Mungu akusaidie kaka makonda Mungu akufinike adui asikuone
@BonamaxSadoth11 ай бұрын
Nakuombea unafanya nzuri Mungu akufanye uwe Rais
@maikomatayo279411 ай бұрын
makonda popote ulipo mungu akubariki akuepushe na maofu ya dunia akujalie mema saidi 🎉🎉❤❤❤
@SilvioMpogole-o7f11 ай бұрын
Kumyang'anya bango ni ushahidi tosha simamisha wote
@NahyaAli-q5d Жыл бұрын
Makonda ni mwamba kam miamba wengine likes nyingi kama unamuelewa makonda
@catherinenenula745011 ай бұрын
Eti anamacho makubwa mweupe anakutisha eti ee🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂 hii nchi tunacheka kama mazuri
@syliveriuszaverius23477 ай бұрын
😂😂😂 yaani tutacheka sana lound hii
@batilda4920 Жыл бұрын
Ndio maana wamemnyang'anya Bango wanajua makosa Yao hawa maskari wanyanyasaji Sana hawa dhulmat Sana.
@Ihsankeizer10 ай бұрын
Truly President Maghufuli left a wonderful legacy.. And I have watched Mr Makonda since he was the R.C in Daressalam . President Samia appointed the right person to represent her for this job. I'm also very sure Mr Makonda will be a future Tanzanian president....
@stellamartin510611 ай бұрын
Mungu baba wa mbinguni mpe umri mrefu na afya njema.
@yohanamdemu923211 ай бұрын
Mmmmh huuu uamuzi wa Makonda Mungu anajua
@IsaayJohn Жыл бұрын
Mungu wangu! Mhe makonda tuokoe na dhuluma hizi za viongozi wasiowaadilifu na wenye kutumia madaraka yao kunyanyasa wananchi!
@sosmakanya4901 Жыл бұрын
Usanii mwingi Anaibua mambo na kuyatelekeza fustilia uone
@elizabethmgassa724311 ай бұрын
Huyo police muongo anasema hapajui.hrf liko ndani ya kambi tumueleweje?
@omaryduruduru271910 ай бұрын
Hilo lidada dawa yake ni Looo
@abdallahnkrumah6237 Жыл бұрын
Tutajionea sanaa na sarakasi nyingi Kwa watendaji wa serikali.
@ritapiusnicolaus706811 ай бұрын
Mungu akulinde Makonda🙏❤️❤️❤️❤️❤️
@EliaHiluka-ep3tp11 ай бұрын
Ulifika kwake ? Nyumba hiyo aliyojenga inapakana na Polisi? Na kama ndiyo basi ulifika
@kapesekapese7167 Жыл бұрын
Namuona Hayati Magufuli ndani ya Paul Makonda, big up brother. Komboa wanyonge kaka.
@ShadrackKapange7 ай бұрын
Lakini kweli na mm nikimuona makonda nakua kama nimemuona magufuli (from Malawi)❤❤
@fatmaalhabs6939 Жыл бұрын
Polisi ndi majambazi mbwa sana
@rosetreffert4179 Жыл бұрын
Magufuli atakumbukwa!!MAKONDA tunakupenda ❤
@mamachris6811 Жыл бұрын
Ila Polisi wengi wanaonaga Nchi hii yao
@WinstonKimathi9 ай бұрын
Kama vile 🇰🇪
@rosetreffert4179 Жыл бұрын
MAKONDA MUNGU AKAWE MBELE KATIKA KAZI ZAKO AKUPUSHE NA MABAYA YOTE ❤❤❤❤❤❤❤
@evelyinipaja7022 Жыл бұрын
Amen.
@shehanimzee995311 ай бұрын
Kwanini hao polisi wamemnyang'anya bango?
@RehemaJonas-yj7ed8 ай бұрын
Makonda mtetez wawanyonge karibu arusha kumenuka mungu akuangazie Nuru ya uso wake Amin🙏🙏
@inviolatamalifa687111 ай бұрын
Hongera sana Baba kwa kutetea wanyonge ,Mungu akujalie afya njema Baba.
@kahema_steven11 ай бұрын
Hii ndo CCM sasa, achana na vyama vingne
@mohamedpinda54411 ай бұрын
Hii nchi polisi wanatakiwa wapigwe msasa wanaendesha kikoloni Kila sehemu malalamiko ya polisi tu
@kilogreek4050 Жыл бұрын
MAKUMAKONDA NYAYO ZA BABA❤❤❤
@IssaSenza-m7h6 ай бұрын
Nakukubari makonda piga kazi huo ndio uongozi Bora sio Bora kiongozi mungu atakulibda
@userwalterreal11 ай бұрын
Jamani jamani polisi mmepotoka hahahhaha😢😢😢
@abisaimuhanji368711 ай бұрын
Huyo mama kasema hapajui kwake kwakuwa wao wanadai eneo ni la polisi ndio maana hakusema kuwa ni kwake, mwananchi yeye anaitwa kwake 😂😂😂
@husseinkonz5192 Жыл бұрын
Uonevu umeibuka hatar Sana polis wajiangalie
@ChansaElie6 ай бұрын
Hasante
@hassankajembe4118 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni kichwa sana.MUNGU Akulinde makonda.endelea kuwapigania wananchi kwa moyo huo huo
@saimonjohnsumley919811 ай бұрын
Kwani hao police Mali ya nani? Au ni Mali ya CDM? Acheni maigizo
@sofiaantonioantonio7265 Жыл бұрын
Naona Yohana mbatizaji anatengeneza njia kwajili ya Mama!
