BUNGENI: Bashe na Sugu kuhusu ishu za kutekwa

  Рет қаралды 665,403

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Kutoka Bungeni DODOMA, leo April 10, 2017 Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe alisimama kuomba kutoa taarifa kwa Naibu Spika wa Bunge akitaka Bunge lisimamishe shughuli za kawaida na kuanza kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea nchini.
Bashe amesema yeye pia ameshatumiwa ujumbe wa vitisho wakimwambia kuna watu 11 akiwemo yeye watafanyiwa vitendo vibaya popote watakapokuwa, hivyo analiomba Bunge lijadili suala hilo kwa dharula kwasababu sio sawa kukaa kimya.

Пікірлер: 264
@deviskaliare5420
@deviskaliare5420 7 жыл бұрын
Bashe you are da best.. hujaenda bungeni kulala mkuuu.. Mungu na akulinde...
@lupetamhagama2145
@lupetamhagama2145 7 жыл бұрын
Kwel bashee you are smart in ur heard big up nzega they are luck
@yesayamwanjemba4726
@yesayamwanjemba4726 7 жыл бұрын
Hii imekuwa serious issue. Mungu ibariki Tanzania
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Hata mm ningekuwa ktk list ningeshindwa kkuvumilia .... Asante bashe kw kuogopa kututangulia
@jasminasha9551
@jasminasha9551 7 жыл бұрын
Bashe & Sugu pamoja sana.
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Mwendazake alaaniwe huko aliko alikua farao mkubwa
@gracemarine6753
@gracemarine6753 7 жыл бұрын
Shikamoo Bashee MUNGU awaongezee ulinzi awatume malaika wake walinzi ili hawa mashetani weusi waanze kuteketea kuanzia hapa dunia mpaka jehanamu
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 5 жыл бұрын
saruti bashe penda Sana wewe.
@furahamwajeka3708
@furahamwajeka3708 5 жыл бұрын
safi sana Dada tulia unajua sana hongera sana,kweli sheria inaweza kuyafanyia kazi baana,hatuna haja kamati za bunge kwani nazo zikiundwa si zitaenda kukusanya taarifa polisi,kwa wahussika na familia za wahanga ambacho naamin na polisi ndo wanakifanya...then au bashe anahisi polisi wamekaa tu noo...wanafanya kazi pamoja na matatizo yote hasa ya rushwa walio nayo
@bushmendatoga4754
@bushmendatoga4754 7 жыл бұрын
Bashe is a gentleman indeed. ... Tanzania tunakoelekea siko na huu utamaduni haukuepo
@kefawales8187
@kefawales8187 7 жыл бұрын
Bashe ni akili kubwa sana
@thedeo472
@thedeo472 7 жыл бұрын
Waziri wa mambo ya ndani hajui au hana alifanyalo. Ningemshauri ajiuzulu kulinda heshima yake(kama anayo).
@shadrackmnjelu5285
@shadrackmnjelu5285 7 жыл бұрын
Yan wew mwanamkeeee kwelii unfnya kazi yako ilokufnya uletwe hapooo xaxa naomba Mungu naww familia yako itekwe
@santodelove4351
@santodelove4351 7 жыл бұрын
big up basheeeeeee
@japhetnzunda5421
@japhetnzunda5421 6 жыл бұрын
Nashukulu sana kwa hojaja nzuri muheshimiwa bashe
@fridgeismybestfriendwhenit7149
@fridgeismybestfriendwhenit7149 7 жыл бұрын
"there's no hope kutoka serikalini" so true ...naombeni mkopo nihame nchi 😢😢😢
@isayakaihula8172
@isayakaihula8172 5 жыл бұрын
Your the best in speech the government have to work on this
@shindapapaya9194
@shindapapaya9194 7 жыл бұрын
Shikamoooo mwanamke wa shoka twakupenda je 2020 wewe ni waziri yaani una watuliza kama kitenesi💪💪💪💪
@briggsanji9176
@briggsanji9176 7 жыл бұрын
Safiii
