9156
@dotomohd9156 5 жыл бұрын
Hivi inawezekana kujenga bila kukta miti sehemu yenye miti
@bwegelanyakhaido3088
@bwegelanyakhaido3088 5 жыл бұрын
Abby Adams sio watanzania nchi yoyote unayo ijua ww ukitaka kujenga au kulima kukiwa Na miti ni lazima ukate...acheni kujifanya mnaujuzi mwingi
@ibrahimumhanaya9876
@ibrahimumhanaya9876 5 жыл бұрын
Abby Adams
@malickmakatta6089
@malickmakatta6089 5 жыл бұрын
unafahamu ulichoandika?
@ahmadseba9047
@ahmadseba9047 5 жыл бұрын
hahahahah!!! nimeipenda hyo ntatekeleza mkuu.
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 46 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 491 М.
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 64 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 134 МЛН
Aggrey Mwanri atakumbukwa kwa haya…
1:15
Azam TV
Рет қаралды 101 М.
RC MWANRI TENA - "Fukuza kazi wote, Weka Kwenye Lori Sukuma Ndani"
7:13
Global TV Online
Рет қаралды 249 М.
RC MWANRI Kasalimu AMRI kwa MAMA Huyu "Jifanye Unajukuna"
4:24
Global TV Online
Рет қаралды 173 М.
"MZEE WA SUKUMA NDANI"  AJA NA MAPYA MBELE YA RAIS
4:53
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 44 М.
RC MWANRI 'ALIVYOMKABA KOO' MASSAWE "TUMENUSA HARUFU YA RUSHWA"
5:47
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 46 МЛН