Ukuta wa Mungu ukuzunguke,na wote wanaotaka kufanya mabaya juu yako,yawarudie wao na watoto wao katika jina LA YESU Ameen
@cassianmkeko15146 жыл бұрын
mungu atakuongoza Mhe Heche ww ni mpgania haki ktk nchi yetu
@merryn48916 жыл бұрын
Pole baba mwenyezi mungu akuepushie na hao makafiri wasoofia mola wao wanao jitia wao mawe ila kila binadam ataonja mauti mwenyez mungu yu nawe
@baltazarytwati646 жыл бұрын
Meresiana Were hi
@jastinmsera95576 жыл бұрын
Mungu akuepushie zengwe lolote juu yako
@malikisombi9804 жыл бұрын
Pole mheshimiwa mungu yuko na wewe
@mlocozdaud53414 жыл бұрын
Mwamini Mungu Mweshimiwa Heche Yote Utayashinda
@jumakitipui12816 жыл бұрын
Furaha ilioje kwa mema yako mkuu mungu aendelee kukupa ujasiri na nguvu
@abeidmayanga8096 жыл бұрын
mzee magu kachemka sana anashindwaje kukemee mambo km hya jaman akiwa kama mkuu wakaya wapimzani tusiwanyanyase
@emanuelissaya10796 жыл бұрын
ukitaka kuwajua watu wasiojulikana gusia 1.5trillion,gusia 26April maandamano, ukitaka kuwajua wasiojulikana Gusia bombardier, Gusia e-passport,gusia suala la demokrasia,kinachopandwa leo ni kidogo, ila impact yake ni kubwa sana, kuzuia demokrasia ni jambo dogo matokeo yake ni makubwa sasa ni jambo lakuamua tuende vipi,only time will tell
@bsmonline84826 жыл бұрын
Nyie ambao mnachukulia kiwepesi wepesi haya mambo sawa lakini ifike mahali tukubali kuna upepo ambao sio mzuri sana unavuma ambao km juhudi za makusudi hazitachukuliwa na kuuacha ugeuke kimbunga basi mimi naona tunapotea na amini usiamini lakini huenda watoto wetu kama sio wajukuu wetu ndio watakaoathirika zaidi, kuna watu wanakejeli wanatukana sawa lakini tujaribu kufikiri mbele zaidi, Na wakati mwingine lazima tujiulize km wazazi wetu huko nyuma Na baadhi yetu tumeishi bila kuyashuhudia haya mambo lakini sasa tunayashuhudia haya, je watoto wetu Na wajukuu wetu wataona nini maana aliyesema polepole ndio mwendo alikuwa na maana sana. Mnaokejeli Na kutukana sawa yote ni mitazamo lakini lazima ifike mahali tufikirie Na kuyatafakari kwa kina haya yanayojiri kwa sasa tudumishe amani Na udugu badala ya kutengeneza blocks huyu ni wa upande fulani basi ni adui hapana. Mimi yangu ni hayo tuu mi huwa situkani kwasababu sioni haja ya kufanya hivyo zaidi ni kujidharirisha coz humu tupo watu wazima ambao wakati mwingine fursa tunapeana humuhumu kwenye mitandao ya kijamii Na wakati mwingine kwa mtu ambae hata humfahamu Na hungetarajia.
@elenajosephu77636 жыл бұрын
Sio proper mzee haya ni maisha hv wewe ukitishiwa maisha utafanyeje ukiwa kama kiongoz mkuu, endelea kuamini kama nipropaganda ila juwa maisha yajao yanaweza kufurahisha au kuhuzunisha, muhulumiae anaejiulumia, mfute machozi anaelia utafanikiwa maishani
@faustinmushi64516 жыл бұрын
Having hakuna sheria inayotupa mamlaka kushitaki kwenye mahakama za haki za binadamu kesi binafsi. Ndio kwasababu, Ndani ya nchi tunamaahaka na serikari yetu kwa sasa. Kwasababu wanatuambia ukitishiwa ukalipoti police. Na wakati huohuo same share gene a kesi ya jinai, na mala tu uapojitokeza wanakukamata unakaa ndani kwa kesi ya kusingiziwa yaani uchochezi. Inashangaza sana. Ukwili halisi ni kwamba nchi hii inapoteza sifa na muda mchache tutakuwa kama Somali. Ngoja tuone. Haiwezekani mtu(Mh.John Heche) anaeheshimiwa na wananchi wengi, avunjiwe heshima na serikari. Haiwezekani.