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 4 жыл бұрын
huyu ni mbunge wa watanzania na sio mbunge wa chama cha mapinduzi nakukubari sana bashe
@palesyosilingo6386
@palesyosilingo6386 7 жыл бұрын
Bashe rafiki yangu mungu atakulinda kwasababu unaongea ukweli na huyo rais wenu anasema msema ukweli ni mpenzi wa mungu
@geofbeka1669
@geofbeka1669 7 жыл бұрын
sina imani na naibu spika Tulia, yaani kazi yake imekuwa kutuliza tu hoja, huwa simwelewi kabisaa
@arnoldamel8164
@arnoldamel8164 7 жыл бұрын
geof beka kumbuka kuwa ni mteule wa rais kama mbunge na alimpa huo ubunge ili akawe naibu spika nadhani picha unayo
@davidlauliankitinya3035
@davidlauliankitinya3035 7 жыл бұрын
kaka Bashe me nimekbali I like your chain na ntaifuata kaka I have future
@abdalahsuleiman8989
@abdalahsuleiman8989 7 жыл бұрын
Hatar sanaa
@stephanomwakyobe4675
@stephanomwakyobe4675 5 жыл бұрын
geof beka sio naibu tu ata spika mwenyew ndo ivy ivy
@rahmarahmajuma8646
@rahmarahmajuma8646 5 жыл бұрын
Hilo swara linatuumiza wananchi ila huyo special pamaja navigogo wakuu wanalijua kuwa wakimchukia tu mtu ndio wanamuazibu hichonikikulacho kinguoani mwako
@noellikwet6113
@noellikwet6113 7 жыл бұрын
huyu tulia huyuuuuu ooooooh
@lemalalioloulu3025
@lemalalioloulu3025 5 жыл бұрын
Bashe mungu akulinde witete watanzania we nyonge
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 5 жыл бұрын
Yani mtu anaongelea issue ya uhai wetu unamwambia akae chini?????????? Yaani acha ninyamaze tu maana hasira nayo ni dhambi
@sakinandoile4758
@sakinandoile4758 7 жыл бұрын
wah. Bashe na Sugu bora mmekuwapo mjengoni...coz watu twaishi kwa mashaka sasa
@alinanusyemwatukambo7908
@alinanusyemwatukambo7908 6 жыл бұрын
Wewe acha uwongo sugu sio mwana siasa mwenyewe ni vta tuu
@vivianlenard3618
@vivianlenard3618 5 жыл бұрын
Unakua na mashaka we naye una nn wakuteke sasa. kuna anayekujua huko zombi kweli
@ndoanirahaonlinetv5031
@ndoanirahaonlinetv5031 5 жыл бұрын
duh
@enosh22wanyeche45
@enosh22wanyeche45 6 жыл бұрын
God bless mh bashe
@memoratasalon1128
@memoratasalon1128 7 жыл бұрын
Bashe marry me
@MarcoNM100
@MarcoNM100 7 жыл бұрын
hahahaaa
@mzamilmik7387
@mzamilmik7387 7 жыл бұрын
hahaha
@babawahindi7368
@babawahindi7368 7 жыл бұрын
Yes he deserve to marry you.
@nassorozawiya5778
@nassorozawiya5778 7 жыл бұрын
i wll
@nzegelamalimi1195
@nzegelamalimi1195 7 жыл бұрын
nakupongeza
@shehemnazi127
@shehemnazi127 5 жыл бұрын
Asantee bashe.
@basraebrahim9687
@basraebrahim9687 7 жыл бұрын
Mashallah you are good
@ismailbaruan2833
@ismailbaruan2833 6 жыл бұрын
yaan naibu spika Uko vizuri sana ahsante sana kwa majibu yako
@swaburyrwamlaza1479
@swaburyrwamlaza1479 7 жыл бұрын
shukurani mheshimiwe bashe
@hajamijohana6979
@hajamijohana6979 5 жыл бұрын
2020 bubu ataongea
@jumahassan273
@jumahassan273 3 жыл бұрын
Bunge bado halipo na haki ya kutetea raia na ndio hao wanaotumia kukamata watu kimykimy shenzi kabisa sugu na bashe nawakubali sana
@castrolk.ezekiel7426
@castrolk.ezekiel7426 7 жыл бұрын
Bashe na wew utaambiwa umechochea unatangaza kua nchi hakuna aman!?
@Mkemia..Kirigiti
@Mkemia..Kirigiti 7 жыл бұрын
Bashe, nakukubal xna kaka. inapobid kuzungumza ukweli, we have to say xo.
