MWANAFUNZI KIDATO CHA NNE AFARIKI BAADA YA KUNYWA KEMIKALI AINA YA ETHANOL KATIKA MAABARA YA SHULE

  Рет қаралды 36,633

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 172
@FatumaSaid-t4r
@FatumaSaid-t4r 6 ай бұрын
Pole mzee. Mshukuru Mungu.kwa kila jambo. Heri shari zinatoka kwake
@evancemoevt8597
@evancemoevt8597 6 ай бұрын
Don't Touch anything in the Laboratory!!😢
@FPJofficial
@FPJofficial 6 ай бұрын
Without permission 😢
@Sokomoko13
@Sokomoko13 6 ай бұрын
Don't eat anything
@joyceassey2347
@joyceassey2347 6 ай бұрын
Hawakumbuki Sheria za maabara naona
@rafiaahmad168
@rafiaahmad168 6 ай бұрын
Me mwenyew nimeshangaa jaman mbn Sheria zina fundishwa
@josephineokama2200
@josephineokama2200 6 ай бұрын
​@@joyceassey2347don't eat drink touch any things Ina the laboratory room jamani hawakumbuki huo usemi
@kendricgeorge603
@kendricgeorge603 6 ай бұрын
Mungu amrehemu na amlaze mahali pema peponi
@josephkulija293
@josephkulija293 6 ай бұрын
Pole kwa wafiwa, hao wanafunzi waliobaki wahojiwe vizuri inawezekana ni walevi wa muda mrefu.
@sharmilaally7935
@sharmilaally7935 5 ай бұрын
Mwingine kazikwa Leo amebaki mmoja
@josephkulija293
@josephkulija293 5 ай бұрын
@@sharmilaally7935 Pole sana kwa mzazi inatia uchungu sana. Ni vizuri watoto wetu wakatambua wazazi tunavyojitoa kwa ajili yao halafu wanakwenda kufanya tabia za kilevi inaumiza sana.
@hawakiza6067
@hawakiza6067 5 ай бұрын
​@@sharmilaally7935innalilah wainnailah rajighun
@emmanuelmodekai2850
@emmanuelmodekai2850 6 ай бұрын
poleni sana kwa msiba huyo Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu kama yeye apendavyo amin
@victorcephas3618
@victorcephas3618 6 ай бұрын
Kuna kale kaujinga wanafunzi wanaambianaga kuwa ethanol ni pombe tu kama pombe zingine.
@MusaNgao
@MusaNgao 6 ай бұрын
Wataalamu waloufaidi utoto utawajua tu kwa koment zao😂😂😂
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 6 ай бұрын
kwel kabisa
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 6 ай бұрын
​@@MusaNgao sisi ndo tupo😂
@youthchanel8612
@youthchanel8612 5 ай бұрын
Na walijua ni pombe tu!mungu atulindie vizazi vyetu kwa kweli
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 2 ай бұрын
Kweli kabisa jamaa!
@jasiriasili3694
@jasiriasili3694 6 ай бұрын
Tuombee watoto kila.siku shetani anavuruga kila.kona😊
@kamarhelo
@kamarhelo 6 ай бұрын
Ndo ucheke
@Joshuaedward-uo6ug
@Joshuaedward-uo6ug 6 ай бұрын
Huyu Baba amefanya nimwage machozi RIP😢😢
@neemareuben311
@neemareuben311 6 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢inauma jaman mtt mkubwana mtu una jipa matumain mtt wangu atakuja kunisaidia jaaman😢😢😢😢😢😢😢Pole baba mungu akupe nguvu
@THOMASMAYOGU-vu5ny
@THOMASMAYOGU-vu5ny 6 ай бұрын
Duuh mungu amurehemu kunasiri nzito kaondoka nayo jamani
@Zaburi-
@Zaburi- 6 ай бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@marcominja8850
@marcominja8850 6 ай бұрын
Maarifa yasiyo sahihi kuthibitisha sayansi yamewagharimu. Wakisikia gongo ni ethanol watu wanatamani kugida. Sawa na wale wa medi lab wanaopenda kutumia valium kulewa.