@BilalShingwa11 ай бұрын
Makonda. Unajitihid kuelewa maelezo..! Ya walalamikaji. Mungu akulinganie daima...sababu. Nimuelewa sikuwahi kukujua Kama nimuelewa kiasi hicho. Pendekezo langu binafsi. Tunaomba tuwe tunaoneshwa walioludishiwa haki zao. Chama Cha ccm nakukubar kupitia utalatibu wako. Asante mungu Akulinde daima
@franknzowa22 Жыл бұрын
Sasa hapo tunachanganyikiwa maana hapajui kwake halafu tena anasema kajenga ndani ya kambi,...kivipi?...basi anapajua.
@ramadhanrashidmthailand955311 ай бұрын
Aise namm nimeshangaa sana 😂
@cuthbertdongwe247711 ай бұрын
😂 labda anamaanisha hapajui kwakuwa anaamini pale walipobomoa sio kwake ni kwa polosi
@franknzowa2211 ай бұрын
Sawa,...basi tuseme tu hivyo
@imeldasamwel53911 ай бұрын
Hahahaha police ina kambi sku hz 😅😅😅😅😅
@vagashappnecy485011 ай бұрын
Mungu kamrudisha Magufuli kwa njia ingine😢😢😢😢
@aliyageorge6794 Жыл бұрын
Hakuna democracy... In Tanzania 🇹🇿
@dorotheasamwel807111 ай бұрын
Big up OCD... raia anaingiaje kambini na kujenga kibanda afu asifukuzwe.. ebu tofautisha kibanda na nyumba ya kuishi... tusijibu kwa preshaaa... ocd safi sanaaa... umejibu kwa kujiamini...na kwa uhakikaaaa... BANGO SASA BAAANGOOO
@swahibually834911 ай бұрын
Mjomba hueleweki,kama kweli huyo OCD ni mkweli,imewezekanaje Mtu ajenge Mpaka amalize awe anaishi,hao polisi walikua wapi?Na kama KESI IPO mahakamanni,iweje wasisubiri Maelekezo ya Mahakama? OCD ameenda kufanya nini Usiku huko nyumbani kwa muhusika? Kwanini wamnyang'anye Bango ?kwa Akili ya kawaida Inaonyesha kwamba, Askari walijua KOSA lao,na hapo washaingia Doa.Hapo subiri kifuatacho?Mapolisi wengi ni Majambazi waliosajiliwa na kukabidhiwa Silaha na Serikali,.
@willeyluoga64656 ай бұрын
Namkubali sana mwamba yaani alimopita hayati Raisi Magufuli ndimo anamopita wananchi tunakukubali sanaaa na tunakutegemea Mungu akupe maisha marefu makonda
@neemanziku540311 ай бұрын
Asante Makonda,nadhan mama samia umeona kwann watu wanahamia chadema kuna madudu mengi ktk chama chako
@Loddy-b3h11 ай бұрын
Hilo sio suluhisho ni kuwapa mikataba watumishi wa serekali wakishidwa hawapewi mikataba mipya
@khadjamhozya8 ай бұрын
Akiona
@khadjamhozya8 ай бұрын
Et mama Samia ameona🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@SaidyMalumbo-j5q Жыл бұрын
Pumzika kwa amani anko magu hii ndo inchi aliyoiyacha watu wanafanya wanavyotaka kutokana na mamlaka yao😢😢
@FelxiPius Жыл бұрын
Mungu akutangulie Kila utakapo kanyaga mguu wako Mweshimiwa Makonda
@alastridamichael568511 ай бұрын
Hongela sana makonda kwakutusaidia sana kelo zetu nimekupenda sana umebadili Kwa manguvulu Fanya kazi baba nimekupenda bule baba angu kwakazi nzuli unayofa nya mungu akubalikisana
@DottoKitambi11 ай бұрын
Makonda oyeeeee mungu akubariki sanajaman mkomboz wa wanyonge. jitahid siku moja huende na mahospitalin ukaone vihoja
@IzraeliHerman11 ай бұрын
Huyo mama ni jambazi kweli
@WilliamMlangi11 ай бұрын
Makonda hongera kwa kazi ngum na yenye weledi
@mitundafmoni7699 Жыл бұрын
hii nchi imejaa dhulma wallah kias tusiende mbele😊
@clemenceparokola Жыл бұрын
Hao waliokimbia na bango ,unge wasweka ndani hapohapo
@katabaroonlinetv9688 Жыл бұрын
Mathias kayayuka na bango letu 😀😀😀
@KaboSumwa11 ай бұрын
Hongera karibu mwenezi kwa ufatiaji
@josephkalwani Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 sasa kama hapajui amejuaje kama amejenga ndani ya kambi?
