Kuna muda huwa siamini kama umetuacha, lakini kadri siku zinavyozidi kujongea nimeamini umetuacha. Nashukuru sana MUNGU hujatuacha hivi hivi, sauti yako urithi wetu.
@AA-pd4pz3 жыл бұрын
Proud to be Tanzanian, kiswahili namba moja
@aliekubalikufiaukweli38882 жыл бұрын
Official legal and business language ya Tanzania ni English kama ulikuwa hujui. Ndio maana shujaa wenu alikuwa ameanza mkakati wa kubadlisha sheria iliyopo tangu enzi za ukoloni (na haijabadilishwa hadi leo) ya kuitambua English kama lugha rasmi. Ndio maana kila official document ya nchi hii in version ya Kiingereza. JIFUNZENI ENGLKISH nyie watu, kutojua official language ya nchi yako ni AIBU na FEDHEHA.
@lloveyoutanzania53153 жыл бұрын
Pumzika tu baba yetu maana hatukua na ujanja juu ya mauti ila uliko lala ukijua Taifa bora la Tanzania umeondoka nalo baba tumebaki na majangiri tupu🙏🙏🙏🙏
@elizabethhonere29313 жыл бұрын
That's my dad's 🤣🤣🤣nafurahia kichekesho kama bado upo halafu natoa machozi 😭😭😭kwa kutambua sitakuona tena lakini bado unaishi moyoni mwangu
@shedrackmumo17392 жыл бұрын
Sikuwahi ona iii video ya Jemedari ya "u know i know"...😂😂😂😂😂😂😂nimecheka sana kweli kweli....ila zidi kupumzika kwa amani baba
@yonabilshan64242 жыл бұрын
Nyerere na mkapa wataalamu wa ngeli tu
@joycemichael68303 жыл бұрын
You are my role model my president
@juniorpositive4023 жыл бұрын
Unaishi ndani ya moyo siku zote umekua kidonda Kila napokuona kwenye media.😭😭
@moseskazungu92706 жыл бұрын
Thanks magufuli
@TheNibikoraLtd3 жыл бұрын
Rest in power 💥
@poda_boy25442 жыл бұрын
Nilimpenda sana magufuli ata ingawaje mimi mkenya
@huseniausi40576 жыл бұрын
kwa Hili Ongeza bidii nasii tujivunie chetu
@drewdach95902 жыл бұрын
Sababu kubwa ya The Most High kuchukua kilichochema kwetu ni kutukumbusha kua we should not take things for granted...R.I.P living legend
@omariramadhani17272 жыл бұрын
Rest in peace en may god bless your soul our former president forever you will be in heart even among of us didnt loved🙏🏻
@alfanimwakipesile193 жыл бұрын
Baba tunajikumbuaha Sana mwenyezi mungu akuondolee azabu ya kaburi NAKUPENDA Sana
@sniper939993 жыл бұрын
Still we rememver u jpm🔥🔥🔥
@patrickmbanya83352 жыл бұрын
Amen Kiswahili kina history kumbwa sana tena sana
@mkemiamagege84773 жыл бұрын
Tutakukumbuka Daima Mileleeeee IPO siku mimi na wewe tutaonana tena mwenzanguuuuu! Mungu akupe mahala pazuri huko mbinguni. ukiwasubilia watesi wako waje kuhojiwa Ukiombwa msaada na ushuhuda juu ya maisha ya Watanzania, Baba Magufuli usiache kuwasemea wanachi kuwa hali si nzuri kama ulivyotuacha kwamba watu Mambo yamebadilika!!
@jamesfesto11783 жыл бұрын
Mweshimiwa alikua vizuri Sana Bora afufuke hata kwanusu saaa!🙅🙅🙅🙅
@reginaldmapunda67023 жыл бұрын
Nakukumbuka sana Magu. Wapumbavu wanafikiri usomi ni kujua kiingereza. Magufuli alikuwa anaongea lugha za makabila zaidi ya 30 ya kitanzania lakini hakuna aliyemsifia na badala yake wapo wanaommbeza kuhusu kiingereza na wanajiona wamesoma kuliko Magufuli jambo ambalo ni fikra za kipumbavu kabisa. Ni Magufuli ndiye aliyetumia elimu yake ya kemia kuhoji uhakika wa vipimo vya covid 19 na kuishangaza na kuizindua dunia kuwa hata papai na kwale wana covid 19 na tuna madaktari kibao ambao ndio majukumu yao lakini hawakufanya kazi hiyo. Kila MTU anataka kuongea kiingereza na tunawalazimidha hats watoto wetu waongee na wasome kwa kiingereza japo tunaishi kiswahili. HIVI TUNAKWAMA WAPI SISI WABONGO?