duuuhh hii ni hatari,,kama ni kweli unahusika iachie sheria iamue lakini kama hauusiki MUNGU yu upande wako,Mungu akiwa upande wako hakuna litakaro potea kwako Bali wafanyavyo vile itawarudia viongozi sisi sote ni watanzania jamani,mungu atusaidie
@skitusebastian65336 жыл бұрын
Watanzania tupendane sote tu wamoja tumuogope mungu,
@jkokech89565 жыл бұрын
Damu ya Yesu Kristo ikuzingile kuanzia Utosi kutoka unyayo
@km-bu3jm6 жыл бұрын
when someone claims his life is to be on spotlight it is a serious issue. I think the police should take action, let's not forget, lissu also said the same thing but people ignored him
@yohanakebacho39906 жыл бұрын
Mungu akusimamie kiongozi wangu
@margarethsaramaki11005 жыл бұрын
Ufunikwe kwa damu ya Yesu.mabalaa yawapate wenye nia mbaya nawe.
@mpelienock6 жыл бұрын
John Heche una akili na ni Mbunge unayewajibika na jimbo lako na ni Mbunge unaejitahidi kutetea watanzania wengi ni Mbunge ambaye elimu yako imekua faida kwa wengi, Hapa bado sana wenye akili wachache watakuelewa lakini fahamu ambazo hazijapevuka watapinga sana, tunahitaji kusema na kuombea taifa hili watu wafunguliwe fahamu zao. Njama zote zishindwe Mungu azipishilie mbali kabisa. We send it back to the sender in the name of Jesus.
@kilulamofi49482 жыл бұрын
Sema baba wewe unafaha mungu Atakulinda hawatowezakukuuwa
@ThobiasMarandu6 жыл бұрын
Mtu Akikutioshia Maisha The Best Way Ni Kumyanyua Yeye! Serikali Inahusika na Uhuni, Basi Na haki na Usalama Wetu Utapatikana kwa Uhuni 100 Times Over!
@wrghkjdghklljg38196 жыл бұрын
hivi kwa nn tazania imekuwa ya kesenge zamani haijakuwa hivi tena wabunge walikuwa wanaheshimiwa sasa hivi naona kama watu wakawaida tu mungu awasaidie tu
@HassanMasoud-tb8uh Жыл бұрын
Uyu heche anafaa ata kua raisi tukie sehem tuitengeneze Tanzania yetu jamani
@lembesajackson93516 жыл бұрын
Mungu yupo atapambana nao
@saidfullcreemndabi57656 жыл бұрын
Mmezidi
@henryndosi85696 жыл бұрын
Huna lolote hizo ni bangi za tarime hizo ,wewe ni muhalifu sugu
@henryndosi85696 жыл бұрын
Huo utetezi utaenda kujitetea mahakamani kama ulimwagia mtu tindikali ujue kesi ya jinai haifi
@rhodalifa53686 жыл бұрын
Mungu asimame cjui tunaelekea wapi !!
@mpelienock6 жыл бұрын
Songa mbele Kaka hakuna asiyejua kua wewe ni Mbunge resourceful na mwenye hoja za msingi zinazofaa kuikosoa serikali ikikosea.
@asiazuberi97226 жыл бұрын
Watanzania tunaelekea wpi jamni mungu atunusuru
@edisonntumo25696 жыл бұрын
Anayetaka kukudhuru hakuambii Heche, acheni kutuweka katika mazingira yenu. Mmezidi kulalamika. Woga ni dhambi imeandikwa kwenye Biblia. Acheni hizo, nendeni majimboni kwenu.
+Iniesta Maduka Alisema wapi... maana taarifa zilitoka kuwa yeye alikua akiwaambia wanachama wenzake km anafuatiliwa but haiuwahi kutoa taarifa polisi... nan anaweza kumtishia MTU na aoaendelea kumwacha awe huru km huyu anaeongea tyu hapo, hiyo ji kampeni isiyo na maana... Wanataka kutuletea propaganda nyingine za ajabu...
@chassesinamba35616 жыл бұрын
siasa za jpm tumeshazistukia atakama kweli tunajua uongo wake wake wa kihutu naubashite tu unaowasumbua kupoteza amani tz ataware mudawote tumemjua jpm
@davoo25556 жыл бұрын
Wasifananishe Tanzania na Rwanda Nchi ambayo ni kama Mkoa mmoja tu wa hapa Tz. Tanzania upinzani hautakwisha wala wapinzani hawataisha sababu tunaupenda upinzani.
@amanunika81336 жыл бұрын
Songa mbele tu hata yesu aliteseka aliuawa kwakusema ukweli hh nchi yetu sote cyo yahawa nyoka wakijana
@kuchiafricancinema6 жыл бұрын
Wenye mamlaka na nchi yao hawataki kuguswaa AF ata mkisema bado haina maana kikubwaa watanzania tusipende kudharau mambo lazma tupaze sauti wanachi kwa pmj
@lucasgasper52355 жыл бұрын
WATANZANIA SIO WAJINGA TUNAONA
@skitusebastian65336 жыл бұрын
Basis wavifute vyama vya wapinzani kuliko haya yanayoendea
@mpelienock6 жыл бұрын
Mheshimiwa Mungu atakulinda fanya kazi na uendelee kutoa hoja zako za kuijenga serikali bora wenye akili wanakuelewa.