@justinchriss3778
@justinchriss3778 7 жыл бұрын
bashe the great
@revocatusmanyama8621
@revocatusmanyama8621 5 жыл бұрын
Mungu akulinde bashe
@Purity493
@Purity493 7 жыл бұрын
safi sanaa
@kingcobra9238
@kingcobra9238 7 жыл бұрын
bashe umenena vizuri
@mosesjferuzi3413
@mosesjferuzi3413 5 жыл бұрын
H
@johnsonkuziwa171
@johnsonkuziwa171 7 жыл бұрын
Bashite Aende Jeratu Wananchi TunaumiaTunakuea Nahofu Nanchi Yetu Hatunaamani Jamani Tunaenda Wapi Sasa Jamani Hatupo Sudani TupoTanzania Nchiyenye Amani"
@aishahussein68
@aishahussein68 7 жыл бұрын
Johnson Kuziwa wee kilaza kweli umeelewa alichokisema sasa aende jela kwa kipi we pumba kweli
@mobileshop818
@mobileshop818 7 жыл бұрын
Aisha Hussein tena pumba asie jielewa kabisa
@mariammarco1554
@mariammarco1554 7 жыл бұрын
Johnson Kuziwa Wew chizi kweli aende jera kwa kosa gani alilolifanya?? kwani yeye ndo anayewateka? unapotaka kukoment uwe unafikilia kwanza muone na kichwa km vile zombi..
@mobileshop818
@mobileshop818 7 жыл бұрын
Mariam Marco ha ha hahahaa kwani kichwa cha zombi kiko vpi? umenifurahisha sana ndugu yngu; ila c mbya umempa maneno ya kweli mana kitu kikitokea majibu yanakuja c mwingine bali makonda
@bilalkitiku9096
@bilalkitiku9096 6 жыл бұрын
mbwa wewe ,,,,,,kusoma mwenyewe hujui ,,,uelewa nako zero
@irinekatumwakatumwa6606
@irinekatumwakatumwa6606 5 жыл бұрын
Dhu jaman!!!! Sisi wote niwakupita tuache visasi ili cku moja tuuone ufalme wa mungu
@olivaanosisye3184
@olivaanosisye3184 7 жыл бұрын
bashe, Sijui upewe kitengo gani? tupiganie baba
@dulasaidi9544
@dulasaidi9544 7 жыл бұрын
hahahahahahhahaahahahahahahah#sugu bn umetisha
@manfredymahinya9511
@manfredymahinya9511 5 жыл бұрын
mwiguru amini hujafa hujaumbika najua ww ni mcha Mungu sana naomba kwa kauli yako uwasaidie Watanzania ili wawe ktk hali ya amani.
@khatrarage4445
@khatrarage4445 7 жыл бұрын
it's trueeeee😢😢😢😭😭 there is no hope in serikali basheeeee oyèeeeeeeeee tutetee jmn😢😢😢😢
@saidwilson6529
@saidwilson6529 7 жыл бұрын
bashe kweli ni mwanaharakati.....
@charlzlyimo1982
@charlzlyimo1982 7 жыл бұрын
duuuuh!!! hata na nyie wamewageukia
@yohanabandoma9337
@yohanabandoma9337 7 жыл бұрын
Speaker is toothless now,nothing can't do.
@ghayoghayosd1581
@ghayoghayosd1581 7 жыл бұрын
Duu hatari sana sasa kama mnaogopa kiasi hiki je na kwa walio hali ya chini wanao potea wanasaidiwaje
@bestinamseti3078
@bestinamseti3078 5 жыл бұрын
Basheee your very bright
@piusjaphet2760
@piusjaphet2760 7 жыл бұрын
Hivi serikali yetu kama ingekua sio makini na kutegemea wa bunge kupanga maendeleo yetu tungekua hali mbaya sana
@annethdominic3403
@annethdominic3403 7 жыл бұрын
MUNGU awe pamoja nawe Bashe umeongea vizuri
@elishaalex6695
@elishaalex6695 7 жыл бұрын
Yan nchi kama somalia banaa
@jozeymkonge4905
@jozeymkonge4905 5 жыл бұрын
Bashe mwamba wao
@BLESSblessing1
@BLESSblessing1 3 ай бұрын
Jamani naomba , lissu, sugu, zitto nawengine warudi bungeni siku hizi bunge limekala sana.