@AllyGibu-cz2vo Жыл бұрын
😂😂😂😂
@JackobKyaro-zi7uj Жыл бұрын
Wazo zuri 👏
@DottoKitambi11 ай бұрын
Hapo sasa sijuh kwanini hajaulizwa
@JumaKwale11 ай бұрын
Kaka makonda mungu akupe maisha marefu na Imani ya mungu saidia wenye shida na fukuza hao wafujaji
@imeldasamwel53911 ай бұрын
Mh.mengine uwe unamaliza hapo hapo police ni tatzo sehem zote unaleta iman kwa chama sasa❤❤❤❤❤
@allykamwela847411 ай бұрын
Mungu azid kukulinda ucje ukapewa sum bure
@shuwanaliloka381611 ай бұрын
Makonda nakuomba uvaege na buleti prufu maana maadui ni wengi hata hao askari wanaweza kukutumia sharp shooters wakakumaliza.
@rehemalusindengawa518611 ай бұрын
Kweli kabisaaa
@MilawanduMwajuma11 ай бұрын
Wanafki hawa, Mungu anawaona, Inshallah
@ombenimunisi631111 ай бұрын
Halafu nyie jeshi la polisi mnajidhalilisha.
@chidomobile954611 ай бұрын
Hakika umejitoa sadaka kwa ajili yutu so niwajibu wetu kukuombea kila aina ya dua ili haki ipatikane good job kaka
@petermboje583911 ай бұрын
Unaita nyumba za watu kibanda fala askar
@DavidMchome Жыл бұрын
Huyo OCD hata sura yake inaonyesha ni katili
@FRANKKALANDA11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@sadickmsigwa299811 ай бұрын
Makonda🔥🔥🔥
@jumakiduka462511 ай бұрын
We Makonda, utawauwa watu kwa kazi zako hixi,unsnyoosha watu waovu tinakuhitaji mbagala zakhem Dares salaam
@mussakeston576811 ай бұрын
Achen kukili mapooza utaumia ww
@JoelMuro-dr1sf7 ай бұрын
Makonda piga kazi mungu atakulinda
@JamesJosephSullley Жыл бұрын
Hongera makinda kwa hilo msaidie huyo mwananchi na wengine wanaodhulumiwa
@lossarungira965 Жыл бұрын
Daaah, njaa mbaya sana
@albertvalentino130 Жыл бұрын
Hii Nchi ina mambo ! Sometimes Sana'a za ccm zinachosha kuzisikiliza --- maana tumeanza kuzisikia toka tukiwa watoto,mpaka tunazeeka sasa,hakuna chochote kinachobadilika -- ugumu wa maisha unazidi kuongezeka -- mfumuko wa bei ndio huo,vitu havishikiki -- umeme unakatika toka miaka ya 70 mpaka Leo,haujawahi kuwa stable -- migogoro ya ardhi imesambaa every where Nchini -- pamoja na rasilimali lukuki alizotubariki Mungu,lakini umaskini kwa wa Tz unazidi kutamalaki ---ajira hakuna " Inauma moyo "
@djbaddest122011 ай бұрын
Nchi zilizoendelea zote ajira sio kpaumbele kabxa watu wanajiajr 🙏
@kahema_steven11 ай бұрын
Umeandika nn sasa hicho 😅
@djbaddest122011 ай бұрын
@@kahema_steven tulza mbul
@WitnessMwanga8 ай бұрын
Makonda jemb Kam magufuli jamn, mungu akulinde , sanaa
@DaviMaiko4 ай бұрын
Makonda kidogo anahofunamungu
@KassimJabu6 ай бұрын
Mungu akutangulie makonda
@bishopmosesmagadula7572 Жыл бұрын
Dogo makonda anajitengenezea NJIA YA KUWA raise siku za MBELE
Natamani ningezaliwa mTanzania, viongozi kusikiliza wananchi ni busara ya hali ya juu mno.
@amad163811 ай бұрын
Teteeni wanyonge mungu azidi kukuweka
@riazshaikh85778 ай бұрын
Huyo ocd apigwe chini, kala sana rushwa hadi katuna hivo, dah
@johakhimu.mgembe.3297 Жыл бұрын
Inachekesha taarifa hii.
@FridaMmari6 ай бұрын
😂😂😂 akikwangalia macho yanatishaaa
@OmarMohamed-zf8dp10 ай бұрын
Kwa nn ape eno ammbalo mnasema la police
@MwalimuPeter11 ай бұрын
Hii nchi hii...!
@diamondplutnumz486211 ай бұрын
Wameyakanyaga
@jumakiwande2441 Жыл бұрын
Kuna kitu hapo hakiko sawa Lzm busara itumike Makonda Mungu aendelee kukuweka naamini Utaendelea kuvumbua mengi hata mengine tusiyoyatatajia ,Chama kipo kazini