@ayubumwita54386 жыл бұрын
Wanaokuonea watajikwaa wala hawatashinda usiwaogope hawa miungu watu maana kila MTU atakufa.
@jumadea79576 жыл бұрын
njoni kwenye majimbo yenu mfanye kazi. kiki hatutaki watu tunashida nyingi
@avax57176 жыл бұрын
Hovyoo, kwan lazima muongee
@nyabahailani31696 жыл бұрын
lakini lakini mkumbuke nyie mnayefanyia watu uovu huu kusingizia watu na nyie mtayapata tu kwa familia zenu" heche mungu atakutetea tu na watskao fanya hivyo wataona
@elipokeandosy39456 жыл бұрын
uko vizur kamanda wetu wa nchi
@tundulisunimchawihuyuryan86136 жыл бұрын
Elipokea Ndosy pole kamanda mungu yupo mbele yako wala usiogope
@husseinkulumbiza88946 жыл бұрын
Akuna kitu nisichopenda ,kila siku viongozi wetu kugombana!,maendeleo yatapatikanaje kama viongozi tuliowachaguwa kutuletea maendeleo Wao kila siku chuki! Naomba tumtangulize Mungu kwa kila jambo,Natupendane sote kama watanzania,Mungu Atusimamie tuwe na Roho za Upendo kwa kila mmoja wetu,Aamin.
@tanzania25596 жыл бұрын
Wewe nani mpaka utishiwe?
@lutakiiza46712 жыл бұрын
Nitapataji namba yauyu mtu
@sigorijoseph49776 жыл бұрын
Kila anaenyanyuka anatishiwa sasa hii imezidi
@jacobmwalusamba44786 жыл бұрын
Umeisha ueleza umma katoe taarifa polisi
@shabbymakapane32126 жыл бұрын
Acha Unafiki nyie Ndio Mnaochafua Amani ya Nchi yetu na kutengeneza Chuki Baina ya wa Tanzania MNA Sahau kua Siasa Sio vita au Chuki.Chuki na Uhasama Mnazitingeneza nyinyi Msisahau Tunawasikia Kauli zenu kila wakati kwenye mikutano yenu.
@edwardmakonge33715 жыл бұрын
hecheee mh!!!!!!mbona unapenda sifa nani akutishie wewe nani una nguvu gani??
@mashimbazephania35116 жыл бұрын
ivi nyie mmeishiwa sela stard za miguu ni uzembe wa driver, eti unatishiwa maisha we unamapya yapi tz mpinzani wa kweli ni zito kabwe wengine mazwazwa2
Wewe ndio zwazwa unazani kuna mtu utambadilisha rudi shule
@kenethmufuruki43636 жыл бұрын
SASA KAMA WANAJULIKANA SI UKAWAFUNGULIE MASHITAKA......ACHENI KUTAFUTA HEADLINES
@christmasmachele55896 жыл бұрын
Ushuzi tu hakuna lolote njoo kwenye maandamano kesho tukuchezeshe kiduku
@shepherdizotarimo82276 жыл бұрын
Huku kutishana siku Tukitekenyana tutaheshimiana
@habibumallanga63925 жыл бұрын
Kama uyo msiba mfungeni maana ana mdomo mm cjui ata chama gan
@Kathren-ed7xb6 жыл бұрын
Tushachoka na hizo movie zenu nendeni kwenye majimbo yenu mkafanye kzi tangu mwezi wa pili hukuongea leo unaongea ili iweje tunatala amani siyo kiki zenu
@kabhikachambala33926 жыл бұрын
Kathren 2016 . Ni muhimu kusema jambo hili. Kw usalama wake.
Hakuna awezae kutishia maisha yako acha propaganda endelea kututumikia maana tumekuchagua ili utuwakilishe vyema usilete propaganda.....Yesu alisema kuwa aliye tayari kuyapoteza maisha yake kwa ajili ya watu wake Mungu atayalinda....Acha kelele piga kazi
@aggraypeter.50086 жыл бұрын
Solomoni TV Anasema Anachokiona Usimbishie Hata Wanamtishia Kifo ndo kinaua
@solomonitv78086 жыл бұрын
Aggray Peter......Mh anaonge anatengeneza. Ajenda.....Nchi yetu haiwezi kuendelea kwa Kutengeneza matukio na kuyasovu... ukimsikiliza kwa makini zaidi utajua nini anawaza Mh...ndio maana ni kasema arudi jimboni kwake.