@lumamichombochayesu1838
@lumamichombochayesu1838 7 жыл бұрын
duuh ni shidaaaaaa
@sadikisaidi28
@sadikisaidi28 6 жыл бұрын
Sawa ila kunawengine hpo niwatata angalien msje mkapgana na chupa
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 5 жыл бұрын
love u bashe
@dostovan5142
@dostovan5142 3 жыл бұрын
Very brave Bashe,wh
@novatiemmanuel2175
@novatiemmanuel2175 7 жыл бұрын
Bashe Mungu akuzidixhie uwezo na nguvu na uwe imara kusema ukweli na kutetea wtz na siyo kutetea ugali kama wenzako was ccm hakika Bashe ww ni mfano tosha kwa wanaccm wenye akili kukuunga mkono
@agressngimbudzi5319
@agressngimbudzi5319 6 жыл бұрын
Uko vizuri bashe wenzio wa ccm wanaogopa kusema ukweli wanaogopa
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 7 жыл бұрын
mwiguru umekaatu aseee
@stephanomwakyobe4675
@stephanomwakyobe4675 5 жыл бұрын
njoo ukawa kuna mdee lemma nassari, kama wew
@DeusNchembah
@DeusNchembah 7 жыл бұрын
Tulia anajua kutuliza,Majina mengine banaa!
@shafiimsemo698
@shafiimsemo698 5 жыл бұрын
Bashe ukovizuri,hongera kaka
@nehemiajohn3918
@nehemiajohn3918 7 жыл бұрын
hawa wote kina jenista wanahemewa kisogoni
@stellamwasenga6205
@stellamwasenga6205 3 жыл бұрын
Seen
@riscaoscar521
@riscaoscar521 7 жыл бұрын
jamani mbona
@elishaalex6695
@elishaalex6695 7 жыл бұрын
huyu naibu spika daaa ...sijui na yy ana ubashite.....
@mohammedally8569
@mohammedally8569 7 жыл бұрын
Dah nimasikitiko makubwa kwa nchi hii jamani
@anthonmunishi4463
@anthonmunishi4463 6 жыл бұрын
naibu spka kawekwa jamani kwahyo Hana nguvu yeyote
@elialucas6140
@elialucas6140 4 жыл бұрын
Ahsante sugu
@athumaningitu7743
@athumaningitu7743 6 жыл бұрын
Ally kessy
@shyneplatnumz2583
@shyneplatnumz2583 7 жыл бұрын
Bashite bungeni
@rachelissacmahenge1348
@rachelissacmahenge1348 4 жыл бұрын
Kwanini habari za utekaji ziko awamu wa tano tu🤷‍♀️
@amryabdallasaid2077
@amryabdallasaid2077 5 жыл бұрын
Big up: Bashe.
@amryabdallasaid2077
@amryabdallasaid2077 5 жыл бұрын
Big up. Bashe.
@saidshalya1987
@saidshalya1987 6 жыл бұрын
ycc
@ayubnsajigwa1037
@ayubnsajigwa1037 7 жыл бұрын
Mhh Nchi imekwisha tuliipofika Mungu atusaidie
@mobileshop818
@mobileshop818 7 жыл бұрын
Ayub Nsajigwa Ameen In sha Allah kwa uwezo wake Allah ninaimani tutaishi kwa Amani.
@mujwahuzikyabwishukuru2917
@mujwahuzikyabwishukuru2917 Жыл бұрын
MWIJAGE JOHN
@hezronsanga5197
@hezronsanga5197 2 жыл бұрын
Bashe nakukubali sana ndio uongoz huo shida chama chako hakitaki ukweli sio kila kitu siasa
@daudhenry8909
@daudhenry8909 5 жыл бұрын
Duh
@babucheenyahega2778
@babucheenyahega2778 5 жыл бұрын
Tutafute katiba yenye usawa maana naibu spika mjinga mjinga kama tulia niwakuponda mawe
@upendosanga3328
@upendosanga3328 7 жыл бұрын
i luv yuh akson we ni mwanamke wa kukuiga ntajitahid niwe kama ww nakupenda mnoooo
@godwinjohn588
@godwinjohn588 7 жыл бұрын
Akili umeshikiwa UPENDO naona unatafuta kiki za kuteuliwa na we na magu
@athonyfrancis8889
@athonyfrancis8889 7 жыл бұрын
hahaaa fuatilia bunge,utamjua rol modo wako na si tulia wa kuzima hoja hata zile za maana,nikukumbushe tu bunge lililopita kuhusu ile hoja ya haki,hadhi na na madaraka ya bunge,tulia alionyesha kujua hivyo hivyo,lkn Mh.Ndugai aliliona na kuweza kulisimamia likae sawa ,so usikunwe na ushabiki kumuona ni mwanasheria ndo anajua kila kitu sivyo ilivyo
@elishaadolph6768
@elishaadolph6768 6 жыл бұрын
Dadaaa unajielewa??