@bensonphilip9673
@bensonphilip9673 6 ай бұрын
Alooo inakuaje watoto wanachoka mapema hiv punguzeni madarasa alooo
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 6 ай бұрын
Kwani wao ndio watoto wakwanza kusoma au ?
@missmoona4497
@missmoona4497 6 ай бұрын
Jmn sijui ni njaa ya shule😭😭😭Innah lillah wainnah illah rajiuuna
@Bentrixx_
@Bentrixx_ 6 ай бұрын
Mungu awalinde vijana,,ndio target kubwa ya muovu shetani😢😢
@joycehaule9717
@joycehaule9717 6 ай бұрын
Form 4 mbona wakubwa kabisa wanafanya mambo ya nursery jamani kaaa!
@anenragnesmunis8490
@anenragnesmunis8490 5 ай бұрын
Jaman mkubwa hivyo hakusoma hiyo kemikali jaman
@victoriadenis1694
@victoriadenis1694 6 ай бұрын
Hawa walitaka waone ethanol inalewesha au vip😢dah
@HusnaMuhammed-yx8nl
@HusnaMuhammed-yx8nl 6 ай бұрын
Jamani don't eat in the laboratory mlisahau jamani poleni sana familiya
@abdulazizimashaka3275
@abdulazizimashaka3275 6 ай бұрын
Alcohols are organic molecules assembled from carbon (C), oxygen (O), and hydrogen (H) atoms. When 2 carbons are present, the alcohol is called ethanol (also known as ethyl alcohol
@jrsaid4270
@jrsaid4270 6 ай бұрын
Sawa Proffesa
@ZakitambotuEnjoy
@ZakitambotuEnjoy 6 ай бұрын
Kuweni makini wanafunzi kama mwalimu hayupo kwenye chumba cha uchakataji huruhusiwi kutast chochote bila idhini ya final menagment this make top of mind when you inside of the laboratory dont eat anything
@nsamabenjamin2092
@nsamabenjamin2092 6 ай бұрын
Pole sana Mungu awatie nguvu
@eliasm.abdallah2523
@eliasm.abdallah2523 6 ай бұрын
Hii kwa vile shule zimefungwa tufikirie mara mbili mbili kama ikiwezekana taarifa hii isisambaee make wanfun, siku hizi unajichukulia maamuzi mazito... Ili kuepuka tatizo lisijelikajirudia habari hii usisambae... BALI JITIHADA ZIFIKE SHULE ZA KUPAMBANA NALO
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 6 ай бұрын
Mtanzamo wangu ni bora isambae ili wengine wapate uwoga
@JacklineswaniMakindo
@JacklineswaniMakindo 6 ай бұрын
Pesa ya kununua chakula unapeleka shule.. elimu ya Tanzania ni shule government support
@olivernyange2349
@olivernyange2349 6 ай бұрын
Poleni sana familia da aise Roho mtakatifu awatie nguvu
@haryanyawu640
@haryanyawu640 6 ай бұрын
Poleni sana wanafanilia jamani kwani waalimu hawakusema. Kuwa kuna vitu vya hatari?
@Babuu200
@Babuu200 6 ай бұрын
Pole Sana Mzee Baba
@mattoedward614
@mattoedward614 6 ай бұрын
Apumzke kwa amani
@RicksalimSaleh-gv4mr
@RicksalimSaleh-gv4mr 6 ай бұрын
Jmn mungu amlaze mahala pema peponi jmn
@stanleypius3365
@stanleypius3365 6 ай бұрын
Kuna sehemu lab sio za kuwaacha wanafunz bila usimamizi, walipokuwa storage room mwalimu alipaswa awaangalie!!! Serikali inapaswa iajili watu special wa kusimamia maabara( lab technicians) walimu wa sayansi wanazidiwa majukumu, huyo huyo afundishe huyo huyo aangalie maabara!!
@Justerkaregi
@Justerkaregi 6 ай бұрын
Usimamizi wa nini? watu wa high school
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 6 ай бұрын
Very true
@emmadora7848
@emmadora7848 6 ай бұрын
Kabla ya kuingia maabara tu ajifunza rules inamaana yeye hakusoma ? Tutasimamiwa mpaka lini sisi?