@machoguhameri77573 жыл бұрын
Nakuunga mkono.Rais wa Awamu ya Nne alikuwa kila sentesi moja ya pili kiingereza.sasa linganisha maendeleo ya awamu ya nne ya kiingereza na awamu ya tano ya kiswahili.wapi tumepanda chati kimataifa? Je tumejenga hospitali ngapi? Vituo vya afya kila sehemu,elimu bure, mabara bara,hadi tuneingia uchumi wa Kati na kiswahili chetu.Watanzania tuache ulimbukeni wa kujidaia lugha za watu.
@dennismtatiro82303 жыл бұрын
Kemia aliitumia pia kwenye makinikia ambayo mwanzo tuliambiwa ni mchanga tu hauna kitu, kumbe percent ya mali zilizomo ni balaa
@georgehongoa84456 жыл бұрын
Safi sana ''Mkamanda wa Taifa'' Kwakuongeza thamani ya Lugha yetuαβ
@muhinamohamedy94696 жыл бұрын
Raisi njoo Baraza la Kiswahili baba tunamengi yakukuambia ili Kiswahili kienda mbele
@asantekwahuuwimbozubeda8734 жыл бұрын
Asante sana magufuli kwa kuipa lugha yetu thamani maana wengine ss watanzania akiulizwa hataki kuitwa mswahili vile wapo nje ya tanzania wanaiponda nchi yao kwa ktk nchi tz namba moja🤗🤗🤗
@riazjuma843 жыл бұрын
They killed because he d not Bow to them. He d not Borrow the funds they wanted
@vicentrogers94653 жыл бұрын
We will remember you forever jpm
@geraldmakalala60913 жыл бұрын
Kabisa
@jessicarasigu22203 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani baba,lala mzalendo,kwani mwendo umeumaliza,japo inatuuma Sana KIFO chako,
@gregorychogelo20133 жыл бұрын
Endelea kupumzika kwa amani Rais wangu...!!
@iddibernad94192 жыл бұрын
Mungu akusamehe dhambi zote
@wahangaalphons56493 жыл бұрын
Jpm the great
@salomelenadmfikwa73352 жыл бұрын
Mungu akukumbatie daima kipenzi chetu raisi magufur
@jeremiasikilianikiliani96332 жыл бұрын
This is absolutely true news, rest in peace Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
@fanuelchapile78792 жыл бұрын
JJ
@samsonmakandaiga45552 жыл бұрын
Mwenyez mungu ampe pumziko la amani mbinguni
@daudimasano53263 жыл бұрын
Pamoja na yote ulikuwa mnyenyekev
@barakajoshua94002 жыл бұрын
Daima siku zote kumsahau Baba Mungu amlaze mahali pema
@doebyashoba78253 жыл бұрын
Tutamkumbuka daima Dr JPM
@jumakijangwa78383 жыл бұрын
R I P 😭😭😭 MAGU
@stanleyadamson95226 жыл бұрын
Watanzania ujuaji mwingi
@donaldmwahalende48412 жыл бұрын
Kweli kbsa eti kuchanganya kingereza na kiswahili ndio usomi
@makumbele6 жыл бұрын
Kinacho nichekesha na kunisikitisha ni baadhi watangazaji wa radio fulani fulani za Tanzania wanaozungumza kiswahili kwa 'lafidhi ya kiingereza'. Kujiaibisha tu. Utumwa wa akili ni mbaya sana. Asante mheshimiwa kwa kulizungumzia hili swala, tujivunie kiswahili.
@epifaniamilinga28483 жыл бұрын
Hata mm huwa siwaelewi.kizaramo na lafudhi ya kizungu wapi na wapi?