@abelmachunda9494
@abelmachunda9494 7 жыл бұрын
ndiye naibu spika... dk tulia ... tutegemee mabadiliko baada ya miaka 10000
@sphrb1063
@sphrb1063 7 жыл бұрын
Tanzania 🙏🙏🙏🙏
@husseinrajabu2735
@husseinrajabu2735 5 жыл бұрын
Waambie bna nchi yetu yaa Amani hatutaki kuipoteza hii Amani
@charleskanwani5765
@charleskanwani5765 5 жыл бұрын
MALAIKA wakulinde bashe
@bamurwakana5890
@bamurwakana5890 4 жыл бұрын
Jamn bashe ubarikiwe kwa ukweli wako
@munuobaraka5409
@munuobaraka5409 7 жыл бұрын
sana bashe
@magigejoseph255
@magigejoseph255 5 жыл бұрын
Upon vizuli
@jisamjose2184
@jisamjose2184 7 жыл бұрын
Kweli kabisa haiwezekani tukose uhuru
@ibrahimkassim7298
@ibrahimkassim7298 5 жыл бұрын
true
@user-de7nf8pp3w
@user-de7nf8pp3w 7 жыл бұрын
jmn huy sugu hatar
@omanoman1576
@omanoman1576 3 жыл бұрын
Bshe yupo saw kbxaaa mna
@shafiimsemo698
@shafiimsemo698 5 жыл бұрын
Sema japo inauma, ukweli wa mungu ndo huo.
@mustaphakisanga8381
@mustaphakisanga8381 3 жыл бұрын
Dr. Tulia anasitahikuwa spika wa mbuge na sio naibu
@ebenezerymbwambo6248
@ebenezerymbwambo6248 7 жыл бұрын
2naitaji wabung kama bash
@jeremiajohaziel4927
@jeremiajohaziel4927 7 жыл бұрын
BASHE NI JEMBE LA KUIGWA NA WATANZANIA
@dicksonmrema7584
@dicksonmrema7584 5 жыл бұрын
Ukweli bashe unachosema wasipo fuata maneno yako inamaana wanajuwa watekaji na wanawabeba
@dicksonmrema7584
@dicksonmrema7584 5 жыл бұрын
Bashe sugu mpaka kieleweke yani watu tuwweke kichwani mwaka,,2020watuambia
@shakilaabubakar8517
@shakilaabubakar8517 5 жыл бұрын
m.mungu amlindeee
@mosesolodi242
@mosesolodi242 5 жыл бұрын
Jeremia Johaziel hatar hii
@lichilasalumu7983
@lichilasalumu7983 4 жыл бұрын
Sasaiv ni utopolo tu
@gaspakauki1718
@gaspakauki1718 7 жыл бұрын
Uyu ns ki kizibo.
@babawahindi7368
@babawahindi7368 7 жыл бұрын
Shikamoo bashe laiti kama wabunge qwanakielewa unacho kisema basi hawatosita kukuunga mkono kuhusu hoja yako,ila yatakapo wakuta wao au watu wa karibu kwao ndipo wataelewa.
@yassinmuhajir4391
@yassinmuhajir4391 7 жыл бұрын
zimwi linawatafuna wao sasa wanaanza kupiga kelele, walitekwa mashekhe zetu zanzibar wakapewa kesi mpaka leo wako ndani hawajahukumiwa miaka takriban saba sasa hatukusikia watu kuja mitandaoni au bungeni kuongea leo wametekwa kina roma watu mapov yanawatoka, nataka ile dhambi ya kuwateka mashekhe iwatafune mpaka na wao waachiwe, muone uchungu wake tena nyie hamjafanyiwa walichofanyiwa mashekhe mnalalamika je mngefanyiwa ingekuaje, Allah iweke balance hii nchi kila raia awe na haki sio wasanii tu ndio wana haki au wabunge, viongozi wa juu
Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017
11:11
Millard Ayo
Рет қаралды 1,4 МЛН
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,5 МЛН
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 82 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 72 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 48 МЛН
“Kiongozi ni kusikiliza watu, Serikali mnaficha nini?” - Bashe
16:39
SHAMBULIO LA LISSU LAMWIBUA BASHE, SPIKA ATOA MSIMAMO
10:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 129 М.
Zitto Kabwe VS Dk Tulia Ackson, Full package
19:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 321 М.
Sugu Amvaa Bashite, Ataka Ashtakiwe, Awaponda Bongo Muvi
11:55
Global TV Online
Рет қаралды 134 М.
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 82 МЛН