@Giftypmushi
@Giftypmushi 6 ай бұрын
Si apo sasa na uyo siyo mtoto mdogo ​@@emmadora7848
@Pianharoun-nt7zh
@Pianharoun-nt7zh 5 ай бұрын
ni olevel syo a level ​@@Justerkaregi
@stansiauisso5441
@stansiauisso5441 6 ай бұрын
Poleni kwa msiba
@azizchanyoya5403
@azizchanyoya5403 6 ай бұрын
Mweeh bora mm nilie pita na chubu za kemikal nikatupa hawa kiboko yng.r.i.p
@Emma300b
@Emma300b 6 ай бұрын
Wanadhani ni pombe kama zingine . Ila hiyo ni for Laboratory use
@shamilashabani4288
@shamilashabani4288 6 ай бұрын
Kuna wakati nilisikia serikali ikisema kila shule iwe na lab technician na sio mwalimu,sijajua tamko liliishia wapi kiutekelezaji.
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 6 ай бұрын
Badara ya kunywa spirit yeye kanywa ethanol,,,R I.P😢😢😢
@jeangodelo5349
@jeangodelo5349 6 ай бұрын
Poleni sana familia😢😢😢
@abiaslimadyanse1842
@abiaslimadyanse1842 6 ай бұрын
Laboratory rules kazikosea heshima 😢😢😢😢 Anyway Rest in peace 🕊️🕊️🕊️ Sister
@Deboraabel-zu2vq
@Deboraabel-zu2vq 6 ай бұрын
Don't eat and drink in the laboratory
@shaphyshaphy5543
@shaphyshaphy5543 6 ай бұрын
Wash your hand with soap and water befor eating anything
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 6 ай бұрын
Kweli don't eat or drink in laboratory
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 6 ай бұрын
Mungu amlaze pema 🤲🙏
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 6 ай бұрын
Innalillahi wa Inna ilayhi rajiuun
@ramlamkumba8927
@ramlamkumba8927 6 ай бұрын
Painfully Sasa mbona zile rules za laboratory tunazishika kisawasawa aih jamani waliwaza nini
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 6 ай бұрын
Inauma Sana kweli shetani bado yuko kazini.
@MuhammadMaulana-p2l
@MuhammadMaulana-p2l 6 ай бұрын
Mungukampenda zaidi
@MagangaKasase
@MagangaKasase 6 ай бұрын
Mmmmmmmh kemikali kali sana iyo duu njaa au nn jaman had akaamua kunywa iyo kemikali why ?
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 6 ай бұрын
Kamati ya uchunguzi mnachunguza nini. Si wamekunywa chemical laboratory. Kinachunguzwa nini. Yaan kamati kamati
@annajohn3377
@annajohn3377 6 ай бұрын
Shetani yuko kzn huyu bab ameniliza jmn
@immaculateakilimali7220
@immaculateakilimali7220 6 ай бұрын
Na kweli ni maroho hayo,watoto wa secondary mbona wanauelewa kabisa wa hizo kemikali.ni kuwaombea sana watoto wanapokuwa mashuleni kuna maroho ya ajabu wakati mwingine.
@Everline398
@Everline398 6 ай бұрын
Shetani ni mbaya namchukiaaaa mnooo mtoto wa 4m4 jamani zimebaki siku chache amalize kweli
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 6 ай бұрын
Alikua mwanafunzi mzuri anataka kutest kemical live
@marygregory7566
@marygregory7566 6 ай бұрын
DONT EAT OR DRINK ANYTHING IN THE LABORATORY
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb 6 ай бұрын
Ethanol siyo tindikali ni pombe! aka alcohol
@AtuganileAsubisye
@AtuganileAsubisye 6 ай бұрын
😭😭😭😭😭 polenii wazazii ni pigo mtoto mdogo
@DativaMbowe
@DativaMbowe 6 ай бұрын
Poleni sana😢😢 wazazi wa marehemu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 6 ай бұрын
Subuhanallah sasa wao walijua nini yani mpaka wanywe kemikali iliiweje mbona kixungumkuti. .... mtihani
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 6 ай бұрын
Nashangaa jamani na mtoto mkubwa sio mdogo😢
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
Kifo hakikosi sababu 😢😢😢
@kingcopper_tz
@kingcopper_tz 6 ай бұрын
Don't eat or drink anything in the laboratory
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 6 ай бұрын
Pole Sasa kaka
@estherrobart6274
@estherrobart6274 5 ай бұрын
Arafu huyu afande Bado hyo nafasi aliyopo sio
@hassankongolilo8408
@hassankongolilo8408 6 ай бұрын
kumaamayee katazeni fimbo mashuleni. watoto wanastress sana kwa kuchapwa chapwa
@nasramohamedi4095
@nasramohamedi4095 6 ай бұрын
Don't eat or drink anything in the laboratory😢😢
@Kidia-yt3bm
@Kidia-yt3bm 6 ай бұрын
Kwa somo la kemia nililosoma ethanol ni alcohol pombe basi atakuwa alikunywa nyingi sana na kama alikunywa nyingi si angezimia au kushindwa kutembea?