@fredleonardo7393 жыл бұрын
Rest easy dady
@reginaosward61702 жыл бұрын
Tunakukumbuka sana baba Yetu
@ramadhaniomary46346 жыл бұрын
huyu Ndo rais Safi sana
@sittakibona45606 жыл бұрын
Magufuli hodari
@gaspermassawe73973 жыл бұрын
Mzee kubali ujui kutema mayai,STP
@princeimara20352 ай бұрын
The people's president
@liamtewodros2 жыл бұрын
Alale Pahala Pema Peponi 🙏
@jamesmilambo45623 жыл бұрын
Rest in paradise my leader
@greceamaro43852 жыл бұрын
Arusha
@greceamaro43852 жыл бұрын
Matukio arusha
@patricklaizer8252 жыл бұрын
Jembe,,, pumzika kwa Amani😪
@ABD-mr7yc3 жыл бұрын
Tutakukumbuka sana laisi wetu jpm
@esteredward69803 жыл бұрын
Usomi wao ni ufisadi wamesha gawana nchi na watoto wao
@mashakaamosgabinza38932 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤔Unforgetable president of tz
@mahadmaxueldeemagwar63523 жыл бұрын
Asante kabisa
@mhamedabdalah22343 жыл бұрын
Watanzania tunapengo kubwa
@eliyahango42783 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭 RIP JPM
@kevintulyanje29593 жыл бұрын
Mungu amlaze mahar pema pepon
@leonardmrope95283 жыл бұрын
R.i.p the big President of Tz,,
@jacobstephanonaziadi47243 жыл бұрын
Daaa mwamba wa Tanzania
@jumapiliissa48352 жыл бұрын
Aisee lala salama mzee
@benwaangetich36182 жыл бұрын
Kenya Kwanza pia
@marthathebossladymomg92682 жыл бұрын
Love you papaa
@Akbas_Media3 жыл бұрын
True Pan African
@gasperhellowmgoli47723 жыл бұрын
Halima kweli
@lossachance60522 жыл бұрын
So guud
@kibwanangecha15083 жыл бұрын
Rest easy legend 🙏
@afezratiborachide99412 жыл бұрын
assamu alaikumo
@yonabilshan64242 жыл бұрын
Du ulitukomesha kweli utu na haki havikuwa muhimu kwake ni vitu kwake ilikuwa muhimu hakujua maendeleo ya mtu ni maendeleo ktk secta ya kilimo uvuvi viwanda elimu afya aliamini watu wasiwe na hela wapate maendeleo never huwezi families ktk familia kwa kuamini eti kutotenda haki ktk familia et nyumba iwe na maendeleo
@aboukar69m2 жыл бұрын
Daima utakumbukwa mungu ailaze roho yako kwenye wema
@anthoniamulungi96153 жыл бұрын
Upo vzr
@ngodajuma55763 жыл бұрын
Imenoga hapa
@gvmstudio56593 жыл бұрын
yes kiswahili juu
@deusdebitkowa96572 жыл бұрын
Jembe letu,Tanzania haikusahau kamwe.
@shedrackchande30942 жыл бұрын
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe
@phillipomemba56812 жыл бұрын
Upo sahihi jpm
@alfebinhomalema77402 жыл бұрын
Hii speech yakizalendo san
@thomasmakoe59583 жыл бұрын
Hakika tutakukumbuka shujaa wetu
@masaikaren5883 жыл бұрын
Ukweli ulivaamu ilatu wakuuwa
@sebhantaletv4142 жыл бұрын
Safiiiii.
@mohammedmbwella24602 жыл бұрын
Safi sans hii kitu
@rosegodson46332 жыл бұрын
R.I.P kipenz nimekumiss sana
@KATETIMQ3 жыл бұрын
We miss you so much our president
@chealakwealakwe4632 жыл бұрын
Safi sana
@geraldmakalala60913 жыл бұрын
Wewe ulikuwa Raisi kweli kweli
@jamesmwanamanga14483 жыл бұрын
Utaishi ndani ya moyo wangu daima
@lelasalum5553 жыл бұрын
Lala salm baba tutakukumbuka daima
@djmkusin94662 жыл бұрын
Asant bba jj
@mosesjames36273 жыл бұрын
😂😂😂.. My president I lv you
@immaculataroeser95693 жыл бұрын
Ah!! Magufuli, wacha wee!!
@mcstanleystanford3 жыл бұрын
Daaa binafsi ntakukumbuka mpaka pumzi ya mwisho
@wendyketchem47863 жыл бұрын
Duuh
@hekimakilasi43072 жыл бұрын
Kwel a legend never dies 🙏
@sylvanaswai32712 жыл бұрын
Kweli lugha ni nyenzo kuu ya mawasiliano.
@didasesevere93092 жыл бұрын
Nice good
@dorkasmgode37122 жыл бұрын
Shujaa wa tanzania upumzike kwa aman
@barakajkadu20232 жыл бұрын
Noma Sana
@emmanuelbonifas35173 жыл бұрын
Wema awana maisha sauti hii imebaki historia tu jaman hakika kwa nafisi yangu uwezi futika kwenye akili yangu raha ya milele umpe ee bwana