@sigorijoseph49776 жыл бұрын
Solomoni TV sasa nini kinashikana kuuliwa sasa mmevaa ngozi ya alimasi
@shaibsaleh26516 жыл бұрын
ACHA usenge ww
@sharoondanny7186 жыл бұрын
Solomoni TV We unajielewa ww
@elminakalunga40306 жыл бұрын
Maandamano vipi waheshimiwa? Hata maandalizi hamna!
@siddyoneonlinesi54336 жыл бұрын
Mimi nitawAkagulieni magari yenu kila siku
@salummuhija44356 жыл бұрын
Wapinzani wabongo shida tupu sasa unatueleza sisi tukusaidieje? Kama umeshindwa kukoma basi komaa kelele zanini sasa.
@isayafrancis98256 жыл бұрын
Bondia huwa haogopi ngumi za usoni
@bestbahati30096 жыл бұрын
Siku hizi mnakimbilia media tu.
@TheOne-fi6cs6 жыл бұрын
Hapo chacha
@mohamedsultan40196 жыл бұрын
Best Bahati waende kwa bashite
@amanimallya24515 жыл бұрын
nasoma na mdada anaitwa bahat kama ww ni pimb chuo kizima hana akili kama ww
@ibrahimchacha37076 жыл бұрын
acheni ushamba na nyie anazungumuza ukweli
@ibrahimnaftar3305 жыл бұрын
We nikichwa mjomba nakukubal
@ibrahimally64556 жыл бұрын
Hahahhaahahahhaha😂😂😂😂😂😂 daaaahhh
@saidpolenikwamsbakinidi62326 жыл бұрын
Msiogope endeleen kufichua ufisad walitwambia ufisad umeisha lkn ndio ivo tirioni zishapigwa tnzagiza hhhh
yan hujui ata ulichokiandka yan umeandka sjui kilugha yan msiosoma weng n ccm hapo ndo napomshukuru mungu mama ww sizan hata kama la saba ulimalza sio kwa broken hizo zlzovunja rekod et hama nchi we we they lost you😂😂😂😂😂😂 andika hiv "hama nchi they will loose you" matako ww wa ccm
@amenyekibona87306 жыл бұрын
umeripoti police station au unaongea na vyombo vya habari tuu,
Nyie hamumuami MUNGU mini? Kila anaesema kitu mitandaoni au bungeni? Mchana wake tu mnaanza nimetishiwa maisha. Kila mpinzani? Mara zito Mara lema Mara Esta? Jamani msituletee Hizo tabia halafu heche kuna Mkurya WA kupotezwa? Propaganda zenu tu
@shodristvtv61216 жыл бұрын
Tumewachoka yani kilasiku kilamtu anasema anataka kutekwa 😂😂😂 juzi juzi meya wa dms leo ww nawengineo
MDOGO WA JOHN HECHE AUAWA NA POLISI. Hali si shwari katika Mji wa Sirari wilayani Tarime jimbo la Tarime Vijijini ambapo mdogo wa Mbunge wa Tarime, John Heche, aitwaye CHACHA HECHE SUGUTA, ameuawa akiwa chini ya Ulinzi wa Polisi na ana jeraha la kuchomwa kisu. . . . Ndugu wa marehemu wanasema wakati alipokamatwa na Polisi alikuwa mzima kabisa. Muda huu mabomu ya machozi na risasi vinafurumushwa kuwafukuza wananchi kutoka kituoni. . . Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara, RPC Mwibambe amekiri Askari wake kuhusika na mauaji hayo ya kijana huyo aliyezaliwa mwaka 1989. Chacha Suguta ni mdogo(upande wa Baba mdogo) wa Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche(CHADEMA) . . John Heche anasema kuwa kijana huyo alikamatwa na Askari wa Jeshi la Polisi usiku wa jana akiwa Baa akiwa mzima kabisa. . . Heche amesisitiza kuwa baada ya kufariki, Askari wa Polisi walitaka kuutupa mwili wake lakini ilishindikana kwa sababu eneo walilotegemea kuutupa kulikuwa na Mlinzi aliyewafukuza, ndipo walipoamua kuupeleka mwili wake kwenye chumba cha kuhifadhia maiti (Mortuary) ya Tarime. . . #Mtatiro J
@shahidhassan52935 жыл бұрын
Akili yak finyu
@wrghkjdghklljg38196 жыл бұрын
hatutaki ndenge kuma ww
@yaletbweye55654 жыл бұрын
Acha ushamba wewe,maneno yako hayana madhara
@sifunijonathan78546 жыл бұрын
kelele bhana
@larickmtui28526 жыл бұрын
Wew Kiki waachie kina hamorapa acha pres zakijinga