@mercymwabonje9953
@mercymwabonje9953 6 ай бұрын
Inatengenezewa pombe si unywe conc ni diluted
@vibetz9991
@vibetz9991 6 ай бұрын
Sema kemikali za maabara za shule zinanukia vizuri kishenzy😢😢
@gasparmpoma3860
@gasparmpoma3860 6 ай бұрын
Nusu Kidogo, Ninywe moja inafanana kabisa na Fanta orange 😂
@vibetz9991
@vibetz9991 6 ай бұрын
@@gasparmpoma3860 😆😆😂😂We acha tu,, tena unakuta inatoa ka sauti flani ivi kama gesi ya soda
@gasparmpoma3860
@gasparmpoma3860 6 ай бұрын
😄😄 hapo uwe na njaa ya shule ile aaah unaweza pata jaribu, Ila apumzike kwa amani Huyo Binti
@vibetz9991
@vibetz9991 6 ай бұрын
@@gasparmpoma3860 acha tu,,na ndo ukue ilikua siku ya kande mchana na jioni😖😖😪😪😪RIP mwanetu
@josephkiwale374
@josephkiwale374 6 ай бұрын
​@@vibetz9991😆😆
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 6 ай бұрын
Sasa Ana kunywa vipi chemical😢😢daah
@MonikaFedrick-td8nv
@MonikaFedrick-td8nv 6 ай бұрын
jmn hawa watoto mungu tu asimamenao jmn. mungu amlaze mahalipema peponi 😭😭😭
@zephaniamalindi9597
@zephaniamalindi9597 6 ай бұрын
Don'tnt eat in the laboratory , hapa nimejaribu tu kuwakumbusha hao jamaaa walioona ethanol n pombe
@RaphaelMfunguo
@RaphaelMfunguo 6 ай бұрын
duh! mtihani huu kwakweli 😭😭
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 6 ай бұрын
Innalillahi Wainna Ilayhii Rajiuun
@ALCADOJAMES
@ALCADOJAMES 6 ай бұрын
Hii kitaalamu inaitwa geza ulole insues
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 6 ай бұрын
Laboratory rule don't eat or drink anything in the Laboratory
@judyngowi391
@judyngowi391 6 ай бұрын
Walidhani ni juice, walikuwa na njaa nini
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 6 ай бұрын
Walijiuwa wenyewe kwaku testi kinywaji dah makubwa.poleni sana maji yalisha mwagika yeye mbele yetu sisi nyuma yake.😮
@cassianusbarongo606
@cassianusbarongo606 6 ай бұрын
Duuh polen sana kwa familia jmn😢😢🙏
@ChristinaHabiye-el3ni
@ChristinaHabiye-el3ni 6 ай бұрын
Poleni sana
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 6 ай бұрын
Rules ndogooo ila zina maana. Don't eat or drink in laboratory
@sharmilaally7935
@sharmilaally7935 5 ай бұрын
Wapili kazikwa leo amebaki mmoja
@aishaseif9548
@aishaseif9548 6 ай бұрын
Duuuu inaumiza saana
@dottomanyesha9692
@dottomanyesha9692 6 ай бұрын
Poleni sana, lakini labda ni Methanol
@richardmshiu5118
@richardmshiu5118 6 ай бұрын
Yep,methanol ndio sumu,ila hio ethanol pengine ilikuwa concentrated Sanaa,, ikaharibu liver tissues bc metabolism ya ethanol it takes place in a liver.but why hio room ya chemicals wapewe kibali Cha kuingia bila usimamizi?.lab technician alikuwa wap jamani,, duuh
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
Kuna usembe kwa walimu, ila kifo hakikosi sababu
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 6 ай бұрын
Innalillaih wainnaillaih rajiuun😭😭😭😭
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 6 ай бұрын
Daah polen wafiwa 😢😢😢
@ombenIsaya
@ombenIsaya 6 ай бұрын
Katavi 😢
@latifaally-zo3qr
@latifaally-zo3qr 6 ай бұрын
Don’t drink anything in the laboratory 😢
@kmotivation1130
@kmotivation1130 6 ай бұрын
Don not drinking or eating anything in the laboratory , so rest in peace
@Allybinamour
@Allybinamour 6 ай бұрын
poleni sana na msiba jamani
@dorotheajoseph2347
@dorotheajoseph2347 6 ай бұрын
Apumzike kwa amani
@khalidmdotta3843
@khalidmdotta3843 6 ай бұрын
Matokeo ya kutaka kujalibu jalibu
@ilhan982
@ilhan982 6 ай бұрын
Duuh 😢😢😢
@chaggatv818
@chaggatv818 6 ай бұрын
Hapo kuna maswali mengi sana ya kujib😢 shule za bweni zina siri kubwa sana😪labda matron alifatwa usiku akapuuzia na baada ya Asubuhi badala wampeleke hospital ndo wawapigie wazazi wanapigia wazazi waje kumpeleka 😭 Huu ni uzembe wa Walimu
@FridaWilliam-z2m
@FridaWilliam-z2m 6 ай бұрын
Si kweli kwasababu hawakusema mapema km walikunywa kemikali Sasa walimu uzembe wao nn hapo
@FridaWilliam-z2m
@FridaWilliam-z2m 6 ай бұрын
Kila kitu lawama kwa walimu hata km hawahusiki
@JeniphaDedu
@JeniphaDedu 6 ай бұрын
Unakunywaje kemical😢
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 6 ай бұрын
Innalillah wainnah lillah rajun 😢😢
@nelsonmrema7869
@nelsonmrema7869 6 ай бұрын
Seem like no information enough about the hazards of the product and advice about the safety precautions.
@yanga045
@yanga045 6 ай бұрын
daah RIP
@steramwanakira7183
@steramwanakira7183 6 ай бұрын
Poleni sanaa
@dorisuronu3183
@dorisuronu3183 6 ай бұрын
Duh jmn 😢😢
@DianaHyera
@DianaHyera 6 ай бұрын
Hiyo ni kazi ya shetani,sio kwa akili zao,shetani yupo kazini
@RomanoNicodemus
@RomanoNicodemus 6 ай бұрын
Duhhhh inasikitishaaaa
@MuphdathFarid
@MuphdathFarid 6 ай бұрын
Don't touch or drink in the laboratory
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 6 ай бұрын
Masikin
@NyaubaKitumbo
@NyaubaKitumbo 6 ай бұрын
Polen
@nickelmudric13
@nickelmudric13 6 ай бұрын
Rip
@amina3925
@amina3925 6 ай бұрын
Poleni san wazazi
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 6 ай бұрын
Poleni wafiwa
@rajabsharif4440
@rajabsharif4440 6 ай бұрын
Duh😢
@VictorDominick-qg5qq
@VictorDominick-qg5qq 6 ай бұрын
Don't Eat or Drink in the Laboratory
@PendoMuhagama-wq2vc
@PendoMuhagama-wq2vc 6 ай бұрын
Poln
Noodles Eating Challenge, So Magical! So Much Fun#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:33
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 106 МЛН
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 37 МЛН
MKE MKUBWA ADAIWA KUMUUA MUME AKITOKA KWA MKE MDOGO
9:49
Millard Ayo
Рет қаралды 23 М.
APOCALYPTO 2006 FULL MOVIE SUB INDO..
2:18:22
Sheva.05
Рет қаралды 16 МЛН
Noodles Eating Challenge, So Magical! So Much Fun#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:33